HIVI PUNDE TUMEPOKEA TAARIFA MPYA NA MBAYA SANA KUHUSU WAKILI WA TLS,,AMEUWAWA KIKATILI..

  Рет қаралды 10,331

HABARI KIGANJANI

HABARI KIGANJANI

Күн бұрын

HABARI KIGANJANI, ni channel ya habari zoote, zilizofanyiwa upembuzi yakinifu kabisa kutoka katika vyanzo mbali mbali vya habari ikiwemo MITANDAO YA KIJAMII,MAGAZETI,REDIO NA TV zinazohusu Tanzania na nje ya Tanzania,tunajitahidi sana kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote ule kisiasa.
#habarikiganjani #wakili #tls #tanzania

Пікірлер: 10
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 күн бұрын
wanadamu wanasikia raha gani kuua Watu?. Kumwaga damu ya mtu ni kosa sana mbele za MUNGU MKUU. Poleni sana ndugu zetu.
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 2 күн бұрын
Dharma.. dharma.
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 2 күн бұрын
Jamani mimi nashauri hivi... wachunguzi watoke nje
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 3 күн бұрын
Hii sio sawasaw
@JohnMhogo-hd3fs
@JohnMhogo-hd3fs 3 күн бұрын
Hii nchi hatari sana kwakwwli
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 күн бұрын
Siyo hatari tu ni tatizo kubwa. Mungu wetu atulinde na majanga haya. Amen.
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila 2 күн бұрын
Selekali.hatuna.tunagengelawahuni
@dorahy1579
@dorahy1579 Күн бұрын
Kumbe basi kauwawa na huyo mwanamke na kaka zake. Huyo meanamke bado yuko kazini yaani bado ni mbunge? Waliouwa pia watauwawa au siku zao zitafika watakufa.
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 2 күн бұрын
Mawakili mjitathimini kuna jambo..
@ChristerKok
@ChristerKok 2 күн бұрын
Hapa mpaka yesu arudi kupata uchunguzi.
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 40 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Россия атаковала Украину более 100 дронами
1:11
Euronews по-русски
Рет қаралды 30 М.
AFYA: SABABU 10 ZITAKAZOFANYA FIGO ZAKO KUFA-JANABI
9:03
Mchumi Digital
Рет қаралды 43 М.