Sehemu ya kwanza ya #ChillnaSky, Navy Kenzo (Aika na Nahreel) wakizungumzia biashara zao mbalimbali zinazowaingia mkwanja nje ya muziki
Пікірлер: 78
@lindamutasa57524 жыл бұрын
I real admire the couple. Hard working, nice. Niwaombe mbariki ndoa yenu ili kile nachokiona kwenu kikazidi kuongezeka in Jesus name Amen
@Lambartini_tz4 жыл бұрын
Presenters wanapaswà wajifunze kwa huyu jamaa asee anauliza questions professionally woow havuki mipaka wala nini brother sky God bless you mtu una enjoy hata kuangalia interview
@neemamassawe19464 жыл бұрын
Mnajieshimu sana na kupendana sana najua mapungufu yapo ila Mnasimama Pamoja na kuchukuliana kwa Upendo 👏🏼👏🏼👏🏼Hongerani sanaaa
@trishtrish23494 жыл бұрын
It is very refreshing to see and hear intelligent wasaniis.
@nunuuali53164 жыл бұрын
Hawa watu nawakubali mnooooo, sijawahi ona ma star wanao jielewa kama hawa. Yaan mambo yao ni kimya kimya tu huku wakiendelea kutusuwa. Kumbe maisha bila kiki inawezekana bhana!
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Kweli bila kiki mambo yanaenda
@neemamassawe19464 жыл бұрын
Hiii couple ni Nzuriii mnoo kwa vijana wajifunze kupitia hii couple
@francisrichard50334 жыл бұрын
Yani navy kenzo ni wasanii ambao pesa wanayo lakini hawajioneshi, very low key sio hawa wengine ambao pesa hawana ila kuvimba kwingi, ebu cheki hayo maproject kibao na sidhani kama kuna wadhamini zaidi yao wenyewe so pesa wanayo ila hawana upuuzi wakuvimba ovyo and thats gud!
@thierrytiti8864 жыл бұрын
Best couple in Tanzania 🇹🇿 artists
@shabanishabani42112 жыл бұрын
Napendaa mpira kuliko kitu chochote kile naomb munisaidie nijiunge na navykenz academy pia naomb nipate namb zenu
@makumbushophilipo12304 жыл бұрын
Sky, you are so unique.I appreciate a lot
@chalababy44194 жыл бұрын
Yani hakuna couple imedumu kw wasanii km hii kw tanzania mungu awalinde mmoja amzike mwezake ....Ilove you 🥰🥰🥰😘😘🌹⚘⚘⚘
Sky i like that your not bias to any artists navy kenzo they are on top but the people who offer those are completely bias although we know those awards don't define good artists
@eventelias35664 жыл бұрын
Uthubutu mkubwa kuanzisha academy ya mpira hongera sana.
@alfredkalaba16144 жыл бұрын
The couple is waooo!!! Demwaaa!!! So admireble
@mwaminindayishimiye44344 жыл бұрын
Wow Mashallah 😍😍😍
@paskaligabriel6014 Жыл бұрын
The best couple I love them
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Strong and lovely couple❤❤😘🇨🇭
@neemamassawe19464 жыл бұрын
Nawapenda sana Kwa kweli ni mfano kwa wengine
@ivynzuki67084 жыл бұрын
Lovely couple & the interview was dope
@TopsyAbby4 жыл бұрын
My favourite Tanzanian artists
@singasinga26634 жыл бұрын
Aseeeeh jawa jamaaa ni majiniaz sana aseee Wametengeneza brand now wanakula faida hata waseme kwa mwezi ni 250k katika hyo akademy bado order zitawazidi
@dothomwandaliw40573 жыл бұрын
Jamani hebu kuweni kama hawa tumechoka kuona wandawazimu wajinga wapumbavu. Washanzi. Waoneni wenzenu wametulia mashaallah. Mungu awabariki
@gipsonstivin864 Жыл бұрын
Wanaa elaa ndefuu
@esteramon93334 жыл бұрын
Nawapenda Sana sema hamjuagi tu
@lilianjeremia10244 жыл бұрын
Nice couple in east Africa 🔥🔥🥰🥰nawakubali kinyama🔥
@fredymwasi8013 Жыл бұрын
¹kra star
@saadanswaleh22134 жыл бұрын
Keep it up navy kenzo 🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@bumeplatnumz84454 жыл бұрын
Safiiii
@rajabhussein77943 жыл бұрын
Sky Walker nakuona Mzee ulivyonenepa maswali yako mazuri Sana hongera
@all.dyoung87954 жыл бұрын
Jaman man u inamilikiwa na family moja ko msishangae navykenzo wakaja na timu yao
@kakore_jr4 жыл бұрын
Best couple in Africa 🙌😍😍
@hassanchauluwa73084 жыл бұрын
Nawakubali sana hawa watu.
@alicedavido13304 жыл бұрын
Hongereni
@kingneltty30844 жыл бұрын
Is this guys from Tanzania woow they are good 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@videodon39784 жыл бұрын
Nahreel on the beat 👑
@artemisneoy95964 жыл бұрын
My peoooople😍
@denveerog27264 жыл бұрын
Nawakubal xan💪
@EvalineT604 жыл бұрын
Nimejifunza kitu leo asante Aika
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👍👊✌️.
@cizasharif46854 жыл бұрын
Wow
@kevoostreams9004 жыл бұрын
Gud interview
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Nawapendaga sana jamoni
@ommyp7rajaa4152 жыл бұрын
Roll mood wangu hawa
@neemamassawe19464 жыл бұрын
👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@theceefamily77644 жыл бұрын
Mungu aibariki ndoa yenu na kuwekana PETE pia,pia mubarikiwe na academy ya shule chekechea hadi chuo kikuu,kwani kwa Mungu yote yawezekana🌞🙏.
@theceefamily77644 жыл бұрын
@Kenya
@samirnaty87744 жыл бұрын
Wahuni wako hambo sana mungu bless zao biashara
@maryammaboura47034 жыл бұрын
Safi san
@sigifridaloyce71162 жыл бұрын
ah
@asya68614 жыл бұрын
🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱
@joharishabani28934 жыл бұрын
Mm jaman hawa watu na wapenda sana maana nimekua nawasikia toka mdogo hawa watu
@dottocharles16364 жыл бұрын
Nahili ninamdogo wangu anakipaji sana cha kuzeza mpira
@bongomsasa24964 жыл бұрын
wapigie kwa namba hii 0783469067
@ArarsoAli4 жыл бұрын
Ame anza kitu mpiyaa endeleya
@omaryayubu79584 жыл бұрын
Ads nyingi baraa atakama ndo pesa zenyewe ila inakuwa bored
@bethuelswema75434 жыл бұрын
Ads kwasababu vpn
@hellenimmaculate59534 жыл бұрын
😃😃we aika em vua Hilo li heren puani shenzi wewe😂
@sabinaonline65754 жыл бұрын
Kwani mpaka utukane ndio ujisikie raha? Si umwambie kikawaida tu
@ilynpayne74914 жыл бұрын
Hayo ni maamuzi yake na wewe ukiamua unaweza weka
@agwalubifaridah70794 жыл бұрын
Mjufunze kueshimu maisha ya watu wengine
@agathathobias86904 жыл бұрын
Mume wake anapenda hiyo heren
@rosedaniel19814 жыл бұрын
Shenzi na ww weka full pic dp🤣🤣🤣
@mwaisanyonyoma4164 жыл бұрын
CHEKA NA VUTUKO VYA..... USWEGEkzbin.info/www/bejne/qHKkaGR9ereEaqc