Hoja za Kamanda Murilo Kwenye Kongamano la Kitaifa Dhidi ya Matukio ya Kupotea Raia

  Рет қаралды 9,667

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 85
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 Күн бұрын
Waliomuona Afande Muliro kwa mara ya kwanza akicheka gonga likes hapa!! Huyu Mwamba hachekagi kabisa!
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Күн бұрын
Uko vizuri kamanda .Tena sana
@HildaMlay
@HildaMlay Күн бұрын
Umeiva kamanda big up, umejibu kisomi. Matatizo yapo Ila ni madogo naamin Rais wetu ni mtu Makin. Na kazi iendelee
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Күн бұрын
Madogo watu wanakufa
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Күн бұрын
ovyoo..madogo ukifanabisha na yapi? ngoja likukute
@dorahy1579
@dorahy1579 Күн бұрын
Tundu Lissu number moja
@GOODLUCKSEFANIA
@GOODLUCKSEFANIA Күн бұрын
Kamanda murilo wewe ni msomi wa sheria nimekubali pamoja na kubwana na Wananchi lakini kamanda murilo wewe ukosawa katika kuteteta jeshi la polisi uko vizuri sana atawakati mgumu umejibu katika wakati mgumu sana big up one love murilo
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Күн бұрын
😂
@matrixtechnician3088
@matrixtechnician3088 Күн бұрын
mzee katumia hekima sana na busara ya hali ya juu maan hakuna alie kwazika
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 Күн бұрын
Akili za Murilo ni kama kichaka cha maovu na laana😅
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 Күн бұрын
😂😂😂😂
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Күн бұрын
Ungejibu hoja badala ya kufanya assumptions
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 Күн бұрын
@@stevenjackson4985 sijui kingereza,umesemaje?
@MnubiMm
@MnubiMm Күн бұрын
Ndio majibu hayo umeyageuza kwa sabb ulikuwa na yako Tayali ulitaka yaongelewa hayo na akubaliane na Kila kitu asitoe yake MAWAZO akubaliane Akili apongeze angekuwa bonge la kamanda angesifiwa na wote wenye Mtazamo wako huyu ni mtaalam wa Makosa na uhalifu na kachelo pia asemi tu Kama kasuku
@shungumwaisanila7193
@shungumwaisanila7193 Күн бұрын
Safi sana mkuu umeongea kwa kina sana mwenye kuelewa ameelewa
@isacksamwel7432
@isacksamwel7432 Күн бұрын
Afande uko sawa kabisa
@dorahy1579
@dorahy1579 Күн бұрын
Mimefurahi mno umemtaja Tundu Lissu kistaraabu . You are a Ptofessional. Labda alipotea rosado na eşime we zır wakigombania manini yeye anakuwa na Maghufuli, Shenzi sana halo ka mtu kafupi
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Күн бұрын
Kamanda Msomi jeshi la kisomi hongera sana, tushirikiane Soka na wenzake wapatikane
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 Күн бұрын
Kwel kamanda, weng wanaotekwa kun mengne nyuma ya pazia c ya uson tunayohis jmn wtz
@TrustElbashil
@TrustElbashil Күн бұрын
Huna jipya mulilo lakini kumbuka kuwa ndugu zako sio wote wana ccm ipo siku utastaafu utarudi ulaiani utaishije na watu ambao ndugu zao mmewateka na kuwaua
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k Күн бұрын
Tuna muamin San muliro kwenye Kanda ya Dar es salaam
@RashidSemdungu
@RashidSemdungu Күн бұрын
Sema una sio tuna
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika Күн бұрын
Kamanda mulilo safi sana wewe mwenyewe sio polisi
@EstherSamwel-vk4wb
@EstherSamwel-vk4wb 2 күн бұрын
Afande usipofanya maamuzi magumu ya kufata sheria na sio maagizo kutoka juu itakugharimu siku moja
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Күн бұрын
Amevunja Sheria ipi
@magangajosephat9919
@magangajosephat9919 7 сағат бұрын
Hongera Kamanda kwa wasilisho zuri.
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Күн бұрын
Uko vizuri kamanda
@sashawambura
@sashawambura Күн бұрын
Kudos to Kamanda Murilo..
@AyubuGereway-p9i
@AyubuGereway-p9i Күн бұрын
Huyu ni zaidi ya kamanda anajuaa mnoo
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Күн бұрын
Wapeshule.Wanaitumikia CHADEMA WOTE HAO
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Күн бұрын
Sema KAMANDA
@dorahy1579
@dorahy1579 Күн бұрын
Tundu Lissu huyo anategemea Guardian Newspaper na Lawyer wake Mzungu. Afadhali umemwambia kistaraabu anajua yeye mwenyewe.
@JPO2R69
@JPO2R69 Күн бұрын
Siku Moja utajua kwani Lisu Yuko huko na siyo nyumbani
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila Күн бұрын
Kutekanakuuanishelia,police,mustumikenaccm,jitambueni
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 21 сағат бұрын
Kiufupi huyu Kamanda hana tatizo. Shida iko kwa Wana Siasa. Yeye mwenyewe akijichanfanya anapotezwa😂😂😂
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Күн бұрын
Shida ni majibu yanachelewa saaana.hadi tunaanza kuhic ni nyie hilo moja pili mnavowabeba ccm wakati wa chaguz
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd Күн бұрын
Nchi ikitaka iendelee inahitaji ardhi,siasa safi na uongozi bora
@aminimushi6945
@aminimushi6945 Күн бұрын
Vitu vinne ni muhimu-watu,ardhi,siasa na uongozii bora,vitu vitatu havina shaka,lakini uongozi bora ni mtihani,na hili litatuumiza watanzania,tumuombe sana Mungu atuangalie kwa jicho la ziada.
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u Күн бұрын
Tunaongezewa hasira tunataka kazi ionekane sikulinda vibarua vyenu mgefanya kwa lisu mgeeleweka lakini mnabuluzwa na ccm hapo hampingi inchi yetu inaharibuka
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u Күн бұрын
Lidhieni sheria kama zinawafaa
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u Күн бұрын
Tanzania kazi ni mungu kazi na mtu ni mungu mtu inchi ya maagizo kutoka juuuuuuuuuuuu he jamani
@SeifAlly-fw6ns
@SeifAlly-fw6ns Күн бұрын
Kweli kamanda umenena mambo mazito
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Күн бұрын
Huyu kamanda ni mtu wa Mungu sana ila uongoz wa juu ndo tatiza
@RahimMallya-fh9zc
@RahimMallya-fh9zc Күн бұрын
Uchunguzi unashirikishwa WATU, we wanakuambia we unaleta siasa, WATU sio wanyama afande, jiuzulu kwa kzi ya wananchi awakutaki
@hijazhija316
@hijazhija316 Күн бұрын
Wananchi wapi hao
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Күн бұрын
Uchunguzi wa polisi unashirikisha watu kivipi? Hebu toa maelezo. Unashirikishaje watu?
@FestoLalata
@FestoLalata Күн бұрын
Nimhimu sana vyombo vyadola kijitenga na upendeleo wa chama tawala,mbona chama tawala kinaweza kusherekea kwenye makongamano lakini vyama vingine wanazuwiwa
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Күн бұрын
Mbina mnaburuzwa na ccm?
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 Күн бұрын
Kamanda Murilo kama hanfurahishwi na matukio haya mabaya na yenye kuumiza ,mbn matukio haya ya kutekwa yanazd?
@mwansasungafumbwa9116
@mwansasungafumbwa9116 Күн бұрын
Huyu jamaa kumsikiliza uwe na roho ngumu sana
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Күн бұрын
Wewe mlilo usitudanganye kama watoto,mbona Satifa anaeleza wazi aliehusika na ajafanyiwa chochote?
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Күн бұрын
Mpumbav hata km utamuelewesha vp hawez kuelewa, bakin na upumbavu wenu.
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Күн бұрын
​@@josephatmakarangaahhaa
@hadijafundi383
@hadijafundi383 Күн бұрын
Mmm
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 22 сағат бұрын
Sheria ile ile bado ipo haijafutwa itatumika inapobidi
@mwansasungafumbwa9116
@mwansasungafumbwa9116 Күн бұрын
Ya Msofe sawa ya Lissu je Benn je
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza Күн бұрын
Huyu mulilo anafaa kuwa Mkuu wa jeshi la polisi
@NicolasLauwo-gl4kx
@NicolasLauwo-gl4kx 21 сағат бұрын
Yule kijana wa yuv ccm alisema wakipotea msiwatafute mauretania kwanza ndio tuwaammini
@dorahy1579
@dorahy1579 Күн бұрын
Kama vile Tundu Lissu anavyo unga unga maneno akifikili Maghufuli alimutumis watu wa kununua. Basi Nani Kailua hao Wapinzani wengine ? Maghufuli aliisha kufa.
@VisentJohn-r3r
@VisentJohn-r3r Күн бұрын
Huyu kamanda uwezo anao Sasa kwanini asiwe mkubwa wapolice tz
@BITUROKAZERI
@BITUROKAZERI 2 күн бұрын
AFANDE mawakili wanaharakati hawawezi kukuelewa
@rashidomar2771
@rashidomar2771 Күн бұрын
Mimi huyu kamanda mbona simuelewi watu wanasema wamechuliwa na polisi ,,wakapelekwa vituo vya polisi ,,na baadae wamepigwa risasi kwa bahati tu mungu hakutaka afe ,,ndio ametoa taarifa hizi,,mbona huliongelei hili
@yahayahussein3224
@yahayahussein3224 Күн бұрын
Hujamsikiliza vizur
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 Күн бұрын
Tundulisu na mbowe wamskie vzr kamanda man n wapotoshaj namb 1
@harunamtiko117
@harunamtiko117 Күн бұрын
Police wanaponzwa na amri kutoka juu, waachwe huru
@WalterMgani
@WalterMgani Күн бұрын
Kwann wkt kumkamata raia police anasema ni maagizo ktk juu? Je huoni kama anayekuagiza ukakamate anaweza kuwa hajui sheria? Nyie mnalinda nafasi zenu badala ya kufuata taratibu
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Күн бұрын
Umesema wanaikamatwa. Hapa tunazungumzia waliotekwa na kupotea.
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 11 сағат бұрын
Huyu ni Kada lazina alinde ugali.kashika mpini
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Күн бұрын
Wanasheria uchwara wanaotumia
@barnabasmsagamasi611
@barnabasmsagamasi611 Күн бұрын
Unalinda kibarua siyo?
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u Күн бұрын
Huna hata cha maana mko ccm
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Күн бұрын
Wapashe Hao mamluki
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian Күн бұрын
Doray kama ujui kuandika tulia unacho andika akieleweki unapuyanga ujui kuandika maana yake shule ujaenda ata aki zako uzijui na zawenzako uzijui wewe kunywa pombe xa kienyeji gongo uko utawakuta walevi wenzako uku waachie wanao jitambua
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 Күн бұрын
Mbona nyie mnaburuzwa na ccm
@LucasK-h4x
@LucasK-h4x Күн бұрын
Unatakiwa ujitenge na siasa kabixa
@LucasK-h4x
@LucasK-h4x Күн бұрын
Niulize na mimi ni haki mtuhumiwa kuchunguzwa akiwa rokapu ?
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Күн бұрын
Inategemea na aina ya kesi aliyonayo.
@AyubuGereway-p9i
@AyubuGereway-p9i Күн бұрын
Haapoq hajacheka badoo
@deniseliuter3002
@deniseliuter3002 Күн бұрын
Hili taifa linaharibiwa na wanasiasa ndo maana haki zinakandamizwa sanaa na wanasiasa wa tanzania ni wachumia tumbo wao na vizazi vyao tuh...joto La kisiasa lishaanza kuelekea uchaguzi
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Күн бұрын
Unaongea kisomi Kabbisa.wanadhani wewe ni wakawaida
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Күн бұрын
Mnaomunga mlilo ni vibaraka tu tunawajuwa panya nyie
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 Күн бұрын
Unacheka nn na sisi tuna maumivu kwa kupotelea na watanganyika wenzetu,tupe majibu yenye kuleta amani
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Күн бұрын
Unajishaua tu mbwa wewe
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Күн бұрын
Kuwa makini
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 22 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,6 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,4 МЛН
President Ruto kunyihia andu aria maceraga thingira-ini wa Iregi.
30:28
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 10 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 22 МЛН