Asante mutumishi wa mungu kwa andiko na pia kwa mafundisho ya kujijenga Kwa imani
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen ameeen
@JosphineMwasame20 күн бұрын
Ameen amen 🙏
@LilianFelix-my1ew20 күн бұрын
Ameen mtumishi nami namuomba Mungu anibariki nakuangusha ngome za adui nijifungue salama
@rehemamariki538620 күн бұрын
Ahsante Mtumishi nimebarikiwa sana na somo la leo na kujitunza zaidi jinsi ya kusimamia maombi ya kuangusha ngome za adui. Mungu azidi kukuinua katika utumishi wako
@marthamjema464422 күн бұрын
Amen
@holyspiritconnect22 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@IsakaKiyalo-s3v22 күн бұрын
Asante kwakunitia moyo na kunifundisha njia pekee ya kumuomba mungu ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa jina la yesu kristo nabarikiwa
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen ameeen
@Hellen-gw5cb22 күн бұрын
Halellujah
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen
@frolencialupilya620919 күн бұрын
Oh hallelujah I glorify Your Holy name Jesus Christ❤
@holyspiritconnect19 күн бұрын
Ameen ameeen
@IbrahimSamwel-r9k22 күн бұрын
Amen🙌🙌🙌
@holyspiritconnect22 күн бұрын
🙏🙏🙏
@allenjohn432822 күн бұрын
Asante mtumishi kwa somo hili. Nipo nasikiliza
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen
@marthamjema464422 күн бұрын
Unekana Jehovah kwenye uzao wa tumbo langu nihaki yangu kufikisha miezi 9 nakujifungua salama
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen ameeen
@ruthmshereja397622 күн бұрын
Nimebarikiwa na fundisho hili kwa Jina la Yesu
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen ameeen
@JoyceOdera-x7l22 күн бұрын
Somo mzuri
@holyspiritconnect22 күн бұрын
🙏🙏🙏
@allenjohn432822 күн бұрын
Powerful sermons
@holyspiritconnect22 күн бұрын
🙏🙏🙏
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Indeed
@evepaul62995 күн бұрын
Amen nashkuru sanaa mtumishi wa Mungu kwa somo hili asubuhi hii hakika nimepata nguvu mpya na ujasiri wa kuangusha ngome zote za adui
@holyspiritconnect5 күн бұрын
Ameen ameeen
@IsakaKiyalo-s3v22 күн бұрын
Amina Amina mtumishi wa mungu nabarikiwa kwa Jina la yesu kristo Alie hai
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen ameeen
@hussenhafidh372921 күн бұрын
❤ I Love You Jesus 😍 ,Way maker
@holyspiritconnect21 күн бұрын
Ameen
@esterjuma8276 сағат бұрын
Mafundisho ya leo yamenipeleka hatua nyingine ubarikiwe mtumishi
@gracekunambi743821 күн бұрын
Asante pastor Innocent kwa kutujenga kiimani na kuinua imani ya maombi ndani yetu, na namna ya kuomba.. Barikiwa sana na mafundisho mazuri
@holyspiritconnect21 күн бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect21 күн бұрын
Ubarikiwe pia
@Geofdefasha00316 күн бұрын
Ubarikiwe sana kwa Mafundisho yako mazuri🙏🙏
@Mamadorcas5610 күн бұрын
Amen Amen mtumishi Bwana hakubariki sana
@holyspiritconnect10 күн бұрын
Ameen
@NellyKombe22 күн бұрын
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen ameeen
@Felista-qx8xv9 күн бұрын
Asante yesu kwa mafundisho
@agnesmwayombo916122 күн бұрын
Ameni barikiwa ntumishi wa Mungu
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen
@MwicheGoma5 күн бұрын
Am blessed man of God,glory be to Jesus
@holyspiritconnect5 күн бұрын
Ameen
@maximillahmurumba20539 күн бұрын
Asante sana mtumishi mafundisho haya🎉🎉🎉🎉
@valentinanduku871822 күн бұрын
Amen kwa mafunuo mazuri
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen
@NshomaSayi19 күн бұрын
amen asante mtumishi kwa somo zuri
@Nathyngwala20 күн бұрын
Amen nime barikiwa na iyi fundisho 🔥
@MARIAMMKIWA-s7p22 күн бұрын
Asante sana mtumishi kwa somo hili . mungu akubariki sana.
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen ameeen
@HeavenaireMinistries22 күн бұрын
Hallelujah..! Ubarikiwe Sana Kwa neno mtumishi.
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen ameeen. Ubarikiwe pia
@sabinaleonce824321 күн бұрын
Mungu azidi kukuinua ktk huduma yako
@holyspiritconnect21 күн бұрын
Ameen
@Jefferson_Gospel22 күн бұрын
Ubarikiwe Mtumishi kwa somo hili zuri
@holyspiritconnect22 күн бұрын
Ameen
@ElizabethJames-r6n16 күн бұрын
Ameen and Amen
@RoseMakokha-tc6ke19 күн бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@MariaFanuel-n3j9 күн бұрын
Amina ❤
@RetisiaMosesi19 күн бұрын
Uniomboe baba
@ReynarLlyjuma14 күн бұрын
Ameen
@holyspiritconnect14 күн бұрын
🙏🙏🙏
@bernadetachugu-zp7jh22 күн бұрын
Amina sana
@holyspiritconnect22 күн бұрын
🙏🙏🙏
@MariaFanuel-n3j9 күн бұрын
Nakusikiloza baba roho ya madeni na umaski naziangusha kwa dam ya yesu kirsto