Homilia kubwa kuisikia maishani mwangu. Asante Baba Askofu. Bwana unifanye niwe chombo cha Amani yako. Mt. Fransis WA Asisi patron saint WA mazingira utuombee. Ili tuwe wasikivu Kwa sauti ya Mungu. Watulivu na wathubutu ktk kutunza Mazingira yetu ambayo ni nyumba yetu sote viumbe hai. Care for our common Good amesndika Baba My. Fransis kwenye warakanwake uhusuo umuhimu WA kutunza Mazingira.tuusome wrote , tuutafakari na kuufanyia KAZI. Amina
@elfacechongera6648 Жыл бұрын
Na mm naongezea hapo kwamba mmekaa kimya kuhusu Yanayoendelea Tanzania hasa Bandari