Hotuba ya mwisho ya Rais Kikwete Bungeni July 9/2015

  Рет қаралды 42,505

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@marosylvester2851
@marosylvester2851 5 жыл бұрын
Napenda sana hotuba zako mh Rais wetu mstaafu mwenyezi mungu akujalie heri katika maisha yetu sote uwe na sikukuu njema ya xmass
@robertmakota386
@robertmakota386 7 жыл бұрын
tutakukumbuka JK ulikua kiongozi unayefundisha watu namna ya kuongoza, changamoto ni nyingi ila mazuri yako ni mengi Sana. hongera sana
@jaspermosha81
@jaspermosha81 6 жыл бұрын
Hongera sana, ulikua kiongozi mkweli na muwazi.
@aminasomba9822
@aminasomba9822 9 жыл бұрын
Asante sana baba. . . lakini kipndi chako chore tumekua na maisha magumu sana na ya kubahatsha
@relaxmedia4934
@relaxmedia4934 6 жыл бұрын
Amina Somba kuliko sasa na magufuli?
@zabronpaul3625
@zabronpaul3625 6 жыл бұрын
Uhuru wa Vyama vingi nimekuelewa sana
@frankmenuka22
@frankmenuka22 9 жыл бұрын
Wanaosema J.K hakufanya lolote wanahitaji vipimo mahsusi. Hongera Mr. President tunatambua na kuthamini michango yako ktk nchi yetu.
@deokidunda6278
@deokidunda6278 9 жыл бұрын
Umetisha wa ukae
@rashidndungu96
@rashidndungu96 9 жыл бұрын
kiongozi wa kwanza kua muwazi na kufuata misingi ya democrasia,ni ngumu kumpata mtu kama huyu,kila la kheri!!!!!!!!!
@fihiriachi8167
@fihiriachi8167 Жыл бұрын
Mapato bado tunaweza kufikia 95%
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka jk
@mrishojuma4857
@mrishojuma4857 3 жыл бұрын
Kipenzi cha watanzania wengi. Mungu akujaalie heri zaidi
@fihiriachi8167
@fihiriachi8167 Жыл бұрын
Time Will Tell
@immalazaro9387
@immalazaro9387 6 жыл бұрын
hotuba nzuri sana kila muda naisikiliza
@jereman8853
@jereman8853 8 жыл бұрын
Good
HOTUBA YA MHE DKT.JAKAYA  MRISHO  KIKWETE KWA WANANCHI, 31 JULY 2014
44:09
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015
1:38:02
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 153 М.
Hotuba Ya Mwl  Julius K  Nyerere   Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995
14:17
Namna hotuba ya Mzee Mwinyi ilivyoleta faraja kwa wafiwa
18:54
"Yanga acheni kugombea wachezaji, ni kupoteza muda" - JK
14:23
HOTUBA YA RAIS KIKWETE BUNGE LA KATIBA MARCH 21 2014 BUNGENI DODOMA
36:46
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН