Mh raisi mstaafu jakaya mrisho kikwete umetoa hotuba zuri sna kwa jeshi la kujenga taifa jkt, daima tutakukumbuka kwa busara zako, hekima na upendo wa kweli kwa majeshi yote uliyo kuwa ukiyaongoza. Asante
@kajembekimata67824 жыл бұрын
Wanawa nchi wanawa kwanza laia namba moja wanawa kwanza nzuri kweli kilatamu inachungu yake
@stewartmillanzi71987 жыл бұрын
This president was smart. I never knew that he used to travel around to do all these things.
@henricovincent208 жыл бұрын
JKT NA JWTZ MAJESHI HAYA NI RAFIKI KWANGU SANA.
@georgea.k.a.tallcharlz74765 жыл бұрын
Kikwete oyeeeeeeeee
@stewartmillanzi71987 жыл бұрын
NALIPENDA JWTZ NA JKT. NI MAJESHI RAFIKI KWA WANANCHI.