HOUSE GIRL EP 47 || love story💞💕

  Рет қаралды 165,683

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

#bongomovie #housegirl

Пікірлер: 671
@DaisyNyabuto
@DaisyNyabuto 2 ай бұрын
Jamani neno uvumilivu kumbe Lina uzito namna hiii😢😢candy jamani utawezana kweli ?? Team zuuh njooni tuungane hapa 🫂🫂🫂❤❤🎉🎉
@AmanDaud-h9d
@AmanDaud-h9d 2 ай бұрын
🌹🌹🌹🌹👏
@KhadijaAbdallah-kx8oi
@KhadijaAbdallah-kx8oi 2 ай бұрын
Chiko kitakuja kumlamba mm nipo ap wanaoamin chiko kitamlamb nomben like zenu jmn
@GraceMlay-pv6bc
@GraceMlay-pv6bc 2 ай бұрын
Wanaomkubali Tasha gonga like tujuane
@hajimwendo
@hajimwendo 2 ай бұрын
Jamaan like kama zote kwa zuuuh ❤❤
@faustashisha
@faustashisha 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@HyasintaWisdom
@HyasintaWisdom 2 ай бұрын
Wanaosem mke wachiko sio mgumba twanga like ap❤😂😂
@SalvinJastin
@SalvinJastin 2 ай бұрын
Kabisaa chiko kinamramba sio mda mrefu🤣🤣
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus 2 ай бұрын
Wanawake wakiona mwanaume haeleweki wanagoma kushika mimba
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 2 ай бұрын
Ukiwa unafatilia kwl hii movie unajua waz km chiko hana mbegu😂😂😂😂😂
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 2 ай бұрын
Ww wifi siku yako yaja unafurahia mateso ya wifi yako ilhali ww ni mwanamke na umeolewa
@GloryMjema-k2u
@GloryMjema-k2u 2 ай бұрын
Tunajua kabsaaa mke wa chiko wala sio mgumba ila chiko ndo ana shida😢😢
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x 2 ай бұрын
Waaah watu hawalali jamani mmmmh haya basi mimi nimefika nko hapa haya kama unafuatilia hii movie gonga like hapa tukisonga mbele❤❤❤❤❤❤❤from kenya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fatuma6011
@fatuma6011 2 ай бұрын
Candy shida yako huwez kunyenyekea hilo ndo tatizo huwez kujishusha
@turehemungailo8048
@turehemungailo8048 2 ай бұрын
Ok
@turehemungailo8048
@turehemungailo8048 2 ай бұрын
Sania utaman kumuingiza box tasha lakin tasha anakwepa sana
@AmanDaud-h9d
@AmanDaud-h9d 2 ай бұрын
👏👏👏👏👏👍👍👍🫂
@MageKinongo
@MageKinongo 2 ай бұрын
Anaeungana nakuona kabisa candy anaenda kuzurumiwa nyumba na Dada ake masozy gonga like
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman 2 ай бұрын
😂😂😂🎉🎉
@JosephaSulle-yi4zr
@JosephaSulle-yi4zr 2 ай бұрын
Nyiee kama namwona mandevu yule
@SaumuSophyline
@SaumuSophyline 2 ай бұрын
Nyumba imeenda Kwa madevu tiyari
@MalkaNinik
@MalkaNinik 2 ай бұрын
Nyumba ishachukuliwa nadevu mchana kweupe
@HawaBeka-t4c
@HawaBeka-t4c 2 ай бұрын
Candy anafurahisha jamani 🤣🤣 Baad ya kumaliz kuomba msamaha aondoke mamaake atamfikiria yeye anamjubu shombk Tena kisa kamkatalia kumsamehe 😂😂😂 hii movie tamu sana
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 2 ай бұрын
Hhhhhh makubwa zuu kawaweka kumtari wote wadangaji daa nyiye wote mna piga magoti daa aaa wapi sio kweli mnaiga tu sio kawaida yenu kendy na rafiki take mmmmh na Cheka tu mie hhhhhhh adabu muhim acheni ujeuri hhhhhhh
@VenahKemuma
@VenahKemuma 2 ай бұрын
SI hizi move sometimes Huwa za kweli mungu wangu usiruhusu niyapitie haya
@ImeldaGaitan
@ImeldaGaitan 2 ай бұрын
Kandy unanifuraishaa😂😂😂Huna subira hata kidogo kwa mama duuh!binafsi unanifuraisha kazi Zurich safi
@SandrineIngabire-j7c
@SandrineIngabire-j7c 2 ай бұрын
Wanaofurahia candy kutopewa msamah gonga hapa like
@caroleangambe1239
@caroleangambe1239 2 ай бұрын
Next episode plz ❤❤❤❤❤❤❤
@rinciakhasoah
@rinciakhasoah 2 ай бұрын
Ndokufika nilikwa maandamano 🇰🇪 🇰🇪 nipeni likes 🎉🎉🎉🎉🎉
@HidayaamaniSuleimani
@HidayaamaniSuleimani 2 ай бұрын
Kai km hujavaa hayo masuti yako unapendeza mashallah
@AngelMahenge
@AngelMahenge 2 ай бұрын
Tunaompenda zuu gong like
@neemakoi6635
@neemakoi6635 2 ай бұрын
Asalamualeykum kai usitumie jazba tumia busara sawa babangu😊❤❤❤❤🎉
@ReginaAli-f3d
@ReginaAli-f3d 2 ай бұрын
Ambao jana walisubiri adi saa sita like hapa tujuwane 😂😂😂
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg 2 ай бұрын
😂😂😂jamani caddy huyu anavituko loo shukran nyote Mr Tasha kua makini nyoka huyo ajificha tu mambo moto thnx all muko sawa
@SalomeMlelwa
@SalomeMlelwa 2 ай бұрын
Umejuajeeeeee😂😂😂🎉
@NdiwaIvone-eo9hh
@NdiwaIvone-eo9hh 2 ай бұрын
Tupo😂😂😂😂😂
@FatimahK-w1l
@FatimahK-w1l 2 ай бұрын
Maskini Sania😭😭😭
@CelenaJacob
@CelenaJacob 2 ай бұрын
Nipo nlikaa had saa7😢😂😂😂
@isabellahchuma
@isabellahchuma 2 ай бұрын
Wale kwa kusoma comment movie ikiendelea kuja hapa kuto na gumzo😅😅anyway kazi nzuri guys 🎉🎉❤kutoka kenya
@brayoomontana5011
@brayoomontana5011 2 ай бұрын
Wa Kwanza kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipeni like 🔥🔥🔥🌍🌍🌎
@catrinah0277
@catrinah0277 2 ай бұрын
Niko nyuma yako😂😂
@ABIGAIL67-tria
@ABIGAIL67-tria 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 2 ай бұрын
Jaman wewe chiko na dada yako hiyo mutawumbuka kweri😮😮😮
@wasule6253
@wasule6253 2 ай бұрын
Mmmh Candy umenishinda tabia kumbe msamaha wenyewe unaomba kinafiki
@UmmyShabir
@UmmyShabir 2 ай бұрын
Leo nimewahi jamaneeey mwaga like kwa busati tv plz❤❤❤
@DareshiSlm
@DareshiSlm 2 ай бұрын
Chiko anavyo jishauwa ss ngoja limshuke baada ya kuambiwa mimba sio yakr😂
@Judithopondo-fn9dr
@Judithopondo-fn9dr 2 ай бұрын
Atajuwa ajui
@chunaamina878
@chunaamina878 2 ай бұрын
Ni navyo subir sana pia mm😂😂
@jacksonkahindi3235
@jacksonkahindi3235 2 ай бұрын
Hebu ngoja kidogo. Hivi huyu anae taka kuitwa shangazi vpi alizaa ama ni wale kuolewa aaaah 😂😂😂
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman 2 ай бұрын
😂😂😂😂 ndio mawifi zetu jmn😂😂😂
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 ай бұрын
Yani achatu
@RazikeRara
@RazikeRara 2 ай бұрын
Wangapi wanamkubali zuu kwa heshima yake mmi nkiwa wakwanza ❤❤🎉🎉
@MwanajumBeyawa-j5w
@MwanajumBeyawa-j5w 2 ай бұрын
Nipo wallah hongereni
@anethvicent5870
@anethvicent5870 2 ай бұрын
Watu hawalal wanasubir kwa hamu ongezeni hata dakika jamani❤❤
@MercySilvester
@MercySilvester 2 ай бұрын
Niwamwisho kutoka Kenya kama wampenda zuu na Kai wakiowana gonga like 🎉🎉🎉
@FARAJAJAMESLEONARD
@FARAJAJAMESLEONARD 2 ай бұрын
Hakuna viumbe mnaoboa kama hawa waomba like yaani mnaniudhi adi siyo poa badala msaport kazi mnakuja kuomba like
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman 2 ай бұрын
Mm wananitoa hata kwenye mood
@NancySaha-kd2ov
@NancySaha-kd2ov 2 ай бұрын
Mm wamenisinya kweli
@sumayyahmanyasi453
@sumayyahmanyasi453 2 ай бұрын
Kusoma comment mpka kuna kera
@Phanny-Nyonge
@Phanny-Nyonge 2 ай бұрын
Tuko pamoja jamani, yaani mimi wananiuzi vibaya mno🙄
@lulumhapa
@lulumhapa 2 ай бұрын
Yaani sana kama hawajielewi
@MR_RAMSATZ
@MR_RAMSATZ 2 ай бұрын
Oya Leo nimewahi kidogo team Khai tujuane kwa comment
@ShakiraIbrahim-e7c
@ShakiraIbrahim-e7c 2 ай бұрын
Anapendeza hafu nimzur kwel yan dah!
@salmaseleman3841
@salmaseleman3841 2 ай бұрын
Tuliopenda msimamo wa mama shida tujuane
@dalilaabdulkarim4458
@dalilaabdulkarim4458 2 ай бұрын
Zuu ndie mke sahihi kwako kai😊
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 2 ай бұрын
Anae mpenda candy ujue nayeye anatabia za candy yaan simpendi Kwa kweli😂😂😂😂😂😂😂😂
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman 2 ай бұрын
❤❤😂😂🎉
@IrenaFrance-zk8sf
@IrenaFrance-zk8sf 2 ай бұрын
Sania sania sania upo vzr ngoja namimi nimuoge zuuu😁😁😁
@FurahishaMtendjwa
@FurahishaMtendjwa 2 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩 siye ndo wakwanza mikono yulu
@Jenniffer-m9k
@Jenniffer-m9k 2 ай бұрын
naomben like jaman 🎉🎉pamoja n kuchelewa
@ashaathman-k4n
@ashaathman-k4n 2 ай бұрын
❤my favourite movie jana nilisubiri sana
@Nailah736
@Nailah736 2 ай бұрын
Wooow 🎉🎉Acha nikae sasa nisikize mafunzo ya leo❤❤
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 ай бұрын
Kwhy mambo yanapoenda vbaya ndo unaenda kuomba samahan
@zanishaikhonge7296
@zanishaikhonge7296 2 ай бұрын
Watu hawalali jaman ❤❤❤❤ kazi nzuri
@momkhan-hc7zh
@momkhan-hc7zh 2 ай бұрын
🤣🤣nampenda kaka ake candy yaan huyu muhun kwel
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n 2 ай бұрын
Mhun hasw
@fammamourchy2164
@fammamourchy2164 2 ай бұрын
Like Leo naziomba mweeeeeh 🎉 Busati TV mko vizuri ❤
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 2 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 2 ай бұрын
Ivi chiko na Dada yako zamu yenu ipo subiri kicha Candy aanze kuwa mwagia uga ndomta jua kua Ndondo siomboga zakulia ugali . Candy! siomvumilivu atakido subira uvuta kheri. Zuu! fulahia penzi lako muke mwenzako yupo kuhanga ikakuomba ladhi kwamzazi wake inashindikana jivunie uwepo wa Kay! Mungu ayibariki Ndoa enu. Sania! Ndoa tamu umea mua kuomba u HOUSE GIRL . Pole sana mpenzi mbashala🎉🎉❤❤
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 2 ай бұрын
Tunawapenda nsana jaman wote ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@FatmaBalahmar
@FatmaBalahmar 2 ай бұрын
Waaaaah Sania umenweza leo Tashaaaaa kula chumaichoooo na ww kai wangojwa harkish ukafurahikie uwep wa mchumbaaa
@DolikasiErisha
@DolikasiErisha 2 ай бұрын
Mmmh mawizooo tunao natunatambanao😅
@HillarySendeu-ht3lj
@HillarySendeu-ht3lj 2 ай бұрын
Jamani naombeni like hta 10 wenzangu mnaoangalia movie yetu pendwa
@MarthaAlly-y7s
@MarthaAlly-y7s 2 ай бұрын
We ndo umeigiza me mnanishangaza badala kuwapa moyo waigizajinata mpewe like mtupishe huko
@HillarySendeu-ht3lj
@HillarySendeu-ht3lj 2 ай бұрын
@@MarthaAlly-y7s wewe makasiriko yanini?
@officialbasheer13_tz
@officialbasheer13_tz 2 ай бұрын
Kuomba like tu kuoga aaahh
@HillarySendeu-ht3lj
@HillarySendeu-ht3lj 2 ай бұрын
@@officialbasheer13_tz😅😅😅
@MarianaMwakatoga
@MarianaMwakatoga 2 ай бұрын
😮cand hajui namna ya kuomba msamaha, mwache mama atoe sumu inayomtesa we nyenyekea hata akikutukana we sema nisamehe😂
@merinazyd0532
@merinazyd0532 2 ай бұрын
Jana sijala 😂😂😂😂Hadi saa saba ila kai amempata zuuu wanawake wote duniani tumuigeni zuuu ❤❤
@fatmahraseid7019
@fatmahraseid7019 2 ай бұрын
Nilitaka nishangae shida huyu huyu amalize salama karogwa au 😂😂😂😂😂😂😂😊
@nadhrakhelef6257
@nadhrakhelef6257 2 ай бұрын
Msamaha ni kitu kidogo ktamka lkn nikikubwa ukifanikiwa
@NuruIbrahim-ue1if
@NuruIbrahim-ue1if 2 ай бұрын
Sijawahu omba laki ata moja ila kama unasema Tasha atakunali ombi la Sania gonga lafiki hapa
@abelymzumbwe
@abelymzumbwe 2 ай бұрын
SEMA mama ake kendi nikama wa moto
@BrendaMogambi
@BrendaMogambi 2 ай бұрын
Walahi akuna mtu amenipendesa kaa Sania ❤❤❤❤
@aishaabeid8106
@aishaabeid8106 2 ай бұрын
Namkubal sana Mr Tasha❤❤
@SalmaAlly-u1r
@SalmaAlly-u1r 2 ай бұрын
Daah watu wanalala KZbin 😂😂😂 jamani
@baiyatwaha8824
@baiyatwaha8824 2 ай бұрын
Tatizo candy uwezi kuvumilia ata dakika kumi usemwe 😂😂 iyo ndio shida yako Kama jina lako
@NeemaNelson-j6j
@NeemaNelson-j6j 2 ай бұрын
Namuona zuu Mrs Kay naipenda hii couple❤
@DariaMichael-xg7pu
@DariaMichael-xg7pu 2 ай бұрын
Nmewahi namimi leooo😊😊
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
Jamani dakika 4 nimekua wa 40😢yani kunawatu hamulalami ikiingiya tu munayo haya twende kazi busati tv hatulali🎉🎉🎉🎉🎉
@MarieOlepa
@MarieOlepa 2 ай бұрын
haaah Sania umeishiwa kwa kweli 😂 hivi inafikia ku hali ya kuomba tasha Uwe house girl wake duuh maisha bwana😢😢
@princeliamblack3895
@princeliamblack3895 2 ай бұрын
AP ch kufany unanpa like n mm nkuptia
@REHEMANCHALIKA
@REHEMANCHALIKA 2 ай бұрын
Yan zuu anamaneno matam from kaka kai to baba
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee 2 ай бұрын
Aiii mbona mnasukuka tu mahali moja
@GhUy-u7s
@GhUy-u7s 2 ай бұрын
Cand canda😂😂😂😂😂jaman utaniuwa we mtoto nawapenda nyote kaz nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@Tikrit66Tik
@Tikrit66Tik 2 ай бұрын
Nilikuwa naosha nyumba naomba like hata mm hapa😅😅😅
@JenniferQueen-n2i
@JenniferQueen-n2i 2 ай бұрын
Namba one today
@IlhamShaban-vq3kx
@IlhamShaban-vq3kx 2 ай бұрын
Candry wewe hahahh jaman 🎉🎉😂
@MurimijuniorIthalie
@MurimijuniorIthalie 2 ай бұрын
Congratulations all bussati tv actors for good working.
@jedenecosta
@jedenecosta 2 ай бұрын
Nimefurahia filamu Hi naitazama naupendo wadati❤❤hongera sana
@WeddyMithika
@WeddyMithika 2 ай бұрын
Tujuane kwa salamu Leo jamani❤
@HusnaAlly-cx5ms
@HusnaAlly-cx5ms 2 ай бұрын
Namaste
@shigangakelvin1
@shigangakelvin1 2 ай бұрын
Nipo Leo mapema kutoka kenya
@RehemeAlfonce
@RehemeAlfonce 2 ай бұрын
Kazi nzuri hongereni kwa burudani na mafunzo mblmbl🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@AsheryGaudence-tx1kc
@AsheryGaudence-tx1kc 2 ай бұрын
Kutoka kongo nakubali sana🎉🎉🎉
@HalimaJafari-yv2th
@HalimaJafari-yv2th 2 ай бұрын
Kunakubadilika kutoka kwenye tabia mbaya kwenda kwenye tabia nzuri ❤napia unaye muona mwema leo kesho akawa muovu vilevile tujifunze katika maishaa
@ShAMIMURASHIDI
@ShAMIMURASHIDI 2 ай бұрын
😂😂😂😂Jmn candy ww too much umeshindikan Dada ang kwa kwely😂😂😂😂😂
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman 2 ай бұрын
Tena sio kdg😂😂😂
@JaneveeThomas
@JaneveeThomas 2 ай бұрын
Leo mapemaaa 😀 kama unaielewa house girl gonga like apa 😊
@HawaBeka-t4c
@HawaBeka-t4c 2 ай бұрын
Hampoi jamani had raha
@nancyg8664
@nancyg8664 2 ай бұрын
😂iyo simu ya dada ake chiko kama remote
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@marymele9714
@marymele9714 2 ай бұрын
😅😅😅😅yeye mwenyewe anakaa kama hiyo sm
@GraceMbulu-rp8ko
@GraceMbulu-rp8ko 2 ай бұрын
Pole sana zatiti kipenzi❤❤
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 2 ай бұрын
Mama uyo shida usimsamehe kabisa anahitaji tu mambo yake yaende sawa uyo hana adabu tu hhhhhh hhhhh nimecheka apo alivo vuwa hizo ganga kweli kendi kiboko hhhhhhh
@GreatestSwordsman
@GreatestSwordsman 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉🎉
@Mr.franckayo
@Mr.franckayo 2 ай бұрын
Watat jaman naombni lik
@WiskdyMugaya
@WiskdyMugaya 2 ай бұрын
Ila kendy ameitendea hak😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 ай бұрын
Dakk chache jaman
@ShAMIMURASHIDI
@ShAMIMURASHIDI 2 ай бұрын
Me nikipat wifi kam Dada ake chiko wallah nambadilisha na fungu LA nyanya chunguu😏
@SarahBitwale-pv8ep
@SarahBitwale-pv8ep 2 ай бұрын
Nitampigia Ngumi mpaka atashangaa
@RehemaKipanga-k4l
@RehemaKipanga-k4l 2 ай бұрын
Candy keshachemka duh huyu jeuri imepitiliza hatobarikiwa ng,o
@mariamfute4645
@mariamfute4645 2 ай бұрын
Tunaokesha ukisubir house girl tujuane❤
@NdiwaIvone-eo9hh
@NdiwaIvone-eo9hh 2 ай бұрын
Tuko hapa
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v 2 ай бұрын
Kila siku huchelewa tu mm team strong 💪 twendeni tukaoshe hamamu 😁😁😁
@williammalwana7406
@williammalwana7406 2 ай бұрын
Najifunza neno msamaha pekee alitosh Bali utiii na unyenyekevu,utulivu na uvumilivu nivitu vyinavyoweza kumshawish mtu akusamehe
@KhadijaMuhsin-w5p
@KhadijaMuhsin-w5p 2 ай бұрын
Watu mbona hawalali jamani 😂😂 nipeni like na mimi basi
@MariahJuliuss
@MariahJuliuss 2 ай бұрын
Ahsantee sana mwendelezo tafazali brother
@Hidaya-os1pg
@Hidaya-os1pg 2 ай бұрын
😂😂😂😂 candy akili zako zikoje 😂 unaombasaha kibabe jaman we kiboko akili zako na jins ulivyo mnafanana du hatar😂
@UmaziMdzomba
@UmaziMdzomba 2 ай бұрын
Congratulations for good work 👏 🙌
@merinazyd0532
@merinazyd0532 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sania 😂😂😂😂😂 anatafuta mbinu 😂😂apate mume 😂😂
@KibibiRajabuu
@KibibiRajabuu 2 ай бұрын
Leo kidg nimewahi pongez kwen wan busat TV bila kusahau kuomba omb like namim😅😅😅
@PriscaMhawila
@PriscaMhawila 2 ай бұрын
kwan like zinàfaida gani 😂
@buru1235
@buru1235 2 ай бұрын
Mama Kitombi candy am proud of you mum don't give up akwende n uko wallai mm namchukia yngu yte 😀 😀😀😀 waah team zuu twende n hii🍷🍷🧇
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 2 ай бұрын
it's candy si mwingne 😂😂😂 hajui kunyenyekea
@RahimaRahima-ig6vm
@RahimaRahima-ig6vm 2 ай бұрын
Wewe 😂😂😂 Leo Cha asubuhi timu zuu and kai😅😅😅🎉🎉
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi 2 ай бұрын
❤❤❤
@Fatumahassan-h5m
@Fatumahassan-h5m 2 ай бұрын
Shida unashida km jina lako 😂😂😂❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🤲🤲 Allah awazidishie kheri inshallah
HOUSE GIRL EP 48 || love story💞💕
24:02
BUSATI TV
Рет қаралды 178 М.
MSAKO | FULL MOVIE |
1:08:44
KIM VEVO
Рет қаралды 194 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 17 МЛН
«Кім тапқыр?» бағдарламасы
00:16
Balapan TV
Рет қаралды 163 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
HOUSE GIRL EP 28 | S3 | Love Story 💕💞
23:05
BUSATI TV
Рет қаралды 68 М.
MY MOTHER EP 01  | Love Story 💞💕
21:05
BUSATI TV
Рет қаралды 106 М.
Achana na Dadangu-Sehemu ya Pili(1080p Official video)
18:08
Director Panka
Рет қаралды 1,5 М.
HOUSE GIRL EP 29 | S3 | Love Story 💕💞
25:55
BUSATI TV
Рет қаралды 26 М.
WRONG HOUSE EP |14|
1:05
Boss Mchawi
Рет қаралды 190 М.
THE FALL OF MY HEART 💔 | Sady Story | Love Story
40:42
DONTA TV
Рет қаралды 623 М.
HOUSE GIRL Ep 16 || S2  || love story  💕
24:39
Tam Tam Tz
Рет қаралды 27 М.
DHULMA FULL MOVIE PART 1 (OFFICIAL H.D)
51:35
Tamthilia za pwani official
Рет қаралды 476 М.
TRUE LOVE FULL MOVIE
1:01:50
hemedy chande TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 17 МЛН