AMINA ALIYETESWA OMAN AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA, AMCHANA VIWEMBE BOSS WAKE, ANYIMWA CHAKULA...

  Рет қаралды 19,085

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

AMINA ALIYETESWA OMAN AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA, AMCHANA VIWEMBE BOSS WAKE, ANYIMWA CHAKULA...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 209
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani pole dada mwenyezi mungu yuko pamoja na wewe nanyie munao mkashifu huyu dada na kumuita malaya nikwamba hayaja wakuta maana hayo anayo yasema yapo mengi subirini yawakute ndugu zeni ndio mutajua ukweli
@zuhurakhasimu969
@zuhurakhasimu969 Жыл бұрын
Pole sana dada yaan Oman usipokuwa mvumilivu hutoboi maisha wapo wenye raha na wengine wanateswa hao wanasema uongo unasema mungu awalani hawajui wengine changomoto tunazopitia kwenye majumba ya kiarabu na kuna wengine wanapenda sana kubadilisha nyumba au kukimbilia embassy kule sahiv hakuna ishu ukienda kule unakaa mapaka unatama kurudi tz maana hata kule watu wa embassy washachoka wadada wanaenda kule mnaludikana kazi hamna hawatafitiii kwa hiyo Oman bila ya uvumilivu hutoboi maisha
@shsjjdjhd9624
@shsjjdjhd9624 Жыл бұрын
Nyie global tv nikiludi inshaallah ntawapa ushuhuda wamafanikio nilopata oman. Alhamdulilah rabbi siwez danganya kusema uongo kana kwamba kuna aliyekamili.wasichana wengi wavivu na nyege ndo zinawaponza kuvumilia awawezi. Watu tuna miaka kibao lkn subra ndo vazi tulovaa hakuna mkamikifu ni Allah tu pekee.maisha ata km unalala kwenye godolo stahamili ndoutafutaj Ukitaka starehe tafuta pesa ukastalehe kwenu.sivizur mkiludi tu mnaanza kutangaza mazaifu yawatu kana kwamba ww mwenye ulikuwa kamili. Muwe na moyo washukurani Allah anawapenda watu wenye kushukuru.mungu awabariki maboss zangu wananivumilia nami nawavumilia coz sote binaadam hatujakamilika.
@Imatheboyclassic-un6ql
@Imatheboyclassic-un6ql Жыл бұрын
Nifanyie mpango mpenzi wangi
@ramamrutu4914
@ramamrutu4914 Жыл бұрын
Hii ni kweli
@shamilahussein5294
@shamilahussein5294 Жыл бұрын
Kwelie kabisa tatizo uvivu na ujeuri ndio unao waponz wadada weng wame sahau kama wànaenda kwa ajili ya nn
@ramamrutu4914
@ramamrutu4914 Жыл бұрын
@@shamilahussein5294 sawa inshallah allah awajalie coz maisha ni kupambana ila pia binadam hatufanani inawezekana wewe unatopitia sio sawa na mwingine atakayopitia
@hadijamms488
@hadijamms488 Жыл бұрын
Muongo huyu bn angalau angesema Saudi Arabia ningemuelewa lkn oman sio kweli mm nimefanya kaz oman miaka 8 tena sehem tofaut sijawahi kupata tofaut tena kila ninapo ondoka wanataka nirudi hawa wengine hawakujia kaz niumalaya
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 Жыл бұрын
Pole yako hujapata bahati mimi mwaka wa4 sahiv sina baya kwawa arabu nawapenda wananipenda
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Subiri iko siku wakianza kukubaka mwaarabu hawezi kumpenda mtu mweusi sema umekuwa mtumwa wao tayari
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 2 ай бұрын
​@@kabwelasutiviraka4765😅😅😅 wewee
@NajimaNichole-oz3zv
@NajimaNichole-oz3zv 4 ай бұрын
Pole dada kwa mkasa mzima 😊alafu mi napenda tu kuchangia kwa wale wanaosema uongo kama hayaja kukuta ww ni bahat yako nzur mshukuru mungu🙏
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Wasichana wa Tz hawajui kuishi na watu,ni wavivu, uhuni, Oman wanapika chakula mpaka wanamwaga sidhani ni kweli yanayosemwa.
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Жыл бұрын
Tunajua bhana na niwachapakazi, mbna tupo tu tunafanya kazi, tuliza hilo komwe lako 😂😂
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Unalaana ww waarabu wanavyofakamia vyakula hivyo kuna kumwaga
@khadijamohamedy4492
@khadijamohamedy4492 Жыл бұрын
Siyo wote hata waoman wapo wabaya na wazur
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
@@shuwehaharuna6309 Usilaani mtu kiurahisi laana ni wewe, mshenzi mkubwa
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
@@jasmineedamu6089 komwe la shafii hilo 😂😂
@righitkileo
@righitkileo 2 ай бұрын
Yaan pamoja na kuna kufa lkn hawa Waarabu hawa sijui kabisa yaan wanqetesa sana watu.lkn mwisho wa siku watakufa tu
@lall2037
@lall2037 3 ай бұрын
Amina anawaambia kweli mimi mwenyewe sikumaliza mkataba na nipo tuu kwa ajenti napelekwa kazi za mwezi au miezi 2,3,4 nikimaliza narudi natafutiwa nyumba nyingine nafanya kazi kwa ajili ya majukumu ya watoto wangu tuu jmn
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 3 ай бұрын
Mimi nashukuru alhamdulillah siisemi oman vibaya Niko miaka mingi huku
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Жыл бұрын
Huyu dada muongo sana daaa oman imetufaidisha sana
@fideamtenga212
@fideamtenga212 4 ай бұрын
Mbwa wewe muongo
@nasmaabou596
@nasmaabou596 2 ай бұрын
Uyo Dada tulikuwa nae kwenye group
@user-kn8mg2su7i
@user-kn8mg2su7i 2 ай бұрын
Kila mtu na bajati yake wewe kuwa muelewa
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 4 ай бұрын
Jamani msiseme muongo warabu wengine ni nyoko kuna wenzetu wanateseka Oman hii
@user-cw4ne1qz4p
@user-cw4ne1qz4p 6 ай бұрын
Warabu mbwaaah km wao hakunaaa.... Jamanii 🙌 😢😢warabu hawajuwi kuishi na mtu kiukweli me nimeaka Oman 2 na nilichokunikuta Allah 🤲 anajuwaa manyanyaso Mbwaa wakubwaaa Oman Wana ubaguzi kwakweli huyu Aminaa Mkweli Jamani huyu anasema ukweli Warabu mbwaaah 😊
@sauda4505
@sauda4505 8 ай бұрын
Anaongea kweli tupu mimi kula wananipakulia ushibe usishibe utajuwa mwenyewe nikiumwa cjawahu kupelekwa hospital na kurudia kaz kila unaposafisha wanasema hujafanya vzri rudia niliteka hivyo nikavumilia mwisho wa cku walinipiga kwa kunichangia mpaka hoi nikakaa cku tatu baadae nikatorokaa oman cna hamu nako😢
@AishaAlesmaaili
@AishaAlesmaaili 3 ай бұрын
Pole dadaangu
@user-li9gc9ft1o
@user-li9gc9ft1o 4 ай бұрын
Nikweli asemayo yalinikuta tureif saudi arabia
@user-wk7qs1so5t
@user-wk7qs1so5t 2 ай бұрын
Nyinyi mlobaatika mushukuru msikashifu tuliopitia wengine hayasimliki sio Kila mtu kino mponza ety umalaya au hana subra nyinyi nyinyi jmn temeni mate chini wallah
@suleimankarati5585
@suleimankarati5585 Жыл бұрын
Jmn ni kweli
@amarrashid7445
@amarrashid7445 Жыл бұрын
Mm mweye nipo omn anayosema uyo dada nikweri ata mm yananikuta
@user-yy7qy7rs2y
@user-yy7qy7rs2y Жыл бұрын
Muongo huyu nimefanya kazi Leo Nina mwaka wa Tano naishi kwa Amani maisha yangu yanaenda
@sauda4505
@sauda4505 8 ай бұрын
Ww kama ulipata nyumba nzuri shukuru usiseme kupitilizaa mi nshapigwa nikanyamganywa cm begi na wakawa wananiwinda misiondoke ila baadae nilipata nafasi ya kutorokaa
@user-mc6um1it1r
@user-mc6um1it1r 6 ай бұрын
Umepata bahati2
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 2 ай бұрын
Kisa cha kupijwa ​@@sauda4505
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 2 ай бұрын
Umuongo tena sana hakuna anay lazwa stoo huku umuongo sana haijalisha waarabu ni wakorofi ila stoo sio kweli
@amarrashid7445
@amarrashid7445 Жыл бұрын
Nikweli
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 Жыл бұрын
Waarabu walio wengi wana rohoni mbaya sana yaani ni washenzi kifupi hawafai
@Mahruqiya
@Mahruqiya Жыл бұрын
Pole kama kweli umepitia hizo changamoto japokuwa mengine tumeyatilia alama ya ??? kama mnanyanyaswa na waarabu kwanini mnaenda katika nchi zao wakati Tz pia kuna kazi. Kila kazi ina changamoto hata maofisini lakini kikubwa ni ustahamilivu na busara na kufuata malengo yaliyokupeleka katika kazi. Haya malalamiko yenu mitandaoni kuhusu waarabu mnawafungia wenye uhitaji riziki ya kupata kazi. Wa Tz wangapi wamepata mafanikio kwa kufanya kazi kwa waarabu. Kuweni makini na mnachosema mitandaoni, mnaacha ushuhuda.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Wewe anachofanya ni kuokoa roho Za watanzania uko sio sehemu ya kwenda hata saudi arabia ndio kifo huko
@user-li9gc9ft1o
@user-li9gc9ft1o 4 ай бұрын
Hayajakukuta baadhi yao wabaya
@KhadijaAli-zd8jq
@KhadijaAli-zd8jq Ай бұрын
Mm na.bonge la story ukweli tupu ww unaesema uwongo hayaja kukutaa turiza kome hilo
@user-xo9we4yx1c
@user-xo9we4yx1c Ай бұрын
Sio ukweli weeerr
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
Eti kichapo hivi we unafikiri oman pakuchezea pumbavu wewe hivi we umpige mwarabu halafu wakuache tu kama hukuishia jela toa uongo hapa
@user-wv4ue5yn8u
@user-wv4ue5yn8u Ай бұрын
Changangamoto zpo Tena nimeumwa nimekatwa mshahara
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 10 күн бұрын
Waongo wahuni hawapati kufanya uhuni wao
@KinanaZagar-pv6qc
@KinanaZagar-pv6qc Ай бұрын
Mmmmm Oman kunabaridi kali mmmmm
@user-io3qu5zs8m
@user-io3qu5zs8m 3 ай бұрын
Hata hapa Tanzania watu wananyanyasika sana mishahara Hana Lakin hamsemi kitu ila Oman ukienda unataka kufanya kazi za ndani na umalaya juu ndio mnashindwa
@monamaskari2175
@monamaskari2175 Жыл бұрын
😢😢😢
@ashurajumaa2478
@ashurajumaa2478 5 ай бұрын
Waah wat wanafik kweli kama mnateswa ni nn hufuata uko c mbaki tz nch ya aman venye mnasema
@user-xo9we4yx1c
@user-xo9we4yx1c Ай бұрын
Yaani nashangaa sn arabuni haipo hivyo
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 2 ай бұрын
Ww mdada sema ukweli tatizo lako husemi ukweli umuongo sana pia inawezekana nyege zilikuzid
@user-wv4ue5yn8u
@user-wv4ue5yn8u Ай бұрын
Mbona Mimi nalala chin sebule. Mgongo unaniuma kigododo chembemba unaumia mpaka bas
@FunnyFinishLine-qg2hj
@FunnyFinishLine-qg2hj 3 ай бұрын
Kweli ayo Mambo ampaka Leo yapo
@user-gp9np3nf2p
@user-gp9np3nf2p 2 ай бұрын
Ila nyii wadada msiseme uwongo openi mungu jamani uzushi sy mzr yy ndio wale mnaodanganyana inje kazi zinalipa unaeda ila msiwazulie wa oman yiyi mna majambu mengi sana tena haswa hawa mnaoeda kujieleza
@user-wv4ue5yn8u
@user-wv4ue5yn8u Ай бұрын
Ria 80
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 2 ай бұрын
Jamani watanzania punguzeni uwongo
@HadijaHalfani-ev2pf
@HadijaHalfani-ev2pf 2 ай бұрын
Oman ni changamoto sana
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 Жыл бұрын
Ndio kupambana dd
@mymuhnabdallahshaban7763
@mymuhnabdallahshaban7763 7 ай бұрын
Muongo hyu dada Kwwnz mwarab ukimpiga bs hutok mzim hta siku moja ten muong sn hyu
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 Жыл бұрын
Unatoa sili ya kambini
@ummohammed8946
@ummohammed8946 2 ай бұрын
Muongo huyo,kama ni kubaya oman ni kitu gani kinachowaleta huku?
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Hata watangazaji wanakuchora tyu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Sy wengine tunatamani kuendelea kukaa sema mda ndo sy rafiki
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Umeonaee
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 yaani acha tuu, ukiangalia bd mipango haijatiki
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 Жыл бұрын
Kbsa❤❤❤❤❤❤
@user-ic8di9mw8u
@user-ic8di9mw8u Жыл бұрын
Mm nikirudi nitakuja grobo TV kusema yaomani uyo muongo asingetoka ndani KWA mwarabu wangemuhuwa
@amidajamada9340
@amidajamada9340 6 ай бұрын
Mambo mm Amida naishi Tanzania waweza niunganisha na mm kaz uko
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 5 ай бұрын
Sasa wakati unaenda unajia wengi TU wslisharudi kama wewe ulipata bahati ni wewe usimuite mtu muongo
@hamedyahya9291
@hamedyahya9291 Жыл бұрын
Malaya tu huyo sio mtu wa kazi bwana wadada wengi wapo wanapiga kazi tu kwanza umejipodoa
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Waislamu nyie ni mashetani huo ushauri wa mavi kunuka kawape wajinga wenzako
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Hivyo vitu viko waarabu ni mbwa mimi kuna Watanzania nawajua na waliteswa na kunyanyaswa Uarabuni
@raghida4560
@raghida4560 2 ай бұрын
Hashuo lako ushawah kuja ata unasem ivo
@kulngeleza6733
@kulngeleza6733 Жыл бұрын
😂😂ww ongea sili zote mm apa na pika mkate wa kiomani na ayo yko ni madogo miaka 6 nioo nimevaa gamba la uvumilivu adi kieleweke
@user-is7ot7bq9x
@user-is7ot7bq9x 8 ай бұрын
😂😂😂
@AishaAlesmaaili
@AishaAlesmaaili 3 ай бұрын
Tuko pamoja may 😂😂
@ruwaylatdaud7757
@ruwaylatdaud7757 Жыл бұрын
Ww dada kwamuonekano wako tu unaongea uongo mm nipo oman mwaka 8 kma hamnaga ya kuongea msiongee uongo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Kuna ushenzi Uarabuni kote utakuwa umezoea kuwa mtumwa na kudhalilishwa ndio maana unasema hivyo
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d Ай бұрын
Samahani hakulazi mishwa mtu yoyote kuja omani nsema msije iyambieni serekali ya kwenu izuwie kuku le teni omani nendeni nchi nyengine kila siku mnaitia omani mdomo vipi nyi nyi maneno yalio sema ni wongo mtu
@user-wv4ue5yn8u
@user-wv4ue5yn8u Ай бұрын
Mimi Niko omani nna mwaka navumilia nimalize hawafanani ma oc
@user-sz9rw2up8q
@user-sz9rw2up8q 3 ай бұрын
Mtu alalamk nchi nyngn ilaa so oman kam unatsk kuna ubaloz
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Aende achane viwembe warabu wa Saudia rebia 😂 aone kama atarudi kukanyaga Tz😅😅
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
😁😁😁 acha awaongopee hao hao
@Nashoora8
@Nashoora8 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
Waswahili kwa fitna na uwongoo hakuna anaewawezaa😂😂😂 ndio maana hawaendelei kubaabazenu
@user-vq6dc4nr5p
@user-vq6dc4nr5p Ай бұрын
Wewe ni mu Israel 😏
@katotokazuri7412
@katotokazuri7412 Жыл бұрын
Na wachukia wadada wahivi mimi jmn uwiii. Mimi narudi mwezi wa 11 naomba niojiwe aisee niwatie moyo wanawake wenzangu wasiwakatishe Tamaa huku Kuna maisha aisee. Mwalabu umkate kiwembe alafu akuache weeh.. Ongeaga machache.
@SalomeNzowa-je7ny
@SalomeNzowa-je7ny 8 ай бұрын
Naomba namba yako jamani
@user-wv4ue5yn8u
@user-wv4ue5yn8u Ай бұрын
Mssikatae
@zayneryassin6054
@zayneryassin6054 Жыл бұрын
Uwongo viwembe😂😂😂
@bas2823
@bas2823 2 ай бұрын
BORA SERIKALI YA OMANI IWAPIGIE MARUFUKU KUJA OMANI KWA KAZI.
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
nyooo unataka kiki
@FunnyFinishLine-qg2hj
@FunnyFinishLine-qg2hj 3 ай бұрын
Kweli anasema yanatukuta
@aysharashid1049
@aysharashid1049 Жыл бұрын
Sahihi maneno yako truer
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859 Жыл бұрын
Dada amins sema ukweli ulitoroka kwa kudanga ulivyo jikuta umechoka kudanga shibe mwana malevya
@raniafahad2918
@raniafahad2918 Жыл бұрын
Tunaambiwa Malaya mbwa alikuwa anajiuza alibaja hotel seeb omana akiwa ofa anaenda jiuza anafilana hatari Melvin mbwa namjuwa mbea mnafki mgombanishi afukuzwa mkataba ulivyo Isha kayazua uku Oman kagombanisha watu ndo chanzo aseme ukweli
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Warabu nikweli hawataki watoto wao wapigwe picha wala kitu chao chochote hawataki mfanya kz apige picha hata kwenye harusi zao
@deborajohn7285
@deborajohn7285 Жыл бұрын
Upo sahihi mwaya ,ila wengine wanabisha wanasema uwongo,ila ukibahatisha boss wako wote wazur usije sema kwamba wafanya kazi wote wa ndani wa oman wanapata maboss wazur ,wewe ukibahatisha mshukuru Allah kunawengine wanateseka sana tu jaman
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
@@deborajohn7285 kweli kabisa wengine wanateseka sana
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Жыл бұрын
Mmmhhhh hiyo ya kumpiga siamini umpige mwarabu saahizi uhemee Tanzania sio kweli wangelikusaka ukafia gerezani hata km wewe mgeni waarabu hawana hizo...
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 Жыл бұрын
Umeona eee..hapo ametupiga nA kitu kizito
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Жыл бұрын
@@lelaiddy6856 yani vile kwa waarabu kuna kamera kila kona hata mda hujifikiria humo chooni sijui km hawajaeka za siri mpaka mabarabarani mnamakamera leo umpiige mwarabu umchane chane na viwembe halafu eti uwe salama weeeeeeee usitudanganye nnamwaka wa nane oman na matukio mengi huyaona na kuyasikia wadanganye wengine ila sio sisi wafanyakazi nguli wa oman. Wanakuuwa na kukutupa bila hata ya kujua mtu utaokotwa kwa zibala huko
@raniafahad2918
@raniafahad2918 Жыл бұрын
Muongo mkubwa maraya namjuwa anajiuza asahivi hakuna biashara akiwa anaenda kwenye mabaa ajiuza anafilana kama anaakili nzuri Melvin mbwa uyo 😂😂😂😂😂 uku madam wake amtaki mkataba umesha ndo kuondoka aseme ukweli mbona anaficha kayazua uku omana 😂😂😂😂
@user-ri6xo3sy2n
@user-ri6xo3sy2n 22 күн бұрын
Mambo tunaweza kuongea pulaivet tafathar
@user-ri6xo3sy2n
@user-ri6xo3sy2n 22 күн бұрын
​mambo naomba namba yako tafadhar mpendwa wangu
@judyngowi391
@judyngowi391 Жыл бұрын
Halafu tumewapa bandari,
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Жыл бұрын
Mnatamaa sana,mtalala hadi Chopin!! Chezea Waarabu wewe🤣😂😅
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 5 ай бұрын
Ni wewe hakuna mtanxania mvivi nyoko wewe na wewe uliyesema utahadithia mafanikio ukipata bahati wewe
@nurumakamba5036
@nurumakamba5036 Жыл бұрын
Muongo muongo muone miwanja ile😂😂😂😊
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
😁😁
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Unaona aibu tumejua kumbe ni watumwa huko wa waarabu na mnabakwa na ushenzi wote wanafanyia na siku hizi sio Siri tena ushenzi wa waarabu unajulikana
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 Жыл бұрын
Alafu ndio wanataka bandari
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni Mbwa sana waarabu wabaguzi wa rangi wakubwa
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Жыл бұрын
Mtalala hadi Chooni 🤣😂
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Kayataka akiwagomea angeludi sikuya pilitu basi mm hapa walitaka milala sebren mbona nomewagomea nikataka nirudikwaajenti mbonawalinipa chumba mpaka sasahivi nipo Allhamdulillah. . Hawaukiwachekeatu wanakufanya vyovyotevile
@azeezaya8510
@azeezaya8510 Жыл бұрын
Yani kwanza wwkwa muonekano tu si mfanyaji wakazi nyie ndoyo mkija huku hamtulii umalaya utawatesa sn nahuku hakuna kuzurura😂 mwehu ww sasa hapo umeenda kueleza mateso yap mbona hapo sijaona hata nyanyaso moja 😅.sisi tunaovumiliya alhamndulilah tumetuliya kweny nyumba moja tunajua tumekuja kutafuta
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Mpumbavu wewe nyie ndio mnabakwa huko ila mnaona aibu kusema , waafrika wote wanasema waarabu ni Mbwa wewe unawatetea na unafikiri kuna Siri siku hizi tunajua vitendo vichafu mnavyofanyiwa huko Uarabuni kazi za kitumwa ni kawaida kufirwa na maboss zenu kushikwa matako au hata watoto wa waajiri wenu
@asholaslimani
@asholaslimani Жыл бұрын
Uongo uo😂😂😅
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
usikute mwizi huy
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 Жыл бұрын
Mnafiki huyo wewe umepigiwa red stamp immigration usirudi tena ndio maana unaizungumzia vibaya kwa hiyo lana Kuwait's waarabu mbwa huwezi kutia binaadamu wenzio mbwa madhali waumbwa na mwenyezi mungu pia asidanganye hiyo channel ukaifurahisha watu na huyo uliomchana viwembe kama kweli wanaweza anaweza kukushtaki hata kama sio urgent wake uwongo huo chakula na nguo hapa asidanganye vimejaa mpaka watu wanamwaga ungenyimwa chalupa siki3 wewe ushalazwa hospital mango Yamaha hata mabarabarani zinawekwa kwa misaada utakufa maskini kwa uwongo na uhuni
@FunnyFinishLine-qg2hj
@FunnyFinishLine-qg2hj 3 ай бұрын
Tembea uyaone kweli kabisa
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 Жыл бұрын
Malaya muongo....
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
anaonekana alikuwa anagawa papa
@salmaalkindi5735
@salmaalkindi5735 Жыл бұрын
Sura yake inamuonyesha muwongo. Kwanza ungefugwa mpaka ungesahauliwa jela. Kumpiga mtu akashonwa juzi 18. Wewe mnafiki sana. Kila anaefanya matatizo akirudi Tanzania wanasema uongo. Wengi wanakuwa wanaiba halafu wanakimbia kwa mabosi wao. Na huku passport yako inachukuliwa . Sasa ukiiba ukitoroka huwezi kusafiri huna passport Huyo muongo sana hawezi kulala bila kupewa chuka wala chakula
@shamilaalhabsi909
@shamilaalhabsi909 Жыл бұрын
Muogo mkubwa huyo inaonesha alipelekwa na mambo mengine mbona chakula kinapikwa mpaka kina mwagwa daima mnatangaza ubaya tuu kitu gani kinawaleta omani kaaeni kwenu mkafanye kazi kwa wahindi
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Acha agenda zako za kishetani kuna watu wanafanya kazi imani na wanaongea Haya mlmi kuna watu wengi nimekutana kwenye mitandao na wengine nawajua na wanaongea mateso yapo mengi ni mnakuwa watumwa wa waarabu
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Жыл бұрын
Kumbe Oman kuna baridi jaman na hamniambii 🙄
@deborajohn7285
@deborajohn7285 Жыл бұрын
Ndio lipo
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Kuna kibidi cha baridi na kipindi joto sasahiv tupo kwenye kipind cha joto
@FunnyFinishLine-qg2hj
@FunnyFinishLine-qg2hj 3 ай бұрын
Kunakipindi cha barid ila joto usisrme
@abdullahabdul9246
@abdullahabdul9246 Жыл бұрын
Muongo huyo mwanamke Kwa tukio hilo aliofanya polisi hawamwachi hata kama Kenda kufanya sehemu nyingine
@raniafahad2918
@raniafahad2918 Жыл бұрын
Kateswa wapi huyu kahaba anajiuza Oman Nani asiyemjuwa anauza hadi matako na wanaume alotembea nao wote nawajuwa Melvin mkubwa chaapombe maraya atembea hadi rafiki wa marehemu mumewe
@user-ct7vm7bq9w
@user-ct7vm7bq9w Жыл бұрын
Muongo serekali ya Oman ipo wapi siungekufa na njaa. Astaghafirullah si kweli kabisa.
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 2 ай бұрын
Umuongo ww mdada
@shamilaalhabsi909
@shamilaalhabsi909 Жыл бұрын
Bro gabi huyo mnafiki mkubwa
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 4 ай бұрын
Muongo huyu
@chikujuma18
@chikujuma18 Жыл бұрын
Watu wengine mkiinda Tanzania msikatishe wenzenu tamaa siyo vizur nina shukuru mm nina miaka mitano sasa na ninaishi vizur wewe dada acha uongo😅😅😅😅
@witnessgatahwa3123
@witnessgatahwa3123 6 ай бұрын
Hello
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Kwauchoyo waarabu wanaongoza daa hatarii bola wakupepesa kuliko chakula
@monamaskari2175
@monamaskari2175 Жыл бұрын
Pole sana ndio walivyo wana loho mbaya sina walabu
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 Жыл бұрын
Nyie mbwa mnaosema uyu dda muongo temeni mate chini iv mnawajua waarabu nyie?au mnaropoka tuh jmn kama ujui kitu bola ukaekimya sio lazima uchangie nikirudi nakuja kutoa yngu ole mbwa wamtu aniambie muongo fala nyie
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Kuhusu kula umedanganya
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
boyo huyo
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
Unajua nini usifikiri unawachafua waoman mnajichafua wenyewe pumbavu zenu. Siku hizi Hakuna anaewataka mkae huko kwenu hatuna shida na nyie. Hauchafui oman. Sie tunaweza kubadilisha wafanyakazi Wengi Sana. We wachafue Hao wenzio wanaotaka Kuja huku Hakuna atakae waleta pumbavu Sana.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Waarabu ni mbwa huyu dada ni mkweli kabisa kuna waaafrika wengi wanateseka nchi za Uarabuni wengine wanarudi maiti na wagonjwa , ingia kwenye mitandao hizo stori ziko nyingi tu mataifa mengine hayaruhusu raia wao kwenda kufanya kazi Uarabuni
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 Жыл бұрын
Umesahau kanisani wa nafanya nini
@Maryam-yt8lw
@Maryam-yt8lw Жыл бұрын
Huyu muongo sana mbona yupo oman huu mwaka as 7 bado tunapambana hatukati kama hakuna manyanyaso Ila Anasema kweli
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni vizuri unaongea ukweli ili yajulikane hao Mbwa waarabu wakenya wako wakweli sana na Waafrika wengine uwa wanaongea wazi ufirauni wa hao mashetani Waarabu !
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Waarabu wachoyo sana atakupa hela ila chakula atakunyima
@sakhiyasleiman8530
@sakhiyasleiman8530 11 ай бұрын
kwa nini mnakwenda
@sakhiyasleiman8530
@sakhiyasleiman8530 11 ай бұрын
kila siku mnataka kwenda
@eunicefalex4403
@eunicefalex4403 6 ай бұрын
Mnafiki mkubwa ww ulikuja kwa Nia ya kudanga dangaji Hilo Malaya kubuhu ulikuwa unajiuza
@hidayangede6015
@hidayangede6015 Жыл бұрын
Huyo ndio mdangaji alidanga kachemsha anakandia waarab kila kazi inachangamoto lkn ww dada nakuona ndio nyie wauza K mxiuuu mpuuzi ww yan muongo mwarabu umchane weeee unarudi jina😂😂😂
@salmaalkindi5735
@salmaalkindi5735 Жыл бұрын
Huyo muongo sana. Wamezoeya kufanya uhuni wakiwa hawapati wanaume au kafanya makosa kafukuzwa ndio ndio wanasema uongo watu wajue kweli.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 43 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН
relaxing walk Mutrah Souq Muscat Oman 01/2024 4K
10:32
Diego Bernabei De Nicola
Рет қаралды 27 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 43 МЛН