Do you want to start second hand clothes business? The second clothes business has lots of challenges. It does not matter whether its second hand clothes for ladies, men, children etc, the challenges are basically similar
Пікірлер: 29
@barakakatani22162 жыл бұрын
Nitawapataje mawakala wakumbwa wenye kunipatia mzigo safi na malidadi
@vicentmsambaa Жыл бұрын
Hazina faida yoyote
@amneshi2 жыл бұрын
Shukran
@AliMwambola2 жыл бұрын
Karibu tena
@christinapaul29572 жыл бұрын
Napenda kuuliza unaweza anzaia na mtaji wa shilling ngapi
@AliMwambola2 жыл бұрын
Unaweza kuanza hata na mtaji wa laki moja. Jambo la muhimu ni kufanya uammuzi wa ukubwa wa biashara ambao unataka kuanzisha. Mambo mengine ya kutafakari ni kama utapanga fremu ya duka, utanunua aina gani ya mitumba, utanunua mitumba kutoka wapi na kadhalika
@christinapaul29572 жыл бұрын
@@AliMwambola asante
@angelmlelwa84362 жыл бұрын
Nawezaje kupata wanao uza nguo kwa mabelo
@MartiniKanuti6 ай бұрын
Boss naonawengi wanauliza kuhusu uptikanaji lakini hawahibiwi kwanini kama hauusiki au hauna ukalibu nao usi seme ili ata mtu mwingine anapo ingia apate jibu asiangaike kuanza kuuliza tena na yeye
@jumachanewstrends68992 жыл бұрын
Kiongoziii Nashukuru kwa Elimu naombaaaa kujuaaa Hawa mawakala nawapatajeeeee ni wazooo hiliii la kuazishaaaa Duka la mtumba nk
Nawapataje mawakara ninataka kuanza biashara ya mitumba
@AliMwambola Жыл бұрын
Tafuta wauzaji wa mitumba kisha waulize mawakala wa mitumba watakufahamisha
@anithaanithamramba22992 жыл бұрын
Mtaji unaanza kwa shingapi
@AliMwambola2 жыл бұрын
Kiasi cha mtaji kinategemea jinsi utakavyo anzisha biashara. Utauza mitumba kutumia duka au tatembeza barabani. Aina gani ya mitumba unataka kuuza. Kiasi gani cha mitumba utakuwa unanunua na kadhalika
@rehemanyakalo49142 жыл бұрын
Wakala wakubwa nawapataje
@AliMwambola2 жыл бұрын
Wasiliana nami kupitia WhatsApp +255 716682439
@annasimon9296 Жыл бұрын
@@AliMwambola naomba namba zako Mh
@anithaanithamramba22992 жыл бұрын
Nina ndoto ya kufanya hiyo biashara, nitawapat wap mawakala
@AliMwambola2 жыл бұрын
Mawakala wanajitangaza kwenye social media, website na platform mbali mbali za computer. Unaweza pia kutumia Google kupata mawakala
@kacherosimba57623 жыл бұрын
Nafuta mtu wakufanya nae biashara hiyo
@AliMwambola3 жыл бұрын
Hakuna mtu ambaye tuna mfahamu hadi sasa. Tukimpata utafahamishwa