HUDUMA ZA 'V.I.P STENDI YA MABASI DODOMA ''MUONEKANO WA NDANI''

  Рет қаралды 10,901

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@Andrewmtitu
@Andrewmtitu 4 жыл бұрын
kila siku ninasoma watu wakisema mimi nimekuwa wa kwanza kukomenti, wanaomba like,,,,,,,,, mbona mm nimekuwa wa kwanza na sijaomba like???????
@Andrewmtitu
@Andrewmtitu 4 жыл бұрын
nimelike mwenyewe kwenye komenti yangu 🤣
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 жыл бұрын
Tungeanza hivi kitambo sasa hivi tungekuwa mbali sana aisee
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
@langwenyacharlie6767
@langwenyacharlie6767 4 жыл бұрын
Kabisa
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 4 жыл бұрын
Tanzania inawezekana basi tulikuwa tunakosa watu sahihi.
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
True
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 4 жыл бұрын
Kabisa kaka
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
Kabisaaaaaaaa
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 4 жыл бұрын
Stand Bora Tanzania ila ya Mbezi ndio itakuwa bora zaidi kuliko
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Amina
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Pia waharakishe kujenga lile daraja la kutoka barabara kuu kuingia stand ndani coz naona hadi saivi bado Sasa sielewi stand itaisha wakati daraja bado, coz licha ya daraja kupitisha mabasi ndani ya mbezi Luis but itakuwa kivutio na litapendezesha Sana stand yetu
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 4 жыл бұрын
@@johnmlay4759 kweli
@yusuphabinala4120
@yusuphabinala4120 4 жыл бұрын
Hyo stand unaweza kuachwa na gari npo Tembo lounge
@MrBeerlahairoi
@MrBeerlahairoi 3 жыл бұрын
Kumbe na wewe mzushi unaunga juhudi..👍🏿
@anahna6788
@anahna6788 4 жыл бұрын
MBONA KUMEGA SANA AISE
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
Hongera millard subscribe milion3 na views bilion 1
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 3 жыл бұрын
Hivi kwenye ukurasa huu kuna wakenya? Waje waone stand hii kwao ndio airport
@anahna6788
@anahna6788 4 жыл бұрын
KUTAMU SANA HUMU NDANI
@reganimachange8982
@reganimachange8982 4 жыл бұрын
Patam htr??
@nevahgibonce5599
@nevahgibonce5599 4 жыл бұрын
Mbn anazungumzia mwez wa 6/7 🤔🤔? Inakuaje kwwan
@puregamers4215
@puregamers4215 4 жыл бұрын
Naomba unitafute 0754794266
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
Hii video ni ilikuwa ya uo mwezi ili shutiwa kwayo humu ndani wame post sasa
@rybotreiz4329
@rybotreiz4329 4 жыл бұрын
☹️Je wewe ni mtanzania? 🧐Je una kiu ya mafanikio? 🤨Je waweza pata muda huru wa kutumia simu au kompyuta yako masaa mawili kwa siku? 😲Basi jiunge na ukurasa wetu wa facebok ujifunze jinsi ya kutengeneza pesa mtandaoni BILA kuwekeza pesa Tembelea Www.facebook.com/successcheat 🤝Usisahau kulike na kufollow ili uwe unapata taarifa ya offer mpya za kutengeneza pesa mtandaoni kwenye muda wako wa ziada. Siku njema😉
MUONEKANO WA NDANI NA NJE STEND KUU YA MABUS DODOMA
6:50
Millard Ayo
Рет қаралды 29 М.
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2,2 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
BMG TV: Mwonekano wa Mji wa Bunda mkoani Mara, Tanzania
2:38
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 4,2 М.
TANGAZO LA UPANGISHAJI STENDI YA MABASI NYAMHONGOLO
1:05
Ilemelamc_
Рет қаралды 17 М.
Ujenzi wa Soko na Stendi ya Kisasa Dodoma  kukamilika Sept 30
12:51
Ofisi ya Rais TAMISEMI
Рет қаралды 25 М.
Dodoma: Ujenzi wa mji mkuu mpya wa Tanzania
9:25
Peter Mwangangi
Рет қаралды 26 М.
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2,2 МЛН