Asante kwa video ila tuwekeeni nyingi sie tulio nje ya nchi tuweze kuona maendeleo ya nchi yetu good job jafo raisi wangu ajae
@janetjackson95865 жыл бұрын
Rudini mje muijenge nchi yenu
@freddymello32275 жыл бұрын
Hongera sana Halmashauri ya jiji la Dodoma. tunaomba msimamie weledi katika utekelezaji wa miradi hii.hasa thamani ya pesa vs ubora wa kazi.
@eddechriss26645 жыл бұрын
Kazi,nzuri pongezi kwa serikali kwa yote mazuri
@amanichanga34485 жыл бұрын
Keep going Tanzania
@sylasoswald3435 жыл бұрын
yaaaa kweli serikali yetu iko juu, sdhan km tunaitaj serikal nyingne zaid ya hii
@saidasimba99795 жыл бұрын
Haha mnaonaje magu akakaa miaka Mia kama china vile
@ibrahkimesu24025 жыл бұрын
Said Asimba tutapiga hatua haraka sana mzee baba, huyu jamaa anawafanya watu hawalali bila kumaliza kazi😇😇
@micamathew64335 жыл бұрын
Hahahahahahahahaaaaaaaaaa
@micamathew64335 жыл бұрын
Iyo mbn ni kama cjaona vile, jmn Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe..goooooooooddddd.
@willygidion62475 жыл бұрын
Mh. Jafo ,wewe ni waziri wa mfano ktk Baraza la mawaziri
@abbashuseinenayatali70425 жыл бұрын
Compuni ya bohora wanafanya Kazi safi sana, mohammedi Builders Oyeee, Rais Magufuli Oyeee. CCM oyee
@ahmedhajji12105 жыл бұрын
asante jafo Mungu akusimamie
@onaelymbatiani35275 жыл бұрын
JPM yupo juu anafanya kwa vitendo.Kweli Dodoma imekua jiji
@hassanmpwepwe38265 жыл бұрын
kazi invur wa eshimiwa jpm hapa kazi 2
@allymapinda88045 жыл бұрын
Kasema hii Tamisemi sio kama ya miaka ya nyuma, kapiga kijembe serekali zilizopita, kikwete na mkapa full uzembe na wizi. hahaha hapa kazi tuuu mpaka kieleweke.
@rasheedabby28714 жыл бұрын
Sept 30 ya Mwaka gan?!
@charlesnguvava84785 жыл бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥💥
@jumadea68995 жыл бұрын
Aiseeee
@stanleymakala31185 жыл бұрын
Dodoma kama ulaya
@hamisimapalala77095 жыл бұрын
Na dar Kama wap
@stanleymakala31185 жыл бұрын
@@hamisimapalala7709 Dar mji mkongwe
@adenihalisi42185 жыл бұрын
Ulaya cha mtoto "ulaya zilipendwa" hatuwezi kufanana na ulaya maana sisi sio wazungu wao wamejenga kwa kuiba vya Afrika sisi tunajenga kwa haki. ulaya ndio mdudu gani? Kama ambavyo siongelei mavi ya chooni kadhalika siwezi kuongelea ulaya kwa lolote! 🇹🇿Tanzania hoye 🇹🇿Rais Magufuli hoyeee! 🇹🇿Waziri Jaffo hoyeeee! 🇹🇿Jiji la Dodoma hoyeee! 🇹🇿Stendi mpya Dodoma hoyeee!
@deusmauka96265 жыл бұрын
JPM kiboko yao, zamani tukikuwa tunaambiwa serikali haina hela, nchi imepigwa sana hii, kila kona ya nchi miladi yoooote inatekelezwa, safi sana Mh. Rais.
@engineerrihebamh47855 жыл бұрын
Nimependa saaana kwa kutumia wakandarasi Wazawa... WA Tz.. Hivyo kukuza makampuni ya Ndani
@patricenyore77725 жыл бұрын
Tarehe 30 imeshapita asee
@MusaNgao5 жыл бұрын
Saafi..!
@mayrfrimi47595 жыл бұрын
Mtakunya mavi, hapa kazi tu, nyie vijana naona kasi ya huyu mzee magu , kwakweli kijasho kitawatoka, damu zenu zinachemka, hakikisheni usiku na mchana kazi inapigwa mkabidhi ufunguo kwa wakati.
@gregorychogelo20135 жыл бұрын
Hapa Kazi Tu!!
@savian10725 жыл бұрын
Hii ndo awamu ya 5 thanx 👏 JPM na kamati nzima ya uongozi
@Jakaugagi5 жыл бұрын
Awamu ya tano
@saitotisaitoti67345 жыл бұрын
Mheshimiwa na barabara ya mbande,kongwa Mpwapwa vipi? Mwaka wa tatu sasa
@peterkailembo41015 жыл бұрын
Katika vichwa vya JPM huyu waziri hakosi
@saitotisaitoti67345 жыл бұрын
Mbona wengine hawajavaa kofia?
@pendohumphrey75885 жыл бұрын
Ipo maeneo gan hiyo stendi
@saimonmanyerezi71695 жыл бұрын
Dodoma bararbara ya kuelekea Dar.
@tausially68665 жыл бұрын
Rc Mwanri angefny ucmamiz.....kingenuka tyuu!
@maulidmnukwa31715 жыл бұрын
Hahahahahha...... Umetisha mwanangu.
@dennismawolle59095 жыл бұрын
Tatizo ni kwamba miradi mikubwa karibia yote dodoma inafanyka ihumwa, hilo swala litapelekea msongamano mkubwa miaka ijayo, miradi mingine ingejengwa maeneo mengine dom bado kuna maeneo mengi tu..
@salumua.mfaume18285 жыл бұрын
dennis mawolle aisee kama ulikua katika mawazo yangu.. sioni sababu ya kuweka uwanja,soko,stand sehem moja vitasababisha jam baadae .. pia wangeweka sehem tofauti ingesaidia kupanua mji zaidi
@emmanuelmwaisumo91155 жыл бұрын
Kweli
@saimonmanyerezi71695 жыл бұрын
Kwa Dodoma kutengeneza jam sio rahisi.hii miradi ina barabara za kutokea nne.Hivyo jam ni ngumu
@radhiambwana87874 жыл бұрын
dennis mawolle huu upo nzuguni mwanzo kabsa sio ihumwa.