HUKUMU: KIJANA ALIYEMUUA MAMA YAKE na KUMTUPA KWENYE SHIMO la CHOO ARUSHA AKUTWA na HATIA AHUKUMIWA

  Рет қаралды 68,958

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 415
@globaltv_online
@globaltv_online 10 ай бұрын
Global TV Online ​ JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@hasankasam5576
@hasankasam5576 10 ай бұрын
Ya allah tunusuru sisi na wazazi wetu pamoja na vizazi vyetu inshallah..
@sein.208
@sein.208 10 ай бұрын
Allahumma Amiyn 🤲
@FatumaMuya
@FatumaMuya 10 ай бұрын
Amiin
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 10 ай бұрын
Amaon yarab
@alhabsi6430
@alhabsi6430 10 ай бұрын
Amiin
@rehemakitonge3833
@rehemakitonge3833 10 ай бұрын
Amin Yarrab
@Israeleliah
@Israeleliah 10 ай бұрын
Yaan mawakili mtakua na kazi ngumu sana mbele za mungu
@kingmpeto4510
@kingmpeto4510 10 ай бұрын
Sana tu
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo 10 ай бұрын
Inshaallah na yeye atauliwa na mwanawe kwa bahati mbaya tu
@hasankasam5576
@hasankasam5576 10 ай бұрын
Kama tadinu tudaan..
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 10 ай бұрын
​@@hasankasam5576naam 😢
@benjaminimndeme
@benjaminimndeme 10 ай бұрын
Huyu kijana ni kichaa yani aue kweli mama yake kweli????????? Mama????? Eee Mungu tuongoze Vijana
@annamnanka-qk1bx
@annamnanka-qk1bx 9 ай бұрын
Hata akiachiwa mungu atamlipia mama ni ndiye kila kitu malipo ni hapa hapa duniani mungu atakushungulikia kweli unaamua kumuua mama mzazi kisa mali za dunia
@paulinapius3184
@paulinapius3184 10 ай бұрын
Halafu linacheka kama fala
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
Hili jitu nikuma katika mazuma wote dunian
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 10 ай бұрын
Mh handsome ambaye humdhanii kabisa jaman....enyi wenye watot msiwacheke wasio na watot ni kumuomba Mungu tu
@IbrahimShan-qu3um
@IbrahimShan-qu3um 10 ай бұрын
Nashindwa niongee nn nsije nka2kana mungu niepushe .... inarillah 🙏
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 10 ай бұрын
Huyo ana laan tiari damu ya mamake itamlilia daima wala asifurahi kuja uraiani maan dunia itamwadhibu
@hadijauledi6995
@hadijauledi6995 10 ай бұрын
Jamani hili litoto linalaana kubwa hii miaka kumi alofungwa ni midogo sana lingenyongwa kabisa huyu akimaliza kifungo anaeenda kumuuwa na dadaake ili apate mali huyu hafaii kwenye jamii unamuuwa mama yako kweli aliye kuzaa ukaijuwa dunia daaah huzuni sana mwenyezi mungu akulaani maisha yako yote shetani mkubwa😭😭😭😭
@jozamsolomon4002
@jozamsolomon4002 10 ай бұрын
Damu ya mama yake na iwe juu yake, alaaniwe na wote walioshiriki kumtafutia wakili.
@ramadhaniayubu6103
@ramadhaniayubu6103 10 ай бұрын
Kabisa walaniwe wote
@sigorijoseph4977
@sigorijoseph4977 10 ай бұрын
Kwa kweli hata wakili alaaniwe Kwa utetezi wa kinafiki
@OfficialA83640
@OfficialA83640 10 ай бұрын
Tutamkuta nje baada ya mwaka mmoja km yule mdada aliua mama yake akishirikiana na bwana ake na mganga wa kienyeji kaachiwa basi na huyu ataachiwa tu
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 10 ай бұрын
Haa kumbe huyo dd aliachiwa huru 😮lakini hata wakimwachia maisha gani ataishi kuuwa mzazi damu ya mama ake itamuadhibu maisha yake yote
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 10 ай бұрын
Yan umenishangaza kumbe yule dada kaachiwa basi damu ya mama yake itamlilia tuu
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 10 ай бұрын
Wanasheria acheni kutetea uovu na ndoo maana mauaji yanazidi Tanzania. Myu akua mama yake halafu mnamwahia. Sasa atarnda ua mdogo wake wakigombania mali. Naana ilionekana yule mama alikuwa mpambanaji. Na huyu kijana alikuwa anakaa kwenye nyumba ambayo mama yeke amejenga. Sukuma ndani muuwaji ni muuwaji tu
@OfficialA83640
@OfficialA83640 10 ай бұрын
@@user-up9hk6go1f Kitambo mbona yupo nje
@nigamo9645
@nigamo9645 10 ай бұрын
​@@user-up9hk6go1fndio kaachiwa huru
@ZainabjumaNyika
@ZainabjumaNyika Ай бұрын
Kulumba namba namba zako
@damiankilyenyi5367
@damiankilyenyi5367 10 ай бұрын
Hapo mm ndiyo huwa nachoka na mambo ya sheria, yaani kila kitu kipo wazi halafu kuna mwanasheria anamtetea kwamba hakukiri kumua mama yake, 1. Yeye ndiye aliyeonyesha na mwili ukiwa kwenye shimo, simu na hivyo vifaa. 2. Yeye alikuwa anaishi na mama yake na hapo mama akauawa na alipoulizwa alisema amesafiri. Ni wazi kwamba hao wanasheria wanaomtetea wanemfundisha hayo yote. Hakimu wa kweli ni Mungu, maana yeye atahukumu siri za wanadamu ambazo hata dunia na watu hawakuweza kuona.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 10 ай бұрын
Mtu anadirik kusema hawajaridhika na hukumu je angeuwawa mama yako na huyo mtu ungesema hivi? Iwe alikufa kwa kupigwa au kwa kukosa hewa ila sababu ya kifo ni huyo jamaa hivyo atumikie kifungo tu. Ndio maana warabu wanawauwa tu watu wa aina hii hili kupunguza wauwaji hawanaga bahati mbaya.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 10 ай бұрын
Yaani lim2 linatetea liuwaji,baadae hiyo laana itayarudia kwa family xao,
@janerosempeta5662
@janerosempeta5662 10 ай бұрын
Ndo maana Mimi hata mwanangu akisema anataka kuyenda school ya kuwa mwanasheria sitaki kwani kuangalua huyu MTU kafanya Hilo kosa watamsimamia
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 10 ай бұрын
Hana laaana mbaya Kama ya mama
@sharifasharif3978
@sharifasharif3978 10 ай бұрын
Ndio maana mm watt wangu huwa nawakataza kabisaa kusomea sheria sababu ya huu upuuz na tamaa zao za kuuliza watu kutetea mtu mwenye makosa tena hata Allah anakemea na hukumu zake katoa tena nzito lkn mtu ana mtetea mtu ambaye hata MUNGU anachukizwa na uuwaji tena basi mama yako khaaaa🙄🤔kosa lake kukuzaa ama
@RahmaMtua
@RahmaMtua 10 ай бұрын
Hata kama haki imepindishwa na wanadamu mungu atamuadhibu hapahapa duniani
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 10 ай бұрын
Sasa hajakusudiya na yeyeye ndo along.buruta kuitiya shimoni 😢jamani mtihani duniya hii unateteya uovu sababu hela wallah kweli mungu ndiye hakim wa haki
@arafapilingu
@arafapilingu 10 ай бұрын
Yaan anatabasamu dunia hii kuuwa mama😢😢😢😢
@JulianaJackson-lz6vq
@JulianaJackson-lz6vq 10 ай бұрын
Amewakana had ndugu wa mama ake et awajui. Na hapo utakuta ndg wa baba ndio wamemtafutia wakili.hizi familia zetu Mungu atusaidie.
@frankmollel8510
@frankmollel8510 10 ай бұрын
Ww wakili natumai unaona watoto ata kwako yatakufika ndio tuone iyo Sheria unayoizungumzia ww
@winfridahubert4072
@winfridahubert4072 10 ай бұрын
Anaonekana anamadharau na hatokua na raha maisha yake yote unamuua mama ako ???? Dunia imeisha
@Edithaamosi-md6or
@Edithaamosi-md6or 10 ай бұрын
Asante
@AllyOmarHamad
@AllyOmarHamad 10 ай бұрын
Hukohuko jela mungu atamuhukumu.
@abibumussa8808
@abibumussa8808 10 ай бұрын
Jaman Kilimanjaro mnann?
@skjjsj1889
@skjjsj1889 10 ай бұрын
Mungu ndiye hakimu wa ma hakimu Aliyeua naye auawe
@Jameskakola
@Jameskakola 2 ай бұрын
Kulumba nipe namba zako kuna ishu tuijenge kaka
@fatumaabasi777
@fatumaabasi777 10 ай бұрын
Ndo mana Allah kashasema, hakimu, askary wa aina yeyote ni motoni, coz wanaenda kinyume na sharia zake, na kubadiili ukwel kua uongo, na uongo kua ukweli da Allah tunusuru.
@rayanrashfayaa244
@rayanrashfayaa244 10 ай бұрын
Mbona uku kwetu Zanzibar ukiua kwa kukusudia unanyongwa, ? Mmh
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 10 ай бұрын
Hakuna kitu kinanikera kuckia anasema MTEJA wetu pumbavu kbs mama mamaaa aaaaah hapana 😢😢😢
@AishaSalaga-rv7sb
@AishaSalaga-rv7sb 10 ай бұрын
Tamaa mbele
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 10 ай бұрын
Nafikilia uchungu unavyouma jmn 😢halafu mtoto aje kukuuwa jmn khaa 😭😭😭😭imeniuma sanaaaa kijana unalaana kubwa na huwez kuifuta milele😭😭😭😭😭😭😭😭
@paulmushi2428
@paulmushi2428 10 ай бұрын
Mungu ndiyo mwenye kusamehe Kila aina ya kosa kama ukiomba msamaha Kwake!! Ila kibinadamu ndiyo ngumu kusamehe
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 10 ай бұрын
@@paulmushi2428 kweli kbs sijahukumu ila nimeumia Sanaa mm Sina mama mwaka wa 20 nataman angekuwepo Ila ndio mipango ya mungu
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
Kwel kabisaaa
@mbuerecarlos1396
@mbuerecarlos1396 10 ай бұрын
Huyu kijana anyongwe Tanzania mkimtoa hivi hivi wazazi watauliwa sana mnafanya System za Amerika kuuwa mtu sikitu.Ogopa Mungu Mama ni Mama .Wazazi Andamana watoto watawaua na wasichukuliwe na hatia. Huyu mtoto anyongwee. Akitoka atajidai sana kuwa ni bingwa. Asila ya Mungu Iwake juu yakee.Maisha yake yawe mabaya sana.
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 21 күн бұрын
Mie mwenyewe natafuta mama natamani hata afufuke harafu wewe unampoteza mamayangu hivi hizo mali umeona ndo zitakusaidia umeraaniwa kabisa hatakama utaenda nchi nyingine laana Bado Inakuandama katika maisha yako
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 10 ай бұрын
Tunazaa wauwaji Allah akuadhibu hapa hapa dunian lione sura lake
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 10 ай бұрын
Kijana mzuri sura,roho ya mauaji 😢 1)amepigiwa sim akasema mama amesafiri 2)alie onesha mwili ulipo ni yeye 3)vifaa vyote alivyotekeleza mauaji alie onesha ni yeye Na bado muuaji ajulikani😮 Huyo mama inaonesha amekufa kifo cha taabu sana
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 10 ай бұрын
Wanasheria muogopeni mungu ipo siku ntakufa na ivyo vipesa vyenu mlivyo vipata kwa kusema uwongo mtajuta
@rehemajongo7906
@rehemajongo7906 10 ай бұрын
Kwakweli wanasheria kuweni na hofu ya Mungu, maana hakuna atakaeishi mile, muuwaji ni muuwaji, kesho atakuuwa wewe baada ya kumdai mabaki ya kazi uloifanya, kutetea muuaj
@MowanaMohammed
@MowanaMohammed 10 ай бұрын
@@suleimansultan3333hii kaz ya uwanasheria ni khatar sana mbele ya mungu
@najmamgallah8154
@najmamgallah8154 9 ай бұрын
N sawa, atatok Hy kijan , lkn mjuw ataish kw shida sanaaa n atateseka sanaaa, wt hawaoni ila mungu anaonaaa, walah damu y Mt n nzito, tenaa mamaaa kijan utateseka aanaa
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 10 ай бұрын
Laanahtullah hao walotoa hukumu miaka 10 utadhani kaua mbwa, huyo akitoka ataua Mschana alobaki uwiii mungu saidia Mschana,
@olivernyange2349
@olivernyange2349 10 ай бұрын
Mungu ndiye ajuaye ukweli wote.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 10 ай бұрын
Sema Wewe Hakika Yan uyu kijana Kama kafanya ichokitu lazima Tyuu Awe ukecakili
@happymvula
@happymvula 9 ай бұрын
Kwani huoni ashaanza kuweuka? Anaraha kabisa, tabasamu juu. Kwa tukio alolifanya hakutakiwa kuwa normal hivo
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 10 ай бұрын
Huyo alikua afungwe maisha hiyo miaka michache sana jamani inatakiwa anapotoka awe mzee asienderee kuua
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 10 ай бұрын
Kwaniii kwanini mimi nimezaliwa Tanzania jamanii
@rehemajongo7906
@rehemajongo7906 10 ай бұрын
Alaaniwe duniani had Ahela, walomtafutia WAKILI na WAKILI wote walaaniwe, maana wanaendekeza Tama ya rushwa, Mungu awalaani
@carolyneerick8372
@carolyneerick8372 10 ай бұрын
Duuhh!! Huyo kijana kumbe alimuuwa mama akee??? Na alaaniwe
@masoudsalum
@masoudsalum 10 ай бұрын
Alijuaje mwili upo wapi Alijuaje sim na vifaa vyengine vipo wapi
@oneclick2023
@oneclick2023 10 ай бұрын
Kuna watu tu natamani, hata sekunde moja mama afufuke.. Wewe unamuua mama. Seriously??? 😢. Bad man.. Dunia hii ipo ukingoni.. NANI KAMA MAMA. 🙌.
@dennisnjau2427
@dennisnjau2427 10 ай бұрын
DAAH SHERIA NI MCHEZO MCHAFU SANA😂
@irhamseif
@irhamseif 10 ай бұрын
Na ndio maana kunasanamu mahakamani limefungwa kitambaa cheusi ikimaanisha sheria haioni.ndio maana hata huyu wameshindwa kuuona ukweli na kumpa adhabu ndogo hv dah yule mama alokutwa na vipande vya nyama alilimwa miaka pesa nikitu kingine .
@dennisnjau2427
@dennisnjau2427 10 ай бұрын
NDIO Maana Jamaa Anatabasamu tu..Kesi Inapelekwa Mahakama Ya Rufani..Mtuhumiwa anapata Rufaa Na Kwa Mapungufu Yaliyopo Kwenye Hukumu Ya Kwanza..Naamini Huyo Mtuhumiwa Anaachiwa Huru ..Tena Hata Hyo MIAKA 5 Gerezani Hakai 💪🙏
@saidihysn2212
@saidihysn2212 10 ай бұрын
Awo washaadiwa ela kama akiwa nje ndio mana wanafosi kutetea lakn mungu ni mmoja na ndie ajuae yote so ipo cku itamkuta ata yeye kwa uwezo wa mungu hao wanasheria ni mashetani tu
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 10 ай бұрын
Madereka madereka najua uko kazini lakini huyo kijana sio wakumsaidia jamani aliua huyo naomba wakikata lufaa hukumu itoke ya kifungo cha maisha au miaka therasini huyo alitamani mali za mama yake
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 9 ай бұрын
Yaani ameuwa mzazi wake na akatoa ushahidi wote alafu anahukumiwa miaka 10 tu.subhana llah.alla atakulipa kwa wanao watakuuwa kama ulivyo uwa mzazi wako. Kama tudin tudan.malipo ni hapahapa duniani.
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 10 ай бұрын
Mungu atusaidie
@susanmshindo7593
@susanmshindo7593 10 ай бұрын
Mmm jamani haijakaa poa hiyo mamako umwue kisha umtupe ktk maji taka kisha ukane hukukusudia c kweli hizi sheria ziangaliwe upya jamani na busara na thamani iangaliwe ya mzazi kambeba miezi tisa tumboni tabu zote za kumzaa na kumlea ndo malipo haya eeh Mwenyezi Mungu ingilia kati nae angenyongwa tu atamaliza wenzie ktk family hafai kabisa damu ya mama ake na imlilie kila dkk huyu
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 10 ай бұрын
Mmm😂😂 aachiwe huru kwakumuua Mamaake?? Mawakili mnajalihela tuu.mtauona moto.
@MeshackMadeha
@MeshackMadeha 8 ай бұрын
Yan mama ako unamuua kweli dah very sad😢😢
@christaoman8890
@christaoman8890 10 ай бұрын
Huyo ni muuwaji tu na damu ya mauwaji itamzunguka daima na pia akitoka bado ataendeleza kuuwa tena ila amelaaniwa kabisa
@beatricemollel8720
@beatricemollel8720 10 ай бұрын
Hiyo adhabu ni ndog angefungwa maisha
@roselynsesoa2477
@roselynsesoa2477 10 ай бұрын
Amepata adhabu ndogo sana,wengine watafanyahivyo wakiona si adhabu ya kutisha,angefungwa maisha huyo apotee,akitoka hatatakwa na ndugu Wala yule dadake....
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 10 ай бұрын
Hizi Sheria shida sana
@raheebraheeb-vd7qv
@raheebraheeb-vd7qv 10 ай бұрын
Anatetewa nnn??
@priscasway3492
@priscasway3492 10 ай бұрын
Vijana wa sasa wanatamaa sana afungwe tu iwe fundisho hata kwa wengine
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 10 ай бұрын
Uyu ata siwakufungwa miaka 10 kidgo sana Bora achille huru gereza la Allah lamtosha 😢😢Allah atuepushie shetani wamauwaji pammoja na kizazi chetu in shaa Allah mitihani kweli 😢😢
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji Ай бұрын
Amin
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 10 ай бұрын
Nguvu ya pesa juu ya sheria hununua haki ya mwenye haki. Think big
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 10 ай бұрын
Jamani mbona kaka mzuri tu kanzaje kufanya ivo😮
@EdithaKabaize
@EdithaKabaize 10 ай бұрын
Mahakama itende haki huyu kijana bado taifa linamuhitaji vijana wanahitaji sana kumjua Mungu
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 10 ай бұрын
Noma
@hassanndauka9685
@hassanndauka9685 10 ай бұрын
Kwani uyo mteja wko anasemaje kaua au ajaua?
@saidkilima6485
@saidkilima6485 10 ай бұрын
Hana hofu kabisa sijui nini anakitegemea kweli mama zetu mungu awalinde sana hana hata huruma linacheka tu
@kevindesigner6795
@kevindesigner6795 10 ай бұрын
Mimi naona uyojaaa nayeye wakamtumbukize choooni
@leokamil6284
@leokamil6284 10 ай бұрын
Kwa nini Kijana uliamua kuchukua hatua hiyo kama ni kweli?Mama yako mzazi Mungu tusamehe sana
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 10 ай бұрын
Huyu kijana ni shetani kupitiliza mungu kamuonyesha mapema mana asingefanya hivyo angekuja kuowa na kumuwa mkewake , ni mnyama mno ila hatofanikiwa mpaka kufa na sijui km atakuja kuowa mana hakuna familia itakayo mpokea huyo, damu ya mama yake itamtaguta milele, ha! 😭😭
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 10 ай бұрын
Analia Nini mbwa huyo mjinga sn wangemhukumu kunyonga kaka hiyo ha!mungu wangu
@attunelson8828
@attunelson8828 10 ай бұрын
Tena alikua anataka Mali kutoka kwa mama na akamuua na uufucha mwili mpaka ndugu yake alipokua anamtafuta.Adhabu ni ndogo sana
@sofi_1940
@sofi_1940 9 ай бұрын
Mmmmh,,, uyo muuaji,,
@riklzibosi8268
@riklzibosi8268 9 ай бұрын
Dah
@AholeLifilima
@AholeLifilima 10 ай бұрын
Naogopa jamani mungu ukoa vizazi vyetu anacheka kabisa jamani
@madamehatibu9324
@madamehatibu9324 6 ай бұрын
Huyu mtoto hawezi kuwa na amani mi ningemwachia aende zake afurahie maisha maana uzuri siku za mwanadamu ni chache
@angelsalome2207
@angelsalome2207 10 ай бұрын
Ni handsome aki si wa mwachilie aniowe mm hizo laana zingine tutaenda kwa maombi
@happinessmadadi1884
@happinessmadadi1884 10 ай бұрын
Duu mpaka anaenda kumtupa choon kwel bado siyo kukusudiwa, mmmh jaman
@matolasalumu2625
@matolasalumu2625 10 ай бұрын
Apo mtafosi mtamtowa Ili tu mpate pesa ira mahakama ya mungu kazi anayo yatamkuta apa apa duniani shubamiiiti
@rachelndaki5642
@rachelndaki5642 Ай бұрын
Huyo ni mama mtu baki je mh we mkaka hata hufananii😭😭
@AbdulMaway-y3t
@AbdulMaway-y3t Ай бұрын
Polesana.rufaa.itakutoa
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 10 ай бұрын
Linyongwe hilo mbona linacheka jmn😳😳😳😳😳ataenda kummalizia na mdg wake hyo jmn ili abaki yeye😢😢😢😢
@GtrudaUtenga-es4pq
@GtrudaUtenga-es4pq 10 ай бұрын
Mungu ndie atamhukumu hata kama anamawakili
@praisesteven7774
@praisesteven7774 10 ай бұрын
yaan leo ndio nakumbkaaaaa uyu kijanaaaa jmn
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 10 ай бұрын
Ukiweza kazi ya uwakili unaweza kuwa mchawi wakati wowote ndio hivi unamtetea mtu tena amemuuwa mama yake mzazi
@felistaseleki720
@felistaseleki720 10 ай бұрын
Dash we kijana kyna watu wana tafuta mama we unaua😢😢😢😢😢
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 10 ай бұрын
Hii nchi jmn,,,,me hta kuendelea kusikiliza hya maelezo nasikia kutapika😢😢😢😢😢😢jmn vielelezo vyote hyu filauni kaua halafu et hakuua kwa makusud
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 10 ай бұрын
Kijana anaroho mbaya kumuua mamayako
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 10 ай бұрын
Kijana wa hovyo sana wallah mungu tujalie vizazi vyema
@IssaMatandi
@IssaMatandi 10 ай бұрын
Hiyo ni miaka kidogo sana
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 10 ай бұрын
Uyu kijana amelaaniwa duniani mpaka kwa Mungu.Serikali iwe inawafunga maisha wale wanaoua sio kuwaonea uluma hii kesi ipo wazi kbs km ameua mamaake na kumtupa kwenye shimo 🙌🏼😭😭😭😭😭afai kuishi na jamii AFUNGWE MAISHA ALICHOKIPANDA NDICHO AKIVUNE
@hamynas
@hamynas 10 ай бұрын
mahakama za tanzania zimechoka saana..utakuta kesi serious mtuhumiwa anapewa kahukumu kadoogo na utakuta kesi haina kichwa wala miguu linatoka lihukumu la maisha au kifo..kitu cha ajabu saana
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 10 ай бұрын
Marehemu hana haki kabisaaaa!huyu mshenzi ni tamaa ya mali tu alikuwa nayo.ningekuwa dada yake ningeuza kila kitu nihame nchi akitoka huko mahakamani akute deshi.
@Kidotii
@Kidotii 10 ай бұрын
Yaani huyu aliebaki asichelewe auze asepe
@mendradajoseph
@mendradajoseph 10 ай бұрын
Miaka10 mbona kidogo
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 10 ай бұрын
Eti aliua bila kukusudia!!!!???, hadi afikie hatua ya kumzamisha kwenye shimo la majitaka hajakusudia??. Mwenyezi mungu rudi tu uhukumu hii dunia😭😭😭.
@FaridaOngala
@FaridaOngala 9 ай бұрын
Ww kaka damu ya mama ako itakusumbua sana mvulana mzuri ila una tabia mbaya ww kaka
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv 9 ай бұрын
Mtihani jamani unamuuwa mama yako kweli jamani
@EboMagai
@EboMagai 10 ай бұрын
Miaka kumi midogo 15:07
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 9 ай бұрын
Hawa wanasheria njaa kama hawa hawafai Tz tutauliwa sana na kuonewa kisha mhalifu anaendelea kusavaivu swali langu kwa mwanasheria huyo kipimo kipi kinapima akiri ya muuaji au jangili wa binadam wengine hajakusudia kuua ikiwa ushahid upo? Tuache kupindisha hak kutumia myanya za kisheria Tujikite kutengeneza Tanzania yakueshim uwepo wa kiumbe mwenzio nk
@MwajumaMboa-cu9dx
@MwajumaMboa-cu9dx 10 ай бұрын
Kifo chake kitakuwa cha historia na pachelewe lakini atakufa kifo kibaya sana
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 10 ай бұрын
Ivi kwanini Mungu ana samehe lakini mahakama haisamehe? Huyo kijana asamehewe.,.achapwe fimbo 12 then asamehewe
@MaryChao-ob9zl
@MaryChao-ob9zl 10 ай бұрын
Mungu at usaidie viazi vyetu😢😢
@ZenahAlex
@ZenahAlex 6 ай бұрын
Jamani tuzidi kumuombea kwakwer jamani
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 10 ай бұрын
Aya maisha aya huu ulimwenguni unatudanganya sana ukiona mambo yanachelewa tambua kuna we miso misondo umepigaje hapo
@StevenLyimo-u4y
@StevenLyimo-u4y 7 ай бұрын
Hao ni wachaga mjifunze makabila wengine wachaga wana roho ngumu sana kwenye kitu kinachoitwa mali
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
KIJANA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU AKIAMUA UGOMVI WA WATU WENGINE
10:01
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН