BABA AMUUA MTOTO WAKE WA KIKE KISA MCHICHA,VURUGU ZATOKEA WAKIMTAKA MAMA WA KAMBO

  Рет қаралды 118,321

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 286
@suzanjoseph3683
@suzanjoseph3683 Жыл бұрын
Ee Mungu tujalie maisha marefu wamama tuwalee watoto wetu,pumzika kwa amani binti yangu 😭😭
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏😭😭😭
@ommythetruth5449
@ommythetruth5449 Жыл бұрын
Majirani ni wanafiki Sana Yaani mtu keshafariki ndo wanaonyesha kwamba wameguswa na kuumizaa Sana na kifo Cha mtoto ,wakati Tukio linatokea walisikia na hawakuchukua hatua zozote zile zaidi ya kujifungia ndani Tu 😩😩🥺
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 Жыл бұрын
Wamama mkikimbia ndoa msiache watoto. Mama wa kambo sio. Wengine ni majini. Hana uchungu na mwanao. Ona sasa! Bora ukale nae matembele na dagaa mbele kwa mbele. Mungu yupo atakua.
@halimasawa611
@halimasawa611 Жыл бұрын
Sio wote mama wa kambo wenye roho mbya ....me na ndugu zngu wote tumelewa n mma wa kambo
@lucygodfrey4871
@lucygodfrey4871 Жыл бұрын
Dah ni kwel jmn
@jenipharmvella5168
@jenipharmvella5168 Жыл бұрын
Sio wote ndugu
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Mjirani mmeniudhi sana hii ni dunia tu leo kwa mwenzako kesho kwako nyinyi piya mmechangia mtoto kuuwawa cmngemuikoa tu dah! 😭😭😭😭
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Yaani niliona Hawa majirani wanaotoa ushahidi mwili una nicheza Nina hasira sana na mamuzi ya hapo Kwa hapo ,Hawa pia wamechangia kifo Cha mtoto, kama yule baba anayetoa ushadi alingia ndani kamkuta baba yake ndio ana mnyonga harafu yeye anatoka nje kisa kakosa ushilikiano wa majirani akamuwa kuondoka ! Ha! Kwanza ningekuwepo kwenye hayo mahojiano huyo mzee angestukia nimesha mjeruhi mbele ya wandishi Sasa uwanaume wake uko wapi? Ha!Mimi tu peke yangu ningeingia humo ndani asikari wangekuwa maiti tatu humo yaani ningevarangana naye japo ni mwanaume
@nawechi4818
@nawechi4818 Жыл бұрын
Point nzuri sanaaa
@davidcurtis175
@davidcurtis175 Жыл бұрын
Ninachokiona mimi hapa majirani walichoka tu walichoamua wao ni kumuacha ajue mwenyewe akiua si wakwake atajuana yeye na serikali, msemo huo ndio umegharimu maisha ya asie na hatia masikini Mungu ampokee, yaani hao wanaojiita wazazi wakati ni wauaji hata wakisamehewa na serikali Ipo adhabu kamili wanayostahili kuipata kwa Mungu labda watubu, ila kesho yao ikifika Mungu atawauliza tu kwanini mulishirikiana kuangamiza nilichokiumba?
@feli6manangu182
@feli6manangu182 Жыл бұрын
Kweli kabisa 😭😭😭
@upendohalisi5763
@upendohalisi5763 Жыл бұрын
Nyie wamama wote hamjitambui kwakweli mtoto wa mwenzio ni wako ni bora uumie lakini umeokoa jahazi, msiendelee kuongea wakati mtoto kisha ondoka. Mlitakiwa mwingie kwa kasi mtoto mumuchukue hovyo! Majirani hovyo
@fatumasalum7973
@fatumasalum7973 Жыл бұрын
Duh nimeumia Sana huyu mama alivyo sema mtoto kapigwa mpaka anaomba maji du😭😭😭so Siri tumbo langu sehem alipo lala mtoto nimetikisika duh kwely amle nyama
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Жыл бұрын
Kila siku namuomba Mungu anisaidie afya na uzima,nilee wanangu mpaka nione na wajukuu. Yaani tatizo ni mama hapo,inaonekana wazi huyu mama alipenda kuona huyu mtoto akipigwa kila mara. Naona kafurahi zaidi sasa,kuna watu wana roho chafu mpaka shetani pia anawashangaa..........
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Mungu atupe mwisho mwema
@mohameditwahili723
@mohameditwahili723 Жыл бұрын
mmm! nnavo mpenda shadya wAngu cijui nisemeje
@rizikahmad6930
@rizikahmad6930 Жыл бұрын
Kila kukicha arusha mauwaji kwani kuna nn uko mbona mnafanya ata ambao atujawai fika uko tuogope kuja 😭😭😭😭
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 Жыл бұрын
Usije
@salhanassor5201
@salhanassor5201 Жыл бұрын
Ila kweli arusha inaobgoza kwa matukio hata sjui kuna siri gani..mungu awasimamie kwakweli
@tatumakadara5793
@tatumakadara5793 Жыл бұрын
Inaonesha hiyo familia haina ushirikiano na majirani. Huyu mama roho mbaya hapendi watoto wa huyo baba. Inaonekana sio mara ya kwanza kuwachongea na bwana kumridhisha bibi ndio hivyo tena masaa mtoto anarudishwa kwa MUNGU. Na hakika huyo baba anajuta na hatakuwa na raha ya roho maishani mwake . Huyo mwanamke na yy kila mara roho itamsuta na hawawezi kuishi tena pamoja na huyo baba. Nyie kina baba unapopewa kesi ya mtoto kwanza chunguza au muulize kwanza sio mtandika kitanda chako kasema ww unachukua uamuzi wa hasira. Poleni wafiwa .
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Жыл бұрын
Hata kama hawana ushirikiano mie nisingekubali mtoto anapigwa ninyamaze. Hili lilishatokea mahali nilijitosa siwezi kuona mtoto anapigwa kipigo hicho ninyamaze , bora kama amemchapa fimbo mbili tatu za kumfunza bora lakini akishapitiliza hapo lazima niingilie kati
@tatumakadara5793
@tatumakadara5793 Жыл бұрын
@@neemamasimba2981kwanza inaonesha sio mara ya kwanza kumpiga.pengine huwa wanamuombea lkn baba anatoa vitisho kwa muombezi. Hamjasikia wanaombea ndio nao hupata kichapo au kutukanwa? Kwa upande wangu walichokosea majirani, kwa nini kipigo kama hiki hutokea hawaripoti ustawi wa jamii?
@dennymkumbala5748
@dennymkumbala5748 Жыл бұрын
Daaa mbaya san wazaz najua watoto wetu Wana mambo mengi ila mzazi ukiwa na hasira ni tatzo na mungut ndo anajua m naamin baba akuzamilia kuua ila asila daaa polen San wazaz tupuguze asila hasala R.I.P Binti mdogo mungu akupunguzie adhabu ya kabuli🙏
@rashidyally8715
@rashidyally8715 Жыл бұрын
Sasa Kama majirani mnatoka mnaambiwa luduni na mtoto anapigwa kwa kipigo kinaendelea mlishindwa nini kupiga cm polisi au kwenda kwa mjumbe au mwenyekiti kutoa taarifa ili serikali ifike hapo haraka na kuchukua hatua?
@rashidyally8715
@rashidyally8715 Жыл бұрын
Wanyongwe ote hao mbwa Tena wanyongwe haraka Sana
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 Жыл бұрын
Subhanallah 🙆💔😭Ni mboga tu Hadi Mtu anapoteza uhai wa mtoto Jmn😭😭
@laylayl5166
@laylayl5166 Жыл бұрын
😭😭😭😭subhannalah jamani kuchelewa kurudi mtoto nakumuuwa mtoto vinahusiyana nini wafungwe maisha Yao
@martinfrancis9808
@martinfrancis9808 Жыл бұрын
Huyo Baba msenge Sana... Afungwe
@mariamswalehe3312
@mariamswalehe3312 Жыл бұрын
Jamani sijazaa lakini silei mtoto wa mwanamke mwenzangu, ila niko tayari nikuachie bwana uendelee naye mlee watoto wenu. Sitaki lawama za duniani.
@mariamswalehe3312
@mariamswalehe3312 Жыл бұрын
Thanks
@phinakamugisha
@phinakamugisha Жыл бұрын
Jipange xwa xwa
@zenabali568
@zenabali568 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭Yani hata sioni haja ya maojiano hapo 😭Allah hatalipa kesho 😭😭😭.mtoto mdogo hata hajui dhambi nini 😭 subuanalla.mzazi. 😭
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Innalilah wainailah rajiun, kiukweli inauma sana, subhannallah.
@happymau2809
@happymau2809 Жыл бұрын
Ewe Mungu twaomba maisha marefu tulehe watoto wetu jmn
@aishamohammedusi4989
@aishamohammedusi4989 Жыл бұрын
Poleni sana.
@happyhousekeeper
@happyhousekeeper Жыл бұрын
This is sad Bure kabisa majirani, wapangaji kumbe mlikuwepo😭😭
@graceanthony3870
@graceanthony3870 Жыл бұрын
mtoto amekufa namaumivu sana jamani😭😭😭
@irankundanouriyath6748
@irankundanouriyath6748 Жыл бұрын
Nimeumia mnoo
@bessarajabu1061
@bessarajabu1061 Жыл бұрын
Inalilahi wainalilah rajighuna,mwenyez mungu amladhe marehem mahali pema pepon amin
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
huyu baba na mkewe wote wafiejera🤗😭😭😭
@innocentchikoya5060
@innocentchikoya5060 Жыл бұрын
Baba na mama wakambo wote wafungwe kifungo cha amaisha hakuna cha msamaaa hapo wote wafunge jela kifungo cha maisha
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 Жыл бұрын
Nyie majilani ndiyo wabaya pia,mmesikia mtoto anapigwa hamuendi kumsaidia,nyie pia mmechangia kifo cha mtoto,
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😭😭😭mm wa kambo ni zaidi ya ibilisi
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Жыл бұрын
Kundi zima nyie mshindwe kumsaidia mtoto jamni heeee subhanallah 😭😭😭😭😭
@salmasaidy87
@salmasaidy87 Жыл бұрын
Inalillah wainailaih rajiun. Hata ww baba mwenye kofia ni mwanaume ulikuwa unatosha kabisa kumkabili huyo kaka anayempiga mtoto si mngevunja hata mlango kwa hiyo nyie majiran mlikuwa mnasikiliza sauti ya maumivu ya mtoto mpk mwisho? Nyie majiran nyie muwe na huruma kilio kile cha mtoto kilikuwa ni cha kuomba msaada sio kumuacha.
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 Жыл бұрын
Inauma sana machozi yananitoka. Ukatili wa hali ya juu.
@enterenter7798
@enterenter7798 Жыл бұрын
Innalillah wainna Ilayh Rajiunah,, mtihan saan ampige km mzazi kipigo mpk kuua mzazi anapiga mpk anafikia kuua duu
@hanifukuzenza5686
@hanifukuzenza5686 Жыл бұрын
Pole sana Inna lillah wainna ilayhi rajiuun
@husseinally3015
@husseinally3015 Жыл бұрын
MAMA FAHADI NA WW JIRANI NA ULUSHAONA MTOTO ANANGEO UNGETOA TAARIFA KIMYA KIMYA LEO UMAUTI UMEMFIKA NA WW NI JIRANI WA KAMOBO
@victornjwango9683
@victornjwango9683 Жыл бұрын
Majirani wote wasenge tu hamna maana mmeja unafiki mlishindwa kuingilia kati mamae nyie
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 Жыл бұрын
Mama lea wanao mwenyewe, watoroshe ikibidi....MIE NINAO WANGU WA 4 nimekimbia nao...Mama wa kambo hasa aliyevamia ndoa huku mke wa kwanza akiwa hai..,mama huyu lazima awe na hila,na lazima mvamizi wa ndoa ya watu huyo, lazima awe ni mtu mwovu
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Watu wa kaskazini ni wanyama huko ni wakatili sana ni kama watu wa Geita
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 Жыл бұрын
Jmn arusha ckuiz matukio nimengi sana shetan yupo kaxin
@officialmimi269
@officialmimi269 Жыл бұрын
Nyie majirani mlishindwa hata kupiga sim police kama mlizuiwa kuingia kumuokoa mtoto nyie wote mashetani tuu mxiieew 😏 Rest easy Shadia
@fatmaahamadabass8080
@fatmaahamadabass8080 Жыл бұрын
Huku walimu huku wazazi huku wapenzi tutapona kweli vifo vimekua km Ukraine
@mkaiteafetu6782
@mkaiteafetu6782 Жыл бұрын
Umesahau uku ugumu wa Maisha
@zabubamudy126
@zabubamudy126 Жыл бұрын
ugumu wa maisha ni kila mara mbaya zaidi ni haya ya mauwaji ya wapenzi wao mhh inauma shetani anafanya kazinyake
@drsumatz7539
@drsumatz7539 Жыл бұрын
Its so pain jamn . Tujifunze Sana kupitia hili tuache kabsa mambo za kujichukulia sheria katka adhab zilizopitiliza na pia majirani au wapangaji hili suala la kuskia jiran zako wakipigana wengi wetu tunachukuliaga kuwa ni suala lao . Tunatakiwa kuingilia kwa uzuri tuu kuamlia
@janembalinga7074
@janembalinga7074 Жыл бұрын
Ubaya unaweza ukaenda ukaambulia kufa ww
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Wapangaji majirani huyo mm na huyo bb wote mnaroho mbaya wanafki wakubwa mmesshinda kumuwamuwa Ata kupeleka tarifa kwa mjumbe
@lilianfredy6554
@lilianfredy6554 Жыл бұрын
watuonyeshe sura za hao wazazi waliofanya hicho kitendo.. inaumiza sana kiukweli
@daujohn9266
@daujohn9266 Жыл бұрын
Ee Mungu naomba unijalie nidumu niwalee wanangu mwenyewe
@mussataliye7815
@mussataliye7815 Жыл бұрын
uyo baba wa mtoto achunguzwe labda ana shida kichwan au ana vuta bangi
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Жыл бұрын
Huwa nasema kila siku. Mwanamke ukiachana na mwanamme usilogwe ukamuachia watoto. I am tslking from my perslnal experience. Nashkuru Mungu nilishtuka mapema nikawachukua
@aishahussein4645
@aishahussein4645 Жыл бұрын
Mm ni mtanzania nimeoleka hapa Kenya, nikizaa mapacha watoto Wana myez 6 tu sa hii!! Niligombana na bwana akasema kikabila yao niondoke Tanzania niwaachie watoto!! Hiyo nayo nilimwambia Bora nife maiti kuliko kuacha wanangu
@peterkivuyo8879
@peterkivuyo8879 Жыл бұрын
Majirannii pumbaavu zenu kwendeni uko mtoto anapigwa mpo
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 Жыл бұрын
Jamani mskubali watanzani... Wamama kututesea.. watoto.ukatili umezidi Sana
@tamemahmad9902
@tamemahmad9902 Жыл бұрын
Majirani pia hamukumtende haki mtoto. Wakati anapigwa kwann musiende kumsaidia, au tuseme hamukumsikia akilia wakati anapigwa, na km hamukumsikia mulijuwaje km kapigwa na sababu ni hiyo ya mboga. Kwa kweli panahitaji uchunguzi.
@sofiahamis
@sofiahamis Жыл бұрын
Binadamu tunatakiwa tuwe na hekima, kabla ujafanya Jambo fikiria la baadae.Makosa mengine sio ya kupiga mtoto sema nae taratibu atakuelewa tu. Maisha yamebadilika Sana,wakati tulio nao tusipige watoto kupitiliza. Ukiendekeza hasira mwisho wake mbaya. Ukiona mtoto akuelewi muombe mungu atambadilisha.
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Жыл бұрын
Yesu wangu Mungu wangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢
@musampanda3643
@musampanda3643 Жыл бұрын
Point ni kwamba kupishana kupo katk maisha ila wamama mkichoka ndoa muondoke na watoto, alafu majiran mmechangia kifo kutomuokoa mtoto
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 Жыл бұрын
HIZI TABIA ZA KUPIGA NA KUONEA WATOTO NI NANI ALIWAMBIA NDIO KULEA. INAUMA SANAAAAAAAA
@salomefaith2410
@salomefaith2410 Жыл бұрын
Huyo mama ni compliance wa huyo baba muuaji. Nashangaa yupo hapo maana angeweza kutoa taarifa au kuamulia
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Allah awahid wote
@irenemichael5140
@irenemichael5140 Жыл бұрын
Mm ndo mana sipendi mazoea ...watu ni wanafki sana...hpo hasira zimewapanda kutaka kumpigia ht huyo mama na mtoto alivyokuwa akili kwa uchungu wanasema hawakuweza kufika kisa wamekatazwa sasa mbona hapo mmejaa mnafanya nini na kilio cha uchungu hamkisikii tena
@magrethmaganga1983
@magrethmaganga1983 Жыл бұрын
Pumzika Kwa Amani Shadia jmn dah inaumiza sana Kwa kweli
@halimaathumani3435
@halimaathumani3435 Жыл бұрын
Innalillah wainalillah rajiun 😭😭😭😭😭😭
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Jamaniii majirani muwe mnavamia na marungu
@wineththomas4803
@wineththomas4803 Жыл бұрын
Arusha ni kawaida yao, yaani ukipatwa nashida hakuna anayetoka kukusaidia, utakufa unajiona, hakuna ata mtu wa kupiga kelele na Kama kuna watu wanaona basi watajificha kabisa, ila baadaye wataeleza Kila kitu kilichotokea, utashaangaa
@zubedaramadhani1289
@zubedaramadhani1289 Жыл бұрын
Hao majirani wanafiki sana
@innocentchikoya5060
@innocentchikoya5060 Жыл бұрын
Mama wakambo afungwe kifungo cha maisha na Babamzazi afungwe kifungo cha maisha
@mozarashid875
@mozarashid875 Жыл бұрын
uyo mama wa kambo kama ningalikuwa karibu ningehakikisha jeneza zinatoka 2. ikimaliza ya mtoto inafata na yake. mwanaizaya asojijuwa wala asiejitambuwa yeye na uyo msenge baba.
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 Жыл бұрын
Hili Ndio taifa la mtu anapita mtoto masaa 3 watu wote wanasikia na hakuna anayepinga simu polisi. Wala kuingilia.
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب Жыл бұрын
Huyo mama wa kambo kiboko duh ata tumbo halijamuuma 🤨😭😭
@maryambroce7878
@maryambroce7878 Жыл бұрын
Jaman wamama wa kambo?
@umunafisa7060
@umunafisa7060 Жыл бұрын
Majeran sio poa
@jeremiahsanare6336
@jeremiahsanare6336 Жыл бұрын
😭😭😭 inauma sana
@testmyphone1305
@testmyphone1305 Жыл бұрын
Hii inaonekana kuwa baba mzazi alishazoe kumpiga na majirani walishazoe kusikia akipigwa sasa limekuwa jambo la kawaida kwa majirani Kosa la majirani ni kutompa taarifa mwenyekiti siku za nyuma alizokuwa akimpiga mtoto
@petermboje5839
@petermboje5839 Жыл бұрын
Mxee mjinga pamoja na mama wa kambo wote waende jela bila kesi na mizunguko
@viviencharlz4045
@viviencharlz4045 Жыл бұрын
Majirani wanafiki wanafiki wanafiki wanafikiiiiiiiiii.........na ninyi mmeshiriki uuaji.
@aminamkumba4124
@aminamkumba4124 Жыл бұрын
Waende wote Rumande,hakuna msamaha hapo.
@aby21111
@aby21111 Жыл бұрын
Dad and step mom must be prosecuted. Let them rot in jail.
@laurenciamwalongo8165
@laurenciamwalongo8165 Жыл бұрын
Mungu aturehem
@rauhiamaalim7493
@rauhiamaalim7493 Жыл бұрын
Ikraam
@deboraloverness1366
@deboraloverness1366 Жыл бұрын
Uyu mama ana za kwel au tasa
@elianaevarsty2325
@elianaevarsty2325 Жыл бұрын
Wanangu narea mwenyewe nikira are nikilara njaa nae arare!
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 Жыл бұрын
Raisi Samia kama mwanamme na anauchungu na watoto apeleke mswada wa sheria Bungeni hakuna ruhusa kupiga mtoto. Nyumbani na mashuleni.
@mwajabukaseke8710
@mwajabukaseke8710 Жыл бұрын
Mngetumia NGUVUU kumtoa mtoto majirani wote hovyoo😏NA MLIKUWA MNASIKIA PUMBAVUU KABISA NIMEKEREKWAA SANAAAA
@kuluthumkipingu619
@kuluthumkipingu619 Жыл бұрын
Nikweli mmetaja hio mikoa ila mmesahau mkoa wa tabora wanaanika watoto juani kutwa ila nalia na majiran ingekuwa mtaa wetu aaaa wangezika familia yote yaan mpaka polisi waje wasingekuta mtu wange beba maiti zao inauma sanaa
@mishikombowato1457
@mishikombowato1457 Жыл бұрын
Serikal ya mama Samia haina maana hata kidogo na niya kipuuzi wtz mkija kumpigia kura huyu mama mnazid kuisha mna yaani mabalaa yamezid tangu huyu mama akae serikal eti inachunguza inachunguza nn wakati ushahid upo mtoto kafa subhan Allah mwisho wa siku utasikia Hana hatia ataachiwa huru
@gracegladstone9593
@gracegladstone9593 Жыл бұрын
Arusha ina nn jmn🙌🥺
@mwakwelisaid3152
@mwakwelisaid3152 Жыл бұрын
Yani majirani wasenge sana yani wallh
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Lazima huyo mama lazima afungwa kwa sababu ameshudiya kuona mtoto akipigwa mpaka kufa na anashudia
@ريزتيكينيا
@ريزتيكينيا Жыл бұрын
Daaaah
@matatomlik1846
@matatomlik1846 Жыл бұрын
Innalillah wainna ilayihi rajiun
@swahibasaidi4669
@swahibasaidi4669 Жыл бұрын
Mimi nina mama w kambo ila hatujawahi kuelewana aseeh mwaka tunaonana mara moja au tusijuaneee
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
UYO BABA NA MAMA WACHUKULIWE HATU
@hadijahasani
@hadijahasani Жыл бұрын
Hata majirani sio watu kwann mtoto anapingwa hawatoki mpaka afe mungu anawaona
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 Жыл бұрын
Alafu kumpiga Mtoto Dizaini hiyo niushamba tu alafu Alafu Jirani hajahamia hapo kwaajili yakugombelezea ugomvi wewe Mwanaume unakujaje nakumpiga Mtoto yania Jamaa Fala sana
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 Жыл бұрын
Majirani mna makosa sana mngeingilia kati kwanini hamkushiriki wote mnahusika kuua huyo mtoto kbsaa mngemuokoa mtoto hiyo laana itakuwa juu yenu wote mngetoka kuamua
@elicanageorge1319
@elicanageorge1319 Жыл бұрын
ILA MAMA WA KAMBO NI WACHACHE SANA TENA SANA WENYE UPENDO NJE NA WATOTO WA KUWAZAA.
@abdulbongekapunye
@abdulbongekapunye Жыл бұрын
wabongo sisi mavi tu kwa nini amkwenda kumsaidia mavi sana mimi ya kambo mingine misenge tu kumanina zenu kabisa
@dandassimon3116
@dandassimon3116 Жыл бұрын
Mimi nilivyohuzunika waliofanya wote hilo tukio baba na mama wote wapelekwe mbele ya sheria .
@haroldtemu28
@haroldtemu28 Жыл бұрын
Daaaah inauma😭😭
@agathasemindu79
@agathasemindu79 Жыл бұрын
kosa kubwa nimajirani kutotoa taarifa kwa mjumbe mapema tu na mngehokoa maisha ya huyo mtoto jamani, rip mtoto mzuri
@hindusaid1831
@hindusaid1831 Жыл бұрын
Masikin ss amepata nini mume amemkosa..bora naye akafugwe
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 Жыл бұрын
Majirani mna roho mbaya sana.. mlishindwa kupiga hata simu polisi? Mtoto analia kuomba msaada mnanyamaza kweli??? Leo ilikuwa kwa mwenzio kesho inaweza kuwa kwenu...
@maggiekaaya8403
@maggiekaaya8403 Жыл бұрын
Manina zao huyo mama abakwe kwanza ndo aende jela Na huyo baba nae wamkate uume 😡😡😡 wanaua mtoto kisa kutetea utelezi 😭😭😭😭 dudu zao chafu 😏😏😏
@irenemichael5140
@irenemichael5140 Жыл бұрын
Sasa hpo ukatili ndo utaishia kwa staili hiyo unayopendekeza . wacha sheria ifate mkondo wake
@farajafaraja3494
@farajafaraja3494 Жыл бұрын
Na huyo mama mnamuachaje kwa mfano naombeni acharazwe viboko
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Mngemchomoa kwenye gari uyo mama wa kambo
@wambigeorge376
@wambigeorge376 Жыл бұрын
Tunaomba ustawi wa jamii tabia ya familia kutengana wanasema watoto wabaki na baba hpn sio vyema kabisa tunaomba watoto wawe wanabaki na mama
@tatumajaliwa2333
@tatumajaliwa2333 Жыл бұрын
Yaan hii Arusha mnakiraana flan hiv
@jacklineedward3827
@jacklineedward3827 Жыл бұрын
Jamani wazazi 2we na uwelewano
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Hata nyinyi hamna akili ulishindwa kuingia kwenda kumtetea mtoto kwanini hao majilani mlio fila hapo hata mkekuwa majirani wawili metoa tarifa kwa viongo au police fasta, majirani wa hapo wote mwaenda motoni niheri msingeliona Hilo tofari
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 Жыл бұрын
Majiran jamani uwiiii
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 Жыл бұрын
Mimi nahis huyo baba ni mkofi au anaogopeka hapo ndo maana majirani wameshindwa kutoa msaada
@nyangetakaliba8585
@nyangetakaliba8585 Жыл бұрын
Usiseme hivyo unaweza kuta baba ni mkorofi na anatabia yakumpiga mtoto mara kwa mara
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
Kwa kweli huyo mama wa kambo ni halali yenu wanamchi na majirani! Afu ni ushetani tu! Huwezi kumpiga mwanao hadi kumuua kisa kidampa chako huku ukijua utaenda jela! Sasa faida iko wapi?
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 73 МЛН
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 23 МЛН