HUKUMU YA ANAYEDAIWA KUMUUA MKE WAKE KWA KUMCHOMA NA MAGUNIA YA MKAA KUTOLEWA 2025

  Рет қаралды 13,319

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@YunisJerald
@YunisJerald 24 күн бұрын
Kweli jamani kuwa single ni kuzuri wanawake tunateswa sana jamani😢.Mpk kuchomwa moto hebu niambie ni mangapi alipitia hyo mwanamke.
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q 23 күн бұрын
Yaan ukiwa single furahi wala usijisikie vibaya. Mimi nipo ktk ndoa lakin kama ningekuwa single wala nisingejiona nakosa kitu. Kikubwa kuomba amani
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 22 күн бұрын
Subuhanallah. Duuu !!adioeo hajaukumiwa mm.najua kashauliwa na yeye. Msimuachie huyo auliwetu
@zainabwage4658
@zainabwage4658 25 күн бұрын
Uyu mpk leo ajapata hukum 😮😮😮😮tulishasahau duh
@stevkaliona4107
@stevkaliona4107 25 күн бұрын
Mungu hatupe mwisho mwemaaaaaaa😢amen
@Tanzanite-l8x
@Tanzanite-l8x 25 күн бұрын
Hatupe ❎ Atupe ✅
@hamisaally968
@hamisaally968 23 күн бұрын
Tena ameweka kabisaaa uyu ni VIP amaaa😢😢
@InnocentPhillip-w5l
@InnocentPhillip-w5l 22 күн бұрын
Duuuh ad leo
@AshaMwamba-m5x
@AshaMwamba-m5x 24 күн бұрын
Nayeye mchomenii motoo mbwaaaa uyooooooo
@NeemaMasala-o7c
@NeemaMasala-o7c 25 күн бұрын
Kaka ana roho mbaya sana
@pendomariki
@pendomariki 24 күн бұрын
Hadi kanenepa mbona😢
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 24 күн бұрын
WENGI MREMA KAMUUWA MAMA YAKE, NA KAONYESHA ALIPO MFUKIA, NA ALIACHIWA HURU NA KESI HATUKUIONA IKIDOMWA WALA KUTAJWA.
@PromiseSimkwai
@PromiseSimkwai 22 күн бұрын
Wende bado yupo gerezani hajatoka
@bitecastory2137
@bitecastory2137 23 күн бұрын
Duuuuu mpk leo Kwel
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 25 күн бұрын
Dah..Naomi marijani jirani yangu ,na rafiki kipenzi wa dadaanga Miaka ya nyuma kipindi tupo Mbeya,Endelea kupumzika kwa Amani sister Naomi 😢
@bahatielias6443
@bahatielias6443 25 күн бұрын
Hivi ni kweli alichomwa moto na mkaaa jamani?
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 24 күн бұрын
@@bahatielias6443 ndyooo mbona alipostiwa
@davidsamwel11
@davidsamwel11 24 күн бұрын
Chanzo Nini?
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 23 күн бұрын
nasijui vp kuusu nema aliemchoma zungu moto nae sijui kanenep kam uyu😊
@Honorx6Honorx6-w4n
@Honorx6Honorx6-w4n 24 күн бұрын
Duuh uyu jamaa mbaka leo anaendereaje kula kwakweli mwenyeera sio mwizio😢
@khadijahamisi5561
@khadijahamisi5561 23 күн бұрын
Duuh kumbe kesi yayule kaka
@DolicasHussein
@DolicasHussein 25 күн бұрын
Mbona kanenepa sana alaf yuko fiti tu au uko anakula vizuri na kulala pazuri
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 25 күн бұрын
Alitoka Njee Kwa Dhamana Toka Kipinde kile cha 2019 Kesi ilipo wasilishwa mahakamani
@Shaniatwain06
@Shaniatwain06 24 күн бұрын
Yaani bado wanamlea na ugari wa bure tu eeh wauza unga wa juzi tu mshawahukumu huyu toka 2020 mnalemba nn akitoka huyo mtaani atapotezwa na raia 😂
@junioremmanuel1695
@junioremmanuel1695 22 күн бұрын
Anyongweee
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 25 күн бұрын
Huyu mjinga bado hajahukumiwa tu
@mwanas2
@mwanas2 24 күн бұрын
mi sielewag kbsa
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 24 күн бұрын
amenenepa kabisa aiseee 😢😢
@emmanuelelias5451
@emmanuelelias5451 24 күн бұрын
Jamaa ananenepa kiasi kwamba hajutii halicho kifanya😢
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 23 күн бұрын
Sanaaa
@officiallnobystar
@officiallnobystar 24 күн бұрын
Kesi Miaka Minne Na Mtu Ameuwa Dah Angekua Masikini Huyu Angekua Ashafungwa Kitambo
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 24 күн бұрын
Patrick wa Arusha, alimuuwa nama yake na kamtumbukiza mama yake kwenye karo la choo, kafubgwa miaka 20 sawa na 5.
@AshaMwamba-m5x
@AshaMwamba-m5x 24 күн бұрын
Sibora ungemuachaa kaka
@asteriashios1852
@asteriashios1852 25 күн бұрын
Hajafungwa tuu hadi Leo si aliiambia mahakama kuwa ni kweli amemuua Sasa ni kwanini hadi Leo mnangoja Nini?
@irhamseif
@irhamseif 24 күн бұрын
Eeeh mambo yaka badilika ety anaugonjwa wa akili🙌
@agriparose3942
@agriparose3942 23 күн бұрын
Hivi bado mnsmlisha kande na kumpaka mafuta ya baby care si auwawe tu
@AnnaKavwanga
@AnnaKavwanga 24 күн бұрын
Alikua wap mbona kanenepa sasa sianyonywe sasa miaka yoteee ushahidi bado ngoja mungu amshuhudie sasa
@hamisaally968
@hamisaally968 23 күн бұрын
Nchi yetu mtu anakaaa mahabusu hadi tunasahau kesi wakati nchi zilizoendekea awanaga mda na drama kama umepatikana na hatia wewe ni hukumu tuuu
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 25 күн бұрын
Waraah nilikuwa naomba afya nione hukmu ya huyu kiumbe
@HadijaOMARY-q5m
@HadijaOMARY-q5m 25 күн бұрын
Kabisaa tuzid kuomba mungu atupe uzima
@Direct-0000
@Direct-0000 24 күн бұрын
jela imempenda kanenepa kweli
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 24 күн бұрын
Tolakipimdi hiko jmn hukumu haijatolewaga tu
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 24 күн бұрын
Yaanj huyu mpaka leo ajapata ukumu na amenenepa hivi
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly 25 күн бұрын
Halafu waje kusema hajakutwa na hatia this is my country 😢
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 25 күн бұрын
Yaan yaan
@irhamseif
@irhamseif 24 күн бұрын
Washaanza kusema anaugonjwa wa akili
@MonadiNadi-j6s
@MonadiNadi-j6s 24 күн бұрын
Yaan wakisema ana hatia hatuonyeshe alipo Naomi wetu 😢😢
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 24 күн бұрын
@@irhamseif looooooh kibunda kishatembea 🥲
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly 23 күн бұрын
@@irhamseif hii ndio Tanzania mwenye pesa ndo ana haki
@fatumaabasi777
@fatumaabasi777 25 күн бұрын
Duh kuna watu makatili jmn
@priscadaniel6459
@priscadaniel6459 25 күн бұрын
bado yupo hai jamani nilijuwa nae kasha kufa
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 24 күн бұрын
VIFUNGU GANI VYA SHERIA, VILIMPA HAKI WENGI MREMA KUWA HURU?
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 25 күн бұрын
Kanenepa hiivyo😢😢😢
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 25 күн бұрын
Pigeni mpaka mliuwe.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 25 күн бұрын
Nashangaa nawakati ushahidi wote uko peupe tz sio poa
@leokamil6284
@leokamil6284 25 күн бұрын
Hivi vithibitisho ndio huua nguvu za kesi
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 25 күн бұрын
No women no cry
@SelinaMoka-x7y
@SelinaMoka-x7y 24 күн бұрын
Mh!
@IreneMacha-d5q
@IreneMacha-d5q 24 күн бұрын
Akiachiwa uru npo Tyr anioe
@Ryy-o7p
@Ryy-o7p 23 күн бұрын
Mambo
@IreneMacha-d5q
@IreneMacha-d5q 23 күн бұрын
@Ryy-o7p poa
@bonvivant3704
@bonvivant3704 23 күн бұрын
Heee😂
@EnickoSanga-z8b
@EnickoSanga-z8b 25 күн бұрын
Iseee lakini nilifatilia vzr kwahio kes ilivyo kua hiyu jamaa aliua kwakua nahasira kutokana nadharau yamarehem mkewake unajua mwanamke akishapata pesa anakushusha hata ulie msaidia so huenda jamaa aliona nisahihi japo sio sahihi ila wanawake piah kueni makin mnasaidiwa nawaume zenu kiuxhumi then mnakua napesa kuwazidi waume zenu then mnaanza kuwashusha nakuwaletea dharau nakuanza kutoka nje yandoa kwakweli hapo inakua nihatarii kwamaisha
@anethmugisha9238
@anethmugisha9238 24 күн бұрын
Ndoa sio fashion, inapofika swala la kuvumiliana.
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 23 күн бұрын
kama nyinyi mkipata mchepuko mke hana thamqni mbwa nyiny
@Mwana-d1u
@Mwana-d1u 23 күн бұрын
Ni bora angemuacga aangalie ustaarabu wake,
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН