HUU HAPA MCHONGO KWA WANAOTAMANI KUSOMA NJE YA NCHI

  Рет қаралды 1,589

GSengo

GSengo

Күн бұрын

Wengi hudhani ili mtu apate scholarships au nafasi ya kwenda kusoama nje ya nchi kwa mataifa kama Marekani, Ufaransa, Ubelgiji, Urusi, India na maeneo mengine ina kulazimu kuwa na fedha nyingi za mamilioni kwa mamilioni, lakini hivi unajua ukiwa na mtaji wa fedha kuanzia milioni mbili unaweza kwenda kusoma nchi yoyote unayotamani?
Ili kurahisisha upatikanaji na namna ya kujiunga na vyuo mbalimbali ulimwenguni Global link imeandaa orodha ya vyuo ambamo kuna fursa za kujiunga na masomo ya juu kwa wanafunzi kimataifa ndani ya nchi na nje ya nchi.
Fuatilia mazungumzo haya kuzitambua fursa hizo na namna ya kuzifanyia kazi.

Пікірлер: 3
@geraldwilliam2822
@geraldwilliam2822 2 жыл бұрын
Vipi kwa mtu wa darasa la saba kwenda kusoma kozi furani ya ufundi hiyo ikoje
@RudelphZabron
@RudelphZabron 6 ай бұрын
Naomba namba zenu ili ninje tuwasiliane ofisini kwenu
@ammaherman3391
@ammaherman3391 2 жыл бұрын
Kulipwa $18 - $25 kwa saa ili nioshe vyombo na kulipwa elfu 50 kwa mwezi kipi bora?
Swali la viza: Umeshatembelea nchi ngapi ndani ya miaka 5?
3:23
EBM SWAHILI
Рет қаралды 1,3 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 9 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 742 М.
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Daily News Digital
Рет қаралды 29 М.
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa
7:55
JINSI YA KUPATA SCHOLARSHIPS NJE YA NCHI
3:19
Success Path Network
Рет қаралды 6 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН