Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
Пікірлер: 17
@zulekhaakramzulekhaakram707818 күн бұрын
Bacca yupo wapi
@vibetz999118 күн бұрын
2:48 Kwaio kibwana ndo mfupi kiasi hicho?
@Dula70718 күн бұрын
Chama anahema si mchezo
@moshielfesty799218 күн бұрын
Mbona simuoni doctor wa mpira jamani
@dengahmediatz123018 күн бұрын
Mkataba wake umeisha
@richardhamadi928818 күн бұрын
Mbona simuoni dokta
@stevensosipita18 күн бұрын
MBELE DAIMA NYUMA MWIKO
@MigaboJohn18 күн бұрын
M nawataka maude na bacca wako wapi
@muhsiniamiri931017 күн бұрын
wapo likizo
@selemanntahondi27018 күн бұрын
Huyu chama watamuua na haya mazoezi
@user-bt6ep3yb2h18 күн бұрын
Wanasema chama mzeee? Tusubiri tuone uzee wake.
@songombingo10818 күн бұрын
Tatizo jezi za Madunduka ukivaa zinakufanya uwe mzee. Lakini kumbe Chama bado kijana sana😂😂
@musamagulu202318 күн бұрын
Ndio ni mzee kwenye umri na uwiano wa mpira kwa ulaya lakin hii Africa chama bado sana tena kama kwa ligi yetu anacheza miaka 3+ Sema wana simba wanaumia roho hao makolobwanji
@yohanalukindo373718 күн бұрын
Kwan walikuwa wanamuita chama ni Mzee si ni nyie kina mama j mbona hamueleweki
@musamagulu202318 күн бұрын
@@yohanalukindo3737 mlokuwa mnalia hatupati matokeo wazee wengi ni Nyie makolobwanji