LIGI IANZE TU TAZAMA CHAMA NA DUBE WAJIFUA COCO BEACH MORALI YAO IPO JUU SANA KUANZA MAISHA MAPYA

  Рет қаралды 39,787

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Ай бұрын
Huyu Chama anatakiwa awe na dose yake special maana namuona bado yupo very slow mpira wa Yanga speed yake sidhani kama ataiweza
@MichaelNgowi-nc3vn
@MichaelNgowi-nc3vn Ай бұрын
Yani we ume ona kama Mimi kumbe
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 Ай бұрын
Aongeze bidii tu atakuwa sawa,maana simba hivyo vitu hakuvizoea
@stellasheba842
@stellasheba842 Ай бұрын
Tuwaombee wachezaji wetu. Mungu awalinde na awafiche. Maadui wasiweze kuwagusa. Wafanye vizuri Zaid ya msimu uliopita. Tupunguze maneno tuongeze Sala
@RobartPatrick
@RobartPatrick Ай бұрын
Upo sahii
@JumaNtasimba
@JumaNtasimba Ай бұрын
Jamani mi naumia sana loho inauma sana chama wangu
@fatmasaaed144
@fatmasaaed144 Ай бұрын
Aucho Ibrahim bacca azizi k Diara ni watu muhimu wanatakiwa waje bwan😢😢
@lamama.
@lamama. Ай бұрын
ni mwaka wa kuforce watake wasitake lazima watupe kombe letu la CAF champion hatuwazi NBC tenaa
@GabrielSky64
@GabrielSky64 Ай бұрын
Tunasubir ya kesho akiwepo na Aziz Ki😂😂 Maaamae mwaka huu
@MichaelNgowi-nc3vn
@MichaelNgowi-nc3vn Ай бұрын
Mazoezi ya yanga ni noma sana
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 Ай бұрын
Mazoezi ya beach ni ya timu za ndondo cup. Mkiambiwa hamna hela kwenda kwenye sehemu zenye miundo mbinu ya kisasa mnakataa nini?
@mpangalalisotha6808
@mpangalalisotha6808 Ай бұрын
Na hii ni timu ndogo inayozifunga timu kubwa
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 Ай бұрын
@@mpangalalisotha6808 Timu ndogo inaweza kufunga timu kubwa kwa mbinu za kijinga kwa mfano kurubuni wachezaji wa timu pinzani, kutumia pesa kwa waamuzi na wachezaji n.k
@user-kd7mw6be5q
@user-kd7mw6be5q Ай бұрын
Umekariri mkuu hapo mwili unawekwa saw2
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 Ай бұрын
Miundo Mbinu Ya Kisasa Unayoongelea Wewe Ni Ipi??? Au Ile Avic TOWN Ni Yako???
@nehemiakiswaga1819
@nehemiakiswaga1819 Ай бұрын
Ligi ianze jaman maana makolo washaanza kunenepa
@LindaMbilinyi
@LindaMbilinyi Ай бұрын
😂😂😂😂😂akil huna
@nehemiakiswaga1819
@nehemiakiswaga1819 Ай бұрын
@@LindaMbilinyi 🤣🤣🤣
@khantv3331
@khantv3331 Ай бұрын
Yanga to top🔥 Like here🙏
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn Ай бұрын
Ukistaajabu ya spain utayaona ya simba nawaona wastaafu fc wakiwa koko bichi wanacheza ukuti ukuti yameme yameme
@user-zb9mf3us2w
@user-zb9mf3us2w Ай бұрын
mbona nasikia yanga bingwa
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le Ай бұрын
Timu za bongo bhana zimejaa janja janja nyingi na usaliti tu
@benjo_brighter
@benjo_brighter Ай бұрын
Inabidi Yanga mumpe chama namba yake ya bahati 17😊
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 Ай бұрын
Yanga maskin kweli ndy mazoez ya kitoto mchangan hahahah
@nicholausmapolela4433
@nicholausmapolela4433 Ай бұрын
Duuu! mchangani
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 34 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 80 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 49 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 65 М.
ENG. HERSI SAID, RAIS BISHOO ALIYELIFUATA KOMBE MSIMBAZI
5:32
Sportvia Media
Рет қаралды 6 М.
HEARTBREAKING Moments in Football
17:08
MonoFootball
Рет қаралды 13 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 34 МЛН