HATMA YA MPINA CCM / JINSI MAGUFULI ALIVYOMPENDA NA KISHA BAADAE KUNG’OLEWA UWAZIRI

  Рет қаралды 24,082

DAY 2 NEWS

DAY 2 NEWS

Күн бұрын

#Day2News #CharlesWilliam #Zungu

Пікірлер: 121
@mokiaolenaputu7648
@mokiaolenaputu7648 3 ай бұрын
Mungu atusaidie tu, huyu Raisi Hana uwezo kabisa wa kuongoza hii nchi. Ameruhusu nchi iwe shamba la bibi
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
SUKUMA GANG NO MORE 😢😢😢😢
@MohamedMfuu
@MohamedMfuu 3 ай бұрын
shamba hili limekosa ulinzi😅
@FredrickFilbert
@FredrickFilbert 3 ай бұрын
Mchambuzi uko sawa kwa sababu hauengemei upande. Watu wa aina yako ni wachache sana
@abelnyoni5808
@abelnyoni5808 3 ай бұрын
Nchi haiwezi kwenda na kufikia kilele cha maendeleo kwa kuuzuia ukweli utakaoisaidia kas ya maedelei ya kweli ya watu na Taifa kwa ujumla.
@amosnjiaapostle
@amosnjiaapostle 3 ай бұрын
Mpina akutolewa na Samia kwenye uwaziri kwa hiyo anachokisimamia mpina ni Uzalendo maana nchi hii inaibiwa sana,
@mjemamjema9695
@mjemamjema9695 3 ай бұрын
ATOKE TU HUKO MAANA TUMEWACHOKA CCM
@stephanshedura
@stephanshedura 3 ай бұрын
Watu kama mpina wanatakiwa
@PartySekemi
@PartySekemi 3 ай бұрын
Mpina shikamoo na uchukue fomu la urais 2025 ili waone nguvu ya mpina kisiasa
@ROBERTMGOGOSI
@ROBERTMGOGOSI 3 ай бұрын
Nina uhakika Mpina Akichukua Form ya Uraisi Samia haoni ndani na akapumnzike tuu Mpina ni kichwa konki wewe unakionaje? Mimi siyo mwana ccm ila mpina akichukua Form ya uraisi kura yangu nitampigia ila Samia zero kabisa
@frankcharles3980
@frankcharles3980 3 ай бұрын
WATANGAZAJI WALIO LAMBA ASARI UNAWAONA TU HATA WANAVYO ONGEA
@alisalimo2861
@alisalimo2861 3 ай бұрын
mpina nayeye sialikua wazir vipi kwani😢😢😢😢
@rehemakimungu6494
@rehemakimungu6494 3 ай бұрын
Sasa jamani kama kaleta ushahid uliokubalika shida nini?
@LushugembeMboje
@LushugembeMboje 3 ай бұрын
Mpina ni wahivyo tangu 2005 wakati wa jk yeye ni mbunge mwenye msimamo tu. Si leo
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 3 ай бұрын
Mon mzalendo
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Tanzania tuna shida kubwa. Watu wenye madaraka hawachukuliwi hatuwa wakifanya makosa. Bila watu kama Mpina Tanzania haitaendelea. Wahujumu uchumi, hawaguswi wala kushitakiwa. Tanzania ni ya watanzania wote. Wanaofanya makosa kwa kuitia hasara nchi hawachukuliwi hatuwa. Wenye kuchukuliwa hatuwa ni wale wanaosema ukweli.
@DrLachi19
@DrLachi19 3 ай бұрын
Mchambuzi wa maswala ya kisiasa bwana Charles William mwamba kabisa namkubali sana huyu jamaa. Hua anafatilia mambo kwa undani zaidi
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 3 ай бұрын
Mpinahana lisa wewe
@charlesrwabutaza2551
@charlesrwabutaza2551 3 ай бұрын
Ccm ni chama chenye mbinu nyingi,mnaweza kuona Mpina anakigawa chama kumbe ndo anajenga chama,Mpina anatengeneza mazingira ya kukubarka kutoka upinzani na chama chake
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 3 ай бұрын
Mpina asingeita press, spika angeizima hiyo hoja juu kwa juu, tunawafahamu hawa ccm wanalindana sana
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Watanzania wana haki ya kujuwa kinachoendele. Watanzania wana haki ya kujuwa mali zawo zinatumiwa namna gani. Mpina hana kosa kabisa. Tanzania ukiwa mukweli na mtetetezi wa haki basi unachukiwa. Hakuna mtu asiyejuwa Makamba sio mwaminifu, kaupata uwaziri sio kwa sifa bali kwa baba yake kumuomba Samia ampe kazi mwanaye naye ale asari. Na kweli asari anakula. CCM awape uhuru wabunge waseme ukweli na wasizibwe midomo. Mbunge Alisema ukweli anaambiwe akae kimya. Faida gani kuwa mbunge? Mbunge Slaa alipelekwa kwenye kikawo kwa kusema ukweli. Polepole naye alishambuliwa na kutupwa Malawi kwa kusema ukweli. Mpina bungeni hapewi nafasi nzuri. Mała nyingi huingiliwa sana nyingine hunyamazishwa.
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 3 ай бұрын
Mpina Yuko Sawa kabisa raisi aliteua mawaziri majizi
@abelnyoni5808
@abelnyoni5808 3 ай бұрын
Tunataka kuliona bunge lililojaa uzalendo wa Mpina na Hayati Deo Philikunjombe. Huyo ni kivuli cha Deo Philikunjombe.
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 ай бұрын
Mpina ni mbuge anaejitambua, sisi tunamuelewa,
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 3 ай бұрын
Mpina chuma cha reli mzee wa hoja za msingi jasiri na mzalendo wa kweli
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 3 ай бұрын
Wanaosema Mpina anafaya vibaya niwale wezi kama bash ,lakini wenyekuipenda nchi na wazalendo wataungana na Mpina
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Mpina we suport you. Tunajuwa waziri Bashe mjanja. Kawafunika macho viongozi wote kwa kizungu cha Kenya.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Tuko bega kwa bega na mpina mtetezi wetu sisi wananchi
@AthumanDauda
@AthumanDauda 3 ай бұрын
Spika tulia asingeweza kuutoa huo ushaid Bali angeridample ushaid huo mpina Yuko vzr xn maana bungen ndo mbunge mwenye mipango ya kuielekeza serkali ifanye kz nk namwingine na aida kenani waliobakia wapo sbb niwabunge nk
@deocresmodest6148
@deocresmodest6148 3 ай бұрын
Matamshi ya mpina yanamsaindia rais awajue vizuli watendaji wake na ndicho alichotumwa na spika nakama amemkera amsamee kwasababu ata sisi wananchi tunawabunge wakusemea atakama niwachama kimoja chakufanya waache kumlinda mtu wakilinde chama bado tunaimani nacho
@MalandoJilala
@MalandoJilala 3 ай бұрын
Wtz wote tunasubiri hili jambo linawekwaje tuone kama kweli kuna viongoz wazalendo wasema kweli kama magufuli
@luganomosesmwalaba1084
@luganomosesmwalaba1084 3 ай бұрын
Zungu na Shahid wa jamhuri nawakubali
@anthonymandia-j6w
@anthonymandia-j6w 3 ай бұрын
Mpina na wengine ndani ya Bunge msirudi nyuma. Walio wengi - the majority wanafuatilia kwa makini. Watanganyika msaidieni Wakina Mpina.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 3 ай бұрын
Mpina yuko sahihi ila hao mashetani wa kijani hawapendi ukweli! Mpina aendelee na mapambano hayo aliyoanzisha hata wamfungie kutohudhuria vikao 15 vya Bunge-Mungu anamwandalia nafasi nyingine nzuri na kubwa zaidi katika uongozi wa Taifa hili! Mungu amlinde. Mpina amkinge na mipango yote ya waovu! Ameni 🙏
@nashonkibayayu3776
@nashonkibayayu3776 3 ай бұрын
Mpina no mbunge chums kabisa! Asikate tamaa, asiunge mkono ufisadi. ACHA hao wanata kuihujuma taiga waendelee!wakati ukifika, utasema.
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 ай бұрын
Sio wananchi wakawaida wanaompenda au upinzani bali ni watu maskini, kila siku gharama za maisha zipo juu,
@frankpeter4178
@frankpeter4178 3 ай бұрын
Yaani CCM badala ya kuisaidia nchi kwenye changamoto hii ya sukari wamejikuta wakimfanya Mpina kuwa Shujaaa...!
@FrankTemba-c6g
@FrankTemba-c6g 3 ай бұрын
Mpina yuko sawa kabisa angalia leo spika anamwoliza bashe sukari nchi jirani ni shilingi ngapi bashe ajui bei yeye kaagiza sukari brazil bila kujua malawi wanauza bei gani pili amewapa watu tenda bila kujua kama wana uzoefu wa sukari bashe afai hata kidogo japo kuna watu wanamtetea
@raphaelondego7703
@raphaelondego7703 3 ай бұрын
Mpina si ubunge agombee tu urais ametosha na amekamilika, nyerere alisema mtu anaweza kutoka ccm akawa rais, so mpina atashinda.🎉
@MnarikaMathias
@MnarikaMathias 2 ай бұрын
Mpina yupo sawa hii nchi inapigwa sana ndg zangu huyu mshomali anajipanga urais ushauli wangu angombee urais 2025 maana nimtanganyika harari
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 3 ай бұрын
wewe zungu nimekupenda sanaaa kwa kusema boss.
@JushuaBugali
@JushuaBugali 3 ай бұрын
Ilajaman kweri mam amebebeshwa gunia LA misumali atayaweza majambawazi ya nchi hii anapelekwapelekwa tuu
@JustineKileo
@JustineKileo 3 ай бұрын
Mm naona kama ccm inataka kumzima mpina, isipambane naye anakwaana nakumpa adhabu mbalimbali, ilikumzi mpina imrudishe kwenye uwaziri.
@HAJIJUMAA
@HAJIJUMAA 2 ай бұрын
Zungu mtangazaji kwanza nikusifu sauti ipo safi namna unavohoji na pili huulizi maswali kichochezi
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 3 ай бұрын
Ccm wamezoea kulindana ukiwa mkweli unaonekana mbaya sana ila sisi watu wa hali ya chini tunamkubali sana mpina kuliko hao mawaziri wezi t
@FrankTemba-c6g
@FrankTemba-c6g 3 ай бұрын
Kama kifo cha magufuli alisema ufanyike uchunguzi alikuwa sahihi kabisa sema ccm wana matatizo sana
@LazaroMwakasege-bh5en
@LazaroMwakasege-bh5en 3 ай бұрын
Majinga namajizi ndiyo yanayo mchukia mpina
@bakermusa9033
@bakermusa9033 3 ай бұрын
Tumabakia na mbunge mmoja tuuu Mpina wengine ni wezi wa rasilimali za nchi
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 3 ай бұрын
Kutokana na uchambuzi wa huyo mchambuzi kulalia upande fulani ingekuwa vizuri tuwe na mihimili minne: Bunge, Serikali, Mahakama na Wananchi. Katiba mpya itupe wananchi mhimili wetu katika ukuu wetu tunaostahili.
@dilludillu2747
@dilludillu2747 3 ай бұрын
Bonge la hoja
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Sawa sawa
@RaphaelElikana
@RaphaelElikana 3 ай бұрын
Mpina anafanyakazi za kibunge na tunajifunza mengi sana kupitia mbunge huyo makini Mpina
@Jean-marieNiyonzima-f3e
@Jean-marieNiyonzima-f3e 3 ай бұрын
Dugu zungu napenda uchambuzi wako naunavyo tangaza napendasana
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 3 ай бұрын
Asipoteze muda, aje chadema, mbona ccm watakoma!
@victorphilipo
@victorphilipo 3 ай бұрын
Mpina kaaa c cm humohumo uturetee madudu ya mawazoli
@saidkhamismasai1204
@saidkhamismasai1204 3 ай бұрын
Wabunge vilaza na spika kilaza ,Mpina yukosahihi sana
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 3 ай бұрын
HIVI MBONA HUONGEI.KAMA KITENDO ALICHOFANYA KWA SPKA KIKO SAWA AU SIO SAWA
@JustineKileo
@JustineKileo 3 ай бұрын
Alichofanya spika, dhidi ya mpina, ni jukumu lakisheria, Kwan makosa ya mpina yapo katika namna ya uwasilishaji wake.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Mpina hana kosa kwa kusema ukweli. Yuko bungeni kuwatumikia watanzania na sio chama. Vyama vyetu vya siasa hakuna demokrasia. Ni kuziba watu midomo wasiseme ukweli. Ukitaka kupona lazima ujiunge na walają wanaowadhulumu wengi. Wabunge wanatakiwa kusimamia haki za wanaowakilisha na sio kunyamazishwa. Munasema tuchunge amani yetu, bila ya haki amani ni vigumu kuichunga. Jęła zetu zimejaa wanyonge, viongozi wahujumu uchumi, anakose widhara moja na Rais anakuwa chura kiziwi. Hayo ni mateso kwa watanzania. . .
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 3 ай бұрын
Mpina hawezi kufukuzwa,Wala kuhama ccm.kwa sababu Ni kada wa ccm.na anaongea UKWELI.na kumfukuza Mpina Ni kupoteza jimbo.lazima ccm ijiulize,kwa Nini hayA yanatokea.
@raphaelondego7703
@raphaelondego7703 3 ай бұрын
"Mpina beat them at their own game." Mwl. Nyerere alisema "WAKATI NI HUU", Mpina "fear-not",.
@frankcharles3980
@frankcharles3980 3 ай бұрын
WATANGAZAJI MAMRUKI WANAOTUMIKA NDO KAMA HAWA
@abdulkhalmabdalla148
@abdulkhalmabdalla148 3 ай бұрын
Kwan kunashida gan mbona hamleti muendelezo wa shee ponda
@day2newsTV
@day2newsTV 3 ай бұрын
Hello, Ahsante kwa kutufuatilia. Mwendelezo wa story ya Sheikh Ponda Issa Ponda utakua hewani kuanzia kesho mchana.
@abdulkhalmabdalla148
@abdulkhalmabdalla148 3 ай бұрын
Ndomana napenda kuwafuatilia kazi nzur
@JumaAbdalla-xm9pb
@JumaAbdalla-xm9pb 3 ай бұрын
Na wasipompa mpina kugombea tena ubenge wakikishe ilo jimbo ndio wanalikosa kabisa na mwisho watalichukua upinzani
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 3 ай бұрын
Niwakumbushe tu, jimbo hilo hilo la kisesa lilikuwa chini ya chadema, Erasto Tumbo. Mpina ndiye alimshinda Tumbo wa chadema
@selemaniigosha
@selemaniigosha 3 ай бұрын
UDP sio CHADEMA
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 3 ай бұрын
Mpina hamia chadema, achana na hiyo mijizi, kazi yao ni kulindana tu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
SAFI WAPOKEENI HALAFU BAADAE MULIE WATU WA RUZUKU 😢😢😢😢😢😢
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 3 ай бұрын
Supika usimkandamize mpina utapata dhambi kubwa sana msimzibe mdomo acheni aseme, kwanini mnamtetea Bashe? Nia yenu wakati wa Uchaguzi mkate jina?
@JushuaBugali
@JushuaBugali 3 ай бұрын
Tatizo mawazir wetu wamzoea kudekezwa mfumo wakuambiwa hadharan sijadiyao mpina yukosahihi kabisa7:40
@KadumaIssa
@KadumaIssa 3 ай бұрын
Msema ukweli sikuzote huonekana mbaya tu Kila akisema ukweli anaonekana mbaya tu 😊😂😂😂
@FredrickFilbert
@FredrickFilbert 3 ай бұрын
Ni kweli jimbo la Mh. Mpina wamepakana na jimbo alilokuwa anaongoza Mh. John Momose Cheyo, wale tuliosoma Cuba tunajua kwa nini Mh. Mpina anahoja zenye hoja
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Kama alingoleewa kipindi cha Magufuli mbona Mwigulu alitolewa hayo ni ya kawaida tena wengi tu walitolewa January makamba Nape na wengineo kwa mama wakarudishwa muacheni Mpina aikisoe Ccm katiba inasemaje Kiongozi asiyekubali kukosolewa hastahili kuwa kiongozi
@francismasanja-y4s
@francismasanja-y4s 3 ай бұрын
Hoja za mpina zisikilizwe na kama wakizipuuza madhara yake ni makubwa zaidi.sasa acha hebu tuache inyeshe tuone panapo vuja.
@tuntufyemwaitebele
@tuntufyemwaitebele Ай бұрын
Hawa wa Kanda ya ziwa Wana kitu kwakweli
@JushuaBugali
@JushuaBugali 3 ай бұрын
Ilajaman kweri mam amebebeshwa gunia LA misumali atayaweza majambawazi ya nchi hii anapelekwapelekwa tuu
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 3 ай бұрын
Mpina ni Jembe sana, Bashe aondolewe kwenye Wizara awe mbunge wakawaida tu anatunyonya sana.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 3 ай бұрын
Watu wengi tu huku Kanda ya ziwa Sasa wanajiunga na upinzani ,sababu,Nia,uwezo,ukoloni ukoloni ukoloni mpya
@MohamedMfuu
@MohamedMfuu 3 ай бұрын
joo upinzani mpina ww nijembe
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 3 ай бұрын
MPINA AEDETU UPIZANI WALIKWEDA KINA LUWASA WAKATI CHADEMA INANGUVU SASA HIVI HAINA MPAGO
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 3 ай бұрын
Tunaomba kamati ya bunge iliangalia Kwa haki na unyenyekevu na Wala sio Kwa mamlaka TU kwa7bb hoja hujibiwa Kwa hoja
@FredrickFilbert
@FredrickFilbert 3 ай бұрын
Uko sahihi kabisa, Mpina alitolewa na Hayati Magufuli. Mpina anahoji mambo muhimu kwa maslahi ya Wananchi kwa sababu hoja zake zina hoja
@BraytonMwakitalima
@BraytonMwakitalima 3 ай бұрын
Duuu Ako kajamaaa sio kachambuzi Nika kada kaaa ccm kapo wasafi nakajua hakapendi wapinzani
@KisigeraKisigera
@KisigeraKisigera 3 ай бұрын
Mpina yuko vizuli sana
@JohnKisiri
@JohnKisiri 3 ай бұрын
Mpina jembe kulingana na experience anayo bungeni anajua ubunge ni nini na democracy sio kulala bungeni
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 3 ай бұрын
Ndiyo hapo ujue kwamba siyo lazima uwe upinzani ndipo ukosoe serikali
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 3 ай бұрын
Vipi chama vinho akitaka atingia Mpina nijabali MUNGU atampigania Jemedara WA watu wake
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 3 ай бұрын
Wewe zungu acha uchawa simamia ukweli huyo mp anawakilisha vizuri watanganyika na.Tuko pamoja nae
@umlaith5202
@umlaith5202 3 ай бұрын
Mdomo utampoza😂😂😂
@JohnWillifred
@JohnWillifred 3 ай бұрын
Mpina yuko sahihi
@samwelmantago9390
@samwelmantago9390 3 ай бұрын
Kalibu chadema
@senimwigulu1217
@senimwigulu1217 3 ай бұрын
Mpina Yuko sawa
@franciskishabi1617
@franciskishabi1617 3 ай бұрын
Hi Mr Zungu. Naitwa Kishabi. Mgombea Ubunge jimbo la Kisesa CHADEMA 2020. CHADEMA ipo imara sn.
@umlaith5202
@umlaith5202 3 ай бұрын
Anachoyo cha Roho
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 ай бұрын
Number kangaroo ukimvalisha dera kuna watu wataamini kuwa ni mtu mwanamke
@JumaAbdalla-xm9pb
@JumaAbdalla-xm9pb 3 ай бұрын
Kwq hiyo ww muongeaji ulitaka mpina akae kimya tu hata kama kuna mambo hayako sawa
@dilludillu2747
@dilludillu2747 3 ай бұрын
Tunasubiri press ya Mpina
@chumadede6351
@chumadede6351 3 ай бұрын
Sisi tunamuelewa lakni, 2025 sijui kama watampitisha
@mwankenjatv9330
@mwankenjatv9330 3 ай бұрын
Kuna shida gani kusema waziri huyu hafai???😅😅
@PetroSewando-wu9jz
@PetroSewando-wu9jz 3 ай бұрын
Mpina ndie mbunge aliebaki na fikira za Magufuli
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 3 ай бұрын
D2N NIPENI NAMBA ZENU KUNA TAARIFA NATAKA NIWAPATIE NI YA MOTO KABISA
@JumaAbdalla-xm9pb
@JumaAbdalla-xm9pb 3 ай бұрын
Mpita kuita prees ni haki yke na yko sahihi kabisa
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 3 ай бұрын
Aende akapime samaki kwa rula sasa😂😂
@ElieshPoul
@ElieshPoul 3 ай бұрын
Elieshi:Mpina mtetesi wa wananchi
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 3 ай бұрын
Mpina jembe
@MandindiGuluguja
@MandindiGuluguja 3 ай бұрын
Mimi nawakubari kichizi ni mshabiki wenu
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 3 ай бұрын
Mwanamke anaweza akaongoza nchi bwana
@bundalaizina652
@bundalaizina652 3 ай бұрын
Atagombea urais chadema
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 3 ай бұрын
Mpina mtetezi wa wanyonge
@ElyotKyando
@ElyotKyando 3 ай бұрын
Mpina☑️☑️☑️☑️☑️☑️💯
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 46 М.
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 54 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 18 МЛН