HUYU ASKOFU NI BALAA, BILA KIFICHO AMPA ZA USO RAIS SAMIA SAKATA LA BANDARI, AWATAKA WATUBU

  Рет қаралды 353,616

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 553
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
#KATIBA MPYA #OKOA BANDARI ZETU. Wao ccm kama serikali wakikutana na viongozi wa dini,ni halali lakini wananchi kupitia chadema wakiwaomba watumishi kukutana nao ni haramu,ni tishio kwa Amani ya nchi!!? Ajabu kabisa! Wakipitisha mkataba bila kuwashirikisha wananchi,ni halali,lakini wananchi wakihoji ni kuchochea vurugu, kupinga maendeleo, ni kushirikiana na mabeberu kuipinga serikali ili kuvuruga Amani ya nchi!!? Hii ndio lugha ya wachache katika serikali ya ccm kwa wananchi tuliowapa dhamana! Isaya33:1,7-10 Tuwalaani kwa sauti kuu, wasikie,na Mungu atusikie vilio vyetu.
@danieljonkey-vh8fc
@danieljonkey-vh8fc Жыл бұрын
Mungu awaone vingoz ambao wanalikana Taifa hili kama Ni kweli nchi yetu inauzwa Mungu hatanyamaza katika hili
@EmanueliSimbwe-ru5fu
@EmanueliSimbwe-ru5fu Жыл бұрын
Hapo sawa Baba Askofu Mungu akupe kutokunyamaza
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
Hawa ndo watumishi wa mungu tunao wahitaji! Mbona kwenye mikutano ya ccm waga wanakwenda? Baadhi ya viongozi wa dini siku izi wamekuwa wanafiki sana na wachumia tumbo tu
@ZabroniGimonge
@ZabroniGimonge Жыл бұрын
Tuokolee inchi huyu rais hafai kutongoza kwa mwana mke ni kiumbe dhaifuu
@GOTRIPMLELWA
@GOTRIPMLELWA Жыл бұрын
Hakika rais Samia umeikosea Sana nchi hiii inakubid utubu
@ShaibuMniwa-gy8do
@ShaibuMniwa-gy8do Жыл бұрын
Mama mimi ni muisilamu Ila mama mh SAMIA Chukua haya Maneno Yafanyie kazi haya Mimi nimemwelewa HanaBay yako xaiiii Iiii imeogea kasikazini Bado kuxali
@choggysly3541
@choggysly3541 Жыл бұрын
Nenda wewe
@daudilfrans996
@daudilfrans996 Жыл бұрын
Kwa uislam was mama Samia umefanya nini
@upendomwamwaja7874
@upendomwamwaja7874 Жыл бұрын
Mungu akutetee mungu akutunze baba ,,mama nakuomba fuata ushauri huu
@kaundavyoseena6514
@kaundavyoseena6514 Жыл бұрын
Msema kweli huyu Mtu. Viongozi wengine waoga yumkini hata wa dini!
@MosabiManga
@MosabiManga Жыл бұрын
Tunaomba viongozi wetu wanapokosolewa wasiwe wakali na kutoa vitisho maana yake ni kwamba hatuko huru na basi elimu isiwepo kwa watu basi wawe wote wajinga katika taifa fanya kazi ya watu viongozi na wasikilize watanzani wanataka nini na nini hawataki hapo haki itakuwapo
@faridhassan6834
@faridhassan6834 Жыл бұрын
Uko sawa bro,mimi niko zambia ila kila kona wazambia wanaokuja Tanzania sasa hivi wanasema Tanzania ni kama new York,na kubwa wanaongelea watu walivyokuwa wakarimu na usalama,maadui hawapendi hii watatumia kila njia tukuharibia ni wakati wa kushikana
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Жыл бұрын
viongozi wa dini msirare drc viongozi wa dini hasa wa katoliki ndio warisababisha kupata katiba mpya pia tz mnaweza kutuokoa kutoka kwa mkoloni mweusi ccm
@benedictoshadrack2573
@benedictoshadrack2573 Жыл бұрын
Hivi kumbe ukihoji mkataba huo wa bandari inakuwa kosa tena duuh ama kweli nchi hii haki nikizungumukuti Mungu tutetee na utusaidie pia
@laborapetro5117
@laborapetro5117 Жыл бұрын
Sio kweli huyu mzee muongo hakuna mkataba wa bandari kunabmakubaliano ya Dubai na Tanzania.. maana yake mkataba wa bandari hakuna na hawa wote wanatumika na wale wanufaika wa bandari
@TedyMatiku-tr8qw
@TedyMatiku-tr8qw Жыл бұрын
Umeongea vizuri Sana mzee kama mchungaji na kama mzee waheshma mshauli tu mama asiruhusu bandari zetu kwenda
@anatorylukosi9359
@anatorylukosi9359 Жыл бұрын
Hakika wewe ni kiongozi wa DINI,, MSEMA UKWELI.
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
Sasa basi hii DP World tuwape Zanzibar,Zanzibar wanaitaka leo DP World,sababu itakuwa Dubai ya Afrika,lakini basi, msije mkafanya choyo na husuda,
@elikarimugayewi3105
@elikarimugayewi3105 Жыл бұрын
Zanzibar ni Tanzania
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
@@elikarimugayewi3105 sasa ni sawa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania,na bandari Tanganyika ina mamlaka yake na Zanzibari ina mamlaka yake y bandari,kama hamuwataki DP world wapeni Zanzibar,msimsingizie Mama yetu Samia mambo mabaya,msitunge mambo ya uwongo,umesema kuna genge,hilo sio kweli,maaskofu wenzako wamesema,mama anaiuza nchi,leteni ushahidi,wacha ujanja ujanja,una Jambo lakini utalitapika
@nurdiniissa2508
@nurdiniissa2508 Жыл бұрын
Ingekuwa rais mkilisto isingeona
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Жыл бұрын
kweli
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
MNAPATA SHIDA NA BANDARI.KWA KUWA NDIO UTAJIRI WENU UNAPOTOKEA. MBONA WEWE UNAMSEMA RAIS HAYUPO HAPO.WACHA UPPTOSHAJI
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 Жыл бұрын
👍 akili kichwani mwako kuna watu wanajidai wanaipenda nchi yetu lakini kinyume chake wao ndo walambaji wazuri wa nchi mfano mzuri wakati wa magu wale wanaoitwa viongozi wa dini ndio walipo kutwa na ma milioni ya Pesa na magu alipo watishia wakatangaza kurudisha .sasa hebu kuweni viongozi wa dini wakweli sio mlaghai wananchi kuichukia serikali yao kwa7bu zenu binafsi kama mna lenu na hiyo bandali basi semeni tujue .🇹🇿 Tuache serikali ifanye kazi yake kwakuwa mhe raisi ana washauri wake TUMHESHIMu
@hasannrazarro
@hasannrazarro Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana baba, umesimama Kama Yohana na kumwakilisha Mungu wa haki. Bwana Yesu akutangulie.
@godlovengonde6636
@godlovengonde6636 Жыл бұрын
Ahsante Baba, hakika umetumwa na Mungu. Umenena vema sana
@ahimidiwerishya8523
@ahimidiwerishya8523 Жыл бұрын
Amina mtu wa Mungu. Mwenye masikio na asikie sababu inauma sana kweli sikumtegemea rais kufanya maamuzi haya
@kifakaraomar6598
@kifakaraomar6598 Жыл бұрын
Mwenyewe umesema mnafanya comedy hata kwenye Dini, ni huko kwenu mnaobariki hata Ushoga , ila jiangalie wewe na msura wako kama kibaka eti unawaambia masheikh vueni kanzu kwa ajili ya Nini kwa kafiri we kibaraka mdogo sana
@RachealMndambi-kv9sd
@RachealMndambi-kv9sd Жыл бұрын
Eee Mungu Tunusuru,Tusaidie,Ingilia kati.Tupe hekma na busara za kuchanganua mambo.Aameni
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Sasa naanza kujifunza Jambo naninakumbuka, maneno ya magufuli kuwa mtanikumbuka kwa mazuri ai kwa mabaya,sasa tunamkumbuka , mungu mrehemu ,yaani sunia hii basi tu,tuliombee Taifa letu
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Tunahitaji hospital ya Kanda ya kaskazin ijengwe Arusha tuachane na KCMC na hospital ya Kanda ya ziwa ijengwe mwanza ili tuachane na Bugando zinakwepa Kodi hospital za kanisa kupitia partnership imefika mwisho ndo mana mnatumika kukataa wawekezaji wa Dubai manogopa na mitambi yenu mumekuza vitambi tu
@MayekaSaimon
@MayekaSaimon Жыл бұрын
Ok,rakini,kwa,uongozi,huu,inawezekana
@MayekaSaimon
@MayekaSaimon Жыл бұрын
Jibu
@lovely-mq4rg
@lovely-mq4rg 2 ай бұрын
ujinga umetoka nje y mstari,viongozi w dini n waaumini wako,wengine tunakuona hujielewi
@nurdiniissa2508
@nurdiniissa2508 Жыл бұрын
Msitutishe bwana mkataba uendelee kama bunge limelizia
@iddymuro
@iddymuro Жыл бұрын
Huo ndiyo utumishi bora wenye kumpendeza Mungu badala ya kumpendeza binadamu atakayekufa kama wengine
@ErickJohn-c3h
@ErickJohn-c3h Жыл бұрын
Hongera,watanzania tuwe wamoja
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 11 күн бұрын
Sisi watanzania.tulilaniwa.nanan?.mnapoteza.mda.kukiliza.upuuzi.kama.huowatu.wanfunga.ndoa.za.jinsia.moja.hamkemei.maongelea.vyama.huu.ni.ujinga.ulopitiliza
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 Жыл бұрын
Safi sana Askofu, ikibidi tufunge na kuomba walau siku 3 ili liwakute jambo zito mpaka mkataba ufutwe
@lameckluyungu6737
@lameckluyungu6737 Жыл бұрын
Kwa nini hawana uchungu na nchi yetu, hawakumbuki waarabu walitufanyia nini wakati wa ukoloni, rushwa imewapiga upofu Tunataka bandari zetu zibaki.
@YaziduHante
@YaziduHante Жыл бұрын
Kwel na tumbo zao zinatufanya tutaumia wote
@JeremiahMugeta
@JeremiahMugeta Жыл бұрын
Jeremia mugeta kutoka mara tz@@@😢😢😢 Asante sana baba askofu mungu akulinde,maana umewambia haki na kwel kuhusu bandari yetu maana ndio injini ya nchi,,,na wazo langu Kama sio katiba ya nchi huyo rais alikuwa ni WA kunyonga,
@aliothman7930
@aliothman7930 Жыл бұрын
Wapenda bure mmekwisha
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 Жыл бұрын
😄😄😄Ukiona Mtumishi wa Mungu anajihusisha na siasa ujue mbele za MUNGU hasomekiii huwezi kumtumikia MUNGU na siasa 🇹🇿🇹🇿 Wanaoongozwa na ROHO wa MUNGU hao ndio wana wa MUNGU
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
CHADEMA NA MAASKOFU LAZIMA WAPINGE KUBINAFSISHWA BANDARI...MAANA HUWA WANANUFAIKA SANA NA HIYO BANDARI ...MFANO KONTENA INAANDIKWA IMEBEBA BIBLIA KUMBE NDANI KUNA MA RANGEROVER ....WATANZANIA MUWE NA AKILI....KUNG'AMUA...
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
He kumbe
@mfaumesangwa1106
@mfaumesangwa1106 Жыл бұрын
Kumbe hiki ni chama Cha ki dini !!!!!!!! Nilikua sijui ila Sasa nimezinduka kinachofuata ni QUR ANI. 109:1-6 . KIVYENU NA MAKOROKOCHO YENU.
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 Жыл бұрын
Kunawatu wanazani watanzania ni wapumbavu ,nawaonea huruma sana maana Kila dhambi italipwa hapa hapa duniani
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Kumbe kuna watu Imani zao haziwazuii kusema uongo?!Tafsiri huo mkataba halafu mtusomee hadharani tuujue. Sio kupiga kabobo zisizo kuwa na mpango.
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 11 күн бұрын
Wengi.ni.vibaraka.wa.manyang'ao.hata.huyu.asikofu.kahubili.kanisani.watu.wakwanaangamia.kwakukosa.maalifa.ndoa.za.jinsia.moja.mnakalia.siasa.vichwa.tu.....
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Ni kweli mbowe alikuwa wa kwanza kutadhaharisha watanzania tumeliwa na huu mkataba .Mbowe Mungu akubariki sana.!
@nunguhassani1743
@nunguhassani1743 Жыл бұрын
WATU WASIOONA Wana AKILI na VIONGOZI wazuri sana TUNAO KWENYE UONGOZI NA kipofu so Nemo zuri huitwa WASIOONA rekebisha Hilo kiongozi ILI IENDELEE na MAFUNZO ya MIKATABA
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 11 күн бұрын
Tanzania.sasa.imejaa.matapeli.yanajificha.nyuma.ya.jina.la.mungu.nakuwapokonya.mali.masikini.Tunamshukulu.Makam.wa.Rais.ameliona.hilo
@JustineSasu-cg6pp
@JustineSasu-cg6pp Жыл бұрын
Kwa hili la Bandari hekima lazima itumike kwa kudumidha amani na usalama wa nchi, Serekari, na vyama pinzani sharti vikae pamoja na vilimalize jambo hill.
@AnnaniaNzelani
@AnnaniaNzelani Жыл бұрын
Jamani kiukweli hii nchi tusikae kuogapana, sasa mnatupa elimu ya nini Jamani. God bless our country give us peaceful mind.
@salumbinabed6906
@salumbinabed6906 Жыл бұрын
Kosalake raisi ni kuruhusu mi kusanyiko yakisiasa
@amosmganyizi7544
@amosmganyizi7544 Жыл бұрын
Uko vizur askofu
@mohamedirwambo5193
@mohamedirwambo5193 Жыл бұрын
Acheni kuingiza siasa na mambo ya dini mnachokitaka mtakiona acheni izo Banda km kawaida unafiki Tu uyo
@ClementinakapewaLihepali-pg5lo
@ClementinakapewaLihepali-pg5lo Жыл бұрын
Sema mzalendo wa kweli
@aloycegasper5188
@aloycegasper5188 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Neema wajalie viongozi wetu walete umoja na amani wawezi kutuongoza vema ktk hili la bandari lisituumize kwa maslahi ya wachache
@tumainiezekia5873
@tumainiezekia5873 Жыл бұрын
Tumepat mtu sahihi wakutusemea jmn Mungu tusaidie lipite
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 Жыл бұрын
Hatuwezi kuunga mkono usenge ,nyinyi ndio kina obama ,kwenye biblia kuna maandiko ya dini yenu yanayokubali wewe nikutoe bikra ya tako lako lako la uzee,,...mnanikumbusha kipindi cha cuf watu walishamwaga damu ,njoo wewe kwenye maandamano 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,nikuone ntafurahi sana..
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Жыл бұрын
Hilo genge la majasusi was magharibi, wanalinda uchimi wa nchi zao zinazopigwa na urusi. Mama ana kazi Moja tu ...........
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 11 күн бұрын
Hakuna.mchungaji.wala.baba.asikofu.atakae.uona.ufalume.wa.mbingu.hayupo.Tanazania.hapa
@willykyando5647
@willykyando5647 Жыл бұрын
Tuwape zanzibar huomkataba.kama mali zote nizamuungano
@daudilfrans996
@daudilfrans996 Жыл бұрын
shida bandari yetu imeingiana na siasa na udini tufate dini . tuache siasa alafu chadema Kuna ukabila na udini mwalimu Nyerere. alikaza udini mama yupo vizuri tuache udini
@franksanke5442
@franksanke5442 Жыл бұрын
Una akiri
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Ni NENO la wakati ndilo litaiponya SI Tanzania tu bali dunia nzima, naomba mnipe nafasi ya kufundisha katika media zenu .
@olivaerasto6669
@olivaerasto6669 Жыл бұрын
Mungu ni WA haki.kitafahamika kimoja wapo.Mungu atawaumbua
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Жыл бұрын
ni kweli maana wanalazimishamkataba mbovu na hao wanao tumwa kusumbua viongozi wa dini walamba asali hawajali mali adili za taifa
@feristadaudi6599
@feristadaudi6599 Жыл бұрын
Mchugaji tumwombe sana mungu tuko nyakati za mwisho paspo mungu hatujui twedako
@SalimaOmary-sf4qe
@SalimaOmary-sf4qe Жыл бұрын
Mbona alivyoongeza ajira na mishahara hamjaongea mbona wachina wamewekeza British wamewekeza hamjaongea
@NeemaJulius-qo2xz
@NeemaJulius-qo2xz Жыл бұрын
Mungu wetu tunakuomba utusimamie Kwa ajili ya hili
@panadomadola3064
@panadomadola3064 Жыл бұрын
Ongera baba kwa maneno ya kujenga
@aronligazio7403
@aronligazio7403 Жыл бұрын
Hili ni taifa nzuri saana, Kuna mahala tunapenda....
@fidel7im
@fidel7im Жыл бұрын
Aya ni mwezi sas . Hilo jambo atari lililo tokea liko wapi😅😅😅😅😅😂😂😂 njaa Atari nyie
@manswetitsuut
@manswetitsuut Жыл бұрын
Ninachoshangaa ni Kwa nn hu mkataba unaqaqaniwa kupitishw na viongozi wachache? Kitu hakina time frame kisheria siyo, tuwekewe wazi publicly turekebishe madhaifu siyo kwamba tunakataa uwekezaji tunataka haki itemdeke
@salumbinabed6906
@salumbinabed6906 Жыл бұрын
Yes muheshi miwa Samia tunakuombo waznzibari tupe sisi hiyo dp world
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 Жыл бұрын
Rais Mwinyi siyo mjinga ...HAWEZI KUUKUBALI MKATABA KAMA HUU.
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Жыл бұрын
semeni Saba watu wa mungu, tuko nanyi pamoja
@renatusideogratas-qr6en
@renatusideogratas-qr6en Жыл бұрын
Mungu you pamoja na wasema kweli watanzania atujalala bunge limepowa Sana ata miradi mingi atujui atima yake.
@josephambrose2215
@josephambrose2215 Жыл бұрын
Safi sana Askofu, wachane ukweli Samia na ccm yake
@daudilfrans996
@daudilfrans996 Жыл бұрын
mashekhe walikaa ndani miaka kibao mbona nyie mlikaaa pembeni mpk Leo kuna mashekhe ndani mmenyamaza Mimi naona Kuna kitu ndani ya bandali tatizo sio bandali
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me Жыл бұрын
Mikataba mingi imefungwa na wewe ulikuwepo ukakaa kimy leo bandari unakuja juu kisa udini tu hakuna jengine
@GOTRIPMLELWA
@GOTRIPMLELWA Жыл бұрын
Brother Hilo halivumiliki
@meryfrank5272
@meryfrank5272 Жыл бұрын
Safi sana askof hiyo ni mzr, kitu vzr so serikalini tu ata vitu vyako binafsi huwezi kuachia kiholela jamn ,
@FrankLuvanda-e8l
@FrankLuvanda-e8l Жыл бұрын
Toboa
@Master-ww7ur
@Master-ww7ur Жыл бұрын
Wape vidonge vyao baba wanajiona wana akili kumbe hamna lolote
@kamishina7853
@kamishina7853 Жыл бұрын
Gazeti la mwanahalisi Limewataja wenye mkataba huo wa bandari mubovu Wamelitishia kulishitaki gazeti hilo
@SadallahedwardBataza
@SadallahedwardBataza 4 ай бұрын
Roma waraka wao uliishia wp? Kimepta nn ktkt hapa? Mpaka waumin tusiletewe hata mlejesho wawaraka? Maana bandari tayali zimeshauzwa !!!!
@joyceathanasi8435
@joyceathanasi8435 Жыл бұрын
Watanzania tuendelee kupiga kelele mpaka kieleweke,Mungu awabariki na kuwalinda.
@aloycegasper5188
@aloycegasper5188 Жыл бұрын
Amina❤
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp Жыл бұрын
DAMU YA YESU UKUFUNIKE MTUMISHI WA MUNGU . SIMAMIA HAKI NA MUNGU WA HAKI ATAKUWA UPANDE WETU.
@AdamuMakemba
@AdamuMakemba Жыл бұрын
Hapo ndo tunapoambiwa tuna udini ,kulikua na haha gani ya huyu MCHUNGAJI kuja kuongea haha kwenye mkutano wa chadema ,hatuwezi kushika nyadhifa kubwa hatuwezi kuwashawishi wapwani hata mm mnanitia Shaka
@JakiMwenyewe
@JakiMwenyewe Жыл бұрын
Nimipango ya Samia kikwete nk
@josephchris7043
@josephchris7043 Жыл бұрын
Wakristo huwa hawaogopi kusema ukweli na huwa wapo tayari kufa kuliko kuuficha ukweli ndo maana ukweli wa Nyerere ndo maana alikufa ukweli wa mkapa ndo maana alikufa ukweli wa magufuri ndo maana alikufa yaani wakristo huwa wapo tayari kufa kuliko kuuficha ukweli
@salumbinabed6906
@salumbinabed6906 Жыл бұрын
Mbona alipo kuwepo magufuli hamku sema chochote
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
HAMNA POINT. KIPINDI CHA MAGU TULIVURUGWA MLIKAA KIMYA. UNAJISAHAU ATI ALELUYA. MUNGU ANAKUFEDHEHESHA.HUO NI MKUTANO WA CHADEMA HAO MASHEIKH NI NJAA TU.
@saidishamte635
@saidishamte635 Жыл бұрын
Wewe usimshirikishe mh mufti katika mambo ya uchochezi wenu .kwani mufti kusema tuiombee inchi yetu amesema Hana au Leo .amesema kuombea Dua ni mda mrefu Sana.tangia aingie madarakani .Sasa hakuna kuwarubuni waislamu na huna uwezo huo.
@AliZm-r2d
@AliZm-r2d 17 күн бұрын
Ww chungaji achana na siasa . Serikali haina dini . Wahubirie wafuasi wako maandiko ya bibilia . Wacha ujinga ww mchungaji . Siasa na Yesu ni vitu viwili tofauti .
@gideonibatangaki1317
@gideonibatangaki1317 Жыл бұрын
Tufe kwaajiri ya watu wachache, eewemungu asie shindwa tenda miujiza penyeukweli pasua na kuangamiza mioyo yawatu wenye njaa,wanaotaka kujaza matumbo yao nakuangamiza watu wingi.
@Pius-p6d
@Pius-p6d 8 күн бұрын
Kubwa tuiombee Amani Nchi yetu jamani.sio munaunga mkono tu huko mbele hamjui kitatokea nn.hayaa.
@edwinmhema3191
@edwinmhema3191 Жыл бұрын
Bora jesh lichukuwe nch Kama raisi hawezi kuwa na mfumo Sheria hii bandar makubaliano jamani hata nyumba ya kupangisha inamkataba
@Pius-p6d
@Pius-p6d 8 күн бұрын
Umesema mkutano si wachadema sa mbona umewashukuru chadema.Jamani naomba musiwe wachonganishi.hayaa.
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 7 күн бұрын
Mnao Mkosoa Mama Samia Wt Wachungaji Watumishi Wa Mungu Mnaoongea Na Mungu Mnaokwenda Mbinguni Mkarudi Jamani Mbona Wasikii Wa Dini Nyingine
@TanaKingofsodier
@TanaKingofsodier Жыл бұрын
Mbona nyinyi waakristo mnashida Sana mbona mchanga u likuwa unasombwa hmkusema wenu nyinyi udini
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 Жыл бұрын
Ifike wakati watu waoji haki za muungano inakuwaje mzazibari aruhusiwe kumiki ardhi bara lakini mtanganyika hawarusiwi kumiliki ardhi Zanzibar muungano wa haina gani isiyo na haki katika usawa huu ni ukiukwaji wa katiba ya nchi inaongelea usawa
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 Жыл бұрын
Shida ni huo uislam tu,kama kweli huo sio mkutano wa dini huyo yesu unamuimba hapo wa nini,wee payuka tu lakini muwakilishi wako kashaupitisha
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 5 ай бұрын
Hakuna kiongozi yeyote mwenye asili ya tanganyika(bara) awe wa kisiasa , kidini au wa kijamii mwenye nia njema na znz iwe huru au iwe na mamlaka yake kamili Kwa nini hivi vyama vya kisiasa vya upinzani visiwe na sera fanani juu ya haki za waznz Unaafiki mtupu, woote hao ni kuipendelea tanganyika na rc yao tuu baas!!!
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 3 ай бұрын
Na Samia ni fundi wa comedy, lkn mwakani ataipata fresh. Atangoka TU madarakani
@mttanzaniamalimilo6657
@mttanzaniamalimilo6657 Жыл бұрын
Hamna lolote nyie watu wa makanisa mmeguswa kwenye maslahi yenu kwa hiyo bandari ndio maana mnatumia nguvu kubwa kuupinga mkataba wa DP, ammbao utakua na maslahi mapana kwa taifa,
@MuyuyiThesecond
@MuyuyiThesecond 7 ай бұрын
Nimeamua salama na family yangu nimetafuta mikono imepeleka kinywani nashkru Mungu..,, maana nchi hii hakuna mwanasiasa wala mwanadini naona wote waigizaji tu.
@MayekaSaimon
@MayekaSaimon Жыл бұрын
Michaeri,tambora,warioganisha,hawakujuwa,hiri
@josephat66
@josephat66 Жыл бұрын
Hayo mapya na mazuri sana.. jmn nchi hii ni watu wote wenye elimu, masikini, kipofu,kirema,bubu,mtoto hivyo muliopewa mamlaka na makundi yote haya ebu jitafakarini kwa hali hii mtafanya kirema atembee na bubu aongee.. Dah namkumbuka JPM
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Askofu Si Ana UJINGA kichwani Kama Wewe Mweny Channel hii.
@EzekieliKatigizu
@EzekieliKatigizu Жыл бұрын
Mmedungwa sindano za korona
@kutikavu-jk7ue
@kutikavu-jk7ue Жыл бұрын
Rais mbona zanzibar bandari umeziacha huru kwa nini huwapeleki huko waarabu!
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Жыл бұрын
Amina Baba Ubarikiwe umenena bila hata kuogopa
@omarimohamed1563
@omarimohamed1563 Жыл бұрын
Nyie wakristo mnaudini sana mbona nyie nyerere amewabeba sana nyie Ni wajinga sana
@faustafaustin9828
@faustafaustin9828 Жыл бұрын
NYIE NYIE VIONGOZI WADINI MBONA HAMNA ATAABU NYIE MBONA MNATAKA KUSABABISHA UMWAGAJI DAMU HII NCHI SIYO YA UDINI MTATUKIMBIA HUBURI NENO LA MUNGU
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 74 МЛН
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 11 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН