HUYU NDIO MKALI WA IZI KAZI SHEKHE HAFIDH LEO FAHARI NEW OFFICIAL VIDEO QASIDA

  Рет қаралды 3,191,999

Future Media

Future Media

Күн бұрын

Пікірлер: 630
@IdrisaSachu
@IdrisaSachu 12 күн бұрын
Na mimi nitaowa inshaallaah tuseme kwapamjola amiiiin
@none9575
@none9575 5 жыл бұрын
ma shaa Allah ..kama unapnda qaswda zake ustadh hafidh weka like hpa in shaa Allah hadumu zaidi pnda sana 💝
@سلامالندابي
@سلامالندابي 5 жыл бұрын
Bakari Hamisi MÁŚĤÁÁĹÁĤÚ ŶÚP vizulisan
@alfaiedmohamed9622
@alfaiedmohamed9622 5 жыл бұрын
@@سلامالندابي o
@alfaiedmohamed9622
@alfaiedmohamed9622 5 жыл бұрын
@@سلامالندابي N
@salmanjalale8591
@salmanjalale8591 5 жыл бұрын
Mashallaaaaaaaaaaaah Like na comment piaaa
@mamymamy7938
@mamymamy7938 5 жыл бұрын
Yan napenda qaswida za Ustaz Hafiz nataman nisome na mm ila sijuw ktunga😭😭😭😭😭anaejua kutunga anitafute 93354389 namba hiyo au hii 0776432846
@abdulkadirsuleimanhaji831
@abdulkadirsuleimanhaji831 4 жыл бұрын
Dah shehe hafidh ww huna mpnzan.anaesema shehe hafidh fund agonge like apa chini
@zainahatibu4901
@zainahatibu4901 4 жыл бұрын
iiiiihhhii huh i iopioid hiuu99ii9ixoxo uHi ugu8Yuh8uu8I in hu
@abdulkadirsuleimanhaji831
@abdulkadirsuleimanhaji831 4 жыл бұрын
@@zainahatibu4901 vp tena mbona ivo?
@zainahatibu4901
@zainahatibu4901 4 жыл бұрын
@@abdulkadirsuleimanhaji831 maashallah
@abdulkadirsuleimanhaji831
@abdulkadirsuleimanhaji831 4 жыл бұрын
@@zainahatibu4901 hahahah sw mana ile lugha nlfkr unataka kuaandka kombe
@aliathman8542
@aliathman8542 Жыл бұрын
Ust .Hafidh pekee namkubali na wanafunzi wake Allah awazidishie
@Tariqxxtenations
@Tariqxxtenations 5 жыл бұрын
Mashallah.ila kama umemuona mama alovaa nguo när mtandio wa bluu anavyojimwaga gonga like hapa😂😂😂
@joharikitano1345
@joharikitano1345 5 жыл бұрын
Radhia Salum kacheza kwakweli kama kaimbiwa yeyee
@halimajuma5515
@halimajuma5515 4 жыл бұрын
umenifanya nicheke kw saut
@jamilaibrahim2927
@jamilaibrahim2927 4 жыл бұрын
Mashallah
@zuwenahamad6178
@zuwenahamad6178 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Tariqxxtenations
@Tariqxxtenations 4 жыл бұрын
@@joharikitano1345 sana
@halimamshami3279
@halimamshami3279 5 жыл бұрын
Bismillahi mashaaAllah qaswida nzuri na maharusi walipendeza rabby awadumishe, na tulio single rabby atujaalie waume wenye kheyri na sisi na kheyri mbele yake.
@hamilijeshijeshi2092
@hamilijeshijeshi2092 5 жыл бұрын
a
@husnaissa8459
@husnaissa8459 5 жыл бұрын
Mashaallah bi harusi nguo yake nzuri ,kapendeza san nawapenda wote
@ibrahimjuma2587
@ibrahimjuma2587 4 жыл бұрын
Kaz nzur shekh hafidh pamj na mashair yako bila ya kumsahau producer wak na director wadau wng like here
@salmaissa6217
@salmaissa6217 5 жыл бұрын
Mashaallah jamn hafidh msimfananishe na diamond hawafanan kabsa
@hafswaramadhani5705
@hafswaramadhani5705 4 жыл бұрын
Mashaallah ,diamond haoni kitu
@sofisofisanatuwamezidikumf884
@sofisofisanatuwamezidikumf884 4 жыл бұрын
kunako elekea mondi akasome daah
@alimishiadam7144
@alimishiadam7144 4 жыл бұрын
Kweli jama
@salmanjalale8591
@salmanjalale8591 5 жыл бұрын
Mashallaaaaaaaaaaaah mashallaaaaaaaaaaaah mashallaaaaaaaaaaaah ahlul MADINA nawapenda Nawakubaliiiiiiiii Saaaana.... Natamani niwaalike kwny harusi yangu 20.....
@zulfawaziri4906
@zulfawaziri4906 3 жыл бұрын
Mashallah
@fahimaamar2674
@fahimaamar2674 3 жыл бұрын
Mashallah nyimbo nzuri lakini dini inakataza mtangamano wa wanaume na wanawake, hio kucheza mbele ya wanaume imeaharibu kbsaa
@sshigsshigow
@sshigsshigow 3 жыл бұрын
KWELI
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 5 жыл бұрын
MashaAllah bi harusi nguo yake nzuri, kapendeza pia makeup nzuri na face yake yupo mzuri pia mwenyewe MashaAllah 👌
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 4 жыл бұрын
Mm nakupenda ww
@ajuzabakari6533
@ajuzabakari6533 4 жыл бұрын
Jmn
@aliathman8542
@aliathman8542 Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah ustadh hafidh kazi njema qaswida tamu xnaa 🥰
@mustafasalum2778
@mustafasalum2778 5 жыл бұрын
Dah sheh khafidh nimeikubaali kaz iko vyemaaa ma shaa allwah
@najmashenyalo6763
@najmashenyalo6763 Жыл бұрын
Nisha pokea kaka angu napenda hii kasida mzuri mashallh
@HijraKasim
@HijraKasim Жыл бұрын
Mashallh qswid nzur sichok kukusikiliza wew ostah hafidhi nakuombea dua njema akuzidishie maish marefu Ishaallh pia namim niombee san amen
@mbaroukmaundu897
@mbaroukmaundu897 5 жыл бұрын
Allah mlinde ustadh hafidh na husda za wabay
@maimunaissa6905
@maimunaissa6905 4 жыл бұрын
Amiina lnshallwa hafidh Yuko vixuri sana
@abdulmgunda1510
@abdulmgunda1510 3 жыл бұрын
Asalam alaykum jamia jamani mm namtaftia mdogo wangu madrasa apate kumjua vyema mwenyezmungu na ntume wetu muhammad (s w )
@aishaibrahim3312
@aishaibrahim3312 4 жыл бұрын
mashaAllah qaswida nzuri sana...I like it ... Allah akuzidishie umri
@muskhabislamsalum382
@muskhabislamsalum382 5 жыл бұрын
Mashaallah sheikh hafidh Uko Juuu Nakukubal maisha
@atickmwabule4144
@atickmwabule4144 3 жыл бұрын
Napenda mnacho kifanya ila kinakitu cjakipenda na niwemuwazitu yule mdgo wako Alie mtoa jasho uyo rafiki ako masauti kwenye ile mliimba yanimwagika machozi yangu yuwapi yule ajua sana nae mwamuweka nyuma sana kijana yule
@aisharajabu8634
@aisharajabu8634 5 жыл бұрын
Mashallah duh yan shekh ww ah subut unatisha Allah akuongoz kweny kipaj kizd zaid ya hap
@azizayahya2704
@azizayahya2704 4 жыл бұрын
Mashaallah
@khadijamussa3831
@khadijamussa3831 4 жыл бұрын
Nzur saaanaaaaa uko vizur
@moyoabass2622
@moyoabass2622 4 жыл бұрын
Waoooooo
@suhaifamasoud4965
@suhaifamasoud4965 4 жыл бұрын
mashaallah ust hafidh mungu akuzidishee 😍😍😍
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Masha Allah 👏 👏 👏 hongera sheikh nakupenda sheikh wangu kazi nzuri
@madinamgomba3166
@madinamgomba3166 5 жыл бұрын
Mashaallah nawakubali sna
@zaidinashaban4594
@zaidinashaban4594 4 жыл бұрын
🍹
@abedamohamed2336
@abedamohamed2336 5 жыл бұрын
Mashallh shehe hafizi mwajitahidi yakhee nawapenda bureeeeee
@halimampoyo6082
@halimampoyo6082 5 жыл бұрын
nimekubali kazi yako mzuri shehe mashalla
@kafichekafiche7156
@kafichekafiche7156 4 жыл бұрын
Mungu akujalie nimefurah sn kuisikia hii nyimbo
@omanseeb9213
@omanseeb9213 5 жыл бұрын
Nakupenda sana shehe ila hii kaswida sasa mziki ni bongo flaver
@zainahatibu4901
@zainahatibu4901 4 жыл бұрын
Maashallah qaswida nzuri sanaa rabii akuzidishie umri
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 5 жыл бұрын
Hongera sheikhe khafidhi kwa kipaji chako ulichojaaliwa na Allah nyc 👍
@yunumsura7397
@yunumsura7397 5 жыл бұрын
Ww mashaalah una kipaji hicho pamoja maana vigongo vyako akiingia zungu ndo anamaliza..📢📢📢📢🎓🎓🎓🎓
@zaynabahmed5267
@zaynabahmed5267 5 жыл бұрын
Uislamu haujapinga kusherehekea ila tangamano wake kwa waume haramu. Mungefungiwa pazia ingekua Bora
@ayshajumaa7310
@ayshajumaa7310 5 жыл бұрын
Hii qaswida sichoki kuitizamaa mashaallah hadi natamani ndoaa❣❣
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 5 жыл бұрын
Wanawake acheni kucheza hivo mbele za wansime sio vzr kwa mwanamke kutipuka mbele ya wanaume na Dunia mzima inawatizama muko ktk hali hiyo
@stephenmalenya2873
@stephenmalenya2873 5 жыл бұрын
Mwili ni wao
@isayagerald4356
@isayagerald4356 4 жыл бұрын
Mko good
@isayagerald4356
@isayagerald4356 4 жыл бұрын
Nikweli
@najmashenyalo6763
@najmashenyalo6763 Жыл бұрын
Mashalllh mashalh napenda navo cheka .wapendeza mashalllh
@abdallahmuhammad4729
@abdallahmuhammad4729 5 жыл бұрын
MashaLlahu Qaswida mzuri yenye mafunzo kwa hapo Sheikh Hafidh na kupongeza ela kdg kasoro iliyopo ni madda zetu kucheza hali yakua Vedio hii ulimwengu Mzima inaonekana kwakila mwenye kuingia kwa KZbin ambapo ni kinyume na Sheria za uislamu.Naomba kwa hapo kdg kue na marekibisho Shukran.
@yoooyooo4270
@yoooyooo4270 5 жыл бұрын
Abdallah Muhammad
@rahmamohammed1108
@rahmamohammed1108 4 жыл бұрын
Allha akuweke shehe hafidhi huna mpizani kwa kweli
@enterenter7798
@enterenter7798 Жыл бұрын
Maa shaa Allah nakupataje uje uniibe kwenye harus yang ❤❤
@maryammukoko6203
@maryammukoko6203 2 жыл бұрын
Mashaalla nice song.kip it up.from Saudia arabia
@shemsamohamed7784
@shemsamohamed7784 4 жыл бұрын
Shekh hafidh m.mungu akuzidishie kipaji choko mpk utuuzimani uendelee kutupa vigongo km hiviii nasaut yako murua maashallah
@HalimaMwamzuka
@HalimaMwamzuka Жыл бұрын
Sichoki kuskiza hii qaswida, hongera Hafidh
@MejumaaSalym-el8dv
@MejumaaSalym-el8dv Жыл бұрын
Maxhallah 🤲 mungu awabarikie awape bi harusi na bwanaharusi maixha marefu
@allyjuma3513
@allyjuma3513 4 жыл бұрын
Mashallah mung awape wepec kasuwinda Zuri
@muskhabislam3941
@muskhabislam3941 5 жыл бұрын
Mashaallah sheikh hafidh penda sana mw.mung akupe umri mrefu uzid kutuma vitu vikali.🤝🏻🤝🏻🤝🏻
@dullahnasir9827
@dullahnasir9827 4 жыл бұрын
Mashaalah mugu akukuzie kipaj chako shekh khafidh
@hamedabashir9
@hamedabashir9 4 жыл бұрын
Namkumbali sana huyu shekh maana namfuatilia toka 2016
@ashaissa3746
@ashaissa3746 4 жыл бұрын
Mashaalla mashaalla Allah azidishe kila lenye kheri aqaz
@fatinahozza761
@fatinahozza761 Жыл бұрын
Maishallah shekhehafidhinapendakaswidazako naww mwenyewe
@rehemabakali494
@rehemabakali494 5 жыл бұрын
Maashaallah penda sn nyie allah awape umri mrefu
@zaitunihamadi2166
@zaitunihamadi2166 2 жыл бұрын
Mashaallh alhaa akuzidishe kila laheri
@SubiraRasuni
@SubiraRasuni Ай бұрын
Mashallh kasida nzuri sana
@abdulshakur6451
@abdulshakur6451 5 жыл бұрын
Nakukubali best wangu ukovizur sanaaaaaaaaa
@abeidimamu7528
@abeidimamu7528 2 жыл бұрын
Mashaallah hongera sana kazi nzur mno
@maryamfarhaji9491
@maryamfarhaji9491 4 жыл бұрын
Jamn mm naona nimedhini sana nmevaa sana suluaki nataka mwanaume aniachishe aniowe nifanye ibada inshalla mungu ndo anajuwa kuwa namaanisha
@KhadijaNimwecha-we4ed
@KhadijaNimwecha-we4ed Жыл бұрын
Maa shaa Allah sheikh hafidh keep rocking
@FadhiliKidesa-u6d
@FadhiliKidesa-u6d 2 ай бұрын
Mashaallah natamani kuimba qaswida jmn
@hamiskengwa6250
@hamiskengwa6250 5 жыл бұрын
Safi sana qaswida tamu sana allah akujalie kwa utunzi mzuri uendelee ivo ivo
@yusrarashidi6321
@yusrarashidi6321 4 жыл бұрын
Mash Allah
@abdallamohamedi5401
@abdallamohamedi5401 4 жыл бұрын
Namm nampa pongezi
@iddikenzo4904
@iddikenzo4904 4 жыл бұрын
Mashallah qaswida nzur n inafunz
@farhiyafacky8322
@farhiyafacky8322 5 жыл бұрын
Maashallah sichoki kutazama hakuna zaid yenu mnatisha
@zaitunihamadi2166
@zaitunihamadi2166 2 жыл бұрын
Mashaallh alhaa akupe umri mirefu nakukumbali Sana
@hassanally4758
@hassanally4758 5 жыл бұрын
hafidhi utabaki kua juu kila siku mashaalaa hongereni sana
@hezronwamagina2497
@hezronwamagina2497 4 жыл бұрын
Nawakubali san kwa kaswida nzur Allah awaongezee uweza wa kutunga kaswida nyingne nying nzur
@fakihsule5988
@fakihsule5988 5 жыл бұрын
aiseee wee jamaaa unajua daaaaaah
@ahmedkibishow3189
@ahmedkibishow3189 3 жыл бұрын
Zanzibar one uyo hongera babu wa vikunguni kaz nzur
@rukiamusa5796
@rukiamusa5796 4 жыл бұрын
Mashaalah shehe nimeipenda nana hii kaswida
@rukiamusa5796
@rukiamusa5796 4 жыл бұрын
Et shehe huna mdogo wako ambaye hajaoa mm nataka Mme usitaz
@NurdinNdwata
@NurdinNdwata Жыл бұрын
Hongera zake mtunziiiiiii🎉🎉
@maryamhamdan9035
@maryamhamdan9035 5 жыл бұрын
Mashallah Hapana chezea zanzibar 😘
@alimakame9215
@alimakame9215 3 жыл бұрын
Naaimbe tarabu siokasida kunakasida na nyimbo za harusi kaswida humsifu mungu na mtume nayote mazuri aloamrisha mungungu nakukataza mabaya hizi ninyimbotu za harusi acheni kusema kaswida
@suleimankibelenge3548
@suleimankibelenge3548 3 жыл бұрын
Nikwel.hilo
@HahaHerman-tx1cf
@HahaHerman-tx1cf 7 ай бұрын
We une ponda hi kaswida toa yako ili tujue unaesema nikweli maan si wabongu tukiona kitu hatukos la kusem mungu ndo anae jua acha mdomo
@azizayusuph1603
@azizayusuph1603 4 жыл бұрын
Marshall hakika dini ni nzuri
@pilially2521
@pilially2521 5 жыл бұрын
mashaallah allah awahifadhi
@najmamussa9712
@najmamussa9712 3 жыл бұрын
Jamani duuuuu mwenyenzi mungu awabariki
@zulfaomari2045
@zulfaomari2045 2 жыл бұрын
Mashallh kwakweli nawapenda sana 🍎❤️♥️❤️♥️
@mohd7934
@mohd7934 9 ай бұрын
Iyo nguo ya biharusi ni nzuri Sana mashallah
@NasmaIssa-kg3bs
@NasmaIssa-kg3bs 6 ай бұрын
Mashallah Allah akulipe Kila la kher❤
@husseinnihla6501
@husseinnihla6501 2 жыл бұрын
Amed kohen this is Tanzania 🇹🇿 homie
@salmanjalale8591
@salmanjalale8591 5 жыл бұрын
Mbn Khalifa cmuoniiii kaenda wapiiiiii maana mkiwa wote hadi rahaaaaaa Saaaana.......
@khamisomar1297
@khamisomar1297 5 жыл бұрын
Nc
@allymfaki1506
@allymfaki1506 4 жыл бұрын
KASWIDA NZURI ILA NINA WASI WASI NA TUNAKOELEKEA WAISLAM KWANI MCHANGANYIKO HUU UTAHARIBU UISLAMU WETU
@MwanatumuAthmani
@MwanatumuAthmani 11 ай бұрын
MASHAALLAH TABARAKALLAH Sichoki kuzikiliza❤❤❤❤❤
@azizamuhammed6358
@azizamuhammed6358 5 жыл бұрын
Mashallah kasda pmja na bi harus jicho la wabay lisimone
@najmashenyalo6763
@najmashenyalo6763 Жыл бұрын
Naoenda sana hii kasida
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 3 жыл бұрын
Hongera i nyote mungu awalinde na mabaya awape umri mrefu
@mariammganga763
@mariammganga763 5 жыл бұрын
Mashallah SHEIKH HafIdh good Voice❤🙏👌
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 5 жыл бұрын
Naitaka mm hii kwenye harus ya ndug yangu anitungie jee nawapataje wahusika
@muniradaudi440
@muniradaudi440 4 жыл бұрын
Ungujaa
@hamidukashambya6284
@hamidukashambya6284 5 жыл бұрын
allah akujalie kila là kheri kaswida nzuri sana
@abdoolshakuruswalehe546
@abdoolshakuruswalehe546 5 жыл бұрын
Masha Allah ahlul Nadina and sheikh hafidh
@abdulbahorera7305
@abdulbahorera7305 4 жыл бұрын
Shekh hafidh Nzuri kwa hichi kitu ujumbe umefika
@salmaabdallah3648
@salmaabdallah3648 5 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajiuun
@saidyrashidi555
@saidyrashidi555 3 жыл бұрын
god bless you i love so much listening to your songs
@sabrinaharoub6934
@sabrinaharoub6934 4 жыл бұрын
Masha Allah naipnd qadiria sanaaa
@abuuarkam4455
@abuuarkam4455 5 жыл бұрын
Asanté Sheikh Hafidh unajua kuimba
@مونيشاكاتشؤ
@مونيشاكاتشؤ 4 жыл бұрын
Mashallah hiyo nguo ya bibi harusi 👍👍
@hassanmvurya668
@hassanmvurya668 5 жыл бұрын
Shekhe Hafidh bingwa wa qaswida nakuskia nkiwa 254
@halimaosman1555
@halimaosman1555 5 жыл бұрын
Naombeni Namba Ya Sheikh Hafidh Tafadhalini Munisaidie..!!
@mohdjuma7031
@mohdjuma7031 5 жыл бұрын
Unajua kughani shekh hafidh
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 4 жыл бұрын
Mmmh wakina mama wanavyo jiachia mbele ya wanaume !
@abdul-karimwahid6338
@abdul-karimwahid6338 4 жыл бұрын
Wn
@cretusmunshy686
@cretusmunshy686 4 жыл бұрын
i love you chidi zunguuuu💖💖💖👌👌👌👌👌👌👌
@hilalimohd9759
@hilalimohd9759 5 жыл бұрын
Bibi harusi mzuriii huyo bwana harusi ana mashavu kama shume sura mbovuuuu
@yusraabduli6124
@yusraabduli6124 3 жыл бұрын
Mashaallah kaswida nzur sana
@najmashenyalo6763
@najmashenyalo6763 Жыл бұрын
Nataka nitole mimi kasida yangu
@ibrahimhassan1863
@ibrahimhassan1863 3 жыл бұрын
Mashallah sheikh hafidh
@abasamwame6583
@abasamwame6583 5 жыл бұрын
Allah atupe Hidaya tuijue haki tuifuate na tuijuijue batili tujiepushe
@marafundujenzi4315
@marafundujenzi4315 5 жыл бұрын
Maachalldh munguu awazidichie
@xhebbyxhebby9512
@xhebbyxhebby9512 3 жыл бұрын
Amiiina
@rahimaabdallah4906
@rahimaabdallah4906 4 жыл бұрын
Mashaalwa mungu awape umri mrefu
@johnbernad5363
@johnbernad5363 5 жыл бұрын
Hawa jamaa nawakubali sana
Iddy Ahlul madina
8:41
G VIDEO PRODUCTION CHANAL
Рет қаралды 1,6 МЛН
HAFIDH: "HONGERA FAKI.Live,Stejini..QASWIDA.
12:02
MADRASA SHOP TV ONLINE
Рет қаралды 1,8 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Wapeni Njia Warembo
13:06
AHLU MTANGANA Ukhty Dyda
Рет қаралды 1 МЛН
Ali Ismail Amsomea Aisha qasida safi sana
8:39
G VIDEO PRODUCTION CHANAL
Рет қаралды 2,4 МЛН
Ust.Juma Faki-Furaha za Wazazi official Video
10:18
Juma Faki
Рет қаралды 551 М.
SHEKHE HAFIDH  NEW QASIDA AKIMSOMEA LEPA UTAIPENDA #newzealand
6:33
Future Media
Рет қаралды 1,2 МЛН
Sherehe Iyoo/Harusi Si Msiba
8:40
Swahili music
Рет қаралды 704 М.
UKHTY RAUHIA : AKIAMSHA TENA SHANGWE HOLINI MLITAKA NIADHIRIKE hii hapa sasa 2023
13:39
hatua kabla kuacha-madrasa qadiria kaswida
14:47
Eng'Omary Shibe
Рет қаралды 575 М.
Qaswida.mahari
9:33
Dhul Khifli
Рет қаралды 3,9 МЛН
QADIRIA/KHUTBA YA NDOA OFFICIAL VIDEO
9:03
SULESKY
Рет қаралды 1,1 МЛН
Aqaz
16:16
Sayd Mohd
Рет қаралды 223 М.