Huyu ndiye aliyesimamisha hotuba ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.

  Рет қаралды 330,022

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Wengi walishtuka. Hawakujua kwa haraka kilichosababisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, asite wakati akihutubiwa wananchi, wageni na viongozi wenzake jijini Dodoma, kwenye mazishi ya kitaifa ya hayati John Magufuli.
Kumbe, alifanya hivyo, kupisha wito wa suala ya adhuhuri (adhana), ambayo ilimchukua dakika moja na nusu. Hili lilidhihirisha utii wa imani.

Пікірлер: 362
@werehadija153
@werehadija153 3 жыл бұрын
Mashallah kijana mdogo una sauti nzuri ya adhana.Mola azidi kukujaalia na heko kwa rais wa Kenya.
@bornvillagevlog4566
@bornvillagevlog4566 3 жыл бұрын
Manshallah Kwa kijana mdogo ambaye hajihusishi na mambo mbaya ila anashikilia dini nakuombea Allah akuzidishie,na sote atuongoze, ameen 🙏
@jeremyhezron5744
@jeremyhezron5744 3 жыл бұрын
Allah akujaalie
@wycliffewafula1685
@wycliffewafula1685 3 жыл бұрын
Thanks my friend for stopping earthly thing
@mohamedabdille6431
@mohamedabdille6431 3 жыл бұрын
Amiin
@tatuta6529
@tatuta6529 3 жыл бұрын
Ongera kenyata mungu akulinde katika mambo yako yote
@fhblessedfamily6873
@fhblessedfamily6873 3 жыл бұрын
If we want to succeed we've to put GOD first. Kenyan national anthem it's a prayer
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 3 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤
@shakilaseif3510
@shakilaseif3510 3 жыл бұрын
@@anastasiamainaministries2700 p00
@josephineholmlund9820
@josephineholmlund9820 3 жыл бұрын
WE HAVE A GREAT LEADER KENYANS..RESPECTFUL.
@mentuhotepii2641
@mentuhotepii2641 3 жыл бұрын
Our "great leader" needs to fight corruption in Kenya tooth and nail!
@idalahow
@idalahow 3 жыл бұрын
Mashallah from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Hio ilikuwa Baraka kusikia Aadhaan na kusema Allahu akbar ambaye ina maana Allah ni Mkubwa...ALLAH IS GREAT
@Okwirisam254
@Okwirisam254 3 жыл бұрын
Thank you on their behalf....🇰🇪🇰🇪🇰🇪☝🏾☝🏾
@MohamedMahmoud-ze7cn
@MohamedMahmoud-ze7cn 3 жыл бұрын
Allah akujaalie Uhuru kenyata uwe ni mwenye kutamka kalima yalaillah haillah Muhammad rasullah na namuomba Allah mtukufu achukuwe roho yako Hali yakuwa wewe ni muislam na upo ndani ya ummat muhammad s,a ,w
@dianawitgar6760
@dianawitgar6760 3 жыл бұрын
Mungu wetu si wa uislamu mpedwa mungu Ni wa watu wote kwa hiyo usijidanganye uislam utakupeleka mbele za mungu.rais Kenyatta alisimamisha hotuba Ni kwa heshima ya mungu Wala si uislam kwahiyo ndugu yangu ondoa itikadi ya udini kichwani mwako.uislam Wala ukristo hauwezi kukufanya ufike mbele za mungu,Bali kumwamini mugu na matendo yaliyo mema .rais kenyata at akifa Sasa hivi lazima afike mbinguni kwasababu Hana itikadi ya udini kichwani mwake hata kengele kanisani ingepigwa angesimamisha hotuba pia.ndugu yangu usijidanganye ondoa bacteria kichwani mwako.
@Sandra39823
@Sandra39823 3 жыл бұрын
@@dianawitgar6760 qiama ikifika utajua hujui wacha vile unavyo singizia.
@patrickndichu3905
@patrickndichu3905 3 жыл бұрын
@@Sandra39823 Kwani kuna qiama ingine ushawahi shuhudia?
@abdikarim458
@abdikarim458 3 жыл бұрын
Mashaa Allah my brother muadhin and Thanks you rais wetu wa jamuhuri ya Kenya Uhuru muigai Kenyatta kwa taswira njema si kwa Kenya-tanzania pekee Bali kote duniani. I really appreciate you... You're truly God-loving man and religious tolerant
@tammymhina5454
@tammymhina5454 3 жыл бұрын
Hapo nimempa 💯 Uhuru Kinyata. Kijana Allah akipanfishe daraja dua yangu.
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 3 жыл бұрын
Be blessed young man you will live long Kenya is watching
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 3 жыл бұрын
Hakuna shughuli za kitaifa mbele ya mwenyewe MWENYEZI MUNGU mwenye DUNIA HII ndiye anaetupa uhai ALHAMDULILLAH
@taturajabu5977
@taturajabu5977 3 жыл бұрын
Kwa anae jitambua kwamba tunapta ktk hii dunia
@safiamunir2137
@safiamunir2137 3 жыл бұрын
Ilikuwa heshima kubwa sana. H.E. Uhuru asante tunakupenda...
@alicekariuki4608
@alicekariuki4608 3 жыл бұрын
lll
@isaacmuturi5417
@isaacmuturi5417 3 жыл бұрын
The only leader who truly fears God....hongera rais wetu
@seemaa130
@seemaa130 3 жыл бұрын
Mashallah May God guide all those who respect the call of prayers and President Uhuru Kenyatta god will definitely rise Africa inshallah I will pray for my brothers and sister of Africa
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 3 жыл бұрын
MA SHAA ALLAH ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Allah akupe umr mrefu wenye her na baraka nww akulinde NA klalaher ishalla
@ELISSKGTV
@ELISSKGTV 3 жыл бұрын
Proudly kenyan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@faridamwachiti6284
@faridamwachiti6284 3 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 3 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
WITOO, WITOO..... Hata Mh KENYATA katoa wito kwa WAISLAM na kutukumbusha kuwa WAKATI wa Swala umewadia.
@rogersfundi4810
@rogersfundi4810 3 жыл бұрын
Thats Kenyan respect ulirepresent nchi na Africa in the best way
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 3 жыл бұрын
allah kareem akuzidishie katik maisha yako ameen rab allah ameen
@henrykaruri7850
@henrykaruri7850 3 жыл бұрын
Hili ni jambo la kipekee,,, Mungu ni zaidi ya jinsi tunavyomjua,,, Wito na jambo la msingi kwetu sote ni Maombi. #zingatia #hesabika #may the will of God be done Hongera Mr President
@Okwirisam254
@Okwirisam254 3 жыл бұрын
It was Big Respect,and this must be lessons to our Muslim brothers and sisters,because Muslim doesn't respect Christian special when they find us Praying,infact they would abuse us Makafiri.
@robairubby9511
@robairubby9511 3 жыл бұрын
Hapo umenena kakangu.. mbona wanatuita makafiri?
@doricas2049
@doricas2049 3 жыл бұрын
Yea that is true
@rosemaryblessed9682
@rosemaryblessed9682 3 жыл бұрын
U have said it
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 3 жыл бұрын
They call us that because they see us like a dirty creatures but we leave it to God to judge as for us ww must love them because we know God is love🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@robairubby9511
@robairubby9511 3 жыл бұрын
@@anastasiamainaministries2700 true my dear...
@akothaisha048
@akothaisha048 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Mabruk, mashallah so amazing our president knew Islamic rule he is so good example to us may Allah guide him may Allah bless us too
@leemakonnengava9866
@leemakonnengava9866 3 жыл бұрын
Good work bro.Prayers is important .May Allah blessings and prosperities follow you
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 3 жыл бұрын
Mash Allah may Allah grant you jannah ameen
@roselynekagali4722
@roselynekagali4722 3 жыл бұрын
Mungu amlinde mtoto huyu
@rehemamsabah3632
@rehemamsabah3632 3 жыл бұрын
MashaAllah
@mathayonelson6289
@mathayonelson6289 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kijana kwa sauti nzuri
@azamukha510
@azamukha510 3 жыл бұрын
Masha Allah
@kimennjeri5248
@kimennjeri5248 3 жыл бұрын
Welcome Kenya kijana.our prezo honour God no matter religion
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 3 жыл бұрын
Mashallah
@تاتا-ن6ن
@تاتا-ن6ن 3 жыл бұрын
Bismillah Maa sha Allah
@rosewoiemitau8376
@rosewoiemitau8376 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana rais wangu kwa kumpa muumba wetu heshima
@penninahthegrace3036
@penninahthegrace3036 3 жыл бұрын
Ata Mimi hapa nilishangaa kitendo hicho salam toka🇰🇪
@Okwirisam254
@Okwirisam254 3 жыл бұрын
Juu tuna waheshimu Sana,Swali ni,Inge kwa ni Nyinyi,munge fanya hivo? Ati Mchungaji Moja ako kando na aka aza kuomba,muta sisitisha shugli ya kitaifa,na mungonje amalize maombi yake kwa Mungu aliye tupenda sana aka tutumiaa mwanawe,afe,afufuke na kushinda mauti,God the Father,Son and the Holy Ghost....Amen
@keyjoh2971
@keyjoh2971 3 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@salmasalim6055
@salmasalim6055 3 жыл бұрын
Mashallah 🤲🏻
@penanauae316
@penanauae316 3 жыл бұрын
God bless you so much my president
@mohamedabdille6431
@mohamedabdille6431 3 жыл бұрын
Mashalah
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 жыл бұрын
Badilisha kichwa cha habari. Siye huyu aliye simamisha hutba ya raisi wa kenya ni Mwenyezi Mungu alipoonesha miujiza yake kupitia kijana huyo.🙏
@jumayahya2661
@jumayahya2661 3 жыл бұрын
Waislam wakenya Rais wenu kashaiyona haqi huyo wajibu wenu mlinganieni tu ataslim.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 жыл бұрын
@@jumayahya2661 shukran. Kama ulifuatilia video moja ya Sheikh Kishk akiwa na mtoto mmoja aliye fanya kuwa na miujiza ya kuwa na elim. Alimuombea dua Raisi huyo wa Kenya awe Muislam baada ya kupata ruhsa kuonana naye ana kwa ana. Ni jukum letu sote kumuombea dua aslim
@horatiusmzaledo1698
@horatiusmzaledo1698 3 жыл бұрын
Hio ndio miujisa? ha ha ha ha.
@Sandra39823
@Sandra39823 3 жыл бұрын
Mie muislamu mkenya lakini raisi uhuru twamjua na mapombe yake, kusimamisha otumba yake kisa athana, kwa uhuru alitaka sifa tu, hili aonekane mpenda dini lakini mnafiki mkubwa uhuru, serikali yake imeishi kuwauwa mashekhe na hakuna kitu anacho kisema, waslamu wanauliwa usiku kucha Kenya na asemi chochote, mashekhe kufungwa jela kila wakati na hasemi chochote, uhuru ni bangi tu, jitu la raisi likwende.
@TK-pi1vr
@TK-pi1vr 3 жыл бұрын
@@Sandra39823 Hivi kazi ya mungu kuhukumu, sio uislam kabisa kuhukumu wengine kwa visingizio. Alifanya yake, Mungu wake ayajua. Wewe nawe ushajitwaka jukumu la Mungu kuhukumu wengine...
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 3 жыл бұрын
Mungu kuongoza Kaka etu barikiwa Kaka
@jamilamohammed2771
@jamilamohammed2771 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@bito7949
@bito7949 3 жыл бұрын
May Allah show you and us the straight path
@jamelaega2779
@jamelaega2779 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie umri kijana na sote pia inshallah
@wambuirarimi5669
@wambuirarimi5669 3 жыл бұрын
God fearing president..hongera
@aminarufae4473
@aminarufae4473 3 жыл бұрын
That's great
@rosewambui4999
@rosewambui4999 3 жыл бұрын
Waaah,, God first
@ibrahimAhmed-zq5hj
@ibrahimAhmed-zq5hj 3 жыл бұрын
MashAllah
@istambuliahmedi8203
@istambuliahmedi8203 3 жыл бұрын
اللهم اهدي هذا الرئيس في الإسلام
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 3 жыл бұрын
ALLAHUMMA AMEEN!!! 🤲
@daudajamada3422
@daudajamada3422 3 жыл бұрын
Allahumma Ameen !!!
@jamilaingu7922
@jamilaingu7922 3 жыл бұрын
Amiina yarrab 🤲
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 жыл бұрын
امين يارب العالمين
@fatmafatmahassan5648
@fatmafatmahassan5648 3 жыл бұрын
Allaahumma Aamiin ya Rabb Aamiin
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Alhamdulilah mashaallah
@simbafc16
@simbafc16 3 жыл бұрын
Nilitokwa na machozi ALLAH AWAONGOZE WENZETU
@kweltv5106
@kweltv5106 3 жыл бұрын
Kama mim nlirudia kuitizama zaid ya mara 5
@bornvillagevlog4566
@bornvillagevlog4566 3 жыл бұрын
Ameen 🙏
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
@Funny G-ga kwajili ya corona
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
@Funny G-ga acha uongo ni misikiti ya County 5 peke yake
@sophiezakaria
@sophiezakaria 3 жыл бұрын
Bodyguard alishangaa 😁😁😁
@sanurandune8066
@sanurandune8066 3 жыл бұрын
Kimbe uliona pia🤣🤣
@sophiezakaria
@sophiezakaria 3 жыл бұрын
@@sanurandune8066 kabisaa😂😂😂
@sarahali5938
@sarahali5938 3 жыл бұрын
😂😂🤣 ndio nmeona alitaka kuliza kuna nn Mr president mashaAllah nampenda Sana rahis wangu Kenyatta
@diananamusia9906
@diananamusia9906 3 жыл бұрын
😄 🤣 😂 😆 😄 🤣
@ayshaayush8539
@ayshaayush8539 3 жыл бұрын
Alikua ana wacwac 😂😂😂
@hafsaali7976
@hafsaali7976 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@raphaelopala6998
@raphaelopala6998 3 жыл бұрын
Please change the headline, the boy didn't stop the president, the president obeyed the prayers to Allah
@jacklinemuthama3428
@jacklinemuthama3428 3 жыл бұрын
Mashaaallah
@kulobamary4859
@kulobamary4859 3 жыл бұрын
If it was m7n he can't stop , respect mr president uhuru kenyatta from uganda
@rosewelimo7998
@rosewelimo7998 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@hanifahanifa2364
@hanifahanifa2364 3 жыл бұрын
Mashallah,, proudly kenyan
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
maashaallah maashaallah
@sheikhsalimagwambo5364
@sheikhsalimagwambo5364 3 жыл бұрын
Bravo!! Our president our heroe...may Allah guide you to the straight path of Islam, Amiin
@fatmamwalimu4769
@fatmamwalimu4769 3 жыл бұрын
Masha llwahu
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Allahu Akbr
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 3 жыл бұрын
heshima kwako kenyata
@halimayusuf9969
@halimayusuf9969 3 жыл бұрын
Maashallah rais kenyata Allah akuongoze
@sabringwal3079
@sabringwal3079 3 жыл бұрын
Naipenda sna hii video kwakweli nilifurahishwa na huyu rais
@barakasabule3172
@barakasabule3172 3 жыл бұрын
Hongera mungu ndio kila kitu
@amarislam1589
@amarislam1589 3 жыл бұрын
mashaalah
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 жыл бұрын
MashAalah
@mohammadalfani8004
@mohammadalfani8004 3 жыл бұрын
Eleweni bwana..!aliye simamisha hutba n Allah.. Sisi wakenya tuna elewa ivyo.. Mungu ameonyesha ukubwa wake. Kenyatta hamjui uyo aliye adhini alijua mungu tu ndo maana akanyamaza..
@oscahinyangala1490
@oscahinyangala1490 3 жыл бұрын
Allah no nini nyinyi mbona msiombe kwa kizungu
@MuhammadAli-we7sz
@MuhammadAli-we7sz 3 жыл бұрын
@@oscahinyangala1490 kiarabu no lugha kamali. Na mungu aliyeteremsha wahyi alitaka hivo
@truthchannel5285
@truthchannel5285 3 жыл бұрын
Working hard to promote a religious idiology at all cost and with all means .
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
MaashaaAllah
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
" Jah rise while the enemies are scattered " bob marley
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 3 жыл бұрын
Masha'allah Allah amfanyie wepesi aijue haki
@victorkasalu7613
@victorkasalu7613 3 жыл бұрын
Hongera
@keivgerrard7597
@keivgerrard7597 3 жыл бұрын
Heshima yake kwa Mungu na kwa imani za wengine ukiongezea na uungwana ndio uliomfanya Kenyata afanye kile wala sio huyo mpiga adhana!Mungu ni mmoja na ndiomana alijeshimu
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 3 жыл бұрын
*Kilicho staajabisha ni mungu alivyoonyesha dunia nzima THAMANI YA ADHANA inavyoathiri binaadamu. Sio kwamba kwakua yeye ni rais, hapana kwa kua uzito wa adhana unavyomathiri binaadamu. Kama vile VAN DAME, MORGAN FREE MAN, PRIYANKA CHOPRA na wengine walivyosema hisia zao. Tizama KZbin utawaona walivyosema mwili humsisimuka mtu anapoisikia hususan wanaofwata dini nyingine, Allah huwaongoza kwa njia hiyo*
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 жыл бұрын
Mashallah,.
@geffmukozi1550
@geffmukozi1550 3 жыл бұрын
God above all to be revered....
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 3 жыл бұрын
Allahhu Akbar!!
@jamesmaina9246
@jamesmaina9246 3 жыл бұрын
Asante sana Rais KENYATTA kwa kuweka mwenyezi mbere ya mambo yote
@marthaambogaakemunto8711
@marthaambogaakemunto8711 3 жыл бұрын
God is great
@petermwariri1215
@petermwariri1215 3 жыл бұрын
President Uhuru Kenyatta is blessed
@johnmaichjohn7700
@johnmaichjohn7700 3 жыл бұрын
Mashallah Allah Akbar
@matatomlik1846
@matatomlik1846 3 жыл бұрын
Maashallah maashallah maashallah
@imranndal9493
@imranndal9493 3 жыл бұрын
Adhana ni mwito ni watu wote wanaitwa waende wamuabud u Mwenyezi Mungu
@seremenikibwene8633
@seremenikibwene8633 3 жыл бұрын
Wanaitwa Waumini wa Kiislam, Siyo Wote .
@imranndal9493
@imranndal9493 3 жыл бұрын
Unaeza kunifafanulia maana ya adhana
@bakarbakar3961
@bakarbakar3961 3 жыл бұрын
Allah amjaalie amuongowe Uhuru Kinyatta.
@teresiahkiarie8440
@teresiahkiarie8440 3 жыл бұрын
Glory to God almighty
@Maziwamakuu
@Maziwamakuu 3 жыл бұрын
Beautiful
@kanuriken9480
@kanuriken9480 3 жыл бұрын
Mungu ahimidiwe
@joycemajala4355
@joycemajala4355 3 жыл бұрын
Kabisaa
@hustlernationisunstoppable4083
@hustlernationisunstoppable4083 3 жыл бұрын
Huyu ndiye alisimamisha reggae
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 3 жыл бұрын
ALLAH AKUHIFADH WA LLAH FRAHA YANIKURUBISHA KATKA KULIA WAPO WAPI VIJANA WENGINE WANACHOJUA NI SURUAL ZA KAMATIA CHINI UJINGA MWINGI. ALLAH TUONGOZE
@gandiwehu5818
@gandiwehu5818 3 жыл бұрын
Mashaallah!
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 жыл бұрын
God first💪
@denzelgichomo8759
@denzelgichomo8759 3 жыл бұрын
I just love how the body man got confused
@fudasiakishe15
@fudasiakishe15 3 жыл бұрын
Namtukuza MUNGU BABA kwa ajili ya Raisi wa Kenya , kitendo hiki tungekiiga sisi sote kuona umuhimu wa kumpa Mungu muumba wa Kila kitu ibada, bila kujani Niko na Nani. Heri uliyeiona adhana hi na kuiheshimu. Amani hi isiondoke maishani kwako
@anoodalalwi2658
@anoodalalwi2658 3 жыл бұрын
Amiin
@cabdiali1853
@cabdiali1853 3 жыл бұрын
Asc waxaan Alle awoodiisa kabaryayaa in OO somuslimo
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 3 жыл бұрын
Mashall
@twaynerd530
@twaynerd530 3 жыл бұрын
Alah akbar
@fauzishma8033
@fauzishma8033 3 жыл бұрын
Sema huyu ndie alie adhini adhana ilio msimamisha Rais Kenyatta Lakini sio eti huyu ndie alie msimamisha Rais Kenyatta inamana rais hakusimamisha khutba yake kwa ajili ya adhana ni kwa ajili yake makosa hayo
@hildafatuma2079
@hildafatuma2079 3 жыл бұрын
Waambie wajielewe
@TeacherNyoks5258
@TeacherNyoks5258 3 жыл бұрын
True
@hafidhmohammed4653
@hafidhmohammed4653 3 жыл бұрын
Mbeele ya Allah hkun rais
@Matildariziki123
@Matildariziki123 3 жыл бұрын
Munakosa kuelewa raisi wetu aliheshimu mungu siyo mwenye aiadhini eleweni hilo acheni masifa hata kenya hufanya hivyo yy
@biibinur1771
@biibinur1771 3 жыл бұрын
Masha allh
RAIS UHURU KENYATTA ASIMAMISHA HOTUBA KUPISHA ADHANA
5:49
Wasafi Media
Рет қаралды 39 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 9 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
USINUNUE CCTV CAMERA KABLA YA KUJUA HILI
4:32
FUNDI CCTV CAMERA
Рет қаралды 1,7 М.
Oxford Mathematician DESTROYS Atheism In Less Than 15 Minutes (BRILLIANT!)
15:43
RAIS KENYATA BAADA YA KUPISHA ADHANA SHEIKH KISHKI ATOA NENO
6:20
Kishki Online TV
Рет қаралды 339 М.
Russian Prime Minister Dmitry Medvedev Declares Social Media Too Powerful to Ignore
3:00
Shane Gibson - Keynote Sales Speaker
Рет қаралды 59 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН