No video

Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi

  Рет қаралды 154,436

Azam TV

Azam TV

4 жыл бұрын

“Kwanini serikali haifikirii kuanzisha chuo cha wizi?” - Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi ili kupata wataalamu watakaoweza kupambana na wezi wa fedha za umma. Kishimba alikuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa kuhusu ripoti ya CAG
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 80
@omaryiddy7178
@omaryiddy7178 4 жыл бұрын
Mi nilichomuelewa ni kuwa watu wafundishwe njia za kupambana na wezi ili iwe rahisi wao kujua njia zinazotumiwa na wezi ili kuzibiti
@chobaroko3913
@chobaroko3913 2 жыл бұрын
Inatakiwa mwaka wakushika inchi wazalendo mafisadi watakiona chamtema Kuni, maana kunamuda wanakuwepo mafisadi wanateketeza inchi
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Hongera professor, Huyu mzee apewe Uwaziri wizara yoyote atafanya kazi,upo vizuri sana 🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏
@mwebrannia
@mwebrannia 2 жыл бұрын
Naunga mkono hoja ya prof. Jumanne Kishimba.. Hata kwenye computer science kwenye topic ya cyber security, tunajifunza ethical hacking, tunajifunza wizi wote wa kimtandao, tunajifunza namna gani hackers wanatumia ku penetrate Computer system, hiyo yote tunajifunza kwa maana ya kuja kupambana na Cyber crime.... Naunga mkono hoja.
@thekandakembazu2540
@thekandakembazu2540 2 жыл бұрын
Watu wambeya km mnamkubali mbunge huyu likes hapa
@edithmushy1010
@edithmushy1010 2 жыл бұрын
Namwelewa sana hyu mbunge na Ana hoja za mashiko. Ila anashindwa namna ya kujenga hoja ieleweke na wengi.
@libertymacha9134
@libertymacha9134 2 жыл бұрын
Mh. Kishimba ana-critical thinking ya Hali juu sana. Naomba kujua elimu yake kwa Nia nzuri kabisa. Ni mmoja wa wabunge ambao kila mtu anapenda kusikia michango yake bungeni. Big up !!
@oscarmario466
@oscarmario466 2 жыл бұрын
Darasa la Saba huyo
@fulloflife7
@fulloflife7 2 жыл бұрын
What a commitment! I would be very happy to have the leader who his/her heart is for the life of the people. If this comment will be made with every leader. HAPATAKUWA NA USWAHILI, NA TEMINOLOGIES ZA KIHUNI ZA KUJIFICHA KATIKA SHERIA KINYUME NA MAADILI.
@g-luwetv1377
@g-luwetv1377 3 жыл бұрын
Wasukuma mnamaneno ya akili alafu ndani yake comedy nyingi. 😂😂😂 Mwingine anajiita bwege la saba lakini ni kama ana PHD akili yake. 😂😂😂
@K4TECH-TV
@K4TECH-TV 2 жыл бұрын
Critical thinking umewaza kitu kikubwa sana
@danielikomba7752
@danielikomba7752 2 жыл бұрын
Kaongea point Ila watu wanachukulia masihara
@isayamabena7827
@isayamabena7827 2 жыл бұрын
Nakukuli Sana faza
@philemonaminiel
@philemonaminiel 2 жыл бұрын
Huyu mbunge huwa akisimama anatoa hoja zenye mashiko japo huwa wabunge wanacheka vitu vya kweli vyenye ukweli pia huwa anapoint mpya ,mungu akipenda tumpe hata uraisi
@josiamdamu3314
@josiamdamu3314 2 жыл бұрын
nampingeza sana hija alizo zitoa ni nzurii👍👍👍👏👏
@josiamdamu3314
@josiamdamu3314 2 жыл бұрын
hoja zake ni nzuri sana asikilizwe
@jimoo3794
@jimoo3794 2 жыл бұрын
Ana tufaa sana huyo mbunge kua chadema
@saimonjmai801
@saimonjmai801 3 жыл бұрын
Napendekeza kiitwe "upigaji university".
@jumasamata4849
@jumasamata4849 2 жыл бұрын
Daah kweli MBUNGE kanena
@zuberigwakula8531
@zuberigwakula8531 4 жыл бұрын
Hii ni akili kubwa sana sema nijambo linazungumzwa kwa watu wasio liona uzito wake. Kwenye IT kuna watu wana soma ku Hack system
@mwebrannia
@mwebrannia 2 жыл бұрын
including me
@mwebrannia
@mwebrannia 2 жыл бұрын
Actually inaitwa ethical hacking
@sissoalfred7259
@sissoalfred7259 3 ай бұрын
Kishimba Ni mtu wamaana kabisa 😂
@nero7941
@nero7941 2 жыл бұрын
Hapa hatuna viongozi Tatizo LA Ajira bado then utraing wezi duuuh
@mozessalvatory320
@mozessalvatory320 2 жыл бұрын
Nikweli
@sabunisop1050
@sabunisop1050 2 жыл бұрын
Uyu jamaa Ni kichwa
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Big up
@samsonezekiel5239
@samsonezekiel5239 2 жыл бұрын
Hoja zake nzuri na mpyaa
@emmanueleliya6225
@emmanueleliya6225 2 жыл бұрын
Lkn huyu bunge kaongea kitu naunga mkono hoja yake ifanyiwe kazi ili ilete maana nzuei
@emmanueleliya6225
@emmanueleliya6225 2 жыл бұрын
Uwizi upo hadi ndani ya bunge. Bunge kuja kulala bungeni na kulipwa posha zake zote ni uwizi, Wabunge kutohudhuria vikao vya bunge na kulipwa pia ni uwizi,Mbunge kutochangia cho chote kukaa tu na vikao vya bunge vinamalizika pia ni uwizi...Hapo anakuja kutetea tumbo lake tu. Fikirieni,chukueni hatu stahiki.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni zaidi ya Professor, kwani hibua hoja yenye mashiko kweli.
@abdulmajidiibrahimu3338
@abdulmajidiibrahimu3338 2 жыл бұрын
Kweli kabis
@g-luwetv1377
@g-luwetv1377 3 жыл бұрын
Kiitwe TAKRIMA UNIVERSITY, jamaa ana akili, ameongea utumbo ulioungwa viungo vyote na unavutia.
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Hahaha ameenda mbalii
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa kama ni chuo cha wizi hata mbugeni kipo
@makamekhatib498
@makamekhatib498 2 жыл бұрын
LP it
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 2 жыл бұрын
Wewe mzee ni shida kkkkk
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 2 жыл бұрын
Takukuru haifanyi kazi kwa lugha nyingine
@jumasamata4849
@jumasamata4849 2 жыл бұрын
Lakini nae kweli Kama vp serikar iangalie hoja hiii,
@yusufmohamed1694
@yusufmohamed1694 4 жыл бұрын
Mb wetu akisimama tu lazma atoe Kali ya mwaka
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 2 жыл бұрын
Ongezea na wizi wa kura
@abeljoseph4300
@abeljoseph4300 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 huyu mwamba 👍
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 2 жыл бұрын
Tena hicho chuo cha wizi kijengwe Moshi natoa kiwanja bure itakuwa vinzuri Hilo somo kuna watu watafailu Sana watapata masomo yote 100
@sporahsende4187
@sporahsende4187 2 жыл бұрын
Loading.....
@alphonceelias2551
@alphonceelias2551 2 жыл бұрын
Mzee upo vizuri,anzisheni corruption University.
@charlessiwale3858
@charlessiwale3858 2 жыл бұрын
Wataajiriwa wapi?
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 2 жыл бұрын
Bunge la hovyo kweli hili dah!!!!
@sositenesssabuni2480
@sositenesssabuni2480 2 жыл бұрын
Ila wabunge wasukuma wanaongeaga vichekesho lakini vina maana nzuri sana naunga mkono hoja.
@emmanueleliya6225
@emmanueleliya6225 2 жыл бұрын
Wimbo ni wizi kila sehemu
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 жыл бұрын
Vinara wakuu wa wiziniviongozi wakuu waserikali hasa mawazili sasa mnategemea Nini kwahawa watumishi wadogo???
@janempemba3252
@janempemba3252 2 жыл бұрын
Lakn chuo kisijengwe Moshi
@mrbabadtz9074
@mrbabadtz9074 2 жыл бұрын
KIJENGWE BUKOBA 😀😀
@oscarnzoya146
@oscarnzoya146 3 жыл бұрын
Fresh nambie
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 2 жыл бұрын
Nikweli muheshimiwa kishimba
@khalilyjuma813
@khalilyjuma813 3 жыл бұрын
profesor
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 4 жыл бұрын
Mh utakuwa principal wa Chuo hicho
@eunicemboje8931
@eunicemboje8931 3 жыл бұрын
Ukweli mtupu wizi nimkubwa mno,
@bibieismaily5761
@bibieismaily5761 2 жыл бұрын
Amemaanisha wizi no mkubwa mpaka unaumiza na ni matusi kwa viongozi wezi was Mali ya Tanzania kwa maslahi Yao pia anakalipia bilali sana....baba Mimi ninakuombea nyerere namba 2!
@beatricesamuel2836
@beatricesamuel2836 2 жыл бұрын
Hana mchango ulio better kwa jamii?
@rellyking8721
@rellyking8721 2 жыл бұрын
Uyo munae mfundisha wizi akija akafanyakosa mkamfukuza kazi anapata kukuibieni uzuriii
@shilindekasula6704
@shilindekasula6704 4 жыл бұрын
Wewe ni mbunge sahihi
@modeemojombo5662
@modeemojombo5662 3 жыл бұрын
Baba Shkamoo!
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 жыл бұрын
Maccm hawo mazungumuzo yawo ndoohayo yakuiba!!!!!
@kinulajunior1284
@kinulajunior1284 4 жыл бұрын
😄😄😄😃😃😃😃😄😄😄daaaa Aya bhn
@MdEmon-yn4cw
@MdEmon-yn4cw 4 жыл бұрын
msukuma una mambo wewe
@mnankagibore6621
@mnankagibore6621 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂👆👆👆
@kassimrashidychdygassia43
@kassimrashidychdygassia43 2 жыл бұрын
Hii nikwel kabisa
@kassimomar7589
@kassimomar7589 4 жыл бұрын
Hahahahahha
@mamysilvester5359
@mamysilvester5359 3 жыл бұрын
Hhhhhhh hhhhhhhhhhhh xiami Tanzania
@beatricesamuel2836
@beatricesamuel2836 2 жыл бұрын
Huyu mbunge mara chuo cha wizi,mara turuhusu bangi,mara tiadhibishe watoto tuliowasomesha🤣🤣🤣????
@lusiandomba6261
@lusiandomba6261 2 жыл бұрын
Mwenye akili timamu lazma ataelewa anachomaanisha
@chobaroko3913
@chobaroko3913 2 жыл бұрын
Hakika haina jinsi chama Chetu kinatakiwa kiwe na team yakupambana namafisadi
@sammymahewa5344
@sammymahewa5344 3 жыл бұрын
⁹aaa
@mariamuseifu3065
@mariamuseifu3065 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mikingamojuma1463
@mikingamojuma1463 4 жыл бұрын
Hahahaaaaaa Tanzania raha sana haki ya nani daaaaaàah.
@angelsonshiteri7232
@angelsonshiteri7232 4 жыл бұрын
Wanakahama tunakusikiliza
@furahaplatnumz_jr1693
@furahaplatnumz_jr1693 4 жыл бұрын
Nakwambia tuana mbunge Prof jumanne kishimba sisi wanakahama tunamuunga mkono
@benjamininyambaso5041
@benjamininyambaso5041 4 жыл бұрын
hahaha uwii karbu tz
@beatricesamuel2836
@beatricesamuel2836 2 жыл бұрын
Hana mchango ulio better kwa jamii?
@chrisbrown-ot7bz
@chrisbrown-ot7bz 2 жыл бұрын
Mchango gani better zaidi ya huo .tatizo wizi .don't u understand
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 32 М.
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 24 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 34 МЛН
Walimu waliokuwa na sifa za utoro wawafundishe wanafunzi watoro
10:16
Daily News Digital
Рет қаралды 82 М.
AFISA ELIMU AZIMIA GHAFLA KISA KATUMBULIWA NA RC MWANRI
7:06
MBUNGE Aliyemwaga MACHOZI Bungeni LEO! "Waziri Usikanyage MTWARA"
5:10
Global TV Online
Рет қаралды 238 М.
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 24 МЛН