Kishimba: Mwaka Mmoja Madarasa Manne | Mtoto Ambaye Hajasoma Ndiye Mwenye Faida

  Рет қаралды 137,998

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu amesema elimu ya Tanzania ni kama kifungo cha maisha.
Ameeleza kuwa ni vyema mwaka mmoja mwanafunzi asome madarasa matatu ili kuokoa muda wa kuchukua miaka mingi kabla ya kumaliza shule huku akihoji ni utafiti gani unaoeleza ubongo wa binadamu kila mwaka usome darasa moja?
Tazama hoja mbalimbali za mbunge huyo hapa.
#CloudsDigitalUpdates #KutokaBungeni

Пікірлер: 117
@usserusser516
@usserusser516 3 жыл бұрын
Wangapi mmekuja humu baada ya mama kumsema em twende pamoja kwa like basi japo kiduuch....
@piusgodfrey8558
@piusgodfrey8558 3 жыл бұрын
Wazo kubwa sana mwaka mmoja piga la kwanza mpka la 3
@christinakomba3524
@christinakomba3524 3 жыл бұрын
Yani Baba ukovizuri Sana hawajakosea kukuchagua Mungu akulinde Sana na mikono ya Adui
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 3 жыл бұрын
Mfano Hali ni kwa mm mwenyew na fanya kazi za ndani natumwa natukanwa hadi na watoto lakini yote nitafute Ada shing milin1 kwa mwaka bada ya miak3 mtoto anakuja namakartas tuu anze Tena kuhangaika kutafuta ajira kweli baba umenifungua Macho naumelifungua Macho taifa barikiwa Sana
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 3 жыл бұрын
Mzee tumekupata sana, Mm mtoto wangu amegoma kwenda Chuo kikuu kwa ajili ya hayohayo, ameamua kujiajiri.
@davisdorian9985
@davisdorian9985 3 жыл бұрын
sorry to be so off topic but does anybody know of a tool to get back into an instagram account? I somehow lost my login password. I would appreciate any tips you can offer me
@horacemnyasa5400
@horacemnyasa5400 2 жыл бұрын
#Davis_Dorian 👇👆
@anordefta2853
@anordefta2853 4 жыл бұрын
Fact. Tunapotezewa muda sana hapa TZ. Digrii zetu hazina maana kabisa Siku hizi; mzee umeongea ukweli mtupu. Matumaini ya watoto na wazazi tulioaminishwa Elimu ni ufunguo wa maisha. Elimu imegeuka kifungo cha maisha. well done mp.
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Na hela nyingi inapotea huko
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 4 жыл бұрын
Bungeni wabunge ni 2 ni king msukuma na kishimba. Point sana.
@jamesmanala3394
@jamesmanala3394 3 жыл бұрын
Bashe umemsahau
@user-ri3jk6vs7u
@user-ri3jk6vs7u 4 ай бұрын
Kuna mwamba anaitwa john heche hatali sana
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 3 жыл бұрын
Asante baba etu hakika upo sawa kabitha ❤️❤️❤️❤️❤️❤️✔️🇹🇿🇹🇿❤️
@SharuBoy
@SharuBoy 5 жыл бұрын
Nikweli kabisa alicho kisema Mh kishimba
@gipsonmwankobela2825
@gipsonmwankobela2825 2 жыл бұрын
safi sana free minded ideas
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 Жыл бұрын
Mzee nimekubali unauwezo mkubwa sana wa kufikiri,hayupo alie fanya research kila baada ya mwaka darasa moja
@denismayunga4594
@denismayunga4594 4 жыл бұрын
Uko sawa kabisa mhe kishimba, kwel watu wanazeekea shuleni muda wakusoma upunguzwe
@eliasgregory9733
@eliasgregory9733 3 жыл бұрын
Good kishimba
@kamarabagumaerick555
@kamarabagumaerick555 2 жыл бұрын
Anaongea Point sana🙏🏾🙏🏾
@thomdan5457
@thomdan5457 3 жыл бұрын
Asante sana mzee mawazo yako ni cake ya taifa
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Huyu mzee haongeagi pumba kila akisimama lazima aje na kitu kipya ndani ya Bunge, Huyu mzee angepewa angalau uwaziri tuone maono yake huyu mzee anaona mbali sana, huyu mzee Kama professor PHD
@chrisskucha6108
@chrisskucha6108 Жыл бұрын
Kweli kabsa
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Жыл бұрын
Kishimba oyeeeee
@andrewwilliam6066
@andrewwilliam6066 Жыл бұрын
Aisee
@kashetomaduhu2306
@kashetomaduhu2306 4 жыл бұрын
Fact
@williamnguta5683
@williamnguta5683 4 жыл бұрын
Wewe nizaidi maono safii Sana mh,kishimba
@bensonmtigo8078
@bensonmtigo8078 3 жыл бұрын
Point sana jumanne kishimba mungu akuwek sana
@danielbrazius3469
@danielbrazius3469 3 жыл бұрын
Huyu mzee huwa anaongea point sana kwa busara sana atakuwa rafiki yangu nitamtafuta nijifunze mengi kwake
@teacherdenniskauga1720
@teacherdenniskauga1720 Жыл бұрын
Point taken
@Beststar0944
@Beststar0944 3 жыл бұрын
Kiukweriii kishimba hongeraa
@leonardmayunganyamfanka9623
@leonardmayunganyamfanka9623 3 жыл бұрын
Mzee big up xna
@millarnassibu7070
@millarnassibu7070 4 жыл бұрын
Very true
@nickaswasena4997
@nickaswasena4997 4 жыл бұрын
Hatariii
@glorynjau-gf4uo
@glorynjau-gf4uo Жыл бұрын
😂😂nimemwelewa Sana na nimempenda sana
@danielichaula7186
@danielichaula7186 3 жыл бұрын
Sawa mzee
@julianamasanja8301
@julianamasanja8301 3 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza mh Kishimba kuongea point mwaka 2020 wabunge ni hapa kazi tu
@nhawalala276
@nhawalala276 3 жыл бұрын
Nice
@shukurukinzasa53
@shukurukinzasa53 2 жыл бұрын
Jamaa ukimckilza vizur utapata maana nzuri
@dazk7861
@dazk7861 3 жыл бұрын
Mzee kaongea point sana
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 5 жыл бұрын
Sema baba
@mashakakwembe7482
@mashakakwembe7482 3 жыл бұрын
Point
@aymanhusseinaslam7266
@aymanhusseinaslam7266 3 жыл бұрын
Kishimba is right.
@khamisali5978
@khamisali5978 2 жыл бұрын
big up Prof
@nkungujackson7092
@nkungujackson7092 2 жыл бұрын
Huyu mbunge anaelewa Life kuhusu elimu ni kweli wizara elimu wafikirie
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
hongela sana mzee
@amouryona4219
@amouryona4219 5 жыл бұрын
Dah kwel
@issazakaria863
@issazakaria863 3 жыл бұрын
Kishimba endelea kutupazia sauti Mama atufikirie keshaanza kukusapoti
@rosekomu1896
@rosekomu1896 3 жыл бұрын
Huyu baba yuko vizuri,anajaribu kutuvua mambo ya uzungu zungu
@fredrickmathias7242
@fredrickmathias7242 3 жыл бұрын
Nice xana...2napewa xhahada ya elimu badala ya xhahada ya akil*
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 3 жыл бұрын
Wakuuu chukueni mawazo ya huyu mzee msione aibu, Watoto wanazeekea shule, napo akimaliza ajira Undugulization unatawala wala hawaangalii ufanisi wa kz.
@joelllemi7849
@joelllemi7849 2 жыл бұрын
lait Serekali ingetumia busara za Pr kishimba kufanyia kazi mimi nadhani tungefika mbali
@dottocharles1636
@dottocharles1636 3 жыл бұрын
Yan huyu jamaa huwezi amini darasa la saba. Anatema cheche
@jafaripaje5366
@jafaripaje5366 3 жыл бұрын
Ajengewe sanamu kwa mchango huu.
@mwalumogomsigwa856
@mwalumogomsigwa856 2 жыл бұрын
Good
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
unamaono mzee safi
@jigajrphil1344
@jigajrphil1344 2 жыл бұрын
Elimu ni kumfundisha mtoto kujitegemea ili isiwe kifungo cha Maisha tutaisha, Bila hivyo kila Mbunge aongoze kulingana na anavyo weza , Ili kila mzazi achague Jimbo ambalo linatoa Elimu anayo hitaji kwa mwanae, Tume zimeundwa toka nimezaliwa nimechoka kusikia neno tume na Silipendi
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 4 жыл бұрын
Siyo TRA TU. MH. NAFASI ZA UALIMU ZILITANGAZWA 4500 WAKAJITOKEZA 90000. Afya watangaza nafasi 850 wakajitokeza 26000
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Baba umesema kweli nasi tumearhirika sana
@InitialMatemu
@InitialMatemu 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ana mafile sana🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯 he is not caping
@libetvsports4723
@libetvsports4723 4 жыл бұрын
Nikweli muda wa kusoma upunguzwe kwasababu vijana wanazeekea shuleni
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 3 жыл бұрын
Mama,, muongezee ulinzi j4
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 4 жыл бұрын
Wabeja baba
@faustamarussu5546
@faustamarussu5546 3 жыл бұрын
Waliokuja baada ya Mh rais kwenye kikao cha wakuu wa idara tujuane
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 3 жыл бұрын
👍👍👍👍👍
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Mpeni uraisi anafaa huyu jamaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Kishimba hali ni mbaya sana ajira hakuna kabisa
@shijasalaganda2226
@shijasalaganda2226 4 жыл бұрын
Kweli ni la kuchekesha
@jk-or9jq
@jk-or9jq 3 жыл бұрын
Mh Raisi Samia "mama" ameliona hili
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Kweli umenyonya ziwa la mama miaka miwili 2 yaani unahakiri mpk basi harudiagi maneno pont
@issarashid1421
@issarashid1421 4 жыл бұрын
Mawazo yako nimapya kabisa mengi upo sahihi
@lightnesschrispine2446
@lightnesschrispine2446 Жыл бұрын
Hivi kwa nn mawazo ya huyu mzee yasiwekwe kwenye vitendo?
@allexodongo4505
@allexodongo4505 Жыл бұрын
Mweshimiwa mbunge kishimba mchango yako ni kwanufaa ya taifa
@samwelmushi4741
@samwelmushi4741 Жыл бұрын
Wew ndio mbunge ninae kuelewa san
@SelestinLukonde-nx6dx
@SelestinLukonde-nx6dx Жыл бұрын
Huyu ndoninae mkubalisana
@dillisalum2384
@dillisalum2384 2 жыл бұрын
Aisee huyu akiw raisi mambo yatakuwa sawia nahisi
@zungujohn9355
@zungujohn9355 3 жыл бұрын
OK
@derickkahabwa3391
@derickkahabwa3391 3 жыл бұрын
Huyu Mzee Ni Kichwa sana. Anaongea mambo ya msingi sana.
@oswiitvonline6514
@oswiitvonline6514 2 жыл бұрын
Huyu mbunge namfuatilia sana point anazo ongea ni ngumu kumuelewa kwa sasa lakini anachoongea ni muhimu sana kwa taifa letu kwani elimu ya tz kwa sasa tunatengenezewa mabomu amabayo yatakuja kulipuka baadae.
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Akili ya kuzaliwa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Watu wafundishwe elimu ya ujasiliamali
@rameckrobert9173
@rameckrobert9173 2 жыл бұрын
Huyu mbunge ana akili Pana
@diamondmwenga9518
@diamondmwenga9518 3 жыл бұрын
Huyu mzee ndio wale wenye Akili, maana akili ni kile kinchobaki ukitoa yote ya darasani
@richardibrahim5609
@richardibrahim5609 2 жыл бұрын
Siku zote mm nasema walioishia la saba ndo viongoz bora wa nchi hii. 2achane na maprofessa wa makaratasi
@khamisali5978
@khamisali5978 Жыл бұрын
Hii definition nimeikubali sana 😁
@saidimajidi5526
@saidimajidi5526 3 жыл бұрын
Huyu jamaa namuelewa sana
@RashidiKuji
@RashidiKuji 19 күн бұрын
Yes vp hapo 😂😂
@kenedytigawa3120
@kenedytigawa3120 3 жыл бұрын
We mzee 25/30 ukagombee urais
@ramaally1644
@ramaally1644 2 жыл бұрын
lakuongeza apo nikupunguza na miaka ya utumishi watumishi ukome kwa miaka 8
@giftmandar582
@giftmandar582 2 жыл бұрын
Huwa na mwelewa huyu mbunge mpaka nataman awe mbunge wetu
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Utakuta mzazi anamdomesha mtoto kwa shida hatimae anakuja mtaani anaokota makopo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Mpaka sasa wengine wamekuwa kama machizi kwa kukosa ajira kishimba usemacho ni sawasawa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Huyu baba ni balaa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Hahaaaa hii balaaa wasome miaka 3 darasa moja
@diamondmwenga9518
@diamondmwenga9518 3 жыл бұрын
Kasema mwaka mmoja madarasa 3, ili wasipoteze Muda mwingi mashulei
@mrishomteule637
@mrishomteule637 3 жыл бұрын
Kweli madalasa meng muno
@manenocharles3772
@manenocharles3772 2 жыл бұрын
Bonge la msomi japo halikufika mbali kimasomo
@afreytonemajidi6909
@afreytonemajidi6909 3 жыл бұрын
Mzeee unabaraaaaa
@faisalyahya7186
@faisalyahya7186 3 жыл бұрын
anaongea kama mzazi huyu alipaswa kuwa waziri wa elimu
@paulmassawe1591
@paulmassawe1591 2 жыл бұрын
Huyu Kwa nn asipewe uwaziri mnasubiria nn nyie CCM
@franklaurent216
@franklaurent216 3 жыл бұрын
pointi tupu
@monicaemmanuel8459
@monicaemmanuel8459 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mkweli
@joelmosses9395
@joelmosses9395 Жыл бұрын
Mzee huyu uwezo wake niwaajabu kabisa.
@lazaronkukwe7562
@lazaronkukwe7562 2 жыл бұрын
Nachokisema mbuge kwaswala laelim nisahihi kabisa
@rashadymuhamad6293
@rashadymuhamad6293 2 жыл бұрын
Kiongozi na Pia Mzee wetu mwenye hekima tumekuelewa, isipokuwa wengi kati ya waliokuzunguka hawako tayari kuyafanyia kazi hayo maono. Ndio maana wanakuhisi kama unafanya Comedy vile na kuishia kucheka tu, sio kuwa tayati kwa mageuzi.
@majimotomalole9812
@majimotomalole9812 3 жыл бұрын
Hivi kwa nini wasomi wengi hawana maono.Huyu mbunge amerithishwa maono sana
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Mfumo wa shule hudumaza akili. Huyu hakusoma sana.
@khamisali5978
@khamisali5978 10 ай бұрын
Aliesoma mchango wake mpka , points za advantages ingie google 😂😂😂
@hamicgaga7023
@hamicgaga7023 3 жыл бұрын
Clip fupi
@bony2883
@bony2883 5 жыл бұрын
Fact
@josephmatanda7028
@josephmatanda7028 3 жыл бұрын
Nice
@josephmatanda7028
@josephmatanda7028 3 жыл бұрын
Yan uyu kwer proof
@nickaswasena4997
@nickaswasena4997 4 жыл бұрын
Hatariii
@medystarter
@medystarter 5 жыл бұрын
Fact
@Komborama
@Komborama 5 жыл бұрын
Karne ya 21 haiangalii vyeti mtu ana A ngapi au GPA first class. Kubadili sera ya Elimu hakuepukiki ili kizazi cha Tanzania kuweza kuchangamana na dunia ya leo
@pashmaiko7722
@pashmaiko7722 5 жыл бұрын
Fact
@davidmlegu1460
@davidmlegu1460 4 жыл бұрын
Jaman wanangu wenyee degree tufanyeje
@davidmlegu1460
@davidmlegu1460 4 жыл бұрын
Hatujui kulima wasomi uongo
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 55 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 92 МЛН
MIUJIZA YA WADUDU HAWA  // SHEIKH IZUDINI ALAWY
35:36
arkas online tv
Рет қаралды 21 М.
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 207 М.
HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
9:59
Global TV Online
Рет қаралды 260 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 96 М.
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 55 МЛН