HUYU NDIYO KIBOKO YA ASKOFU GWAJIMA

  Рет қаралды 307,328

Cg Online Tv

Cg Online Tv

5 жыл бұрын

#CgOnlineTv
Mchungaji aliejizolea umaarufu mkubwa mtandao kwasasa kutokana na mtindo wa mahubili yake na maneno anayo yatumia, ameonekena kushika nafasi ya Askofu Gwajima

Пікірлер: 172
@frankriziki2469
@frankriziki2469 3 жыл бұрын
ASANT MCHUNGAJI KWA MAFUNDISHO MAZURI UNAJUA KUFUNDISHA JAMII KWAKWELI. NIKWELI SANAAAA. TUJITAHIDI KUBADILIKA. ASNT MCHUNGAJI
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 5 жыл бұрын
Amen Amen. Kweli itakuweka uru .wanaume shutukeni. Tunakufa kihoro kwa manyanyaso. Mimi yamenishinda. Barikiwa Mtumishi. Amen.
@johnjuma3345
@johnjuma3345 3 жыл бұрын
Hahaaaaaa
@leahmgunda5055
@leahmgunda5055 3 жыл бұрын
Ujumbe sahihi kwa wakati mwafaka tena ni kweli;Mungu atusaidie kwa hill.
@EliyacostantinoPius
@EliyacostantinoPius 3 жыл бұрын
Mungu anipe moyo wa kuelewa..ila watumish wa siku hiz..siion tofauti na wachambuzi wa mpira..Wanachofanya wanachambua maisha..
@milanisl5070
@milanisl5070 5 жыл бұрын
Hongera baba mchungaji Mgogo kwa mafundisho mazuri yenye kujenga nilichogundua watanzania wengi hawapendi kuambiwa ukweli ukisema wewe ni Adui na ndio maana wanarudia makosa kila siku usipoambiwa ukweli utajuaje unakosea au umekosea ? Injili iende mbele hapa hukuna longolongo wala miujiza feki ni injili ya ukweli itakayo ponya roho zetu
@hassanwanje7373
@hassanwanje7373 4 жыл бұрын
Huyu ameongea mengi tu ya msingi hajasema haleluya , ila mijiposter y Kenya n kma wamezaliwa na yesu. Neno moja tu haleluya neno LA pili haleluya, neno LA tatu shindwe,!!! Shenzi sna ma pastor Kenya na wale wenye wako na tabia iz
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 жыл бұрын
Do you know the meaning of hallelujah
@salehuae7518
@salehuae7518 5 жыл бұрын
Amen. Very true message .God bless you pastor
@edmundlwena218
@edmundlwena218 3 жыл бұрын
Be blessed pastor
@justusgration8695
@justusgration8695 3 жыл бұрын
Safi Sana Pongezi kwako
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
No no no Huku wanakwenda kushitaki Watanzania na waafrica wakinyanyasika,nako wameamka Mchungaji ni africa tu
@joycekokunula9137
@joycekokunula9137 5 жыл бұрын
Ndoa ni kuheshimiana mume na mke, kumtanguliza Mungu kweli kweli, ndoa nyingi za waliiokoka ni ku pretende tu ndio maana utukufu wa Mungu hauwezi kushuka hapo, pia wapo watu wa Mungu wengi sana wana ndoa lakini pia wanaenda nje, ulevi. Ndani ya Kristo tunahita kuomba sana
@lasttrumpetmission1262
@lasttrumpetmission1262 5 жыл бұрын
Inaonekana wewe ni mmoja wapo wa wanawake wakorofi
@oscarobed7900
@oscarobed7900 4 жыл бұрын
Mwanamke ameambiwa na maandiko amheshimu mumewe.. Siyo waheshimiane huko kupindisha kilichosemwa na ndiyo zinapoanzia
@meryevance6944
@meryevance6944 2 жыл бұрын
Anaweza kuwa kiboko wavAskofu Gwajima kwa mipisho au kwa maneno
@sarahkimboi2161
@sarahkimboi2161 5 жыл бұрын
Na hii wameitaka wanaume wanao wanyanyasa wake zao ambao c wasomi na wanawatafuta wa University,,, ni Mungu tu atupe hekima ya kuishi katika ndoa zetu,, Amen
@peteradriano2353
@peteradriano2353 5 жыл бұрын
Sio wanaume ambao hawajasoma, unaweza mwanaume ukasoma na yakakukuta pia ni mwanaume kuwa fighter
@fogotv7632
@fogotv7632 5 жыл бұрын
Alieandika Mungu amsamehe
@adammjomba7112
@adammjomba7112 3 жыл бұрын
Ameen baba Mchungaji lakini baba mchungaji hiyo ndio maumbile ya mwanamke kujiona hasa anapokua na kitu wameumbwa hivo na Ahlla. Huwezi kuwageuza
@yohanaadamuyohanaadamu7914
@yohanaadamuyohanaadamu7914 3 жыл бұрын
Sasa mnakataa au mahubili ya Gwajima hayamfikii ya Danieli mgogo
@edinajosephat2562
@edinajosephat2562 4 жыл бұрын
Usipende kulinganisha power ya Mungu kwa watumishi,, roho in yeye yule wakorintho 12:4_11
@drmsange652
@drmsange652 3 жыл бұрын
Tuache udini lkn maneno ya askofu huyu yamenigusaaa
@upperroommileleministrykaw3947
@upperroommileleministrykaw3947 4 жыл бұрын
asante baba kwa ukweli huu
@evansm8802
@evansm8802 3 жыл бұрын
Gwajima is a politician businessman
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 5 жыл бұрын
Mchungaji bwana! We na wanawake tu. Jamna injili nyingine mtumishi was mungu.
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
We mwanaume tulia dawa iingie,habari ndio hiyo wanaume hawana mtetezi la ajabu mwanamke akisemwa hata wanaume wanaingilia kutetea mishipa inawasimama kujipendekeza
@coticelahilaly6819
@coticelahilaly6819 3 жыл бұрын
Safi Sana mtumishi
@bettybusumba1478
@bettybusumba1478 2 жыл бұрын
Acheni uongo kila mtu ana karama yake,huyu yupo kwenye kujenda ndoa na Mahusiano na yule yupo kwenye la ukweli kuhusu uzalendo kwa Mungu na nchi yake Sasa ukiboko wake uko kwenye Nini coz wako kwenye nyanja mbili tofauti
@mariamm2724
@mariamm2724 3 жыл бұрын
Kaah ynatuonea baba , kuna wanaume vichefuchefu tu
@philipo98samuelsamuel16
@philipo98samuelsamuel16 3 жыл бұрын
Mungu ndio alivyo waumba hao mchungaji katika mia unapata 7 tu 93 wote wanakuwa na roho za kishetani
@erickmsuha1390
@erickmsuha1390 3 жыл бұрын
Ni kweli Mchungaji,unachosema..mwanamke akipata fedha anabadilika kabisaa
@sailepugs2819
@sailepugs2819 3 жыл бұрын
Mifano iko wazi kabsa hata kwa wanawake maarufu wabunge waimbaji na nk.
@omaebarongo1892
@omaebarongo1892 3 жыл бұрын
Ukweli kabisaaa muhubiri Amen
@kabaiyukyasnider6797
@kabaiyukyasnider6797 4 жыл бұрын
Sauti inasikika asante mchungaji
@suratfrank6282
@suratfrank6282 5 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeen}Kweli kabisa mtumishi wa Mungu
@elinihakieliakunda9967
@elinihakieliakunda9967 3 жыл бұрын
Kweli
@AkwinoMsombe-FundiUmeme-
@AkwinoMsombe-FundiUmeme- 5 жыл бұрын
hahaha! huyu mchungaji ana vituko lakini anafikisha ujumbe
@zawadimwenga4860
@zawadimwenga4860 3 жыл бұрын
Ni kweli mtumishi filisika tujue tabia ya mkeo.
@zindahwillson2106
@zindahwillson2106 3 жыл бұрын
Poster nakukubali Sana utafiti huu Ni kweli kabisa
@kitokisospeter7247
@kitokisospeter7247 5 жыл бұрын
kweli kabisa, hawa viumbe ni shida. hawaeleweki.
@jatayohana
@jatayohana 3 жыл бұрын
Amina Baba
@masebochris3050
@masebochris3050 4 жыл бұрын
Daaa aise ubalikiwe mtumishi
@beatricesaka7557
@beatricesaka7557 5 жыл бұрын
Hahahahaha wanakauli hawa!!!!!!!!!
@lusigidominic513
@lusigidominic513 3 жыл бұрын
Powerful
@gasparyrutta8442
@gasparyrutta8442 5 жыл бұрын
Kweli kabisa mtumishi
@neemavictor2083
@neemavictor2083 4 жыл бұрын
Amen
@danielmgogo6484
@danielmgogo6484 5 жыл бұрын
SASA GWAJIMA AMEINGIAJE HAPO ?? MBONA MNAGOMBANISHA WATUMISHI BILA SABABU ??
@godmanmullar4154
@godmanmullar4154 5 жыл бұрын
Ndio tatizo lao hilo kukosa cha kusema na ubaguzi tu
@wisdomushindi276
@wisdomushindi276 5 жыл бұрын
Wanauza habari
@nebathkayange1267
@nebathkayange1267 4 жыл бұрын
Daniel Mgogo na Mimi nimeshangaa kilicho Andikwa ni tofauti na kinacho ongelewa
@atuganilemsyani2652
@atuganilemsyani2652 4 жыл бұрын
Hahahha izi KZbin midia baadhi wamekosa elimu ya biashara
@japhetdeus3464
@japhetdeus3464 4 жыл бұрын
tubariki baba achana nao
@bonabonala42
@bonabonala42 3 жыл бұрын
Mungu anakutumiaa. Kama. Lissu
@mohammedmnasi3228
@mohammedmnasi3228 3 жыл бұрын
Sasa lisu amefanya kipi cha maana zaidi ya ushoga
@bwikizobilly5220
@bwikizobilly5220 4 жыл бұрын
Umesema ukweli kabisa Mgogo
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 5 жыл бұрын
Ipo tofauti kubwa kati ya kuhubiri INJILI na kutoa mawaidha ! Injili ubebwa na msingi wa NENO la Mungu, siyo nasaha au uwezo katika kuongea !
@lawmarcusmwakagenda355
@lawmarcusmwakagenda355 5 жыл бұрын
Utajuaga mwenyewe kama ni nasaha au neno
@popekatalango9409
@popekatalango9409 5 жыл бұрын
hayo ni mawazo yako finyu
@hendrylema5640
@hendrylema5640 5 жыл бұрын
Kwa hyo
@hendrylema5640
@hendrylema5640 5 жыл бұрын
Au unataka kusema injili haiwez kutoa mawaidha
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 5 жыл бұрын
@Vincent Unkind Ni kweli sijui, nieleweshe sasa wewe unayejua !
@johnmachela4773
@johnmachela4773 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@jordanfromyt2861
@jordanfromyt2861 4 жыл бұрын
Ukweli unauma ila inabidi uwaambie Lol 😆 sema ukweli adi wapasuke Ila subtitle ndio inazingua haiyusiani na video
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 жыл бұрын
Amen 🇰🇪
@teddyelieza6710
@teddyelieza6710 4 жыл бұрын
kweliiiiiiiiiiiiii
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Kweli kabisa ,Mimi ni muislam lakini apo nakukubari
@eliyamulunga6220
@eliyamulunga6220 5 жыл бұрын
Amen.
@rodymtakimwa3897
@rodymtakimwa3897 5 жыл бұрын
haloo
@victoriachengula5630
@victoriachengula5630 5 жыл бұрын
kweli
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Ila kweli demu wangu jipange sahivi akiniambia mambo ya pesa namnyima najidai nimefilisika ili nione upendo au yuko kimaslah
@issayasosolo5463
@issayasosolo5463 3 жыл бұрын
Kwani ngwajima ni mtumishi au katelekeza kanisaba amekwenda kwenye siasa na Sasa tunatumia sadaka kunywa bia kwenye kampeni zake,
@sangapatrick1609
@sangapatrick1609 3 жыл бұрын
Aisee mzee unanifanya nisikie raha san
@Michael_Msanzya
@Michael_Msanzya 4 жыл бұрын
Tuishi navyo kwaakili hivi viumbe
@nkonyololuchana2211
@nkonyololuchana2211 3 жыл бұрын
Umeongea point san huo ndo ukweli wanawake ndivyo walivyo
@adammasunga6382
@adammasunga6382 5 жыл бұрын
Mmmh haya yananikuta duh
@innocentkamuntu5702
@innocentkamuntu5702 5 жыл бұрын
Mai
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 5 жыл бұрын
Kama hii sio injili jaribu wewe kutufundisha unachokidhani ndio bora! Asante Mgogo mimi napona
@rahandile7654
@rahandile7654 5 жыл бұрын
Mnao mpinga huyu mtumishi mna yenu
@bidafumbuka855
@bidafumbuka855 3 жыл бұрын
Ameikataa kweli
@taboraking1579
@taboraking1579 3 жыл бұрын
Hi
@neemajosephati8403
@neemajosephati8403 4 жыл бұрын
Naombeni Kuuliza! Hivi Huyu Mtumishi ni Mchungaji Wa Maswara ya Ndoa au ? Maana kila link zake nikifungua nakuta anaongelea Maswala ya Ndoa tu.
@gitanokambarage8789
@gitanokambarage8789 4 жыл бұрын
Huwa ni semina
@neemajosephati8403
@neemajosephati8403 4 жыл бұрын
@@gitanokambarage8789 Ahaa! Sawa
@johnrickmwamselele1036
@johnrickmwamselele1036 3 жыл бұрын
Uhubiri Hekima acha takataka izo .fundisha watu waepate kufahamu njia za Mungu uo NI umbeya
@eliaswilson1601
@eliaswilson1601 3 жыл бұрын
KWELI HUYU NI MTUMISHI WA MUNGU HATUKATAI LAKINI NAONA KILA WAKATI ANAZUNGUMZIA NDOA MAPENZI DAAAAAH CJUI NDO KUHUBIRI NENO KUMEISHA AU WAMECHOKA .HEBU ROHO MT AWAGUSE WATUMISHI WA MUNGU.MDA MWINGINE MTUMISHI UNAFUNDISHA HADI KUTONGOZA AU KUISHI NA MPENZI KWELI BIBILIAAA WAPI IMEHALALISHA HAYA MAMBO? WAUMINI CHAGUENI UZIMA WA MILELE SYO KUJIFURAHSHA NA MANENO YA DUNIA.
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 4 жыл бұрын
CG TV kweli mnaleta ujinga huu?
@growrich2332
@growrich2332 3 жыл бұрын
Kwli baba
@simontamba1285
@simontamba1285 5 жыл бұрын
Hakikaa
@joycesalvatory7768
@joycesalvatory7768 3 жыл бұрын
Ndoa ni kusaidiana
@nginamugwe8093
@nginamugwe8093 5 жыл бұрын
Kwa hii maongeo zote Gwajima ameingilia wapi hapo...mchonganishi wewe shika adabu yako
@mtembeibuberwa7680
@mtembeibuberwa7680 4 жыл бұрын
Ngina Mugwe si ndio hapo,hivi vi online media vingine bwana,mgogo na gwajima wapi na wapi na saa ngapi🤔??
@petersakariwakube8215
@petersakariwakube8215 5 жыл бұрын
Wacha zako.Haya ni maneno mengi tu. Askofu Gwajima anafundisha na kuhulihubiri Neno lililojaa nguvu ya Mungu nyingi ya kukomboa na kuponya roho, nafsi na mwili. Iwapo mtu kawekwa chunguni na wachawi, haya maneno matupu yatamfaidi nini?
@zahorokasentisenti2575
@zahorokasentisenti2575 5 жыл бұрын
Kweli baba tunaumia sana
@sahachi397
@sahachi397 3 жыл бұрын
Wanaweke siwaoni hapa
@jumabakari813
@jumabakari813 3 жыл бұрын
Ivyo ndivyo ilivyo nandivyo walivyo wanawake kunawanaume adi uruma hawana neno kwawakezao niwengi mno adi nawaza wamewekewa dawa au upendo au mwanaume anagombezwa kama mtoto aliemzaa mn kunAkumwelekeza mwenzako jambo nakunakumgombeza asa ao wanaweke wanawagombeza wanaume zao mpaka najiulizag ivi usiku akitaka kutaka uyu so anapangiwa uyo yan uruma baadhi yawanawake mubadilike
@lugeshadaudi2281
@lugeshadaudi2281 2 жыл бұрын
Umeongea ukweli mtupu pasta
@wangwemseti7592
@wangwemseti7592 5 жыл бұрын
Live bila chenga
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 5 жыл бұрын
Huyu Baba ni shida ,, ilatu umesema kweli
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 5 жыл бұрын
Sema tupone Baba, UKWELI HUUMA!
@molingesaitot1087
@molingesaitot1087 5 жыл бұрын
Mgogo
@user-qy6li2to1k
@user-qy6li2to1k 3 жыл бұрын
@@molingesaitot1087 v
@bhoketugara9703
@bhoketugara9703 4 жыл бұрын
Unatuonea
@cosmasmushi2895
@cosmasmushi2895 3 жыл бұрын
Dtv africa
@prospermwakikoti194
@prospermwakikoti194 4 жыл бұрын
Baba umesema kweli
@melaulaizer7356
@melaulaizer7356 5 жыл бұрын
Sio injili kabisa hii.
@adamfundikira221
@adamfundikira221 5 жыл бұрын
Hujielewi
@magdalinekwezi3616
@magdalinekwezi3616 4 жыл бұрын
Daniel
@magdalenamatiko9995
@magdalenamatiko9995 4 жыл бұрын
Mtoa post,haelewi kila mtumishi,ana huduma yake!Gwajima anapambana na wachawi,huyu na jamii,familia lakini roho ni yuleyule
@amosimatonge4719
@amosimatonge4719 3 жыл бұрын
Nikweki
@dissrugwebhe5361
@dissrugwebhe5361 5 жыл бұрын
Kweri kabisaa
@serengetiamb636
@serengetiamb636 4 жыл бұрын
najuwa siku ukikua utaacha. hawa sio wasanii uwanze kuwashindanisha
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 жыл бұрын
Nii ukweriiii mtupuuuu
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 жыл бұрын
Sasa kiboko ya Gwajima kivipi?
@salimmatalamoma8673
@salimmatalamoma8673 3 жыл бұрын
Nikwel umenena mgogo
@bakarisechala4951
@bakarisechala4951 3 жыл бұрын
Huyu mzee anaongea monk ngwajima pumba
@clausemsemwa3704
@clausemsemwa3704 5 жыл бұрын
Sasa unaposema kiboko ya gwajima unamaanisha nini?
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 3 жыл бұрын
Ungodly teachings. Nasikitika sana kwa ajili ya Kanisa la kisasa, linalohubiri Injili ya ulimwengu huu. Hii nato ni Injili? Kama haya ndio aliyokusudia Yesu Kristo, kuna jipya lipi basi tofauti na mafundisho ya dunia.
@agnessmwendwa7542
@agnessmwendwa7542 3 жыл бұрын
Amguse aone atatafuta pakujificha anajua au anamsikia
@japhetyonasultan5412
@japhetyonasultan5412 3 жыл бұрын
Mapele yamepata mkunaji.
@watwegopnina6480
@watwegopnina6480 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃
@dominickjoseph5336
@dominickjoseph5336 3 жыл бұрын
Sema ukweli tupone
@emanuelombeni5952
@emanuelombeni5952 3 жыл бұрын
Hahaaaaaaa
@geralddenis2987
@geralddenis2987 5 жыл бұрын
Wambie Baba ao
@aginiweyessayakyando9855
@aginiweyessayakyando9855 3 жыл бұрын
Sasa gwajima kaingiaje hapo tena..🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️
@davidnyambuche352
@davidnyambuche352 3 жыл бұрын
Na mimi nashangaa
@kenethpoul9169
@kenethpoul9169 3 жыл бұрын
Wambie baba
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Ujumbe umefika
@devidkajilo8852
@devidkajilo8852 5 жыл бұрын
Hayupo mwanamke anaeweza kupata mali akaendelea kumheshim mmewake nyie mnaowapa wakezenu mitaji tafuten nasehemu ya kwenda kuishi
@annestamwinuka
@annestamwinuka 5 жыл бұрын
Nahis umeelewa vibaya
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Kweli kabisa wanakuwa na kiburi sanah
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 21 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 120 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 109 МЛН
Mch:Daniel Mgogo- Ishu ya Jogoo na Mtetea
15:01
Uhai Online Tv
Рет қаралды 99 М.
TAFUTA MTAJI, TENGENEZA MTEGO WA FEDHA!
5:04
THOM. KAVISHE GOSPEL TV.(TKG.TV.)
Рет қаралды 1,8 М.
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,1 МЛН
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
KUHARIBU VAZI LA UOVU || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 21/02/2023
10:12
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 7 М.
MCH DANIEL MGOGO - UNAFIKI (OFFICIAL VIDEO)
22:20
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 608 М.
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 21 МЛН