No video

MFANYABIASHARA AUAWA KIKATILI TABORA, SHUHUDA ASIMULIA A-Z, MMOJA AKAMATWA KWA TUHUMA

  Рет қаралды 15,682

Cg Online Tv

Cg Online Tv

Күн бұрын

#CgOnlineTv

Пікірлер: 23
@beldinamaganga2675
@beldinamaganga2675 Ай бұрын
Mungu na akawe mfariji kwa ndugu na familia, poleni sana😢
@missmoona4497
@missmoona4497 Ай бұрын
Innah lillah wainnah illah rajiuuna, alie uwa kwa upanga nae auwawe kwa upanga pia hii ingesaidia sana kuondoa kabisaa mauwaji
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Subuhanallah😢 pole khabinty Munguakupesubra katikakipindihikikigumu
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
kamanda kasema ukweli kabisa safi cheo chake anakitendea haki mama Samia muongeze huyu kamanda nyota moja
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Ай бұрын
Nashangaa kweli wewe unamuuwa mwezio nje ? Unafikiriya kwamba wewe hutakufa .yani inauma kweli .kumkatisha tu mwezio Ndoto ya Maisha yake .nina fahamu hii Message walio muuwa wataisoma tu .poleni kwa familie ya Mfiwa .Ndungu jamaa na Marafiki 😢😢😢
@user-ve6lt5fl6j
@user-ve6lt5fl6j Ай бұрын
Polen ndug na jamaa, mungu awatie nguvu ktk kipind hik kigum
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Uhalifu unaendelea kwa sababu watuhumiwa wakipelekwa kituo cha polisi siku mbili unawaona mtaani.
@PendoMatemba
@PendoMatemba Ай бұрын
Kweli kabisa
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Shida watuhuumiwa, wanawaonga pesa nyingi, na wanakuwa huru
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Daah Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu ,
@MatridaDominick-t2k
@MatridaDominick-t2k Ай бұрын
Daah poleni sana Kwa familia yote
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Ай бұрын
Pole sana Mungu atamlpia
@NakuYona-kn6us
@NakuYona-kn6us Ай бұрын
Duh! Poleni
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Kuna shida Sana, kwenye ulinzi
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o Ай бұрын
Polen sana, jamani
@erastojuma640
@erastojuma640 Ай бұрын
So sad kwa kweli. RIP Mama Mviombo
@adelgotingingo8396
@adelgotingingo8396 Ай бұрын
Imeniuma sana
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Ай бұрын
Dah R.I.P MPENDWA tabora ina uhalifu sana
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 Ай бұрын
Dah poleni sana ndugu zangu
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Ай бұрын
😢
@honestkweka9501
@honestkweka9501 Ай бұрын
Ni hatari sjui binadamu tumekuwa na roho za ajabu kuliko wanyama wakali
@matlidaandrew9391
@matlidaandrew9391 Ай бұрын
Ila tabora kwanini lakini 😢ukatili kama huu
@ballqissuleiman7394
@ballqissuleiman7394 Ай бұрын
😢
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 11 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 14 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 79 МЛН
Mwanamke auawa Tabora, afichwa uvunguni
10:37
Mwananchi Digital
Рет қаралды 17 М.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 11 МЛН