Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020

  Рет қаралды 3,180,503

Top Stories Tanzania

Top Stories Tanzania

6 жыл бұрын

Bonyeza "SUBSCRIBE" Pata Habari mbalimbali zinazotokea nje na ndani ya nchi yetu ya Tanzania, michezo, uchumi, siasa pamoja na habari kemkem.
Subscribe: / @topstoriestz

Пікірлер: 995
@amosjacksoni9620
@amosjacksoni9620 2 жыл бұрын
Sikusema ccm oye yalikiepo majiz sana kuliko ata ya chadema , gonga like uliyeskia iyoo.
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Magufuli alikuwa Wa kipekee rip Mungu mtunze tunamuombea hakika tutakukumbuka daima msiba huu hauna kikomo
@user-ps4jt6gi9k
@user-ps4jt6gi9k
Mungu tupe macho tuone tunakoelekea mungu ikumbuke Tanzania nahaya yanayoendelea
@nad_peacetv8874
@nad_peacetv8874 2 жыл бұрын
Wewe ni kiongozi wangu bora wa muda wote😭😭😭😭😭😭
@makalasaigoni2275
@makalasaigoni2275 5 жыл бұрын
hongera mh magu. kama unamkubali magu acha yako lakes
@ananiamkasu8847
@ananiamkasu8847 3 жыл бұрын
Ukweli umekuua mapema! Mungu atahukumu kwa haki.
@donpablo2651
@donpablo2651 5 жыл бұрын
Jembe letu, nitapigia Kura ccm kwa mara ya kwanza ajili yako tu , you are true loyal
@haroonchibwana6253
@haroonchibwana6253 3 жыл бұрын
Innalillah waina ilahi rajeeon.
@alexandryshirima9568
@alexandryshirima9568 2 жыл бұрын
Tunakukumbuka mzee wetu Mungu alikutumia utuonyeshe njia hapo kwa sasa hali si hali
@onaelymbatiani3527
@onaelymbatiani3527 3 жыл бұрын
R.I.P rais wetu,jembe letu.Tutakukumbuka daima.
@user-ow5vg7wj2f
@user-ow5vg7wj2f
Mungu akujalie mzee wetu sidhani Kama 2tapata mwingine Kama ww mungu akilinde
@eliasbufula6290
@eliasbufula6290 5 жыл бұрын
JPM uko vizuri sana tena sana, isipokuwa tu sisi watu hatupendi kuambiwa ukweli, lakini msema kweli ni mpenzi wa Mungu, endelea kuchapa kazi.
@georgenyalulu4550
@georgenyalulu4550 3 жыл бұрын
Chuma kama chuma!! Twenzetu mzee wetu!! Watanzania tunakupenda sana!!
@ngusarobert4751
@ngusarobert4751 6 жыл бұрын
safi sana mkuu wa ichi hizo kauli nimezipenda sana
@akidaamani2156
@akidaamani2156 2 жыл бұрын
Namlia président wa Africa
@selestinfrancis5904
@selestinfrancis5904
Naamini kama kuna watu waliopelekea kifo chako na walihusika, naamini Mungu atashughulika nao hakika.Pumzika kwa Amani Baba, Mungu akupe pumziko la milele, Amina.
@chembejohn9605
@chembejohn9605 3 жыл бұрын
We ni zaid y baba...asnte umetufundisha maisha
@salimomar469
@salimomar469 6 жыл бұрын
Uwaminifu ni mzigo mzito mno na wewe unaweza kuibeba mungu akusaidie na akupushe na waharibifu Ahsante Ahsante sana magufuli
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 5 жыл бұрын
First history President in Tanzania
@marodamakungu3411
@marodamakungu3411 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima Magufuli wetu
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 568 М.
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 51 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,4 МЛН
MAGUFULI AANIKA MADUDU KUHUSU CORONA - "FENESI, MBUZI NAO WANA CORONA"
35:46
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 51 МЛН