HUYU TANGANYIKA NI BALAA! BILA WOGA AFUNGUKA, "KAMA MAGUFULI ALIUAWA, KAMA NI KWELI, WEWE NI NANI?"

  Рет қаралды 3,740

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
Ukweli mtupu,bora tukae kimya kama hatuwezi kuchukua hatua
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano 2 ай бұрын
Umeongea manenoo ya maana sana
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 3 ай бұрын
This is a man plus!!!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
pole sana Kijana kelele zako ni za chura hazimkatazi ngombe kunywa maji ccm oyee kazi inaendelea mama samia oyeeeee wanawake jeshi kubwa
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 ай бұрын
Wemkum...
@JosephLadisilaus
@JosephLadisilaus 3 ай бұрын
Kwel kaka uko sahihi
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 2 ай бұрын
Dah nimekugobga like mwanangu
@Kwarasi
@Kwarasi 2 ай бұрын
Ukweli mtupu kaka
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 2 ай бұрын
Namwelewa huyu jamaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Watoto wote wako after money sanaaaa kijana piga kelele tu
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 3 ай бұрын
💯%
@HellenNkwera
@HellenNkwera 2 ай бұрын
😂😂😂 etii demuu wng natafutaa pic mkongoloo
@LuganoPondo-km8ub
@LuganoPondo-km8ub 2 ай бұрын
Kilichobaki ndiyo hicho,tuache kuongea
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi 2 ай бұрын
Muuumuuhuuuu!! Uongozi umeoza tupige kampeni kupata viongozi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Hakuna kijana mtakaempata ale virungu kwa ajili ya Maslahi ya watu binafsi
@johnpeterbarongo6445
@johnpeterbarongo6445 2 ай бұрын
Wtz tuamke
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Unahangaika bure Chadema haiwezi kushika dola kwa matusi yao wangetangaza sera zao tu kama wangeshika dola watawafanyia nini watanzania
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 2 ай бұрын
Nyoko nin
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Nani unaemuona kwa haraka anaweza kuandamana wakati cha kukila hana acha hao Maccm watawale maisha nyie mnapiga kelele mmeshiba mko huko mliko
@IssaHamisi-d2w
@IssaHamisi-d2w 3 ай бұрын
Mbona Sion comment nizisome
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 3 ай бұрын
Jamaa anaongeA ovyo tu aongei point yoyote, kaongei hiki kalukia hiki
@rhodamaha1637
@rhodamaha1637 2 ай бұрын
wewe nimjinga tu huna uchungu na nchi yako ndo maana humwelewi
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 2 ай бұрын
Mbona na wewe unarudia Yale Yale, Sasa tuwafanyeje? Nakubali maelezo yako lakini tuwafanye Nini? Kuwa muwazi usipige hadithi isiyomwisho.
@GodwinIssack
@GodwinIssack 3 ай бұрын
Yeah, kila kilicho zungumzwa na Mzalendo huyu! Hakika amemaliza kila kitu.
@IssaHamisi-d2w
@IssaHamisi-d2w 3 ай бұрын
@@GodwinIssack kaongea kweli kabisa
@GodwinIssack
@GodwinIssack 2 ай бұрын
@@IssaHamisi-d2w kabisa kabisa.
@YacintaJames
@YacintaJames 2 ай бұрын
Kwa nini wewe usianze kwa kutuonyesha mfano?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Tunaomba Amani Tanzania hali mbaya sana Mungu tusaidie hakuna muamuzi wa kila jambo zaidi ya wewe
@selemaniigosha
@selemaniigosha 2 ай бұрын
Ww hujitambuwi
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 3 ай бұрын
Tutafute mbadala
@knight6757
@knight6757 2 ай бұрын
Uthubutu kipo ?!
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA.
6:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 90 М.
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
SK Media Online TV
Рет қаралды 28 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН