Inauma inauma sana jamani. Sababu nini mtoto mdogo kama huyu?. Hapana ata kuwe na kosa gani siyo sawa. Pole sana Mama, pole sana familia. Imeniumiza sana nikiwa Baba wa familiya yangu. Polisi Mungu mkuu awasaidiye kwa hili wajulikane wauaji hawa. Amen.
@fatmaabdallah770918 күн бұрын
Daaaah sina la kusema yaani mama umeenda kukesha kwenye starehe na kurudi asubuhi bila kuwa na wasiwasi na mwanao unamwachia bodaboda akulindie mwanao. Huyo boda unamlipa bei gani kukaa na mwanao badala ya kwenda kutafuta abiria akapata pesa!😢
@GraceKazi-z8d17 күн бұрын
Alafu anajiita mfanyabiashara maarufu kweli? Anashindwa kuwa na msaidizi wa nyumbani kweli? Huyu mama wa mtoto kuna kitu anakijua
@salumunsabimana650218 күн бұрын
Ndo limeshatokeya .lakini wazazi wengi hawako makini sana na wtoto wao wanachukuliya powa karne za leo ninyingine usiamini mtu kwasasahivi nnje ni binadam ndani nimnyama mama wewe ndo mchunga wawatoto ulimwamini vipi bodaboda afadhali ungemuachiya jirani yako .huwezi juwa kamapiya walim baka muwe na hofu ju ya ulinzi wenu .huyo ni malaika anakwenda kupumzika sehemu yenye utulivu hakuna cha bodaboda aliko analindwa na alaah .
@veronicangailo764417 күн бұрын
Umalaya umesababisha madhala
@GraceAssenga-z7d17 күн бұрын
Shenzi kabisa uzinzi wako unashindwa kulea mtoto unaendekeza starehe wenzio wanawatafuta we unawachezea si ungeweja housgirl pumbavu kabisa damu ya mwanao itakulilia huna akili kabisa
@ElizabethDaudi-b6v18 күн бұрын
😭😭
@LatifaMatayo-sz2cb18 күн бұрын
Maumiv anayoyapt uyu dada anaejua ni Kwa SS tuliozaa then watoto wetu wakafarik
@wadantz12318 күн бұрын
Hana uchungu uyo laiti angekuwa na uchungu na mwanae asingemuacha kwa matukio yanayoendelea ya ubakaj na ulawit unapata wap nguvu ya kumuacha mtt Hana akili yule
@homeandaway281118 күн бұрын
@@wadantz123 hata kama ni uzembe wake UCHUNGU LAZIMA, labda kama hana moyo wa damu na nyama.