HUZUNI: RADI YAVUNJA MLANGO, YAUA MUME, MKE KWA UCHUNGU “WATOTO WAMETEKETEA”

  Рет қаралды 4,503

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@IddiAhmada
@IddiAhmada 2 сағат бұрын
Pole mama mungu naendelee kukupa imani endelea kumuomba mungu sana mama yetu
@sadahamad6158
@sadahamad6158 Сағат бұрын
SUBHANAALLAH 😢 INALILLAH WAINA ILAH RAJIUN YA ALLAH TUJAALIE MWISHO MWEMA 🙏🙏 WAJA WAKO
@ellybrown5989
@ellybrown5989 30 минут бұрын
Pole sana,Mungu akufanyie wepesi wewe na wanao, insha'Allah.
@candidadilemile5882
@candidadilemile5882 Сағат бұрын
Pole mwanamke mwenzangu Mwenyezi Mungu atawaponya watoto wako na atawapeni faraja 😢
@RahmaOmar-k3c
@RahmaOmar-k3c Сағат бұрын
Pole sana dada mungu akufanyie wepese inshallah
@florianhenry7198
@florianhenry7198 30 минут бұрын
Pole sana radi nyingine zinatumwa ... Mungu akupe wepesi katika huu mtihan .amen
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 сағат бұрын
Innalillah wainnailaihi rajiuun💔 Subhannallah Allahu Akbar pole mwanamke mwenzangu msiba mzito Wallah
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 сағат бұрын
Subhannallah kumbe kwangu Mbande Tambani Ya Rabbi Allah atunusuru😢😢😢
@razackpaulo6375
@razackpaulo6375 Сағат бұрын
Haya maisha nimejifunza kilabinadamu anapitia maumivu lakini yaweza hisi yakwakonimakubwa kumbe wapowatu wanapitia makubwa zaidiyako tumuombe mungu2.
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 2 сағат бұрын
Jamanii Radi gani ina zunguruka vyumbani mbona isipite sebleni ama jikoni polesana Dada😭😭😭
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 6 минут бұрын
Jini hiro
@WinifridaFidelis
@WinifridaFidelis 14 минут бұрын
Pole sana Mungu akutie nguvu
@YusuphZebedayo-u4j
@YusuphZebedayo-u4j 6 минут бұрын
Mungu akusaidie mama yetu
@Allybinamour
@Allybinamour 37 секунд бұрын
INNAA LILLAH WAINNA ILAIHI RAJIUN pole sana mama kua na subra mama.
@allysaid6742
@allysaid6742 Сағат бұрын
Pole Sana mama ila nyie waandishi some time kuweni na huruma unamuona mtu Analia kwa uchungu kisha unamuuliza uliskia mingurumo aina gani kwani kwani radi zina. Mingurumo gani
@Zuu673
@Zuu673 Сағат бұрын
Wenyewe wanataka mimi natimua wataondoka wenyewe
@benedictonesmo6857
@benedictonesmo6857 Сағат бұрын
Proffessionalism ni zero
@EmanuelRyoba
@EmanuelRyoba 45 минут бұрын
Wasipo hoji ww utajuaje na hii habar ungeijua vp acheni upumbavu wa kibongo bc
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 59 минут бұрын
Inaliloahi wainailahi rajuun. Pole dada Allahnakupe subra naamuingize peponi mumeo muombee Dua
@EdnaMbowe
@EdnaMbowe Сағат бұрын
Pole Mpz Mungu akutie nguvu
@dianaleole5383
@dianaleole5383 28 минут бұрын
Jamani 😢😢 pole sana Mungu awaponye watoto wako pia akupe faraja
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 8 минут бұрын
Pole dada yetu na familia kwa ujumla
@andrewvoiceofficial8721
@andrewvoiceofficial8721 2 сағат бұрын
Dah poleni sana
@SamwelGeorge-hf8qv
@SamwelGeorge-hf8qv Сағат бұрын
Pole sana dada angu, mungu akufanyie wepesi 🙏
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 53 минут бұрын
Mungu mkubwa jamani tufanyeibadatu. Maana hiyoradi nihivyo moto je motowenyewe ukoje Allah atujaalie mwisho mwema. Mungu mkali sana tutubu tuache mazambi. Atujui tutakufalini nasabubu ni nini
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f Сағат бұрын
Inalilah waina irah rajiun poleni sana wafiwa mungu awafanyie wps watoto wapone🙏
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz 53 минут бұрын
Pole sana jamani
@AminaLibisa
@AminaLibisa Сағат бұрын
Innalilah wainnalilah lajiun 😭 ila awa waandishi ipo siku watasababisha kifo kingine yani mtu amefiwa ana machingu wamekazana tu kumuhoji tu dash
@EmanuelRyoba
@EmanuelRyoba 42 минут бұрын
Ulitaka ahoji shangazi Yako au
@AminaLibisa
@AminaLibisa 18 минут бұрын
Wakamuhoji mama yako alio kufunza tabia mbaya kushoboka kashoboke Kwa pididy
@AminaLibisa
@AminaLibisa 16 минут бұрын
Nakuona sana kwenye comment zangu lazima ulete mdomo wako sio mara moja unikome fyuuuuu 😏😏😏
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 Сағат бұрын
Inna Lilah Wa Inna Ilygi Rajioun Allah Amlaze pema peponi Aameen 🤲
@hamisishabani4333
@hamisishabani4333 Сағат бұрын
Polesana dada angu mungu ndomwenyekujua kilakitu
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 сағат бұрын
Subhanallah pole sana
@glorysungura3180
@glorysungura3180 Сағат бұрын
Pole mpendwa, pole sana. Inasikitisha mno. Dah nasikia maumivu.
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri Сағат бұрын
Pole Mungu
@zuriathkajwangya9250
@zuriathkajwangya9250 Сағат бұрын
Inalilahi wainalilahi rajiun Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi ndugu wafiwa.
@Aishajohn-o3m
@Aishajohn-o3m 2 сағат бұрын
Subhanna Allah😢
@bongo39
@bongo39 2 сағат бұрын
Subhanallah allah atunusuru
@RoseJoseph-z6y
@RoseJoseph-z6y 34 минут бұрын
Pole dada
@200Stella
@200Stella Сағат бұрын
Poleni sana jamani.
@ElinahStephano
@ElinahStephano 2 сағат бұрын
Poleni
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Сағат бұрын
Innalillah waina ilayhi rajiun 😢 poleni wafiwa
@rahema1992
@rahema1992 Сағат бұрын
Pole sana allah akupe nguvu na subra
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 Сағат бұрын
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲 "Allah" andika Kwa herufi kubwa Shukran
@AnisaA-v4v
@AnisaA-v4v 49 минут бұрын
Allah Karim
@nadhrayahya8589
@nadhrayahya8589 23 минут бұрын
Innalillaah wainna ilayh raajiun Yaa Rabby tunusuru na vifo vya ghafra😭
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 19 минут бұрын
Lahawla walakuwata ila billah Allah amrehemu amjaalie kauli thabit
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 Сағат бұрын
Pole sana jamani 😢
@EliudiJastini
@EliudiJastini Сағат бұрын
😢😢😢pole sana
@Faustinapre
@Faustinapre Сағат бұрын
Mungu tusaidie😢
@faisalmalik-vf9gy
@faisalmalik-vf9gy 57 минут бұрын
Inna Lilah wainailah rajiun
@colletatesha5265
@colletatesha5265 Сағат бұрын
Pole mwaya pole sana mungu akutie nguvu na amani ipitayo ufaham wa mwanadamu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 сағат бұрын
Jamani mungu atuhifadhi mingurumo na radi za jana usiku mpaka leo alfajiri mi mwenyewe kariakoo nilikuwa naogopa ilikuwa inatisha
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 сағат бұрын
SubhanAllah! Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 💔 😢
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz Сағат бұрын
Pore sana kuwa na subra ndugu yangu
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 6 минут бұрын
Hilo ni jini mauti,, radi Gani hiyo Inachagua nyumba Tena inamtafuta mtu chumbani!!,, huo ni uchawi Tena wa sumbawanga
@chimamilion
@chimamilion Сағат бұрын
Et muliongea nini namume
@HassanMohamed-s9e
@HassanMohamed-s9e Сағат бұрын
Pole mama
@AbcdefGhi-z5v
@AbcdefGhi-z5v 57 минут бұрын
Inalillah wainnailaih rajioon
@LucyMulenga-wu4yt
@LucyMulenga-wu4yt Сағат бұрын
Poleni sana 😢 híi radi ya utata
@uwimana6533
@uwimana6533 Сағат бұрын
Hatari sana 😢
@andrewvoiceofficial8721
@andrewvoiceofficial8721 Сағат бұрын
Pole sana mama
@tanzalandtv3311
@tanzalandtv3311 Сағат бұрын
POLENI SANA FAMILIA
@EliasMwita-q3x
@EliasMwita-q3x 2 сағат бұрын
Pole Mama
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz Сағат бұрын
Pore sana😊
@ammyulediuledi5977
@ammyulediuledi5977 Сағат бұрын
😢😢😢
@MaryRiwa
@MaryRiwa Сағат бұрын
huyo mwandishi wa habari akili hana uchungu wakufiwa haujui nini?
@Zuu673
@Zuu673 Сағат бұрын
Naona wenyewe wanataka kwani ukimwambia sitaki kuojiqa muondoke watakaa?
@CosmasSylivester-z8u
@CosmasSylivester-z8u 32 минут бұрын
Sasa wasipo hoji taarifa utapateje
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z 16 минут бұрын
Mmmmmh makubwa Aya ​@@CosmasSylivester-z8u
@SalumMzee-cw8do
@SalumMzee-cw8do Сағат бұрын
Mitihan mikubwa Tuombe Allah atujaliye mauti mema na khatima njema
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 2 сағат бұрын
💔💔💔Pole Yao mbele Yao nyuma yetu
@Fiddkim
@Fiddkim 2 сағат бұрын
Kenya❤😮❤
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 2 сағат бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@maryobedi6807
@maryobedi6807 2 сағат бұрын
Dah maskini
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Сағат бұрын
💔💔
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 Сағат бұрын
Na nyie waandishi mtu analia mnazididi kumhoji na kumswalika, hamwezi kusubiri Kuja baada ya siku 2-3? yaani mnaboa sana...
@SamwelBahati-x9z
@SamwelBahati-x9z 45 минут бұрын
Pole sana dada 😂
@Fatma44-vp8zc
@Fatma44-vp8zc 2 сағат бұрын
Sisi sote niwamungu na kwake tutareje.pelesana
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 2 сағат бұрын
R.i.p ndugu yetu😭🤲🙏
@allymwachipanga2486
@allymwachipanga2486 2 сағат бұрын
Innalillahi wainna ilaih raajiuun
@amelinamwaduga9724
@amelinamwaduga9724 Сағат бұрын
Kigoma tumeshazoea radi hizo inapiga moja wote mnachanganyikiwa
@amelinamwaduga9724
@amelinamwaduga9724 Сағат бұрын
Pole sana mama Mungu akutie nguvu
@HizaMwaimu
@HizaMwaimu 2 сағат бұрын
Mbele yake nyuma yetu
@AishaKimbondile
@AishaKimbondile Сағат бұрын
,😢😢
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 2 сағат бұрын
Pole Sana 😭😭😭😭😭
@venancezumba202
@venancezumba202 2 сағат бұрын
Jaman jaman polen
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 сағат бұрын
RADI YA UTATA
@sulemanmuyomba3524
@sulemanmuyomba3524 2 сағат бұрын
Pole sana jamani
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Сағат бұрын
😢😢😢
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Сағат бұрын
😢😢😢😢
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 73 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 169 МЛН
BABA LEVO AFICHUA MAISHA YA ROMA AKIWA MAREKANI
17:49
Mbengo Tv
Рет қаралды 1 М.
Far from Civilization: Inside the Life of a Family Living in the Mountains
42:46
Food Around The World
Рет қаралды 3,8 МЛН
NAPE AIBUKA BUNGENI KWA MARA YA KWANZA AMBANA WAZIRI MKUU
4:32
Millard Ayo
Рет қаралды 3,8 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, 31 OKTOBA, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,7 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26