MAHOJIANO BBC: Prof. KABUDI watoana jasho na Zuhura Yunus / Ishu ya utekaji na usalama wa Taifa

  Рет қаралды 50,799

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@OmarMohamed-bp9ix
@OmarMohamed-bp9ix 2 жыл бұрын
waziri Muongo sana uyo
@shabanidaruweshi-jw5jy
@shabanidaruweshi-jw5jy Жыл бұрын
Huyu mzee hana majibu sahihi ana dandadanda
@jafarkipengele6492
@jafarkipengele6492 2 жыл бұрын
Huyo ndiyo aidan mwaruko kabudi
@andrewmajita6437
@andrewmajita6437 5 жыл бұрын
dah zuhura big up nakukumbuka tulivyokutana na wewe hapo BBC
@sululungasa3849
@sululungasa3849 2 жыл бұрын
Mr kabudi xaluti huanakuelewaxana mh
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 2 жыл бұрын
Kabudi nimependa smat yako upo spmat sana katika kujibu unajiamini
@thomastarimo
@thomastarimo 2 жыл бұрын
Wewe mzee ni mnafiki sana wewe gazeti lolote likiikosoa hicho chama cha li ccm kesho yake linafungiwa
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Prof kabudi umezidiwa
@richardkumyola3771
@richardkumyola3771 4 жыл бұрын
Kumwelewa kabudi unapaswa uwe na shule la sivyo hutaaelewa, majibu anayotoa sio rahisi kata kidogo, kadomimate senssion
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 3 жыл бұрын
Babu sema kweli kila kitu unakanusha
@KassimBishBish
@KassimBishBish 4 жыл бұрын
Big up Z.Y
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 3 жыл бұрын
Unashindwa kumpa mwandishi nafasi ya kukuuliza "aibu hii"braza!
@allyshabani738
@allyshabani738 4 жыл бұрын
Mama toa ushahidi sio kubishana
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
HIVI HUYU MZEE ALIYOKUWA ANAYAONGEA YALITOKA MOYONI AU MDOMONI.HONGERA MAMA KWA KUTULETEA HUYU DADA TUNATAMANI AFANYE KAZI KAMA ALIVYOKUWA ANAFANYA BBC
@paulbayser5182
@paulbayser5182 4 жыл бұрын
Huu umandaz por dia profesa
@husseinmkakile9206
@husseinmkakile9206 4 жыл бұрын
daaaah kabudi bhnaaaa..😂😂😂😂😂 zuhura umetishaaaaa...🚩🚩🚩
@paulbayser5182
@paulbayser5182 4 жыл бұрын
Aibu tupu profesa
@kurtstraemann470
@kurtstraemann470 5 жыл бұрын
2:54 kwani gazeti sio chombo cha habari??
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 3 жыл бұрын
Hapa lilipanic
@kazuamkangara7619
@kazuamkangara7619 4 жыл бұрын
Waziri uko vzr sio Kila mambo myalopoke tu hali ya kua wao wanayaweka siri inamaana ss ndo sio nchi
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 5 ай бұрын
😅tizama mijicho hilyo kayatowa linapwesa kama dondo Kwa uwongoo
@oii6zlaboshelby17
@oii6zlaboshelby17 2 жыл бұрын
Mtu muongo hakupi nafasi ya kuzungumza na huyu waziri muongo mbaya kuanzia sura mpka roho
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 2 жыл бұрын
Kwa mujibu wako mkuu lkn ni very smart
@henryanatoly2522
@henryanatoly2522 2 жыл бұрын
Sisi wtz ni wamoja na nitaifa la Ming Mungu
@geitanjonas3099
@geitanjonas3099 4 жыл бұрын
Asant mama zuura yunusi uyo mzee chizi uwa anapenda kulopoka km kadata anaonekana
@henryanatoly2522
@henryanatoly2522 2 жыл бұрын
Kabudi yupo sahihi mana anarinda masilahi ya taifa nasio huyo mrimbwende alotumwa na wazungu kutuchafua watanzania. Tena huyo mwanamama ndo wale mojawapo ya masinichi wakubwa
@abelzablon5977
@abelzablon5977 4 жыл бұрын
Yesu aliposema majibu yenu yawe ndio ndio ama hapana alikua maana nzuri sana.ona leo pro anacho fanya hadi aibu
@zakwani885
@zakwani885 4 жыл бұрын
punguza kuyatoa macho yako sana
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 2 жыл бұрын
Ubalikiwe dada zuhura ilikua nishida
@matatachaggachannel1327
@matatachaggachannel1327 4 жыл бұрын
Mbona Ana ongea haraka hara na hajiamini 😁😁😁
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 3 жыл бұрын
Huyu muongo tu anatoa macho makubwa
@trevisrodriguez7484
@trevisrodriguez7484 2 жыл бұрын
Hapa hakuna professor naliona jalala tu.
@raymondprosper7790
@raymondprosper7790 10 ай бұрын
Huu mvutano hatari Sana
@MbwanaKisoro
@MbwanaKisoro Жыл бұрын
uyumzee amelewa namamboyadunia anajisaulisha kuna kesho
@tithomgaya2457
@tithomgaya2457 4 жыл бұрын
Mwambie akajiandae kwanza
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Kabudi. Anapinga. Ukweli. Usiofichika
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 5 жыл бұрын
mwandishi shenzi
@idduyusuph9408
@idduyusuph9408 5 жыл бұрын
Unatukana nn husen kumbuka kwenywe ukwel uongo unajitenga ndugu yang
@husseinmkakile9206
@husseinmkakile9206 4 жыл бұрын
@@idduyusuph9408 anatuhabisha wakina hussein huyu jamaaaa
@paulbayser5182
@paulbayser5182 4 жыл бұрын
Kabudi hakupi nafac maneno mengi hahaha ,mwenyekit wao huyo dada hawez kusema ukweliii
@idduyusuph9408
@idduyusuph9408 5 жыл бұрын
Wazili wetu kachemsha Sana Yan dar adi aibu Yan
@zickgregory5138
@zickgregory5138 4 жыл бұрын
Umechemka wewe pumbafu kumanyoko mbwa wewe
@saidimohamedimgotomgoto979
@saidimohamedimgotomgoto979 4 жыл бұрын
Huyo ni msomi watanzania
@oii6zlaboshelby17
@oii6zlaboshelby17 2 жыл бұрын
Zuhra hivo anavomtazama huyu waziri yani hammalizi yani
@hadijamatimbwa5195
@hadijamatimbwa5195 5 жыл бұрын
Naona listening skills inakosekana kabisa......Kushindwa kumpa nafasi mtangazaji amalize kuuliza swali ni weakness kubwaaaa... that's poor listening skills
@mgwenojr391
@mgwenojr391 4 жыл бұрын
Ww unavoona huyo mwandish anauliza nn ?au naww mburulabkama huyo mwandishii? Sasa naku2ma kawaambie wenzio kua TZ cnchi ya kucbezea nyapa nyieeee,, hao cbb Ni wahuni 2 wachonganishi , sasabona hana ushahidi ? Peleken ushubwada wenu mbelee
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 жыл бұрын
NIPE USHAHIDI 😂😂😂😂
@jumakatema6348
@jumakatema6348 2 жыл бұрын
mbona hamuachiani maneno ya kuongea?
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@fatumamohamed2229
@fatumamohamed2229 2 жыл бұрын
Mahojiano? Mabishano?
@hassanjumaa100
@hassanjumaa100 4 жыл бұрын
Hatuko Hulu ata kidogo useme ufungwe kabudi kuwa wazi baba
@hassanjumaa100
@hassanjumaa100 4 жыл бұрын
Wazungu wana tupa tafu kubwa sana yeye sababu anakula vizuli akiumwa atapata matibabu pesa yuko Nazi ss TWA pata tabu na kabudi mtueshim watanzania
@hassanjumaa100
@hassanjumaa100 4 жыл бұрын
Balozi yule ubeligiji ajuwi dunia IPO wazi anasema anajuwa netiweki bado imeximwa nn anacho akina ukweli
@bonifacekibhisa4791
@bonifacekibhisa4791 2 жыл бұрын
Kibaraka wa BBC,ona aibu ulivyokuwa unaisema vibayaTanzanzania yako 🤣🤣🤣🤣
@shabanidaruweshi-jw5jy
@shabanidaruweshi-jw5jy Жыл бұрын
Sio kibaraka ww sikiliza maswali
@hassanjumaa100
@hassanjumaa100 4 жыл бұрын
Yana wasifiya yaki wambiya kweli mnawafungiya wazili kabudi apana
@frankkasha3945
@frankkasha3945 3 жыл бұрын
Ukiwa Kiongozi wa CCM Ni marufuku kusema ukweli hhhha
@ibrahimdabo7163
@ibrahimdabo7163 4 жыл бұрын
Zuhura uko sawa unayosema kweli na ukweli kwao zambi tunayaona duuuu
@khamisibinamu5323
@khamisibinamu5323 4 жыл бұрын
Uhuru ukizidi unaharibu nch
@khamisibinamu5323
@khamisibinamu5323 4 жыл бұрын
Zuhura haoji Bali analazimisha kama katumwa vile msikilizeni vizuri utabaini kitu
@hassanjumaa100
@hassanjumaa100 4 жыл бұрын
Zuhula wambie ukweli. Washa zoweya kuto kusema kweli
@issaissa8572
@issaissa8572 5 жыл бұрын
Kabudi umebugi
@issambassa9986
@issambassa9986 4 жыл бұрын
Hahahahaaaahaaaaaah
@jamesmmbando4590
@jamesmmbando4590 4 жыл бұрын
/
@nassorali5511
@nassorali5511 4 жыл бұрын
Hana lolote hyo mbabaishaji tu
@mohammedsuleiman3513
@mohammedsuleiman3513 5 жыл бұрын
Zuhra ili kuwa umulize Habari ya tundu lissu huyo Hana uprfisha Hana Mavi huyo an babaisha tu ukweli hautaki mazalimu hao
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 3 жыл бұрын
Lilipanic 😂
@enockthefirstboy8893
@enockthefirstboy8893 2 жыл бұрын
Hzo kazi za kitumwa prfesa ganiii stupid
@inocentmarandu3323
@inocentmarandu3323 5 жыл бұрын
Kwann usimzikiluze kwanza mtangazaji mkuu achakutitia haibu
@mussadwese
@mussadwese 5 жыл бұрын
we ndo umetutia aibu sasa maana hatuelewi umeandika kikabila au lugha gani? rudi darasani mnyabi
@issamohd2674
@issamohd2674 5 жыл бұрын
Tabzani hakuna uhuru wa vyombo vya habar huyu wazir elimu ushindani mkubwa
‘’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
3:36
BBC News Swahili
Рет қаралды 134 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
CITIZEN WEEKEND with SAM GITUKU 4TH JANUARY 2025
1:11
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3 М.
PROFESA KABUDI NA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA
12:51
BBC News Swahili
Рет қаралды 34 М.
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 208 М.
Ndumiriri nditu ya 2025 igie Gachagua, Maina Njenga na Kindiki
1:11:17
Muhia Wa Maingi Media
Рет қаралды 59 М.
Zuhura Yunus
21:16
Wachanga Productions
Рет қаралды 47 М.
Mazungumzo ya Fatma Karume na Zuhura Yunus wa BBC
28:44
KIKEKE ÐIGITAL
Рет қаралды 62 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН