M.mungu awajaalie mmalize Ibada mrudi salama..nasi Mungu atujalaie Khery za Ibada hiyo
@FaidhaSaid-ff1jh5 ай бұрын
Maashaallah Allah awakubalie ibada hiyo na msisahau kutuombea nasi tupate nafasi ya kuja huko kufanya ibada hiyo inshaallah
@ايتيتووينويو5 ай бұрын
Mashallah Mungu awatakabalie hijja yenu iwe yenye kukubaliwaa na mimi nina imani siku moja nitafika huko inshallah
@Aisha-qd2rg5 ай бұрын
Mashaalah tabarak Rahman Allah awatakabalie dua zenu pia nataman sana nami siku moja nije kuhijj ila sijui garama na taratib zote za Hijja naomba muwe mnatupa taarifa tafadhli 🤲
@rukiakyaka18275 ай бұрын
Allah atuwezeshe kufanya Kheir Inshaallah
@MakoyekKulwa5 ай бұрын
Allah atukubalie Toba zetu
@asilahassan99655 ай бұрын
Mashallah natamani na Mimi niwe na uwezo siku Moja niweze kwenda kufanya Ibadan ya hijja pia natamani nimmfanyie mama yangu hijja
@Mpakistanog5 ай бұрын
Allah maneno yako ameyasikia nami nakuombea
@AaAa-vm8bb5 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi Ukhti Asila na akujaalie uwezo na uweze kufika Makkah ukajionee Allah akuwafikishe Inshaa Allah
@subralugege70195 ай бұрын
Allahumaami ishaallah utakwenda
@ZuuAbdallah5 ай бұрын
Naomba ufanye ivi kuanzia leo weka kibubu unachopata chochote weka kwa ajili ya hijja utaona wepec na utafanikiwa biidhnillh
@AndulHida-hs5py5 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allahu ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri, mola Awakubaliye mahujaji wote inshaallah
@gamarmahsan82545 ай бұрын
Alhamdulilaah Alla awatimiziye haj yenu awatakabaliye amal zenu basi twa waomba duwa zenu natamani kufika hapo duwa zenu ndugi zangu mashalla
@allahmamana5 ай бұрын
Mola awatakabalie hija yao amin
@allahmamana5 ай бұрын
Maashaallah
@butoyiamadi12665 ай бұрын
ManshaAllah tabarakallah hadi raha mwenyezi Mungu awajaze kheri atujaliye nasisi tulio baki kuipata neema iyo asitufishe bila kuifanya iyo ibada nafurahi sana
@BitiHamisi5 ай бұрын
Masha Allah ❤ in shaa Allah Mungu anijaalie na familia yangu tufanye Ibada ya hijja
@ZuhuraShaban-g6q5 ай бұрын
MashaAllah Allah awajalie Kila lakher 🙏🙏
@ashaomar71095 ай бұрын
Ewe mola wetu tujaaliye na sisi waja wako kutimiza ibada ya hijja
@AhmedMohamed-so7db5 ай бұрын
Yaan nataman sana sana yaraby nijalie tujaaliye sote tunao tamani kukamilisha Ibadan hii
@fawziaabdurrahman22515 ай бұрын
Kuenda hijja ni mualiko wa Allah. Kwa hio, Wanaotamani kuenda hijja, Wewe tia nia kua wataka ufike huko. Allah kwa ukarimu wake atakufungulia upate nguvu ya fedha, nguvu ya mwili na afya, upate huo mda na hio nafasi. Inshallah Utajipata kwenye miji mitakatifu. Walioenda Allah awatakabalie na sote Allah atutakabalie ibada zetu. Amin