Ee yesu wangu uniimarishe kwan nko kweye inchi isio na wakristo nisaidie ee yesu wangu na unipiganie mana nisukukosuko ni mingi
@otreymaiko770310 ай бұрын
Ee yesu mwema usimamie njia zetu za maisha na utupe moyo wa kurudi kwako pale ambapo dunia imekua imetuficha
@wazambulitv573511 ай бұрын
KITUO CHA PILI. Yes anapokea msalaba. -Ee Yesu, tunakuabudu, tunakushuru. -Kwa kuwa umewakomboa watu kwa msalaba mtakatifu. Yesu anakubali kuelemewa na msalaba kwa ajili ya wokovu wa watu. Ndivyo anavyonifundisha moyo wa sadaka, moyo wa kujitolea na kujisahau kwa ya wengine. Ee Yesu wangu mkarimu, mimi pia ninao msalaba wangu; jirani zangu, mwezangu wa ndoa, watoto, wazazi wangu, kazi zangu, joto, baridi, njaa, kiu, vishawishi, magonjwa na matatizo mengine ya maisha, wajibu wangu kwa Mungu, kwa Umma na kwa Kanisa, Hayo yote in msalaba. Unipe ukarimu wako ee Yesu, niyapokee bila ya kunung'unika, na kuyabeba vema. Baba yetu.................. Salamu Maria........... Atukizwe Baba na.... K.Ee Bwana, Utuhurumie............... W.Utuhurumie.......... Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. Amina. Ona muumba mbingu na nchi yupo chini mzingo wamwelemea na mtu kiumbe chake kwa ukali Ampiga, ampiga bila huruma
@hildamutola55510 ай бұрын
If you here in 2024 easter.. Happy Easter Lord have mercy on us
@jannetmtey3 ай бұрын
Ee yesu wangu umepata mateso kwa ajili yetu na yote hayo kwa ajili yakutukomboa,naomba unikomboe kwani misukosuko ni mingi.
@claudiayohana65763 жыл бұрын
Najivunia ukatoliki wangu,,nasadiki kwa kanisa moja katoliki la mitume😘😘🙏🙏
@roseojunga28022 жыл бұрын
Nashkuru Mungu nimesoma njia ya msalaba nikiwa 🇸🇦 najivunia kuwa mkatholic Mungu nipe moyo kama ya mwanao niweze ku ubeba msalaba wangu AMINA
@msuyawamsuya9004 жыл бұрын
Hongereni sana FAHARI YA MKATOLIKI
@obaraalfred2 жыл бұрын
Ee bwana Yesu Christo naomba ufufuke nami. Maria Mtakatifu mama wa Mungu niongoze kwa mwanao
@roselambert67002 жыл бұрын
Amen asante kwa kusali pamoja njia ya msalaba
@nakukipokolo94073 жыл бұрын
Ee Yesu mwema, kwa ajili ya mateso yako, tusaidie kuzizika dhambi zetu zote na ubaya ulioko ndani ya mioyo yetu ili kwa nguvu ya ufufuko wako, tuweze kupata mabadiliko ya kweli ya mioyo na kuchukua hatua za kukufuata kwa dhati
@muenimungoloti656910 ай бұрын
I feel much blessed, thanks for coming up with an alternative for those of us who are committed
@victoriakiwanuka542810 ай бұрын
Nashukuru kwa sala ya njia ya Msalaba imetusaidia wengi ambao hatukushiriki Kanisani.Mungu awabariki 🙏
@wazambulitv573511 ай бұрын
KITUO CHA NANE. Akina mama wanamlilia Yesu. -Ee Yesu tunakuabudu tunakushukuru - Kwa kuwa umewakomboa watu kwa msalaba wako mtakatifu. Asanteni sana akina mama kwa moyo wenu wa huruma. Ee Yesu uliyetulizwa na wanawake, unripe moyo wa kuwaheshimu akina mama wote. Uwaite na wasichana wengi waingie utawa, ili watulize Moyo wako Mtakatifu kwa sala na sadaka zao. Baba yetu.................. Salamu Maria........... Atukuzwe Baba na... K.Ee Bwana, utuhurumie............... W.Utuhurumie.......... Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, kwa amani. Amina. Mwokozi sasa ni ya tatu Waanguka chini ya msalaba Katika dhambi za uregevu Nijue, nijue kutubu hima.
@veronicawanjiku839710 ай бұрын
Nashukuru Sana Kwa HiI Ibaada
@gigwajidendei19404 жыл бұрын
Wapendwa katika kiristo napenda kuwakumbusheni kuwa katika kipindi hiki cha kwarezma tutubu makosa yetu na tuweze kumrudia mwenyezi Mungu nawatakieni kwarezma njema
@lilianalara8007 Жыл бұрын
Bwana unihurumie🙌🏻🙌🏻🙌🏻nisitende dhabi tena🤲🏼🤲🏼🤲🏼
@wazambulitv573511 ай бұрын
KITUO CHA NNE. -Ee Yesu tunakuabudu, tunakushukuru -Kwa kuwa umewakomboa watu kwa msalaba wako mtakatifu. Wote wawili mama na mwanawe wanaumia moyoni kwa ajili ya dhambi zangu. Ee Yesu, Mwana wa Maria, unitilie moyoni mwangu upendo na Ibada kwa Bikira Maria, unijalie na ulinzi wake, nisitende dhambi tena. Baba yetu.................. Salamu Maria........... Atukuzwe Baba na... K.Ee Bwana, utuhurumie............... W.Utuhurumie.......... Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. Amina. Kwa simon heri ya kweli Mimi pia Yesu nisaidie kuchukua mzigo wa ukombozi Kuteswa, kuteswa pamoja naye.
@Eva-f4n4 ай бұрын
Baba uturehemu sis wadhambi
@suemwas4143 Жыл бұрын
Kazi nzuri kabisa, baraka tele 🙌
@asangostephen91223 жыл бұрын
Ee yesu ninaomba kwawema wako utusamehe dhambi zetu mimi na familia yangu utuoshe na damu yako iliomwagika msalabani.
@WinfredGatonga-l6j11 ай бұрын
Amen 🙏🙏 najisikia niko pamoja na wengine......mungu awabariki
@RosaliaFikiri-nf8yd11 ай бұрын
Amina🙏
@monicavalentino65024 жыл бұрын
Mungu mwema awabariki mno, leo nimeweza kusali njia ya msalaba kwasababu ya Ibada Hii, Shukrani mno. Watching from Cuba, i have been blessed.
@lucziamuthara46213 жыл бұрын
Amina jesu nikumbuke katika safari ii
@odiliakalisti20344 жыл бұрын
Nikiwa UAE nashiriki njia ya msalaba kwa kufwatilia Fahari ya mkatoliki Hongereni Sana
@HeldaX10 ай бұрын
Hakika nimepata balaka kubwa sana leo asante sana Mwenyez Mungu akujalie ili uendelee kuineza injili bila kuchoka
@monicajohn557811 ай бұрын
Mungu awabarik San kwa kutuletea tafakari ya njia ya msalaba kwa pamoja na tumeipokea kwa MOYO 🙏🙏
@laurianmutayoba86083 жыл бұрын
Msalaba uponya roho,napenda sana njia ya msalaba hunipa tafakari ya kina
@judykwoba902411 ай бұрын
Umetusaidia Sana Kwa hii salary Kwa kuwa Sisi wengine tumefungiwa na KAZI Hadi haturuhusiwi kwenda inje siku ya Leo ubarikiwe sana
@maishayangu92164 жыл бұрын
Ee Mungu Mtakatifu tunakutukuza kwa wema wako, mapenzi msamaha na uaminifu wako. Ee Yesu mwana wa Mungu nawe Roho Mtakatifu katika ushirika Wa Mungu Baba, mtuhurumie, mtusamehe, na kutuhifadhi katika imani. Twawaombea wote roho za marehemu wapenzi na roho za wote zinazotezeka toharani kwa kulipia dhambi na makosa yao waliotenda uahini. Wapunguzie matezo na kuwajalia mwangaza wa uso wako na kuwapa mamlaka ya kutuombea sisi mbele zako ili na sisi tujaliwe kufika uliko wewe. Ahsante mliotuletea hii ibada. Mungu awaangazie na neema zake. Amina
@sallygachui31912 жыл бұрын
Said The Stations Cross your prayers and the prayers in my Swahili prayer book “ YOTE KWAKO EE MOYO MTAKATIFU WA YESU” Mwenywezi Mungu na awabariki muzidi kushare video za sala na pia nyimbo za kumuimbia Yesu Mona Mama Maria. Amina.✝️✝️💟💟💜💜🙏🙏🙏📿📿📿📿📿📿📿📿📿📿📿📿📿
@LilianWanyonyi-v6d11 ай бұрын
Asante yesu🙏🙏🙏
@georgeowiti82212 жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@asangostephen91223 жыл бұрын
Ee yesu unirehemu na unisafishe dhambi zangu unipokee siku ya ufufuko wako.
@claudiamarandu2857 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@nathanngumi84672 жыл бұрын
Amina. 🙏
@msuyawamsuya9004 жыл бұрын
Hakika mnaakisi jina lenu.. Mnatufanya tunajisikia Fahari ya kuwa wakatoliki
@neemacharles98483 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awabariki watumishi wa mungu nawakatoriki wote najivunia kuwa mkatoriko tutubu zambi zetu kwa kufunga na kwarezima hii amina
@maureensakwa8466 Жыл бұрын
Eeeh bwana utuhurumie
@ekimoho874 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki Mungu anibariki na kuendelea kunijaza Imani nisitetereke
@mutiepatty57273 жыл бұрын
Nimeshiriki njia ya msalaba Leo nikiwa mjini Nairobi, Kenya. Mungu nisamehe dhambi kwa kujua na kutojua maana Mimi in mdhaifu.
@wazambulitv573511 ай бұрын
KITUO CHA TISA. Yesu anaanguka mara tatu. -Ee Yesu tunakuabudu, tunakushukuru -Kwa kuwa umewakomboa with kwa msalaba wako mtakatifu. Ee Yesu unayezidi kudhoofika kwa mateso unaanguka mara ya tatu, upate Kunistahilia neema ya kuutiisha mwili Wangu name kuusulibisha, licha ya kuepuka nafasi za dhambi. Mara ngingi mno ninajibovusha kwa kupenda mno starehe, na tafrija. Ee Yes .wema, nisaidie kuufuata mfano wa mtakatifu Paulo, niutese mwili wangu na kuutumikisha, ili nipate siku moja tuzo mbinguni. Baba yetu.................. Salamu Maria........... Atukuzwe Baba na... K.Ee Bwana, utuhumie...................W.Utuhurumie.......... Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. Amina. Muje malaika wa mbingu Funikeni mwiliwe kwa huruma Vidonda vyake na utupu Askari, askari wamemvua.
@aikaassey69203 жыл бұрын
Ameni kujiunga kusali njia ya msalaba
@nakukipokolo94073 жыл бұрын
Kwa ajili ya Madonda yako mtakatifu, utupatie msaada tunaohitaji kama famili
@TheogoniaKibisa11 ай бұрын
Namahukuru Mungu. Kwakuniita kwenye ukatoriki
@lutherjr30973 жыл бұрын
Amina,, na imetusaidia mno. Mungu awabariki nyote mliohusika Kwa uandalizi...
@ReneeGust-j9g4 ай бұрын
Garland Greens
@livingstonemwakakonyole49103 жыл бұрын
Amina Sana najivunia kuwa mkatoliki.
@liliannganga62452 жыл бұрын
Inaanza lini jia ya msalaba
@johnsanga78953 жыл бұрын
Njia ya msalaba in ishara kwa wanadamu wrote duniani kwamba Bwana wetu Yesu Kristo aliyapitia Hivyo Mungu na apewe sofa Amina
@salmsalma894 жыл бұрын
Amen na barikiwa sana nikiwa Omani naipata vizur
@doctaelmende399 Жыл бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@joanopella507711 ай бұрын
Bwana utuhumie
@kayla65543 жыл бұрын
Amina, Mungu anisamehe makosa yangu na anipatie afya njema
@veritasndumbili305911 ай бұрын
Asante sana
@monikaxenia56294 жыл бұрын
Asante kwa njia ya msamaha,watching from saudi Arabia
@mercellinelunda30784 жыл бұрын
Nimeilewa vizuri sana. Mbona yaanzia kituo cha Kumi na Tatu.
@deoskishima26254 жыл бұрын
Amina sana Fahari ya Mkatoliki
@maishayangu92164 жыл бұрын
This is a God sent in this very scary and desperate time of covid19. Barikiwa saaana mliotuandalia hii ibada kwa Utukufu wa Bwana Mungu wetu kupitia Mwanae Yesu Kristo. Naipata huku marekani. Nawaombea nyote kwa wakati huu mgumu! Tumshukuru Mungu pia kwa kuwezesha hii sala ya ibada ya njia ya msalaba kuweza kusambazika kwa njia hii. Najisikia nyumbani wakayi wa ujana wangu!
@dorajohn33874 жыл бұрын
Mungu awe pamoja nanyi cku zote, muendelee kutuweka karibu na uwepo wa Mungu milele na milele. Amina
@fahariyamkatoliki13574 жыл бұрын
Asante sana dada Dorah...
@josephjacobyangaushindileo18423 жыл бұрын
Kipindi hiki na kijacho Sala ni dawa ya moyoni
@lucysanka21893 жыл бұрын
Mandiko matakatifu yasa.tuarue mioyo yetu si mazi pia tutubu nakuiani injili
@Bintimrembo-y1v4 жыл бұрын
Asante sana kwa hii
@nakukipokolo94073 жыл бұрын
Na kuiponya familia katika maumivu haya makali
@monicabududa83142 жыл бұрын
asanteyesu
@MorrisLewis-h3n4 ай бұрын
Alex Shore
@fulugencemushi83394 жыл бұрын
Ameen
@alisabyozani97963 жыл бұрын
Amen 🙏
@roidafrancis60833 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki
@berniebanky34944 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema.🙏🏿
@liliansteven96972 жыл бұрын
Sijaweza kufika kanisani leo lakn nimeweza kusali apa. Thanks
@karistaweaving4 жыл бұрын
God forgive me my sins & pray for me🙏🙏
@suemwash261 Жыл бұрын
Lord 🙏🙏🙏 have mercy on me 🙌🙌🙌
@dianaprojestus53823 жыл бұрын
Mungu awabalik san
@victoriadaizy52772 жыл бұрын
Amina thank you Jesus 🙏
@charlespelly9810 Жыл бұрын
Thanks Jesus❤
@beatricemacharia51344 жыл бұрын
God save our souls. May we be able to please you in this new world order.
@dorismnama90844 жыл бұрын
Jesus is the healer of soul and body.
@epifaniamzena93844 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa sala hii kuwa ktk mtandao. Hasa kipindi hiki kigumu cha mlipuko wa ugonjwa wa corona
@williammwashala92444 жыл бұрын
Asante. Mungu atudumishe pamoja katika fahari ya mkatoliki y katoliki
@msuyawamsuya9004 жыл бұрын
Hakika hii ni zaidi ya bahati sana kuwa na ibada hii yote katika video moja tu. Hii itawasaidia wengi sana kushiriki hata kama wako kwenye mazingira yasiyoruhusu
@mercellinelunda30784 жыл бұрын
Hakika msalaba waponya roho. Huu ni ufariji tosha
@claudiayohana65763 жыл бұрын
Hakika
@mohamedashiq5992 Жыл бұрын
Hakika
@sweetberthtembason9183 Жыл бұрын
Kwel kaka me mwenyw nmefurah kushiriki kwa kusikiliza
@sophiasen3886 Жыл бұрын
nieeeeeeeeeeeeee3e3
@rosebeauty7004 жыл бұрын
💓💓💓💓💓💓❤️
@lilianmngulwi71194 жыл бұрын
Amina.
@emmajohn90264 жыл бұрын
mung azidi kuinia kipaj chenu
@PShayo-or3ox4 жыл бұрын
Amina
@geoffreylunyungu56654 жыл бұрын
Amen
@marystellah32453 жыл бұрын
Mungu awabarik njia ya msalaba imekuwa faraja kwaku hasa ktk kipind hiki kigumu ninachopitia .Ee YESU kwa kupigwa kwako sisi tumepona naomba univushe katika haya magumu amina
@anniekidaha38444 жыл бұрын
aminaaa
@regankisoka37402 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatolic
@bernadoloth53714 жыл бұрын
Hakika MUNGU ni mwema kila wakati AMANI ya BWANA IWE NANYI
@martingelady57974 жыл бұрын
Nitumie wasapuu ibada ya njia ya mslaba namba 0684749814
@fahariyamkatoliki13574 жыл бұрын
Tutumie sms kwa whatsapp number 0763 305 605 tukutumie upesi...
@mashaurithomas31644 жыл бұрын
Blessings 🙏
@fredybwaifrednand48882 жыл бұрын
Thank you my Lord jesus..
@chrismarijani3 жыл бұрын
usitupe.... au ..utupe leo mkate wetu kila siku nafikiri matamshi ktk kipengele cha sala kuu ya Baba yetu mmechanganya
@johnmahenge2717 Жыл бұрын
Mpendwa Chris ,,,utupe Leo mkate wetu wa Kila siku amina,,,