Mohamed saidi,mwiba mkali kwa waongo walioipindisha historia ya wapigania uhuru wa tanzania!!
@nasseralhatmi17622 күн бұрын
Kweli kabisaa 💯
@wechemakambo2182Күн бұрын
Habib Punja sasa ni Amana Primary School...imezungukwa na mitaa mitatu Mtaa wa Bukoba,Mtaa wa Tanga na Mtaa wa Moshi..sasa nyumba ilikuwa mtaa gani?TANU iliumizwa kwa kukumbatia Wanafiki km David Pombeah aliyetumiwa na majasusi wa Uingereza