IFAHAM DUA YA AJABU YA KUA TAJIRI :MILIONEA NO 1

  Рет қаралды 40,671

Sharifu Suleymana TV

Sharifu Suleymana TV

Күн бұрын

SHEKH SULEIMAN NGUSURA
+255762664094
+255716447727
NIPO BUGURUNI MALAPA MTAA WA GULAM NYUMBA NAMBA 19
KARIBUNI SAANA KWA HUDUMA ZA DUA ZA KINGA NA BAHATI NA NK

Пікірлер: 98
@راهيهراهيه
@راهيهراهيه 2 жыл бұрын
Shukran shekhe wetu Allah akuhifadhi 👏👏👏👏
@shabanchakwe7808
@shabanchakwe7808 2 жыл бұрын
Shukran sherkh kwa elim nzuriii ,,
@therlmahweezle5529
@therlmahweezle5529 2 жыл бұрын
Shukran sana sheikh Allah akuhifadhi sana na akuzidishie akupe darja la juu kabsaa Unatusaidia sana be 🙌
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 2 жыл бұрын
MashaaAllah Mwenye Enzi Mungu akujalie kila la kheri pamoja na family yako InshaaAllah. Kwa kutuhimiza ni mtatuzi wa matatizo ni Allah Subhana Wataala
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 Ай бұрын
Shukran sn kwa somo zuri
@KibibiAkida
@KibibiAkida 4 ай бұрын
🙏Shukran shekh jazaka allah 🙏 kheir🙏🙏🙏
@shekhamohammed560
@shekhamohammed560 2 жыл бұрын
Mashaa allah shekhe shukrani sana tunasubiri dua zengine nafwatiria sana vipindi vyako
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 5 ай бұрын
Mashallah kiraraheri sheikh kwamusada wako 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@hashimhashim486
@hashimhashim486 2 жыл бұрын
MashaAllah..JazaAkallah Khair Sheikh...
@عبدالرحمن-ض9م
@عبدالرحمن-ض9م 2 ай бұрын
Mungu akulipe pepo kwa kujitolea darsa hii
@ShamsiMikdad-bj7me
@ShamsiMikdad-bj7me 5 ай бұрын
Masha allah Jazakallahu khaira allah akuhifadhi
@sasamama7934
@sasamama7934 2 жыл бұрын
S.a katika asmaa allah alhusna hakuna الكافي
@asiamuhammad8718
@asiamuhammad8718 2 жыл бұрын
Kwahiyo ni nani mwenye sifa hiyo
@fatinahasani882
@fatinahasani882 Жыл бұрын
Allah akulipe katika hili shekh suleiman ngusule
@kabihogofatuma9045
@kabihogofatuma9045 Жыл бұрын
Asalam alaekum mimi nashukuru Sana mwalim kwaduwa nzuri
@MkongoFurniture
@MkongoFurniture 4 ай бұрын
Shukrani dk
@ramadhanihamisi5596
@ramadhanihamisi5596 2 жыл бұрын
Mashaallah ,ALLAH akutangulie maana umesimama kama mtaalamu
@maryamlmaryamwanje4334
@maryamlmaryamwanje4334 2 жыл бұрын
SHUKRAN JAZAKA AALAH KHEIRY
@abdullahiabdikarim3710
@abdullahiabdikarim3710 2 жыл бұрын
mashaalla, tunakuombea Maisha marefu, pia tuna kurai ufungue branch, Huku kwetu Mombasa.
@mariamsaid1093
@mariamsaid1093 2 жыл бұрын
Jazaka Allah kheir
@JonathanKebaso-yk8le
@JonathanKebaso-yk8le 10 ай бұрын
Wooow asantii sanaaa 🙏🙏🙏
@hudhud2517
@hudhud2517 2 жыл бұрын
Mashallah Allah akulipe wema kwa hichi ulichikitoa
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Amina Amina shekhee asantee
@IbrahimKaranja-qu9yn
@IbrahimKaranja-qu9yn Жыл бұрын
Allah akubatiki
@zawadijuma5052
@zawadijuma5052 Жыл бұрын
Mashallah jazaka lahu kheir
@meimunaissack744
@meimunaissack744 2 жыл бұрын
Masha Allah 🙏🙏🙏🙏🙏
@hasanomar9747
@hasanomar9747 2 жыл бұрын
Mashallah kubwa ni kufanyia kazi
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 5 ай бұрын
tumiya iyiduwa naufanye kazi kwabidi
@hassanm.5291
@hassanm.5291 2 жыл бұрын
Shukran shaikh
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 2 жыл бұрын
MashaaAllah shekh safi sana
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 4 ай бұрын
ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH YA Allah
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 2 жыл бұрын
mashaala tujaliè ishaalah allah akulipe
@mariamuimamu4203
@mariamuimamu4203 Жыл бұрын
Shukrani san
@mwanaidihamisimtupa5126
@mwanaidihamisimtupa5126 2 жыл бұрын
Shukrani sana sheikh
@iqramkhalfan
@iqramkhalfan Жыл бұрын
Ya kafi au ya rafii
@sayaribrand538
@sayaribrand538 Жыл бұрын
Uyu sheih Suleiman noma sn mtu muhm
@safiakanu1688
@safiakanu1688 2 жыл бұрын
Asalam Aleykum sheikh wetu mm nataka niwe namfanyia mume wangu dua ili Allah afungulie rizki naweza muombea hii ikamfikia
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 4 ай бұрын
Shukrani
@PascalLaizer-q7p
@PascalLaizer-q7p 10 ай бұрын
Shukran sheikh kwa neema uliojaliwa kutuelimisha site, pia Kama utasomewa masharti yake yanagarimu Nini Nani I?
@faizaabdulrasul1962
@faizaabdulrasul1962 Жыл бұрын
Mashallah
@nasrairunga7730
@nasrairunga7730 2 жыл бұрын
Kwa uwezo wake Allah nitajitahid ili nipate watoto mapacha 4 inshaallah
@manasadunia3458
@manasadunia3458 2 жыл бұрын
Pamoja my mimi pia napenda mapacha
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 2 жыл бұрын
@@manasadunia3458 Nami pia
@nduwimanahafsa2967
@nduwimanahafsa2967 Жыл бұрын
Jaza'kallahu khayra je unaisoma niusikutu?
@tonybony657
@tonybony657 5 ай бұрын
Inshaallah
@reemareemo2698
@reemareemo2698 10 ай бұрын
Asante
@YusufuDunga
@YusufuDunga 8 ай бұрын
Mashaalah
@ZoroSharifu
@ZoroSharifu 5 ай бұрын
Mashaallah
@maryaika9645
@maryaika9645 2 жыл бұрын
Shehe sasa watu wangune hata kuhesabu mtihani Itakuwaje
@saleheabdallahmzee
@saleheabdallahmzee 2 ай бұрын
Shekh selmamani niandkiye hayo majina
@hassanissack4375
@hassanissack4375 2 жыл бұрын
ostad asalamu aleykum warrahmatullahi wabarakat mmi naitwa hassan kutoka kenya nime jaribu kupigia haigie unipigie simu kuongea na wewe
@chrislacarin4332
@chrislacarin4332 2 жыл бұрын
Tu andikiye kwa kiswahili sheikh
@alikeyasha3013
@alikeyasha3013 2 жыл бұрын
M.a mwalimu yetu
@dogomwapea5662
@dogomwapea5662 2 жыл бұрын
Maashaallañ
@veenpoul900
@veenpoul900 2 жыл бұрын
Allah Akbar
@bobosa7667
@bobosa7667 Жыл бұрын
Asalam alykum je shekh nikizidisha nitaharibu
@iqramkhalfan
@iqramkhalfan Жыл бұрын
Sheik asante ila ya kafi au rafii
@sabrinashaaban859
@sabrinashaaban859 2 жыл бұрын
Asalam alykum mm nina shida ya number yako sheikh
@HassanLastman-hh9sw
@HassanLastman-hh9sw Жыл бұрын
Shekh namba unisomee iyo dua leo nmepeleka 500
@MathiermutayombaMutayomb-lv1wj
@MathiermutayombaMutayomb-lv1wj 11 ай бұрын
Mathier mutayomba
@brothermaximo254
@brothermaximo254 Жыл бұрын
Sawa
@hawahema8732
@hawahema8732 2 жыл бұрын
Umesema siku 40, je ukiwa kwenye ada unaruhusiwa kusoma?? Maana izo 40 kwa wanawake lzm ukutwe na hali
@mussamtupa
@mussamtupa 2 жыл бұрын
Unajisafisha tu unasoma kwasababu Dua inaruhusiwa kusomwa bila ya udhu ila usiguse yaani usishike msahafu
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 2 жыл бұрын
@@mussamtupa asanteni allah awapeni umri mrefu wenye baraka muendelee kueneza nuru ktk ulimwengu
@mussamtupa
@mussamtupa 2 жыл бұрын
@@zohoraramadan4540 Allahumma Amin
@issamkanyali4466
@issamkanyali4466 2 жыл бұрын
@@zohoraramadan4540 mm nimeuliza swali 1 Tu naomben msad wen je nikizidisha hesab hakunaxhid? Kam lak 1 nikajikut Nina lk nanusu inaswihi?
@mishiahmad3841
@mishiahmad3841 2 жыл бұрын
Mimi naomba unisaidie nikiwa na nuksi nitajijuwaje
@neyfttyyagwa2531
@neyfttyyagwa2531 Жыл бұрын
Katika yale majina manne una vuta kila urad na jina lake au katka urad mmoja majina yote ma nne?
@Haluwa_Bawaly
@Haluwa_Bawaly Жыл бұрын
Majina manne unavuta Moja ,manne unavuta Moja ,UpTo hundread thousands .
@hallyally8861
@hallyally8861 Жыл бұрын
Yazaaqlwaa
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 2 жыл бұрын
Jamani natafuta mke aliyehifadhi Quran, nisaidieni!
@Suleimansalum
@Suleimansalum 2 жыл бұрын
Unaweza kuhifadhi Quran na tabia zikawa mbovu, tafta mke mwenye tabia njema nakuijua dini yake sio alohifadhi matini ya quran bila kujua maana yake
@sasamama7934
@sasamama7934 2 жыл бұрын
Oa yoyote wa kiislaam kisha mfundishe kuhfadh utapata thawabu
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 2 жыл бұрын
☝️
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 2 жыл бұрын
@@sasamama7934 wengivwaliopi wamezijaza nyimbo za kihindi na Dimond kichwani, itakua vigumu kuwafundisha maana shetani tayari ameaha wateka nyara!
@mussamtupa
@mussamtupa 2 жыл бұрын
Kwanza wewe mwenyewe umehifadhi Juzuu ngapi?
@safiakanu1688
@safiakanu1688 2 жыл бұрын
Sheikh kila jina moja inatakiwa lakki moja au ni vipi
@saydamohamed2531
@saydamohamed2531 2 жыл бұрын
Choukura laki modja inazikodje
@9119-r4t
@9119-r4t 2 жыл бұрын
Ugekuwa wewe tajiri. Mzushi Allah atakulipa kwa kuzushi wako
@sharifusuleymanatv
@sharifusuleymanatv 2 жыл бұрын
Jitahidi ndugu yangu usome husiwe mjinga kiasi hicho kwani ELIMU ni bahari sio lazima kitu kikiwa sahihi lazima ukijue wewe kwanza piga goti kwa wenzako upate vitu adimu ELIMU ni BAHARI
@9119-r4t
@9119-r4t 2 жыл бұрын
@@sharifusuleymanatv wewe mzushi hayo sio mafundisho ya mtume wetu
@issamkanyali4466
@issamkanyali4466 2 жыл бұрын
@@sharifusuleymanatv Shelkh naomb unijub hili xory unaposona Dua ikitokea ukazidisha hesaba kutaja au ikawa laki nanusu Je Shelkh wangu bado inaswihi au nitakuwa nimekosea?
@issamkanyali4466
@issamkanyali4466 2 жыл бұрын
@@sharifusuleymanatv Tukunjulie nafisi sisi Shelkh tunakuelewa San na kuamin kabisa Acha hao wengin wanajifany wajuwaj wakat hawana wanachokija Tafadh naomb jib kuzidixh inaswih!
@alhajisengasu5956
@alhajisengasu5956 4 ай бұрын
Mashaalaah tabaraka laah fiihi kum
@9119-r4t
@9119-r4t 2 жыл бұрын
Mwanzo ugekuwa tajiri ila kama nyinyi niwaganga
@sharifmaabadi4063
@sharifmaabadi4063 2 жыл бұрын
masha hallah
@shekhamohammed560
@shekhamohammed560 2 жыл бұрын
Ila sijajua kwanini mtu akikutafuta humjibu
@sharifusuleymanatv
@sharifusuleymanatv 2 жыл бұрын
Pole saana ndugu yangu endelea kunitafuta inshaallah tutawasiliana tu
@ummukhaullah3007
@ummukhaullah3007 2 жыл бұрын
Mara 100000kwa kikao kimoja?
@twakhilsilla183
@twakhilsilla183 2 жыл бұрын
Hapana Soma kidogo kidogo mpk umalize
@mussamtupa
@mussamtupa 2 жыл бұрын
Mmmmmh! Shekh kasema kwanza kuna Dua mbili ya kwanza unasoma majina manne 4 ya Allah Kwaidadi ya mara Laki moja 100000/ Hii unasoma kidogo kidogo kido kila siku Dua yapili unasoma jina moja ambalo( YAA KAFIY) Ambalo kwa macho ya kawaida hatujaliona KTK majina 99 ya Allah ila wenye macho wanajua Sasa jinahilo unasoma kwa idadi ya Elfu 12000 kwa kila siku kwa muda wa mwezi mmoja na siku 10 yaani siku( 40) mm ndio nimeelewa hivyo wallahu Aalam.
@farajtamim8511
@farajtamim8511 2 жыл бұрын
Mashallah
@drmussa1220
@drmussa1220 2 жыл бұрын
Inshaallah
TUMIA YA LATIF KWA IDADI HII UONE MAAJABU YAKE
6:54
Miraj Khan
Рет қаралды 53 М.
SIRI YA KUPATA UTAJIRI
14:39
Brother Mish
Рет қаралды 39 М.
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 56 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 4,9 МЛН
HUWEZI KUONEWA NA WACHAWI UKILITUMIA JINA HILI......?
14:01
Sharifu Suleymana TV
Рет қаралды 47 М.
DUA YA MAJINA  99 YENYEKUFUNGUA VIFUNGO  #Maalim #shabani
17:19
maalim shabani online tv
Рет қаралды 4,8 М.
UMUHIMU WA DUA | SIRI YA LAA ILAAHHA ILLA ALLAHH
19:38
SHAFAAKA LLWAHHU ONLINE TV
Рет қаралды 19 М.
FAIDA ZA KUITUMIA BISMILLAHI RAHMAANI RAHIIM SHEKH SUNGUSUNGU
30:33
Shekh Sungusungu
Рет қаралды 72 М.
DUA YA KUONDOA NUKSI MIKOSI VIJICHO UCHAWI NA KUFUNGUA BIASHARA NA RIZKI
49:13
IJUE MIPANGO YA ADUI YAKO ANAEJIFANYA RAFIKI KWA AYA HIZI.....
11:03
Sharifu Suleymana TV
Рет қаралды 3,6 М.
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 56 МЛН