Amina pasta,mungu akubariki nimebarikiwa sana from congo kinshasa
@zabrongermanus-co1jjКүн бұрын
Ahsante sana kwa mahubiri Mungu kweli anavyombo safi vya kutumia barikiwa mtumishi mmbaga ❤
@EmmaroseJoseph9 күн бұрын
AMEN 🙏 AMEN 🙏 AMEN 🙏❤❤❤❤❤❤❤
@MariamBuseleАй бұрын
Namshukulu MUNGU kwakuniunganisha nawewe tena barikiwe sana mchungaji🎉🎉
@JosphineMungoeАй бұрын
Mchungaji nimebarikiwa na mafudisho yako sana hakika nimejifunza mambo makuu mungu akubariki.
@VictoryKasungaАй бұрын
Amina ubarikiwe Pr
@elizabethgodfreytondo3052Ай бұрын
Amen!
@alfasafaraja8515Ай бұрын
Amen
@paulakyoo-l5pАй бұрын
Amina
@elienew3788Ай бұрын
Nmefurahi ns kuzidi kujifunza kupitia hili zuri sana Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu 👏👏👏❤❤❤❤❤
@LailaNassor2 күн бұрын
🙏
@lucynyigana2801Ай бұрын
AMINAAA
@OnsomuThadeus-w7xАй бұрын
Amen nice teaching be blessed all the time
@LevinaMagonoАй бұрын
Amen mungu tupe ujasiri
@up2dateznzsecurityАй бұрын
Nabarikiwa sana na mahubir yako mtumishi was Mungu
@AngelinaChacha-gb3yhАй бұрын
Mungu akubariki mtumishi ili uendelee kutumikia watu wake.
@zaiokari1698Ай бұрын
😊😊😊q😊😊😊😊😊😊😊😊
@alicesidi9601Ай бұрын
Amina, ubarikiwe Mchungaji
@perisbosibori2249Ай бұрын
AMEN 🙏! Thank you Pastor Mmbaga for the blessings of the word.
@Trizah-254-eАй бұрын
AMEN
@MariamBuseleАй бұрын
Amina ubarikiwe sana mchungaji.
@ciciliawangare3507Ай бұрын
amen and amen
@rizikilaunda961Ай бұрын
Amen 🙏 🇱🇷
@angelusbell2563Ай бұрын
Yani unafundisha vitu vya maana sana!
@BonnyErnestАй бұрын
Tunabarikiwa lakin mchungaji tunaomb uje ufundishe somo la utatu mtakatifu koz tunaambiwa akuna miungu wa tatu na akuna sehem kweny bibilia imeandik a et kuna miungu watat biblia nzima lakin ukisoma makin kweny biblia imeandikwa kwamb kuna mungu mmoja tu na bwan wetu yesu sas hii nazalia ya wasabato kwamba kuna mung bab mungu mwana na mungu roho hii imetoka wap kweny biblia naomba mtufundishe jaman
@marionmboya7219Ай бұрын
Utatu mtakatifu ni mgawanyiko wa kuonesha Kazi tatu tofauti katika nafsi tatu tofauti. Utatu mtakatifu haimanishi kuwepo kwa miungu mitatu tofauti. Mungu ni mmoja tu na hufanya kazi kwetu sisi katika nafsi tatu tofauti ambapo Kuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. (Mwanzo 1:26) inasema "Na tufanye mtu kwa mfano wetu” Hivyo utendaji wa Mungu unaonekana katika hizi sehemu tatu kuu katika jina Utatu mtakatifu. Wala haiwezekani kugawanisha/ kutenganisha nafsi hizi tatu na kusema kwamba kuna miungu mitatu. Mungu Baba ndiye muumbaji, Mungu Mwana aliyekuja duniani kuteswa kufa na kufufuka ili tupate ukombozi, Mungu Roho Mtakatifu ambaye ni mlinzi na msaidizi wetu ambapo kazi ya uumbaji na wokovu zinakuwa na uhusiano.
@BonnyErnestАй бұрын
@marionmboya7219 sas je sas ivi uko mbingun izo nafsi ziko tatu kila moja na nafsi yake au zimeungana zimekuwa kama nafsi moja inayo gawanyika naomba unieleweshe yan uyo mungu baba mungh mwana na mungu roho zimeungana yan kama mwili mmoja kwa mfano au kila nafs iko peke yake sema kiutendaj ndo wanakuwa wamoja nielewesh apo kaka
@rosechagama4987Ай бұрын
Pr Nahitaji hizo supplement unazotumia nahizihitaji mno