IGP Sirro Alivyomuapisha Kamishina wa Polisi Zanzibar Leo!

  Рет қаралды 15,810

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

IGP Sirro Alivyomuapisha Kamishina wa Polisi Zanzibar Leo!
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro leo Februari 12, 2018 amemuapisha Kamishna wa Polisi (CP) Mohamed Hassan Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.
CP Haji aliyeteuliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli hivi karibuni, pia amekula kiapo cha maadili ya uongozi wa umma mbele ya Katibu wa Viongozi wa Utumishi wa Umma, John Kaole. Akizungumza baada ya kumuapisha, IGP Sirro amemtaka CP Haji kushughulikia matukio yenye viashiria vya ugaidi na rushwa.
“Viashiria vya ugaidi maana yake, kuna matukio kwa ndani ukiangalia kuna muelekeo wa ugaidi, unyang’anyi kwa kutumia sialaha kama ujambazi kama viashiria, ili tatizo ni la dunia nzima, kwa sababu haya yana tutia mashaka, ndio maana ninamuagiza hilo nalo aliangalie akiwa kule, haya matukio ya ujambazi ya ugaidi yakoje ili tuyashughulikie kwa pamoja,” amesema.
Naye Katibu wa Viongozi wa Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma, John Kaole amemtaka CP Haji ajiepushe na vitendo vya ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma ili kusitokee mgongano wa masilahi.
“Kazi zenu ni nyingi uwezekano wa kutokea kwa mgongano wa masilahi ni mkubwa, inabidi mjiepushe sana na ukiukwaji wa maadili kwa sababu unaweza kuleta mgongano wa masilahi lakini sina wasiwasi sababu mtazingatia kwa ukamilifu kwa sababu ni sehemu ya maadili ya maadili ya jeshi la Polisi,” amesema.
Kwa upande wake CP Haji ameahidi kutekeleza maagizo ya IGP Sirro na kusema, “IGP ndiyo kiongozi wa juu kwenye jeshi letu ametoa maelekezo ya vipaumblele kwa hivyo vipaumbele hivyo mimi nitashughulikia yale maelekezo yaliyotolewa pale ili watanzania kwa ujumla na wazanzibar waishi kwa amani wapate haki zao wanavyostahili.”
CP Haji alijiunga na Jeshi la Polisi mwaka 1991 na kupandishwa vyeo mbalimbali ikiwemo Mkaguzi wa Polisi, Mrakibu wa Polisi, Mrakibu Msidizi wa Polisi na Kamishna Msaidizi wa Polisi.
Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 12
@embedodo1044
@embedodo1044 6 жыл бұрын
CHINI YA CCM ZANZIBAR SI NCHI KILA MZANZIBARI AJUE HIVYO SIO SIRI TENA.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 6 жыл бұрын
Hapo ndipo unagundua Zanzibar sio inchi masikini weee
@mukrimvuaa8036
@mukrimvuaa8036 5 жыл бұрын
Mungu muongoze njia saf kamishna wa Zanzibar nakukubal babu yangu
@asilanassor8767
@asilanassor8767 6 жыл бұрын
Vipi Zanzibar no tanzania
@suleimanally3515
@suleimanally3515 6 жыл бұрын
waja dhalilisha ndugu zako
@moodyman7588
@moodyman7588 5 жыл бұрын
Apo kz ipo km mtaleta dhulma tena, ya kujua waislamu hawato stahamili dhulma, maana bAllah kasema msidhulumu na wala msikubali kudhulumiwa. Ss tunamuogopa Allah kuliko yeyote. Think before you done
@fathiamzee8312
@fathiamzee8312 6 жыл бұрын
Kwaiyo alochagua kakosea au basi chagua ww
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
police ni taasisi ya muungano hakuna tatizo la kwenda bara kuapishwa lkn kwa mambo ambayo sio ya muungano tuaachilieni wenyewe kina kabudi.
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 жыл бұрын
Suleiman cjakuelewa broo fafanua
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Lazma waeke watu wao hapo ili wasiikose zanzibar tanganyika bana wanambo hhhhhh shkamoo kamishna
@fibioko8916
@fibioko8916 6 жыл бұрын
sf
@mukrimpanga3432
@mukrimpanga3432 5 жыл бұрын
Hongera babu yangu kwa cheo ulichonacho good Mohammed Haji Hassan
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 9 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 8 МЛН
IGP WAMBURA AANZA KAZI, AMUAPISHA RAMADHAN KINGAI KUWA DCI
0:42
Wasafi Media
Рет қаралды 95 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 9 МЛН