Kalima baada ya Khutba ya Ijumaa iliyotolewa tarehe 07/04/2023 katika Msikiti wa Ansaar (Barabara ya 19)
Пікірлер: 90
@truthspeaker2062 Жыл бұрын
Ujumbe wangu kwa waisilamu wote madhehebu yote . ukitaka kuyasoma madhehebu fulani basi nenda ukayasome kwa watu wa madehehebu yale. Mfano Ukitaka kuwasoma mashaafii basi usiende kuwasoma mashaaafii kwa mashia bali nenda ukawasome mashaafii kwa mashaafii . Na ukitaka kuwasoma maibadhi basi nenda ukawasome maibadhi kwa maibadhi wenyewe ujue ukweli wa mambo . Subhanallah kiongozi wa dini kama huyu anatamka maneno kama haya mbele za watu wala hana wasiwasi .nendeni mukasoma taarekh.nendeni mukasome wenyewe ilikuwaje maibadhi wakaitwa makhaawarij . Nendeni mukatafute elmu musikae mukamuamini mtu kwa muonekano wake .
@abdighalib6580 Жыл бұрын
Shukrani, Allah akulipe kheri kwa ufafanuzi wako. Hawa ndo msheikh wa mwendo kasi..
@issaabdallah12055 ай бұрын
Mashia na maibadhi vitabu vyenu tunavisoma akida zenu ni mbovu ... na masahaba mnawatusi UMOJA HUO TUNAUJENANE
@truthspeaker20625 ай бұрын
@@issaabdallah1205 nipe jina la kitabu na sehem ya matusi nikasome . Na kitabu gani na gani umesoma ukayakuta hayo unayotadai . Munatiwa sumu ktk mioyo yenu nyinyi kuwafariqisha watu na kuwaona watu wote wapo motoni nyie tu ndo mnaamua huyu peponi huyu motoni. Toa ushahidi wa maneno yako .
@ahmedelalawy639 Жыл бұрын
Ibaadhi tunasali sala tano kwa wakati uliopangwa . Na hatuna mashengesha kwenye misikiti yetu mtu yoyote anaweza kusali . Tuache udhehebu kwenye dini yetu ya kiislamu
@ZuberiAbasi-ee2vr Жыл бұрын
Kikubwa ni watu wawe na tauhiid inajulikana mashia kua ni makafiri wa wazi
@baarutmazrui5186 Жыл бұрын
Uibadhi utaenea sana inshaallah
@salehthesword5 ай бұрын
Ungeenea Zanzibar ambako mlitawala kwa miaka. Ukiacha masuala ya Aqida tabia zenu pia sio nzuri nyinyi kama Wahindi wabinafsi hamjichanganyi na watu.
@baarutmazrui51864 ай бұрын
@@salehthesword maibadhi wakuwalazimisha waisilamu kufata madhehebu Yao ndio ukaona kuwa ni wabaguzi sio kama ...... Wao waliwalazimisha watu kufata madhehebu ya watawala wao
@baarutmazrui51864 ай бұрын
@@salehthesword kati ya maibadhi na .... Nani wabaguzi? Maibadhi wanasali nyuma ya imamu wa kiwahabi na yoyote katika madhehebu ya kiisilamu ila .....wanatoa fat wa usisali nyuma ya ibadhi usimuozeshe ibadhi nk nani mbaguzi?
@salehthesword4 ай бұрын
@@baarutmazrui5186 . Wayemen waliyekwenda Indonesia na mataifa mengine wamemlazimisha nani? Ukarimu, Uwaminifu, Ukweli, Ushujaa na Kujichanganya na jamii inayokuzunguka ndio sifa za Waarabu asili. Ndio maana leo licha ya kubaguliwa na wazungu...waafrika wachache wamesilimu south africa kwa sababu Wahindi kama nyinyi Wabinafsi.
@Hussein-gx4qu8 ай бұрын
mimi sio shia lakini nyinyi ndio mnazingua mtakuwaje na nguvu bila umoja
@mussakantumba9914 Жыл бұрын
Allaah ukuongezee Elimu na Taqwa ili uendelee kutufumbua macho
@justjj9934 Жыл бұрын
Ekimu ya Taqwa, umetuchekesha, hehehe..
@mohammedalghannami3150 Жыл бұрын
Hii ndio kazi ya Taqwa? Kubomoa kazi aliyoifanya Mtume Salallah Alayh wasalam, ya kuunganisha umma wote kuwa ndugu na wamoja, wewe ndio unawafarakanisha😢
@Hussein-gx4qu8 ай бұрын
Bora hata hao mashia na maibadhi kuliko nyie vibaraka wa kafiri shenzi nyiee
@salimharthy706 Жыл бұрын
Kaka Salim , wewe katika kitu kikubwa unachokijua ni kuwatenganisha waislam. Huna jipya. Na wewe yapo mengi ya kuzungumzia ambayo unapaswa kuwaelimisha waislam. Lakini wewe umeifanya dini kama team za mpira na vyama vya siasa. Hebu badilika. Yani wewe ndio mwenye ufunguo wa kuingia peponi. Wacha kujenga chuki na kutenganisha watu.Allah akuhidi .
@abuialmarjibi979 Жыл бұрын
Na maibadhi washajenga sana misikiti na wakawaachia wenyeji wa sehem husika bila mashart yoyote
@masoud744 Жыл бұрын
Kujenga misikiti hakukufanyi kuwa unachoabudu ndicho.. hata magufuli kajenga msikiti
@زينبعليعبدالله-ز3س Жыл бұрын
@@masoud744 kwahyo maibadhi wanabudu nin haswaa sio Allah au
@justjj9934 Жыл бұрын
Watu kama wewe munaojiita mashekhe kazi zunu kutia fitna baina ya waislamu, na kugombanisha watu, wewe nani alikwambia wewe ni skekhe wa dini, kazi ya kukafirisha watu, na kutia fitna baina ya waislamu... inshallah Muungu awapinguze watu kama wewe duniani, Amin..
@abuialmarjibi979 Жыл бұрын
Muache sheikh othman maalim ni mtu na busara zake hata na wewe mzee wangu nenda Oman watakupokea tu bila kujali itikati ya dini
@SalehLofy11 ай бұрын
SI UFUNDISHE TU HIO KUCHOCHEA NI NINI? UNATAKA WATU WAPIGANE?
@hamynas Жыл бұрын
mzee salum umeelezea kuwa wanawatafuta masheikh njaa wenye kupenda umashuhuri wakawapeleka IRAN na kuwaweka 5* hotel..mziwanda alikwenda kule na umemnukuu hapo..kwa maana hiyo unatuthibitishia kuwa ni miongoni mwa masheikh njaa? au alikua sheikh njaa sasa kashiba?
@issaaltiwaniy4759 Жыл бұрын
Hili kweli Zumbukuku
@hamynas Жыл бұрын
mzee madevu hina una uelewa kidogo saana katika maswala ya dini/...ni huo uzee wako na hicho kiswahili chako cha kiulegevu legevu baasi huna jipya barahiyani..mawahabi mna taabu saana pale mnapooona waislamu wanaungana kwenu mnaleta vurugu
@SalehLofy11 ай бұрын
UMOJA WA WAISLAM ULIKUEPO NYINYI MAWAHABI MASALAFY ANSARI NDIO MMEKUJA KUONDOA UMOJA
@MohammedIssa-z1k Жыл бұрын
wakwanza ni ww unaetia fitna katika uislam mm sijawahi kumsikia ibadhi hata mmoja akimponda shafi
@karakairasa2161 Жыл бұрын
Juu ya utuzima wake, lakini ni mchache wa elimu....
@modyworldmody4297 Жыл бұрын
Sheikh ananjaa....
@ahmedmattar4661 Жыл бұрын
Kwa kweli huyu sio sk hata kusalisha ni mtihani hana elimu hajui asemalo ni zumbukuku hafai hata kutoa mawaidha hana elimu anatoa kichwani mwake
@yaqoobalhinai1654 Жыл бұрын
Nenda ukasome dini bado huna elimu wewe waulize wenzako wakuambie nani Ibadhi na nani wewe na hiyo dhehebu lako maskiin unajipotezea thawab zako
@baarutmazrui5186 Жыл бұрын
Mawahabi wanamatatizo sana nyoyo zao chafu sana
@mohammedalnabi4745 Жыл бұрын
Assalamu aleykum Maaibadhi sio Khawarej nenda ukasome tena usisambaze uongo wako utakukuja kuulizwa siku ya kiyama. Unweza kumpigia Mufti Sheikh Ahmed Al Khalili akakuelimisha..
@ringsnflashestv8067 Жыл бұрын
Kwan ndugu unafkir haelewi? Masheikh hawabishani nae huyu . Kiukwel haijulikan nia yake lakin wazi inafikiriwa kua hana nia nzur
@faridaayurbi7384 Жыл бұрын
Wewe shekhe ndio unaeleta fitna utatoa ushahidi mbele ya Allah. Hasbiallahu Waneemal wakil
@masoud744 Жыл бұрын
Wewe mbumbunbu
@generalqassem5948 Жыл бұрын
Huyu mzee Hana Radhi Za Wazazi wake.
@SheikhSalimBarahiyan Жыл бұрын
Hatushangai Maneno haya kutoka kwa Mshia au Mibadhi !
@baarutmazrui5186 Жыл бұрын
Muwahabi wa miyaka 70 anazidiwa akili na mtoto wa miya 5 wa madhehebu nyingine
@mohammedshein5546 Жыл бұрын
Assalaam alaykum Nina suali Sheykh Ikiwa mashia wanaamini QURAN imeharibiwa jee wewe ushawahi kuwaskia wakati wakisali mathalan wakisoma QURAN nyingine?(kwani nilazima hio QURAN itumike at least wakati wakisali, au pia wanatumia taqia pia kwenye sala?, na kama ni taqia jee niwapi wanaitumia hiyo QURAN?) Ndugu zanguni tufuatilieni hizi khabari kwani kumsikiliza sheykh nikitu kimoja lakini kufatilia na kuutafuta ukweli nikitu chengine zaidi Unaweza kuwaskiliza mashia wakisali,pia unaweza kutembelea miskiti yao na utajionea wewe mwenyewe hio QURAN wanayo tumia ALLAH AKBAR
@faisaloaljabry6400 Жыл бұрын
Kwani sheikh amesema mnatumia Qor'aan nyingine si yeye ni wanachuoni wenu wenye kuamini kua Qor'aan imedukuliwa na kuchakachuliwa. Zikaondolea baadhi ya aya. Si vizuri kutanguliza kifua ikiwa hujui huwezi kumtetea mhalifu bali wewe pia utakua katika wao
@azizaj776 Жыл бұрын
@@faisaloaljabry6400 , na wewe Hujui lolote Sasa mfano wewe ukinywa pombe ndiyo waislamu wanakunywa pombe ?????! Au wewe Faisal ndiyo myuwaji wa pombe je Nikikutolea Hadithi ya Mama yetu Bibi Aisha akisema “ BAADHI YA AYA ZA SURATUL AAZAB ZIMELIWA NA MBUZI HIVYO HIYO SURATUL AAZAB HAIJAKAMILIKA “ vipi ????? NENDA NA WEWE KASOME HUJUI DINI WEWE
@ahmedmattar4661 Жыл бұрын
Huyu inawezekana kapewa pesa na makafiri ili awagawe waisilamu au anatumiwa na Shia au ni mpagani
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Dini yenu inafundisha chuki tu,kama mnaweza kununuliwa basi ondokeni haraka huko gizani Yesu anawapenda na nafasi bado ipo
@truthspeaker2062 Жыл бұрын
Haya bwanamkubwa jibu lako hili apa kzbin.info/www/bejne/qp2XepqDrrKaZqc
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Kwanza mashia ni makafiri
@justjj9934 Жыл бұрын
Ati shekhe..hehehe, hilo jina tu..Bakhara, kiarabu maana yake mavi..
@zimammbaruk4231 Жыл бұрын
Anapigania tumbo lake tu huyo, njaa imezidi, huna uwezo wakushindana na Maibadhi, unajidanganya tu, Muiba mbuzi wa sadaka mkubwa wewe, Wamekosea nini kuhimiza umoja
@ABUUALLY-j7k Жыл бұрын
Huyuu mzeee ni mgonjwaa waakili sio buree
@muhammednassor3569 Жыл бұрын
Utawakuta watu sura zao kama sayyidna Ally au Sayyidna Abuubakar lakini hawana Akhlakk
@محمدبنعبداللهالجهضمي Жыл бұрын
Someni taarekh mtajuaaaa kama kweli Hawa maalik,hanaf,shaafi,hanmbali, jeeee ni jaaamaaa kweli Au ni jinaaaa tu wame jipaaa baadhi ya watu maaana walifikaaaaa katikaa msikt wa maakkah kuaa kilaa dhehebu Wana imamu waoo wakimaliz Hawa wanakujaa hawaaa Na kilaa mmoja ana mqaam Ibrahim yakee😂😂
@abrahamanalliy2115 Жыл бұрын
MASHIA HAMNA LOLOTE NYIE NI MAKAFIRI ZAHIRI
@Hussein-gx4qu8 ай бұрын
bora hao mashia na maibadhi hao ndio wamesimama kuutetea uislam duniani sio nyie vibaraka wa makafiri
@ringsnflashestv8067 Жыл бұрын
Hakuna kisichojulikana sasa mambo yote yapo wazi juu ya fitna zenu mwanzo sheikh nilijua una elmu na umekosa ufaham tu . Sasa inaeleweka wazi huna nia nzur na dini yetu hakika una alama kubwa za unafik allah akupe utayar wa kuongoka
@AbdallahIssaShekhan8 ай бұрын
Huyu inawezekana kakosa radhi sio bure
@محمدبنعبداللهالجهضمي Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂boraaaaaa usome tarjama tu kakeeeee kiarab hukiwez
@محمدبنعبداللهالجهضمي Жыл бұрын
Abaaaa kiarab hukijuiiiiii fanyaa tarjamaaa tuu
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Pili kiswali nyuma ya ibadhi ni haramu
@MohammedIssa-z1k Жыл бұрын
kamba waislamu wote wakufate ww au wasome kwako uwapotoe ndio mshikamano unaotaka wewe bila yakusoma kwako au kusoma kwa mawahabi huwi muislam ndio munavoona nyie mawahabi
@alshamsitz3961 Жыл бұрын
Swali langu ni moja na dogo tu,kwa nn mtume yy hakuunga mdugu baina ya Answar na Muhajirina.....??? Isipokuwa yy alimsubiri Sayyid na Ali mpaka aje kutoka Makka...? Halafu sheikh Mtume ametuambia tushikamane na Quran na Ahalulbayt na hatutopotea katika vitu vizito hivyo alivyotuachia ambavyo ndio uongofu kwa waislamu Sahihi muslim hadithi no 2408,na Ahalulbayt ndio njia ya kushikamana na Kitabu na Sunna....! Tujitahidi kusoma hadithi kwa uyakini pamoja na history ya uislam baada ya kufa Mtume Mohammad ( saww ) na tuache chuki kwa kizazi cha Mtume,ikhtilafu ya madhehebu imetokea baada ya kufa mtume tu na sehemu ya kwanza katika ilikuwa ni Saqifa,jamani tusomeniiiiiiiiiiiiiii.Ila sheikh una unafik mkubwa sana.
@محمدبنعبداللهالجهضمي Жыл бұрын
Na wewe piaaaaa utapelekwaaaaa😂😂😂😂😂
@محمدبنعبداللهالجهضمي Жыл бұрын
Kwaaaa taaaarifaaa tu Kuna juuzuuu ya tatu na ya nne na alie kuleteaa mwambiee akaulizee vimekujaaaaaa
@shanqawi_tv Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 أحسنت يا بطل
@baarutmazrui5186 Жыл бұрын
Chuki hizo
@MohammedIssa-z1k Жыл бұрын
wewe una hasad na maibadhi hapo zamani ulipokua karibu namaibadhi kwakila kitu ulikua hujawa muislam wewe?wacha fitna ww mimi sio muibadhi lakini nawakubali kwakua wanafata kitabu cha Allah na suna za Mtume hawamtukani mtu wala hawamkejeli mtu tafauti na ww unatoa matusi nakejeli kwa wenzako kweli nimuislamu ww?
@mohmozahmed4201 Жыл бұрын
Tapeli tu wewe nenda utafute mtu umtapeli khabithi mmoja ww
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
MAAIBADHI NA MAKHURAFI(OTHMAN MAALIM)NI MAPUNDA WA MASHIA!!
@زينبعليعبدالله-ز3س Жыл бұрын
😮😮Subhanallah astaghafrullah ndugu muogope Mwenyezi Mungu ipo siku utaulizwa Kuhusu hii kauli
Subhanannllah ALLAH awaongoze uhl bidaah woote maibadh sufi khawarij muntazilla .makadiani matwariqa woote ni makundi mapotevu
@إنَّمِنَالبيانِلَسحرًا-ذ1ك Жыл бұрын
Hayo maneono ya sheikh wa Kiibadhi uliyoyanukuu hata kuyasoma sawa sawa kinahau umeshindwa je utawaeza kuyatafsiri. Rudi ufahamishwe yanavyosomwa na kutafsiriwa, na uabainishiwe makusudio yake halafu ndiyo utafute sipika ongee.
@محمدبنعبداللهالجهضمي Жыл бұрын
Na ukisema ibadhi ni khawarij khawarij wa kweli wanajulikana zama hizi wanakufurishana wanauwana ni vita vingapi nchi za kiislam wanapigana na haoo ahlu Sunnah ndioo kinaara jeeee siooo makhawaarij????????
@modyworldmody4297 Жыл бұрын
Mzee acha uongo.... Unaleta fitna....
@محمدبنعبداللهالجهضمي Жыл бұрын
Ajabu sana huyu mzeee haiyoni hali yaoo dunian khususan Tanga walianzaaa kua ni ahlu Sunnah wakaja ansar Sunnah wakavurugana wakatokaa salafi nao wakabomoaana wakatokaa jadida wakatoka qadima wakatoka hajawira wakatolewa hizbi 😂 Sasa kama walivyo gawanyikaa mayahudi ndivyo mlivyo gawanyika nyie bali mmetoaana kweny Sunnah na usalf mpka mkatoa waraka baadhi ya wenzenu wasikanyage miskit yenu hivi kweli ndioo jamaa nyiieeee au ndioo شيعا ??????????? ajabu Al hamdu lillah hatuja wahi kusikiaa maibadhi wanatoana kweny madheheb yaoo au wanagombana wao kwako bali wapo na misimamo yaoo wanasonga mbele na watazidi kwenda mbele inshallah nyir bakin na chuki zenu
@ramadhanmwandambotuntufye5972 Жыл бұрын
Unaongea nn wewe sheikh, hata hujui chimbuko la hayo madhehebu yako unayojinasibu nayo ni uyahudi. Rudi darasani Soma elimu haina mwisho. Mayahudi wamewagawa ili uislamu usitawale dunia Kama vile ulivyotawala wazungu miaka 800 huko ulaya. Sasa wewe sheikh kazi ni kushindilia mahitilafu kwa maslahi ya taasisi zenu. Taasisi zenyewe ni mifumo ya kitwaghuti , Kuna dini hapo kwenye hiyo mitaasisi yenu? Mnatuchanganya waislam. Tumechoka kusikia mahitilafu yenu.
@faisaloaljabry6400 Жыл бұрын
Tuliya wewe dawa ikuingie Sheikh anatoa aya za Qor'aan na hadithi sahihi za mtume wewe unaleta udhalilishaji na maneno machafu Allah akuhidi
@saidalhinai1131 Жыл бұрын
Wewe sheikh mpumbavu maibadhi hawawanunui wsfuasi wala huwasikii kubishana na wajinga kama wewe
@SheikhSalimBarahiyan Жыл бұрын
Wewe mbona wabishana , sio Muibadhi ?
@khalfansharji-ez7pg Жыл бұрын
@@SheikhSalimBarahiyan wewe hata SI barahiyan Bali balaa la khiyama
@sadickmguruka Жыл бұрын
Poleni ndugu zetu masuni kwa kuingiliwana kundi baya sana la kiwahabi eti nawao wanajiita ahlu suna walijamaaa
@salumrashidabdullashmely2558 Жыл бұрын
Barahayawani huna jipya. Chuki na fitna zimekujaa mbwa wewe