Рет қаралды 6,180
#NjombeYetu #TukataliiNjombe
Mkoa wa Njombe ni kati ya Mikoa iliyopo Nyanda za Juu Kusini. Awali Njombe ilikuwa ni moja ya Wilaya ndani ya Mkoa wa Iringa ila kuanzia mwaka 2012 Njombe iligawanywa na kujitegemea kama Mkoa.
Mkoa wa Njombe una jumla ya Wilaya Nne (Ludewa, Njombe, Makete na Wanging'ombe) Aidha, Mkoa huu una jumla ya Halmashauri 6 (Njombe TC, Njombe DC, Makambako TC, Makete DC, Ludewa DC na Wanging'ombe DC).... Kiasili makabila maarufu Mkoani Njombe ni WABENA, WAKINGA, WAPANGWA, WAWANJI. Wengine ni Wamaswamu, Wamanda, Wakisi nk