IJUE KINGA (ZINDIKO)LINALO MUUA MCHAWI NA UBAYA WA NDOA ZA UCHAWINI........

  Рет қаралды 99,617

Sharifu Suleymana TV

Sharifu Suleymana TV

Күн бұрын

SHEKH S NGUSURA +255762 664094 / +255716447727
TUPO BUGURUNI MALAPA MTAA WA GULAM NYUMBA NAMBA 19
KARIBUNI SAANA

Пікірлер: 205
@bintkijangwa4305
@bintkijangwa4305 3 жыл бұрын
Maa sha Allah Shukran sana sheikh wetu hakika hii ni tiba mujarrab ngoja tufanyie kazi tutakuletea majibu
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Shehe Allha akulinde tunakupenda kwaajili ya Allh❤❤❤❤❤❤
@amadirispa8382
@amadirispa8382 3 жыл бұрын
Asante sana mahalim nauliza unaeza tumia kalamu gani nyeusi ama nyekundu. Napia nauliza nakama uko namchawi anae tumia majini anazi tuma kwamboma ama anazituma kwamtu moja kwa boma unaeza fanyaje kwa sababu sisi tuko na mwenye ana tumia majini kutumaliza sisi kama vile AME mua baba namama wote wame kufa sahizi hatuna mzazi
@juliusimbusi2710
@juliusimbusi2710 3 жыл бұрын
Walai Shekhe Mola Akuongezee maisha Ili unusuru waja wake,,,!!! Baraka tele,,,,lkni pia Ningeomba kujua njia yakuwakomesha wezi nawadokozi sababu pia wanatutesa Sanaa! Asante Shekhe!!
@bitaetenge8704
@bitaetenge8704 3 жыл бұрын
Nahona hiyitukinuwiya atakwawezi watapata faidayao atamajambazi. Tutumiye manuwizitu.
@husnamanase3943
@husnamanase3943 2 жыл бұрын
Asante unayo yaongea yanakuta kunamyu kaniahidi sto zaa sito fanya biashala yoyote nanikweli yananikuta nimefungu mgahawa kwakweli hata mtu kupita ningumu kuzaa imekua ningumu kila ninalo lifanya haliwi mauzauza ndani nimechoka nimelia sana
@khadijaathumanikhadijaathu9031
@khadijaathumanikhadijaathu9031 Жыл бұрын
Walahi shehe kweli.kabisa wanawake wengi wanateseka Allah akuongoze sana shehe
@Zahrazahra-ue7bp
@Zahrazahra-ue7bp 2 жыл бұрын
Kunawengine wanasema uyo anaendekeza sana ushirikina ajawakuta👍👍💯💯
@aishashauri123
@aishashauri123 2 жыл бұрын
Shukran sana, Allah akulipe kila la heri na akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha zidi ya watu wabaya
@mcanacamosses7787
@mcanacamosses7787 3 жыл бұрын
M/mungu akubariki sana mjawake,na upo peke yako kwa hakika, una moyo wakipekee sana,M/mungu akujaaliye maisha marefu yenye heri na baraka tele. Nakupenda sana wemja, moyo wako niwakipekee sana.
@emiliennemurerwa3908
@emiliennemurerwa3908 Жыл бұрын
Nami nimo katika wanaokufuata shukran chekh wangu
@jumaali9170
@jumaali9170 2 жыл бұрын
Dah asante sana nilichelewa sana kustuka wallah shekh asante sana kwa hii dawa maana baba yetu wa kambo anatutesa mwanga mkubwa kila dawa anazijuwa ukifanya katuwekea mpka mdudu ndani y nyumba ili atuadhibu sie na mama yetu sasa ajiandae hery aondoke ili tuwe. n amani Asante shekh Mungu akulipe khery na akupe ulinzi wewe pamoja n sie
@reemareemo2698
@reemareemo2698 Жыл бұрын
Huyu baba kama kweli ana fundisha kutoka moyoni walakhi MwenyeziMungu aendelee kumuweka duniani jamani tu muombee kwamema❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 2 жыл бұрын
Asante sana mungu akubariki tueleze baba hao watu hawataki maendeleo
@mohamedkeduali6766
@mohamedkeduali6766 3 жыл бұрын
Shukrani Sana ustathi tuwaombea sana wewe na ahli zako endelea na dararasa tufaidike kila kukicha kwani faida ni nyingi mola akubariki "
@mariamuharubu6577
@mariamuharubu6577 5 ай бұрын
Ostazi tupe vitu muhimu Baba Allah akupe maisha marefu Sana
@bitaetenge8704
@bitaetenge8704 3 жыл бұрын
Hiyikiboko mwalimu Mungu akuongezee yalipotoka haya azidishe mengine mengi. Je yalema tone yawimo tutaheneza pande zote.
@phylliswachira2850
@phylliswachira2850 3 жыл бұрын
Asante kwa mawaidha ya faida, wachawi wamehangaisha watu wasio na hatia.
@fatumamunicmunic4906
@fatumamunicmunic4906 3 жыл бұрын
Shukran nita kutafut shee unipe msaad nakupenda kwaajili ya Allah
@salummakame5086
@salummakame5086 2 жыл бұрын
A.alaikum Vp baad ya kumtafut mmb yamekaaj
@joliea2956
@joliea2956 3 жыл бұрын
Mashalla mwenyezi Mungu akubariki,hakika nimefurai sana nimeteswa mnoo
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer 2 жыл бұрын
Ikiwa alie fanya uchawi ni jini unaweza kufa kwa dawa hio ya tojo la mgomba?
@salummakame5086
@salummakame5086 2 жыл бұрын
Habar vp hii tiba umefany
@lazaroalfan8703
@lazaroalfan8703 2 жыл бұрын
Shukran sana kwa darsa hili nzuri sana
@haseanatnsanya2079
@haseanatnsanya2079 3 жыл бұрын
Shukran sana mungu akuweke akuzidishie elimu na baraka nyngi ktk maisha yako ya dunia na akhera
@zaidkillo5662
@zaidkillo5662 3 жыл бұрын
Ahsante Shekh,mimi ni miongoni mwa wafuatiliaji wa darsa zako. Jazaakallahu khaira.
@veronikaromward190
@veronikaromward190 3 жыл бұрын
Asant mwalim
@fernandocharles7087
@fernandocharles7087 2 жыл бұрын
Mungu akuzidiche elimu,na Mimi na omba une WA ume
@fernandocharles7087
@fernandocharles7087 2 жыл бұрын
Na omba Mimi nizidiche uume wangu no mdogo sana samani lakini
@faouziainamahoro4141
@faouziainamahoro4141 2 жыл бұрын
Asante sana mwalim Allah akuo'geze imri
@habimanaswedi4987
@habimanaswedi4987 3 жыл бұрын
Assalamu alaykum warahmatullahi wa barakatuhu ALLAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI NA UMRI MREFU NA MWISHO MWEMA,
@sharifusuleymanatv
@sharifusuleymanatv 3 жыл бұрын
Amina
@shekhaabdallah6824
@shekhaabdallah6824 3 жыл бұрын
Shukran mola akupe umri kwetu nyumbani upoo
@ndayambajefikirini7252
@ndayambajefikirini7252 Ай бұрын
Shukran sana kaka,nilitaka kujua kama unauza pia mitishamba ya kwakopo,wanao ita yakisunat
@makamehaji2609
@makamehaji2609 3 жыл бұрын
Masha Allah mweyezi mungu akujaliye kila laheri Insha Allah
@maryamally3085
@maryamally3085 2 жыл бұрын
Daaaah mtihani sheikh mimi kwakweli nitaabani kwa Walanifu hao .
@lulubintrashid1903
@lulubintrashid1903 3 жыл бұрын
Shukran sana sheikh,acha tuwatie adabu kidogo hawa jamaa
@muhammedyussuf8406
@muhammedyussuf8406 2 жыл бұрын
Kweli kabisa wallah...
@salummakame5086
@salummakame5086 2 жыл бұрын
Habar Vp baad ya kufany daw kimetokea. Nn
@khadijaathumanikhadijaathu9031
@khadijaathumanikhadijaathu9031 Жыл бұрын
Mashaallah Allah Akuhifadhi
@issangalawa6763
@issangalawa6763 Жыл бұрын
umenifunza adi nimekua mwanafunzi wako mzuri xana Tena xana 🙏🙏
@charlesmutio8924
@charlesmutio8924 3 жыл бұрын
I like it, keep it up
@florencemulei8147
@florencemulei8147 Жыл бұрын
Wow may God bless you
@georgengige7250
@georgengige7250 Жыл бұрын
Tumalize wachawi na kamuti zao
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 3 жыл бұрын
Shukrani sheikh wetu ngoja tufanye wacha wanga wafe tu maana Hawana akili
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 3 ай бұрын
Mchawi ni mbaya zaidi kuliko mwizi. Mungu awabadilishe wawe watu wazuri,kama si watu wa kubadilika awafute tu kabisa.
@phylliswachira2850
@phylliswachira2850 3 жыл бұрын
Mchawi na afe hana haja duniani.
@maryamally3085
@maryamally3085 2 жыл бұрын
Kweli kabisa hata mimi wananisumbua wachawi hao Allah SWT awaangamize.
@verenaisskimambo5783
@verenaisskimambo5783 Жыл бұрын
Asante sana shehe kwa kutuelimisha
@sukynerally3509
@sukynerally3509 Жыл бұрын
Allah akuongezee umri inshallah uendelee kutufundisha
@ndayisabafarouk9214
@ndayisabafarouk9214 2 жыл бұрын
Asante sana kwa Ilmu yako 🙏🏽
@MarioBentoDuarte
@MarioBentoDuarte 4 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@georgengige7250
@georgengige7250 Жыл бұрын
Hii ndio nitamaliza wachawi nayo.sijali ni nani ama nani.asante sana sheik
@nasoroLuhombo
@nasoroLuhombo Ай бұрын
Mungu akubaliki
@reemareemo2698
@reemareemo2698 Жыл бұрын
Wengine hawaongei kama huyu baba wana ficha ficha ila huyu baba Mungu muweke kweli kabisa
@abdularuffin9308
@abdularuffin9308 3 жыл бұрын
Shukurani sana shekhe wetu
@oorosam
@oorosam 2 жыл бұрын
Hi ni Kali Sana ina ogopesha
@khadijaathumanikhadijaathu9031
@khadijaathumanikhadijaathu9031 Жыл бұрын
Ndoa nyingi zimekuwa nimitihani sana
@georgengige7250
@georgengige7250 Жыл бұрын
Kweli kabisa Khadija.
@salumngando4179
@salumngando4179 Жыл бұрын
Asalam aleikm mimi naitwa salum nauliza kuhusu hii kinga ya toto la mgomba ulisema nikisha lipata nichole lile toto vinukita 6 lakini ile karatasi yako vinukta vinaonekana vitano vimechorwa sehem tatu naomba shekhe unielekeze nivicholeje
@georgengige7250
@georgengige7250 Жыл бұрын
Eeeh tusiweke tano ikawa twajiroga sisi wenyewe
@salmawage7259
@salmawage7259 3 жыл бұрын
Jazakah allah kheir allah barik
@muranisalim3572
@muranisalim3572 2 жыл бұрын
Wewe nibora unafundisha 💓❤🙌
@adamsnyakundi4427
@adamsnyakundi4427 3 жыл бұрын
Napenda sana masomo yako ndugu.Long life bro
@jonkobrownbrown9582
@jonkobrownbrown9582 Жыл бұрын
Nashukuru habiby
@abelypeter3225
@abelypeter3225 3 жыл бұрын
Huyu maalim anachukia wachawi kama mimi wanaturdisha nyuma
@jackmerci7819
@jackmerci7819 Жыл бұрын
Shukrani mwalimu Ila nataka namba yako
@salmawage7259
@salmawage7259 3 жыл бұрын
Sana shekh allah barik allah barik
@SaadEbrahim
@SaadEbrahim 3 жыл бұрын
As-Salaam Alaykum Asante Sheikh wetu kwa kutupa faida kubwa kinga dhidi ya wachawi. Allah Akbar amin. Sio Vitone 6 ni Vitone 5 aka shikeli ya Jadula hiyo.
@sharifusuleymanatv
@sharifusuleymanatv 3 жыл бұрын
Naam naam
@georgengige7250
@georgengige7250 Жыл бұрын
Umetegua swali kubwa kwa wengi Sheikh
@arunrawal5420
@arunrawal5420 2 жыл бұрын
Thank you very much ubarikiwe
@deborakasambula7431
@deborakasambula7431 Жыл бұрын
Kweli kabisa shekhe iliwahi kunitokea
@JacobCondlad
@JacobCondlad Жыл бұрын
Asante sana acha wafe
@aminanuru6526
@aminanuru6526 3 жыл бұрын
Asante Mr Mkusula Suleiman
@adamsnyakundi4427
@adamsnyakundi4427 3 жыл бұрын
Kaka naomba unijibu please 🙏.ii kinga nikishaa weka huyo mchawi akifa nihuku huku kwangu au kwake . kweli nimeudhika nawachawi siku zote.matezo cku zote nimechoka
@msafiridiary
@msafiridiary 3 жыл бұрын
Sheikh fanya hio dawa yao tuwaondoe kabisa hawa wachawi na washirikina, kwani hata m/mungu ametuamrisha kwenye suratul Taubah (9) aya ya 3-5 mwanzo mwanzo,.. m/mungu ametuamrisha siku ya hija, tukishamaliza kuhijj twende tukawatafute wachawi na washirikina popote walipo tuwalinganie na wakikataa tuwaue.
@sandraalbert392
@sandraalbert392 3 жыл бұрын
Asante Sana Shekhe
@mariamyangole8886
@mariamyangole8886 3 жыл бұрын
Asante Sana mungu akubariki
@khadijaathumanikhadijaathu9031
@khadijaathumanikhadijaathu9031 Жыл бұрын
Walahi Allah awalaani wenye husuna kwawenzao
@anksusiabdurashid114
@anksusiabdurashid114 3 жыл бұрын
Allaah kareem
@maasharahamissi8473
@maasharahamissi8473 2 жыл бұрын
Shukran MUNGU atakulipa kwa wema wako
@mawananasoro4405
@mawananasoro4405 3 жыл бұрын
Asante sana shekhe
@roselydahamwayi6971
@roselydahamwayi6971 Жыл бұрын
Napenda sana kuota ndoto la kufanyiwa ngono au wewe unafanyisha toto mdogo gono
@mrishomakunza2410
@mrishomakunza2410 3 жыл бұрын
Safi sana mafundisho ni mazuri.
@angle3600
@angle3600 2 жыл бұрын
Shukran sheik
@mutabazihassan6291
@mutabazihassan6291 9 ай бұрын
Naenda kufanya kwasababu wachawi wamenitesa sana shukran sana sheikh
@MathiasManyanza
@MathiasManyanza 3 ай бұрын
upendo sana baba
@BaaOmar-j4h
@BaaOmar-j4h Ай бұрын
Vitone Kwa kalamu au Kwa Nini? Shukran,
@biumbemohamed8378
@biumbemohamed8378 2 жыл бұрын
Shukuran.allah.akujaze.kheri
@RuthNtimwa
@RuthNtimwa Ай бұрын
Huu ni ukweli kabisa watu tumelogwa sana.nina miaka 16 Toka niachane na mume na sijapata mike mwingine ila yeye anaoa na kuacha na anaemuacha aolewi tena.asante kwa dalasa hili🙏🙏🙏
@najuf8021
@najuf8021 3 жыл бұрын
Shukran jazakallah
@qurankareem582
@qurankareem582 3 жыл бұрын
mungu akulipe
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 2 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@abdulsaid4579
@abdulsaid4579 3 жыл бұрын
Asalam alykm sheikh wangu. Hii kiboko. Wachawi wauwawe tuu. Tusiwaonee huruma. Hawana faida ktk jamii.
@HotDramasOfficially
@HotDramasOfficially 2 жыл бұрын
Ukila ngurue zindiko linaharibika ukinywa pombe je?
@cecilendayishimiye8548
@cecilendayishimiye8548 2 ай бұрын
. Wananitesa miaka 10 😢 yani wachawi siwapendi hata kidogo
@zakariasuleiman4113
@zakariasuleiman4113 3 жыл бұрын
Waalaikum salaam swadaktana shekh umenena yalo fwawaida sana Kisha shekh darsa namba 2 ya barhatii na albadri vipi?
@neemamahada4404
@neemamahada4404 2 жыл бұрын
Allwah akupekheri
@webnet1508
@webnet1508 3 жыл бұрын
Asalaam aleykum sheikh,mie nauliza unalizika mchana au usiku?na ufumbe macho ama vyovyote tu.?
@OmarAbdalla-np8nu
@OmarAbdalla-np8nu Ай бұрын
mbona sheikh kila ninavyo jitahidi sifanikiwi? tatizo langu ninini?.
@RozaliaIlindi-fk9xx
@RozaliaIlindi-fk9xx 4 ай бұрын
Mchawi sio mtu mzuri auwawe kabisa asionekane
@sharifaaljahdhamy7633
@sharifaaljahdhamy7633 3 жыл бұрын
Shukran jazaka Allah Alf Khair nkweli kabisa
@johnboniventure5772
@johnboniventure5772 2 жыл бұрын
She uko vzr
@rizikisebe8261
@rizikisebe8261 3 жыл бұрын
Shukran sheikh.....ila naona hivyo vitone a vitano mbona
@sharifusuleymanatv
@sharifusuleymanatv 3 жыл бұрын
Ni vitano vitano
@issamasanja7874
@issamasanja7874 3 жыл бұрын
@@sharifusuleymanatv Shelkh je utumia nn kuandika kalam au meka pen au dhafalan na kam kalam iwe na rangi gan tafafhal tuambie
@issamasanja7874
@issamasanja7874 3 жыл бұрын
@@sharifusuleymanatv je unatumia nn kuchora?
@jimmihmuthee1757
@jimmihmuthee1757 2 жыл бұрын
Mimi Pia naona vitone vitano vitano mara tatu
@aminanuru6526
@aminanuru6526 3 жыл бұрын
Aww,je Kama nyumba Ina majini wanasumbuwa?
@MwanaidRamaha-td1hl
@MwanaidRamaha-td1hl Жыл бұрын
Allahu Akbar
@zulphahassan384
@zulphahassan384 3 жыл бұрын
ALLAH akubarik 😘
@fediruben5009
@fediruben5009 3 жыл бұрын
Leoleo naifanya mliozoea kuwangia wenzenu mtakoma
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@alekomgaza1955
@alekomgaza1955 26 күн бұрын
Bwana yangu hufa tendu landoa najilani niabiye nitafanya nini
@humphreykarua5241
@humphreykarua5241 3 жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri wako
@oorosam
@oorosam 2 жыл бұрын
Nime Ku hesimu daktari
@shomviyanga943
@shomviyanga943 3 жыл бұрын
Asalam aleykum ikiwa umefanya Hilo zindiko na baada ya muda mchawi akaja na kweli akafa, Je ikiwa zindiko langu Ndio sababu za umauti wa mchawi huyo vipi hukmu yangu mbele za mungu?
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 3 жыл бұрын
Allahu a'alam
@abdulsaid4579
@abdulsaid4579 3 жыл бұрын
Wee umejikinga n familia yako. Kufa kw mchawi wewe haikuhusu.
@abelypeter3225
@abelypeter3225 3 жыл бұрын
Sasa wewe kama unawahurumia subr waje wakuue wewe ndpo utaisoma
@shomviyanga943
@shomviyanga943 3 жыл бұрын
@@abelypeter3225 tofautisha Kati ya kuhurumia na kuuliza kutaka kujua
@abdulkibwana572
@abdulkibwana572 3 жыл бұрын
@@abdulsaid4579 nimecheka sana,jaman hawa watu wabaya sana
@nuratyngwenda4648
@nuratyngwenda4648 3 жыл бұрын
Katika kulifukia tunanuia shekhe au nieleweshe hapo
@vincentwafula
@vincentwafula 2 жыл бұрын
mr wanichekesha vile unawachukia wachawi
@AminaShirumba
@AminaShirumba 9 ай бұрын
Alwa akujaalie ishaalwa.huna chelewa chelewa. Chuma baada chuma
@BenardCharles-c8f
@BenardCharles-c8f Жыл бұрын
Hii kinga ya kwanza hufungi kitamba cheupe?
@petrosiwingwa4529
@petrosiwingwa4529 2 жыл бұрын
Nashuku sn sheeee
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 112 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
FAIDA ZA KUITUMIA BISMILLAHI RAHMAANI RAHIIM SHEKH SUNGUSUNGU
30:33
Shekh Sungusungu
Рет қаралды 71 М.
HUWEZI KUONEWA NA WACHAWI UKILITUMIA JINA HILI......?
14:01
Sharifu Suleymana TV
Рет қаралды 47 М.
ITIKIA DUA HII KWA KUONDOA MARADHI UCHAWI MASHETANI NA MAUMIVU YA MUILI
33:40
MWANAUME HANA KIBAMIA
17:05
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 3,5 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН