Yaa Allah nijaalie uhai na uzima Mali so kitu apa duniani❤. Nijaalie nguvu na subra na Imani thabit amiin
@lissanTozzy9 ай бұрын
❤️
@nihhadsouleiman79089 ай бұрын
Amiiyn Yaa Rabil-aalamin
@abdikamili10319 ай бұрын
Alhamdulila
@aminaanyoso76482 ай бұрын
Ameen
@MwajumaGendem-v4q24 күн бұрын
Amiin
@getrayakoyi9185 Жыл бұрын
Hongera baba ni mfano bora kwa kila moja kila binadamu ni atafute uso wa mungu na sio kuweka mioyo yetu kwa mali
@wardamwikali7891 Жыл бұрын
Mungu akuhifadhi,akukidhie haja zako,akuongezee siku uzidi kutuelimisha Jazakallahu kheir sheikh wetu.
@KasimAbdallahSingano9 ай бұрын
Shekh wapo watu wengi wa aina hiyo wanao muabudu mungu kipindi cha shida wakipata wanamtupa mungu
@Idd_y3609 ай бұрын
Subuhana allah wa bihamdihi x100 Allah inshaallah husamehe mazambi yetu
@RezgaK-i1yАй бұрын
❤❤❤
@abcmnbb2610 Жыл бұрын
Yaarabi tupe mwisho mwema Sheikh wetu mungu akupe afya njema Yani sauti nzuri sana
@MasumbukoShija-l2w Жыл бұрын
Shukran sana kwa ukumbusho wajazaakallahu khayra. ALLAH atuongoze na atujaalie mwisho mwema cc na ww
@xichangyathrib5167 Жыл бұрын
Allahumma ameen
@samuelmweipongwe140 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu tusaidie tafadhali tupate miisho mema. Dah! Hakika sisi si lolote wala si chochote juu yako na njia zako. 🙏🏻
@georgembunda3783 Жыл бұрын
Amiiiin🙏✋👋
@sheryoman9 ай бұрын
Mashaallah nasaha nzur sana kisa chenye nazingatio Allah atupe mwisho mwena inshallah
@paidenasra45489 ай бұрын
Ameen. Nimejifunza mengi sana kwenye kisa uzuli nasikiliza ndani ya mwezi mtukufu.
@Mwaka-f1m Жыл бұрын
😢😢😢 yarabiii tujaalie mwisho mwema ,,,,,,,kisa kizuri sana allah akuzidishie moyo wakutufungua macho
@Ibrahimkaila Жыл бұрын
mungu ni mkubwa kwa kila jambo Ila swala ni muhimu sana
@Rahma-pu2iz Жыл бұрын
Mali na watoto vyote ni mtihani ®Allah atupe mwisho mwema yarabby
@HamimuKigumi5 ай бұрын
Ni ujumbe mauri sana❤
@SaaBajaj-u8o4 ай бұрын
Aaamin
@RamadhaniMdem Жыл бұрын
Nampenda sana Alla na mtume wangu Muhammad
@kbmsouth Жыл бұрын
YA ALLAH TUJAALIE MWISHO MWEMA .. Inshallah 🤲🏾
@Awatee Жыл бұрын
Amiin amiin amiin 🤲🤲🤲
@love_579 Жыл бұрын
Ameen
@aminaaly2739 ай бұрын
Ameen
@abmixellx14829 ай бұрын
Allahuma Amiin
@SalimMahaba-od9zz7 ай бұрын
Maashaa Allah sheikh ujumbe mzuri umetufikia na ukatufunza kua mali sio kitu mbele ya Allah.Mola akujalie Umri mrefu wenye mafanikio hapa duniani na akhera.na akujalie Allah mwisho mwema.na akuongezee elimu zaidi nasi utugawanyie.Amina Inshaa Allah
@MhamedRamadhani-yb8kv Жыл бұрын
Shekh allah akulipe kwa mawaidha yako yanamafunzo
@HidayaKidunale Жыл бұрын
Subhanallah.Binaadamu tusiache ibada zetu kwa sababu ya mali.mali ni za kupita na Ibada ni za kudumu.Allah atupe mwisho mwema.
@kalamuMedia Жыл бұрын
Aaamin
@BashkamuxsinAli Жыл бұрын
Amiin
@FatumaMuya Жыл бұрын
Amiin
@FiridausRashidi Жыл бұрын
Allah atujalie ujiri na kukumbuka swala kila wakati jamani kisa kinafundisha sna shehee
@KuruthumBachu8 ай бұрын
Maasha Allah shukran Jazakallahu Khair 🙏, hakika hiki kisa ni Chenye manufaa makubwa Shekhe,
@HayratmbaroukKhamis2 ай бұрын
Mungu wajaliye wazazi wetu wawe na subra aminii❤❤❤
@AlimiahAlimiah-k8i Жыл бұрын
Ujumbe mzuri wenye kuiogopesha na kuihofisha nafasi .Ameen Allah akupe afya ilitupate faidi zaidi Toka kwako insha Allah
@guriobahati7534 Жыл бұрын
Wape uchumbe wa ukweli wasikie wasisikie pasi olewao
@Khamis-ys2dy8 ай бұрын
Ujumbemzuri
@ChimzaBakari-xy4jr5 ай бұрын
Ameen
@ramadhanhassan5285Ай бұрын
😊
@SaidaAlly-m6l10 күн бұрын
Shukran shekhe mungu akujalie kwa mafundisho mazuri sana mungu atujalie sisi sote atupe mwisho mwema ❤❤❤❤
@ernestkizaminyakangara8520 Жыл бұрын
Mungu anatumia sura ya kiumbe Yeyote kutekeleza mipango Yake.
@Issah-dd8oh9 ай бұрын
Allah tujaalie mwisho mwema hapa dunian na kesho Akhera!!!!
@ToumaKhalid-g6o Жыл бұрын
Mashaallwa mungu atupemwisho mwema
@jumakimaro4295 Жыл бұрын
Kisa kinasisimua sana. Allah atujaalie mwisho mwema inshaaallah ❤
@kahlanmohd5313 Жыл бұрын
Amiin yaa rabby
@HabyibaFaraji Жыл бұрын
Fan a'udhu billah min dhalika
@saidimote-t4b9 ай бұрын
Alhamdulillah kisa chenye ibra,mazingatio,mafundisho na elimu kubwa kwetu cc tilioko hai hapa ulimwenguni,shekh mwenyeezi mngu akulipe,akuhifadhi,akulinde na shari zote za masih Ddajal nacc Allah atuzidishie subra tupate mwisho mwema inshaAllah wabillah taufiq Ammin
@Duasaid-f1q Жыл бұрын
Jazak Allah kher😮😮😮
@AlimiahAlimiah-k8i Жыл бұрын
Masha Allah kisa chenye mazingatiyo sheikh wangu mpendu
@mrisashando7480 Жыл бұрын
Allah atusamehe sote Ameen Ameen
@mussayahya-3711 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu tunakuomba utusamehe na madhamb yetu🤲
@CareenKaleen6 ай бұрын
Mimi ni mkristo lakini nimependa sana uhu ujumbe MUNGU azidi kukubariki shekhe kwa kutukumbusha
@SalmaKhatib-tq6ui6 ай бұрын
Asha Allah
@hosea79193 ай бұрын
@@SalmaKhatib-tq6uiInsha Allah
@Kondoa805 Жыл бұрын
Jazakallah Allah atuzudishie iman na subra
@laylayl5166 Жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu atunusuru nayadunia
@zalinamangi8039 Жыл бұрын
Shukran Sana kwa ukumbusho mzuri
@RonaldoPastory2 ай бұрын
Asante kwa kutukumbusha kwa Hilo na ujumbe wako ni nzur sana mungu awe nawe
@FatumaKulola12 күн бұрын
😢😢😢 shukran sheikh mungu akupe umri mrefu wenye kheri insha'Allah
@w4058 Жыл бұрын
Na mie bora nimalize salaa tayari mawaidha mazuri Allaah akuhifadhi Yaarabiy asitujaalie kuwa katika waja wakuzuwiya mikono yetu
@HayratmbaroukKhamis2 ай бұрын
Mungu nijaliye niwe na subra na nijaliye kizazi chema amini niwasaidiye wazazi wngu na wazazi wa we Angu aminii❤❤❤
@mussaabassi-n4c Жыл бұрын
😊 cc tx.Allah atujaalie riziki za halali
@seifkagawa69189 ай бұрын
Laillahah Ilallah Muhammad Rasulullah❤
@mifunga3414 Жыл бұрын
Allahuakbar,Allahuakbar ya Allah utusamehe ya Allah ameen ameen Rabillah lameen😢
@AminaTanga2 ай бұрын
2mshukuru mung kwa kula jamb mitihani yote inapangwa na allah s.w mug akubariki sana baba yang yarrab 2jalie mwisho mwema 2kukumbuke wakati wa shida na raha🙏🙏🙏🙏
@gyeong5972 Жыл бұрын
Takbiriiiiii Allahu Akbar
@erickabel62019 ай бұрын
MASHAALAH ❤
@MwasitiOmmary9 ай бұрын
Dah Alhamdulillah 😢😢😢
@ChimzaBakari-xy4jr5 ай бұрын
Kisa Madhubuti Sana Hiki Allah Atukuzie Imani Zetu
@AthumaniNawasha9 ай бұрын
Alhamdulillah, mungu akikujaalia neema usisahau kurudisha shukran kwake
@yusufmarjan8881 Жыл бұрын
Jazakallahul Kheir Sheikh kwa ukumbusho
@MbiliWay-f9e Жыл бұрын
Sheh Allah akupe maisha marefu.
@issarashid7707 Жыл бұрын
MaaShaAllah Allah atupe mwisho mwema
@HappyBeachCoast-yh4uu7 ай бұрын
Subhanallah kisa chasisimuwa mailaika mola tujaalie tuwe miongoni mwa waja wema tusighafilike na dunya kwa mali ameen
@MamuSaid-hj3xn3 ай бұрын
Allah atujalie tuwe na mwisho mwema sote 🙏💗💗🙏💯
@MwanaidykassimKanikiАй бұрын
maasha Allah.hakika kisa cha kutufunza ALLAH atujaalie subra kwakwel
@IbrahimMohamed-c3c Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu tusamehe waja wako na utuongoze kwenye njia ya kheri Inshaallah 🙏🏾
@MwanahamisimusaNdende3 ай бұрын
Mashaallah mawaidh mazur Allah atuwezesh mwish mwema
@AubinNijimbere7 ай бұрын
Ewe mwenyenzi mungu uzidi kunibariki nakuku abudu pesa siyo kitu mbele yako❤
@patricknasikilizanikiwanam41087 ай бұрын
Asante Sana kwa somo lako nzuri hakika nimejifunza kitu ee mola nipe moyo wa ibada
@pwasasawasasa Жыл бұрын
maasha-allah 😢😢😢😢😢
@hawasalumu1374 Жыл бұрын
Subuhana Allah
@sitikhamis7978 Жыл бұрын
Allah atupe Mali zenye kheir na barka...Maa Shaa Allah kila kizuri chenye mafunzo ..Baarakallah fiyk sheikh
@kalamuMedia Жыл бұрын
Aamin
@gabrielyemmanuely1815 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@SWALEHELITUPABURE Жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema
@mariamsaidaboud4959 Жыл бұрын
AMEEN, YAA RABBIL ALAMEEN
@FatmaHamad-r8i Жыл бұрын
Mungu atunusuru na mitihani ya dunia. Na atupe mwisho mwema
@YuxhizoTz-le3ok10 ай бұрын
mwzl 0:54
@starlonejadamskp82249 ай бұрын
Ujumbe mzuri mnoo Mashallah
@KubraChande-en7ni Жыл бұрын
mungu akupe maisha malefu uzidi kutoa mawaidha
@AminaHussein-po8ii10 ай бұрын
Innashallah
@ismailabdall-p7z3 ай бұрын
Allah Akbar Allah anatupenda sana alhamdulillah i love u Allah
@rajabujuma9030 Жыл бұрын
Inshaallah,M'Mungu akujaalie shekhe kwa kisa che huyo fukara chenye mafunzo.
@broumaiyyah8018 Жыл бұрын
Allahu Akbar.Mashallahu Barakallahu fiikii
@KisindaRonsen Жыл бұрын
Allah atuajaalie miongon mwa wakuyatekelwza na kupata mwisho mwema😢
@JophatMnyaruge8 ай бұрын
Daaaaah mm ni mkristo lakn mawaidha yameniingia sana mungu azidi kukupa pumzi na sauti ya kusema
@CuttyCutty-y7t2 ай бұрын
Shukran sana kwa ukumbusho Jazaka Allah khair
@HusseinnurishambaroWario9 ай бұрын
MashaAllah Allah's akulipe mema insha'Allah
@biashaomar23672 ай бұрын
Ya Allah nashkuru kwa ulicho niruzuku nacho. Wewe ndiye unayejuwa khatimah yangu
@Allikanangwa6 ай бұрын
Allah sw akulipeh jambo ili insha-Allah! Piah namuomba Allah sw atupeh mwisho mwemah 🙏 🇹🇿
Subhanallaah mugu atupe mwisho mwema kweli na umasikini ulaniwe
@ratifaiddy2184 Жыл бұрын
Yallab Tujaalie Mwisho mwema 🙏❤️
@kadzitumapesah79963 ай бұрын
Nmefk8za na kujifunza katika kida hiki mungu akujalie hekima za8di ya hii utufunze za8di Inshallah
@JumaChicho-j6f4 ай бұрын
🤲🤲🤲 Allah tuongoze katika njia iliyo salama
@DarweshHussein8 ай бұрын
Mwenyez mungu akulide tupate mawaiza mazur
@rarkia7452 Жыл бұрын
Ya allah tupe mwisho mwema 🤲🏻
@mohamedswamadu2000 Жыл бұрын
ALLAH ATUJALIE MWSHO MWEM
@SaimonFalasia-lc5hz9 ай бұрын
Allah tuzidishie wema na mwisho mwema nimejifunza katika shehe huyu kwa umauti Allah nijaria mwisho mwema na uzima wa Dunia na roho yangu unitunzie na siku yako ya toa roho uniondolee maumivu Allah uzeeni
@abdirizackkanchoro2820 Жыл бұрын
Masha Allah jazakumullah ustad Allah atustiri ❤
@ZaharaMpenduАй бұрын
Mungu akupe maisha marefu kaka yangu
@MariamuRajabu-el9ev9 ай бұрын
Ahsante sana shekhe kwa somo zuri mashallah🎉❤
@Sidik-d7e Жыл бұрын
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AzirinhAshidi5 ай бұрын
Mashallah ujumb mzur sana Allah atujalie mwisho mwema
@NuratNuru8 ай бұрын
Jazakharahu kheri inshallah
@PrincessKhadija-m6u5 ай бұрын
Allah atupe mwisho mwem ameen na atup subr pia tusichoke kumuomb mung kwan yy ndio kila kt
@salmaomar2929 ай бұрын
MashaAllah jazakaAllah kheir🤲
@NzalambiMkoa2 ай бұрын
Mwenyezi mungu atupe subra Sisi waja wake
@rizikmassoud87747 ай бұрын
subhanallah allahumma ameen 🙏 🙏 22:46
@w4058 Жыл бұрын
Allah asitujaalie kughafilika na Ibada zake
@AishaAbdurahman-c3r9 ай бұрын
Allihamndulilah Allah akulipe kwaswadaka hii zuri sana nime jifuza
@AnnalisKomba9 ай бұрын
Ahsante kwa hakika inatufundisha vizuri simulizi hiyo mungu akubariki