Hongera sana IkeMimi nilikuwa nafahamu kupika mkate ,kuku na biskuti tu duh umenifungua akil ila muda na jotoridi la kutumia kupikia vitu hivyo sijui
@theresiamagomba20148 ай бұрын
Thanks kwa darasa,naomba kuuliza foil paper inafaa kutumika ndani ya oven....
@lilianestephanie7881 Жыл бұрын
Hongera kwa kuvalishwa pete my love. Nmefurahi sana
@florencendaskoi24035 ай бұрын
Safi sana. Nataka kujua jinsi ya kupika hayo ma vegeteboz😅
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@eliviaprotase16873 ай бұрын
Asante kipenz
@user-gx8ij6bu8z4 ай бұрын
Asante dada
@NeemaMahiza2 ай бұрын
Unaweza kutumia sufuria ya kupikia jikoni kubake?
@mohamedfaris3000 Жыл бұрын
Mashaa Allah, kazi nzuri sn
@ikamalle Жыл бұрын
Asante sana…
@TumaMollel-qp4dx6 ай бұрын
Naomba uongelee hizo tin kingine kwan sufuria la kawaida halifai kwenye oven
@MariamuShafy-ox7pw Жыл бұрын
Napenda kujua kupika pilau kuku na mboga mboga kutumia ovena
@ElizabethMazengo-ml7wi3 ай бұрын
😮😮😮😮😮😮 hahahaha 🤣 aki kweli mi nataka kukuwa kama inaweka osha vyombo
@NimfaBenard-dn7xj9 ай бұрын
Je unaweza kukaushia crips?
@badawyhaji9288 Жыл бұрын
😋😋😋😋
@masanjarehema77223 ай бұрын
❤❤
@muwanjiirene72615 ай бұрын
😍🥰😘
@AsiaBadru-xq6fv8 ай бұрын
Dada nashida nakata yakukizi unaweza kunisaidiya
@FransiskaMassawe-lt7yy7 ай бұрын
Pleas dd naomba namba yako
@divahcruz Жыл бұрын
Mboga mboga na wali😂 asantee jirani
@ikamalle Жыл бұрын
Karibu jirani ♥️
@user-en2ki1ut8x7 ай бұрын
Naomba namba yako
@naomineemamwambegunaomi42164 ай бұрын
Tafadhali nambie kama unajiita nani kwnye youtube
@annemarienyirenda7251 Жыл бұрын
1.Ningependa kujaribu kutengenza mbogamboga na oven. 2.Nilikuwa cjui kama pilau/wali/biriani vinaweza kupikwa kwenye oven. 3. Naomba usiache tafadhali kutufundisha khs matumizi ya blender. I can't wait