Wewe unakosea kufisia ujinga sio sawa lazima tulaumu mwalifu kuua askari wetu ni kosa kubwa sana tena ni utovu wa nidhamu uliokisiri
@nicolauslema887 күн бұрын
Poleni mapoti.
@jeremiaaugustino71877 күн бұрын
ooooh....wamekufa wote....................
@yousufyousuf59638 күн бұрын
Askar akifa munaumia lakn raiya hamtow hata chocho kile watu wpoteya hawajulikan walipo mpaka leo
@nuhhumwakanyamale47717 күн бұрын
Ila police wetu wema sana, Yaani muuwaji aliuwawa akipatiwa matibabu. Ingekuwa KENYA 🇰🇪Huyo wangemla nyama.
@mangulimanguli39747 күн бұрын
Wacha wafe tu zulma wakubwa
@rogerabdallah4395 күн бұрын
S Afi
@noot-oe2mw7 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@kanankirannko61747 күн бұрын
Usitegemee komenti nzuri Kwa upande Wa RAIA kwenda Kwa polisi ,ila Mimi Nina ombi moja polisi watengeneze uhusiano mzuri na raia ili hawa raia wasaidie kukamata wahalifu ,manake utagundua polisi wameuawa Kwa sababu lengo lao halikua kuua mhalifu Bali kumkamata na kumpeleka kituoni sasa wakiwa na matumaini hayo wameuliwa
@allymohamed27247 күн бұрын
Amekufa ASKARI hutowasikia wale Haki za Bin Adam hapo. Aliyewauwa Askar alitenda uhalifu kwa Raia kisha baadhi yetu Raia tnnamsifia muuwaji kwa kuuwa ASKARI.
@IsmailKidongo7 күн бұрын
Wameenda mbinguni kuwalinda watendaji wanaowaengua na kuwaibia chadema uchaguzi
ipowapi iyo picha ya matukio huyo vidio? Apo kamanda siAnaongea kama Ulivyokuepo Unaongea wewe Mbona Unatuletea Miyayusho Msenge kiganjani na wewe kamanda kusoma kiswahili kunakupa tabu?? Vyeo vya Mjomba waziri na Uchawi😂😂
@bernadetamushi7 күн бұрын
Nanyi police lindeni raia wenu. Mbona wengine wakiuwawa na kutekwa hamtangazi waliotekwa. Ila hawa askari mnatangaza