Hii nineema kwa wenye akili ALLAH akupe umr mrefu sheikhe wetu WALLAH twakupenda
@hassanmsumari12003 күн бұрын
Anatoka mapovu ....Toka mapovu sasa uzuie ushia
@hassanmsumari12003 күн бұрын
Unao zungumza NAO ni watu vilaza watu wa mipira na kwaya ACHA wakushangilie tu
@AllyKame-rx2zd3 күн бұрын
Hamna Daawa hapa ni mitihani Allah Atuafu
@bashiromary48972 күн бұрын
Binafsi nimeipenda daawa salafiyya hapa wanaoumia ni wale ambao shekh kassim akisemwa na masheikh zaow wanafurahi Nasi tunainjoi kubainikiwa ambako watu hamuwezi kukataa Kama sio kweli kataeni msipojiktokeza imani yetu juu yenu iko pale pale
@MohammedMohammed-y8c3 күн бұрын
عن أبي هريرة أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال أتدرون ما الغيبة قالوا الله ورسوله أعلم قال ذكرك أخاك بما يكره قيل أفرأيت إن كان في أخي ما أقول قال إن كان فيه ما تقول فقد اغتبته وإن لم يكن فيه فقد بهته" (رواه مسلم)
@abuuabdirrahmaan41322 күн бұрын
لم تفهم المراد من الحديث يا لكع
@AhmedMohamed-un4zh18 сағат бұрын
Uhalisia daawa yenu ya ujadida unaporomoka na ukweli mnaujua nyinyi
@mustafaibrahim52003 күн бұрын
huyu Abu fadhil K Mafuta nafatilia darsa zake namkubali sana ila linapokuja suala la kuwaongelea masheikh wenzke kua wamepotoka namwona ni mtu mshari na mwenye chuki sana
@ramadhanramadhan49482 күн бұрын
Kuwa na inswaaf na unachosema sio usawa Ktk hii audio kama umeskiliza vzur nani kaanza kumsema mwenzake kuwa ni mpotofu? Usijaribu kuzuga watu Kwa kumbeza shekh Abdul fadhil wakat yy anatetea haqqi na kaanzwa kusemwa yy kabla kusema
@nikrahayubu-sz3pwКүн бұрын
We nae usijitoe ufaham hyu sheikh anawasema mashikhe wengii sana sio vzr kwanini Iko hv we kama unaona hawa watu hawafat Yale unayofata we bas achanana nao we fanya dawa zako toa darasa zako hadish somesha hyo ndio dini lakn unaposema kuwa fulan amepotoka au kapotea we Nini hamn anae jua ukweli njia sahihi alie kuja nayo mtume Bali kila mmoja anasema fulan kasema Fulani kasema nyie muongopni ar Rahman dah @@ramadhanramadhan4948
@duanemontana46913 күн бұрын
Hii ni njia nyengine ya kumtukuza sheitwan,sheitwan alijifanya na ujuaji ona kilicho mkuta, Allah atulinde ameen
@MahmoudAli-rs5mi2 күн бұрын
Kama huu ndio usalafy na ndio njia allah aniweke mbali na upuuzi huu
@abuuabdirrahmaan41322 күн бұрын
Upuuzi upi kijana?!
@nikrahayubu-sz3pwКүн бұрын
Amiin
@abusalmadangaadam708Күн бұрын
Tatzo udigo ungekua kwa ajili ya dini watu wangenufaika sana
@jumashedafa3 күн бұрын
Kuna mambo huend ni ya kwel ila mnapoyaleta mtandaon ni kama kumfedhehesha mmoja wapo kwann? Ni kher kuja na hoja za kuelimisha uma hilo mpgie sim umueleze..Kuna watu huend wakawa wametenda mema mengi ila wakawa mufilisi. Allah atustir
@AllyHamran3 күн бұрын
Ukike na sifa za kujigamba kujnyanyua hamna ila upuuzi na kusema katika mambo ya kuletewa.Hakuna usalafi huu hata kwa wajinga watawapuuza na kuwazarau seuze waliosoma .
@abuuabdirrahmaan41322 күн бұрын
Utaumia sana hasidi wewe na da'wah itasonga mbele hata uchukie
@mwalivanduabdul3 күн бұрын
Mmmh mmmh
@maalimhamad12973 күн бұрын
HAYA MAMBO YAMEPITA YAACHENI MSIWAPE WATU LAKSEMA HUU NI USALAFI GANI AU NDIO MASALAFI WALIKUA HIVI NA MAMBO YA KIKE NA CHUKI NA FITNA ZISIZOKUA NAMSINGI MIMI KWAKWELI SIJAUONA USALAFIHUU MIMI NAUNGA MKONO DAAWAT SALAFIYYA LAKINI MBONA MNAFANYA VITU HAVIINGII KATIKA VIPOMO ACHENI HUU UJINGA. . . .
@AbrahamanSaidi-uf1dw2 күн бұрын
Aliyepost ni Yusuf Goma ni kijana mdogo wa kisufi mwenye chembe chembe za kishia
@nikrahayubu-sz3pwКүн бұрын
Wnaboa sana wanafanya tuone kuwa pia wao Wana mmbo ya like kusemana jmn dah
@ismailyusuf37553 күн бұрын
Mbwa nyinyi nyinyi
@NoelNjementi3 күн бұрын
Africa 🌍 nitatizo yani mira zawarabu makureshi wahabudu sanam ndio zipo kwenye vichwa za jinana wakiafica nawazee wakiafica yani watu weupe watatucheka daima kwanin watu weusi atujitambui tu jmn😢😢😢
@abuusufian65063 күн бұрын
Unaongea utumbo hujielewi stupid
@nikrahayubu-sz3pwКүн бұрын
We kale unye ukalale nyooo we kama sio musialm bas fata dini yako na kama we ni musialm bas soma dini yako vzr na uache kuandika utumbo tu
@cheapunderage8228Күн бұрын
Jitambue ww kwnz usiabudie mwanadamu
@IsmailRashid-m8xКүн бұрын
Umma unazidi kupotea nyie mnakalia minaqasha, kwa wakat wa mtume hayo yalikuwepo, fundishen umma na msikalie minaqasha
@hafidhwajina67183 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@aboubakarmakha41943 күн бұрын
Mipasho tu kejeli na dharau
@abuuabdirrahmaan41322 күн бұрын
Utaumia sana hasidi wewe
@hassanmsumari12003 күн бұрын
Ushia mbona unaenea pia kila mtu atakae kuja na kundi hata kosa watu ....mshamba anajisifu kuenea usalafi jadida hata ushoga pia unaenea ...mipira pia inaenea ......huna jipya mzeee
@YusufuGoma3 күн бұрын
Karibu kwenye Chanel yetu
@hassanmsumari12003 күн бұрын
Anasema alikua akisema wazee hapo ana maanisha baba zake wa maulidi kipindi cha nyuma sheikh salim kawapiga sana ..maulidi ya tamta nk..
@abuuabdirrahmaan41322 күн бұрын
Wacha uongo waliotajwa hapo katika masheikh ni kina juma poli kina mnenge kina twaha bane nk sio watu wa maulidi
@NoelNjementi3 күн бұрын
Cc watu wausi ndio maana watu weupe uwa wanatushangaa sn Sasa uyu chizi wakiwahabi yani Ata asiliyake aijui yani rafuzi anajirazimisha ili aonekane kureshi akika Africa kunaviroja sn😂😂😂😂😂😂
@ismailyusuf37553 күн бұрын
Mbwa nyinyi
@princesaha32623 күн бұрын
Duu
@seifmohd53573 күн бұрын
Salafiy uchwara wana tabu sana awa watu Allah awaongoze
@abuuabdirrahmaan41322 күн бұрын
Utaumia sana hasidi wewe
@allymbarouk53623 күн бұрын
Bidaa hizo, masalafi wa ukweli hawakuwa hivyo
@abuuabdirrahmaan41322 күн бұрын
Muongo wewe inaonekana hata hao masalafy wakweli huwajui yawezekana unawaza kuwa hao wa kweli kwako ni kina Abdallah bn ubayyi bn saluul
@NassorHassan-no1cr3 күн бұрын
Saiv anayo taasisi yake chiz huyu
@abuuabdirrahmaan41322 күн бұрын
Kwani amepinga taasisi au kapinga uhizbiyyah katika taasisi?!
@NassorHassan-no1crКүн бұрын
@abuuabdirrahmaan4132 alipinga meng tu mpka mwisho kapelek matangazo kwa taasis ya kihizbi yule chiz kweli
@abuuabdirrahmaan4132Күн бұрын
@NassorHassan-no1cr Nakuuliza swali je kupeleka tangazo la jambo la haqqi kwa watu wa baatwili ni kosa kisheria Nipe na dalili Usipo jibu ujue wewe ndo chizi hapo
@duanemontana46913 күн бұрын
Mwaleta tabu,kila upande ndugu zangu hebu jifikirieni inaonyesha kuna mtu nyuma ya haya majambo kila kijana achipukae kwa haya mambo huona yeye ni yeye mtume(s.a.w) alikua mkarimu.yapo mengi hawa ndio wataleta vita ya Sisi kwa sisi
@AllyHamran3 күн бұрын
Kazi kuzukiana kusemana kutiana aibu kujikweza kujinyanyua kujipamba na kutiana aibu ujinga na upuuzi tu .
@kadrimwingamno2583 күн бұрын
Ujitambui ulitakiwa ukae kimya
@ZimamMbaruk3 күн бұрын
Huo ndo Usalafi na Manhaji yao ndo hio, Hayo ndo mafunzo wanayo fundishwa na Mayahudi kuwagombanisha Waislam, walianzia nje Sasa niwenyewe Kwa wenyewe
@abuuabdirrahmaan41322 күн бұрын
Wacha utapeli kijana inawezekana hata kuswali huswali ndio maana unakuwa na tabia za makafiri ((kuzua uongo)))