IN THE OFFICE 1-JENIFER KYAKA/BEN BRANCO/MASINDE/HALIMA YAHYA
Пікірлер: 173
@fatumamohamed45456 ай бұрын
Move nzuri ila tunashangaa Kwa kumuona majuto 😮ebu tuambie mli act kabla ajafarik ama mana Iko vzr sana na tumeipenda kama na wew unataka kujua kama mm tujuane Kwa ❤❤
@amysimba84196 ай бұрын
Ya muda Sana kabl hawajafa yy na recho
@user-mk9ix6ed5j6 ай бұрын
Mi nimeiona kabla majuto ajafariki
@ReshimaAbdalla6 ай бұрын
Niya muda sana ,Recho/majuto hawajakufa
@faubaomary43916 ай бұрын
Ya mda mbona
@mchina62116 ай бұрын
Yakitambo sana wala ata kuumwa ajaanza😢
@NeemaStephen-oe4ww6 ай бұрын
Tangu mwanzo nilipo anza kuangalia hii movie na kumuona Mzee majuto basi nimekua nikicheka hadi nanaliza kuangali yani ofisi imejaa vituko😁😁😁😁
@aishamother99436 ай бұрын
Yani vichwa vyote vyashindwa kufikiria mwashindana kuulizana movie ya lini alaaa c muangalie hao watu vyenye wako ndio mjue n y kitambo jamani,lkn kwa yote movie nzuri mzee majuto mungu akurehemu bado tuna furahi kwa kazi zako ❤❤❤❤❤
@khadijabonface6 ай бұрын
Safi sana...muendelezo please na msisaau kutuletea for my child please please please 🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲
@user-ho1zm6lv6l6 ай бұрын
Kelele ya kwanza kwa Jenifer kyaka mwendelezo tafadhari❤❤❤❤❤
@RebeccaMollel-u1c12 күн бұрын
Da jenifa Mungu alikupa kipaji unajuwa nakukubali sana dada nakupate mdogo wako unipe hata ushauri
Ni uyo mdada aliesuka rasta akachanganya rangi mbili nyeusi na brown mbele@@rashidgona1808
@mariamtezo8092Ай бұрын
Jamani movie yakitambo mungu amrehemu Mzee majuto😢😢
@MwanaidiMatary-cp2rf6 ай бұрын
Nikionaga Mzee majuto naanzaga 🤣🤣🤣🤣kuchela kabla hata ya ku watch yote , so naombeni niwaulize huyu boss jina lake anaitwaga nani ???? Nampendaga huyu baba wallah anachezaga movie poa ♥️♥️♥️
@ramadhanfetty716 ай бұрын
Mzee masinde
@user-wi9nx1nt2n5 ай бұрын
Bosi masinde anapenda kuect bosii saana na anapendezea saana
@user-vq1qx1dr4e6 ай бұрын
Nimependa janami na mm nisome nije kufanya kazi katika office odama umependeza sanaaaaa ❤❤❤❤
@ayubruitere68026 ай бұрын
Move nzuri sana hongera Halisi tv
@user-vq1kg4cr2u6 ай бұрын
iyi movie nilijuwa muiweke You Tube maana kitambo sana 🎉😂😂😂
@joashmutoto72606 ай бұрын
watching from kenya,,msanii wa gospel,,,, nimependa movie yenu❤❤❤❤
@Uwamahoro-fefe.156 ай бұрын
Halisi tv iyi movie niya moto kweli, muendelezo usichelewi plz
@ancillarneema6 ай бұрын
Koku uko uko sasa haya onekana ww pekeako..😂😂😂😂nakupenda tu bure mamaa❤❤❤
@AmissiKabu8 күн бұрын
Habari watu wa halisi tv mimi naitwa hakizimana gervais ni raia burundi nawashukuru kwa video hii mubarikiwe sana tena sana
@niyorHamiss-yv4rm6 ай бұрын
Wapir2🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-fk8vn8pi9l6 ай бұрын
Very nice movie
@evalyinesalama25356 ай бұрын
Jennifer nakupenda sana
@tumaxaad6 ай бұрын
Huyu mpezn wake lamerk kafanan na zuchu wa diamond 😂😂
@ZainabSaif-sr9jj6 ай бұрын
Move nzur sn hongera dada jenif kwa kaz nzuri ila zingatia kwenye saut yachin mpk uzidish sn ndio unaskia
@user-lj4nb7oz7lАй бұрын
Hiyo sauti kweli siyo nzuri
@agnesmasoud9506 ай бұрын
Si nilisikia mzee majuto kafariki jamani siulizi kwa ubaya😢
@aisharamdan83586 ай бұрын
Hii niyazamani kabla yakifo chake yy nahuyo recho wote wamekufa
@user-qd7ey5cp5s6 ай бұрын
Hii ni ya kitambo sana
@user-vv5js6rv4e6 ай бұрын
Kwaiyo umesikia kafufuka au
@khadijabonface6 ай бұрын
Recho ni yupi please@@aisharamdan8358
@AishaMohamed-ee5fy6 ай бұрын
recho ni yupi kwan@@aisharamdan8358
@user-jl3ck5mf8p6 ай бұрын
Jmn tamu Sana tunaomba mwendelezo 😢😢
@nduwimanajaphet72866 ай бұрын
From Burundi 🇧🇮
@evalyinesalama25356 ай бұрын
Hongeren sana jamani
@AbdulrahmanIssa-sy8rr6 ай бұрын
Nice movie
@user-pn3ew5fe4o6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤jenifer khaka nakupenda mnooooooo
@alicecuttie81776 ай бұрын
Safi san washiriki ❤❤❤❤
@nasrahassan22606 ай бұрын
Asante dj ❤❤❤
@Ssr.06 ай бұрын
Movie nzuri lakini sauti ya muziki ni kali sana kuliko saiti za watu
@sammarley141316 күн бұрын
Sauti imekua tatizo kubwa sana na sugu kwa moovie za kitanzania. Vinanda vinapewa sauti yajuuu mno kuliko maneno husika
@mariamjoseph78366 ай бұрын
ya siku nyingi sanaa ni move tam sanaa❤
@ancillarneema6 ай бұрын
Mnatuchanganya mbona..movie ya masaa matano sasa iko n majuto..dj tufungue macho plz
@mwanatumu70126 ай бұрын
Wa kwanza
@rashidgona18086 ай бұрын
Majuto he is😂😂😂😂 the best comedian
@user-kd5fy5ln5t3 ай бұрын
Muzee 😂tutakukubuka lala kwaaman❤❤ Odama w
@mishiabdul28346 ай бұрын
Next plzz sehemu ya pili
@aminahhuawei11336 ай бұрын
Recho mjee majuto mungu awape janna huko muliko allah awasamehe makosa yenu🙏🙏🙏🙏😭❤❤❤❤🎉🎉🎉
@agnesjohn58715 ай бұрын
Rachel ndo yupi
@tobosha32366 ай бұрын
Eti unawai km jogoo wa kijiji 😂😂😂😂 Mungu amrehemu huyu mzee
@antobahati11626 ай бұрын
Iyi movie ni kali sana kabisa 😂😂😂😂 yani kwa nziya mwanza mupaka mwisho niku cheka to 😂😂😂😂😂
@user-fb9yo8hr1p5 ай бұрын
Nilikuwa naitafuta sana hii nzuri sana
@nusratyfattah25296 ай бұрын
Next tafadhar aiseeeee 😂😂❤❤ majuto 😢
@sharifabahar99056 ай бұрын
😢😢😢😢 masikini nimemuona mbaka marehemu recho na majuto
@surusuru19946 ай бұрын
Allah awarehm reach 😢❤ki majuto😢❤
@user-lq6mt5ji4l6 ай бұрын
Mke wa fadhiri unalia Mimi ninacheka😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@lilianmwabamba-wt8sn6 ай бұрын
huyu fadhili ni mimi kabisa yani 😢😂😂Na boss wangu 😂😂😂
@prettydollcindy1124Ай бұрын
Steve mkorofi mnafiki😅😅😅,Hana lake,Michemiche😅
@VellonicaAroni3 ай бұрын
Muv balaa ii uwi😂😂😂😂
@furahakenga66196 ай бұрын
❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪
@user-hg1ot1om1b6 ай бұрын
Iyi film ipo tangu 2016
@user-me7lg1dk4f6 ай бұрын
@@user-hg1ot1om1bacheni uongo mimi nimeanza kuiona 20 14 ikiwa na mwaka momja tu imetika iweje mseme eti ni ya 2016 duu
@mishiabdul28346 ай бұрын
Next plzz jena ya move 😂
@suleimankatana44366 ай бұрын
Tunasubili
@user-iu3nf2td6l6 ай бұрын
Hora vivaaa
@rukiahassan70016 ай бұрын
Mbona nusu nusu..ebu tupeni mwendelezo wa Alice
@ChimamyMamy6 ай бұрын
From Saudi Arabia🇸🇦
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs6 ай бұрын
Hii move ilinifanya na mimi nianzishe kampuni
@tumaxaad6 ай бұрын
Boss atawamaliza wafanya kaz wake duh cc wanawake tuna changamoto maofisini 😰😰
@user-lu8uy7ku8t5 ай бұрын
❤❤❤ Jennifer kaka ❤❤❤❤
@user-nk4oq4ek9y6 ай бұрын
Yani mapenzi bwana ata ni ushenzi akii unae mmpenda akupendi usie mmpenda ata ayupo
@mishiabdul28346 ай бұрын
Nitumiya jena ya move plzz
@user-qt2yd1eh6h9 күн бұрын
wame act baada ya majuto kufariki😂😂😂😂😂
@shakilasharifa96 ай бұрын
Love mzee majuto 😂😂😂❤❤❤
@fatumaselemani38076 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤❤
@fatmafatom30346 ай бұрын
Najuwa kunwaga mchele ila kuogota siweziiii😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@KamselaOgАй бұрын
Hii move inaonekana mpya sasa mzee majuto katokea wap mbona hatuelewi
@fatumahamisi16046 ай бұрын
Jamani minajua majuto alikufa vipi Tena alifufuka
@sharifabahar99056 ай бұрын
Kuna ndugu yako alikufa alafu alifufuka
@mamymontana55426 ай бұрын
Tunaomba cleopatra
@user-yy5xd1er7g6 ай бұрын
Twambieni kma yuko kwel hajafriki
@veryboyplatnumz35066 ай бұрын
Najiuliza tuu kwanini wasanii wa sasa hawawezi kutengeneza movie kama izi yani? Wanatutolea viepsode mamae wakitoa kimoja muendelezo mpaka mnasahau😠
@user-xo4xq6rr3f6 ай бұрын
Majuto karudi tena duniani makubwa
@AishaMohamed-ee5fy6 ай бұрын
Movie ya mda hiyo
@user-xo4xq6rr3f6 ай бұрын
@@AishaMohamed-ee5fy ohoo
@sharifabahar99056 ай бұрын
Ndugu zako walisha rudi
@user-xo4xq6rr3f6 ай бұрын
@@sharifabahar9905 wacha kuelewa mtu vibaya sasa umeongea nini
@user-xo4xq6rr3f6 ай бұрын
@@sharifabahar9905 Use your mind and if you read, understand quickly
@geraldmwangira.49785 ай бұрын
Majuto jamn tunacheka akiwa kaburini😂😢.
@mauricemasese95216 ай бұрын
Natoka Kenya. Movie nzuri sana lakini Mzee majuto aliaga muda mrefu uliopita , anapatika aje hapa Tena jamani?
@sharifabahar99056 ай бұрын
Izo move mbona zamuda Sana atakuna recho mbona alikufa mwaka 2012aliacha mtoto
@sharifabahar99056 ай бұрын
Izo move mbona zamuda Sana atakuna recho mbona alikufa mwaka 2012aliacha mtoto
@zawadichalale40476 ай бұрын
Hivi hawa waigizaji wazuri wapogo wapi sikuizi jamani?
@surusuru19946 ай бұрын
😂😂😂😂😂❤mashaallah 😘🇹🇿💚💚💚
@user-jj7xm2uf2c6 ай бұрын
Ehhhh jamani atakama ajasoma usim nyanyase😢😢😢
@Agustinongaloka6 ай бұрын
Nyi watt wa 2000 iyo move ya mda sana
@kiya09106 ай бұрын
Rp mzee majuto❤
@user-fb9yo8hr1p5 ай бұрын
Iko pw sana
@user-sb4fj9iq6f5 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@fatmafatom30346 ай бұрын
Majuwa 😅😅😅😅😅😅😅leo kayatimba😅😅😅😅😅😅😅😅😊
@dieumercifataki-nl9wo6 ай бұрын
Majito,da recho nikitizama huu movie nawakumbuka😭😭
@agnesjohn58715 ай бұрын
Da racho ndo nani
@joycekalago5325 ай бұрын
Majito ndio nani?
@vanessaemanuel8496 ай бұрын
Yani film nzuri lakini yenye vituko😂😂
@fatmafatom30346 ай бұрын
Mze wa mchele😅😅😅😅😅😅😅😅iko anapiga chabo😅😅😅😅😅
@user-by7jo6dk6r6 ай бұрын
😂😂. Majuto alhwa. Akurehemu🥹
@joycekalago5325 ай бұрын
Hakuna kitu huwa kinaniboa najaribu kila njiankumkataa mwanaume et nitakusubir tu usijali
@gabrielnjiapanda37105 ай бұрын
Nimeona watatu humo waliisha tangulia mbele ya Haki.
@ENOCKSAM10156 ай бұрын
Movie nzuri ila mkishuti next time jaribu kuangalia upande wa sauti
@priscakimburi-sl9ml6 ай бұрын
❤❤❤❤🎉😊
@ratybkheir86744 ай бұрын
Tupe jina la mchezo
@tertulacasmiri39696 ай бұрын
Ya zamani nliwahi kuitazama
@johnwaya35576 ай бұрын
❤❤
@julytito38916 ай бұрын
Movie ya kitambo hii
@wamarashitv6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-xr7zm6hv3e5 ай бұрын
Muvi ya muda sana
@johasadiki88286 ай бұрын
nikakitambo ii kabla majuto bado ajafa jamani
@mwalisuleih11646 ай бұрын
😂😂😂😂😂Steve mmbea kwel kwel
@mmmpp25576 ай бұрын
Ofisi ina drama hii😂
@user-kd5fy5ln5t3 ай бұрын
Yamuda
@joycesepocho3576 ай бұрын
Tena auchoki kuangalia unatamani utazametuuu
@saum96976 ай бұрын
Watu hamjui bc ata picha hamuoni wanja t unajuwa km niyamda