INAOGOFYA! - KIUMBE CHA AJABU BAHARINI/ KINATISHA SANA/ SAFARI YA MSUMBIJI-MTWARA/ USIKU MNENE

  Рет қаралды 10,452

Dar24 Media

Dar24 Media

Жыл бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#msumbiji #mkasa #baharia

Пікірлер: 19
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Жыл бұрын
Much love from Finland 🇫🇮 Nawafuatilia sana,mpe Hi sana Erico anachambuaga vitu vizito sana🤝💪
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Жыл бұрын
Sema yerico muongomuongo kama Steve Nyerere,😀😀
@huku-sweden
@huku-sweden Жыл бұрын
Porojo nyingi saana.. yani Mbwembwe za kutosha
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 ай бұрын
🤣
@sebajseba719
@sebajseba719 Жыл бұрын
Yeriko upo vizuri naomba utue hstoriya ya ndenge ya tz iliyo tekea
@jwisetv4833
@jwisetv4833 Жыл бұрын
Jamaa ananena fact sana
@yesutuatosha1460
@yesutuatosha1460 Жыл бұрын
Kati ya aliyoongea, amealibu kuwa amebatiza katika kanisa Ila anaanimi mizimu hapo panatia shaka. Anyway kila mwanadamu anauhuru wa kuchagua nini Cha kuamini na kuabudu. Siku hile kila mmoja atatoa hesabu yake. Waliowengi wakisha Soma Nostic philosophy huwa ndiyo mwanzo wa kuicha njia ya Imani ya kweli.
@mackjr5291
@mackjr5291 Жыл бұрын
Usisahau kuwa dini tumeletewa, na waliotuletea walitulazimisha tena kwa viboko na ndiyo waliotuuza utumwani.
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Жыл бұрын
Sio muda mrefu Erico atadai u-Atheist.......Twendeni nalo !
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
tuskilize stor tuu ila.jamaa ninyongo sana vamiz gani mpk mfagiaji.mzungu kkk abibo.hp toka msumbiji
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 11 ай бұрын
Philippines sio huwa kila mahara wapo wakimuona mtu.mweusi huwa wanaona sifa kuhalibia watu
@hamzaforogo
@hamzaforogo 5 ай бұрын
Kuabudu mizimu ni shirki
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 ай бұрын
Mapapalazi shughuli zao nyingine kupiga uwongo mwingi 🤣
@user-ho3jt6pd1e
@user-ho3jt6pd1e 11 ай бұрын
Huyu huwa muongo muongo😂
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Yeriko Nyerere huyu, kijana machachari wa chadema
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 Жыл бұрын
Hicho kitabu anauza bei gani Chief....?
@mtoobebe5778
@mtoobebe5778 Жыл бұрын
Mbona siyerewe iyo
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
Kwa jinsi ulivyoandika lazima usielewe kabisaass😂😂😂😂😂😅😅😅
@mwalimugideonmahano8341
@mwalimugideonmahano8341 Жыл бұрын
Ffyife
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 60 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 13 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 79 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 50 МЛН
SNAKE BOY | ep 29 | SEASON TWO
31:40
CLAM VEVO
Рет қаралды 183 М.
SNAKE BOY | ep 24 | SEASON TWO
32:22
CLAM VEVO
Рет қаралды 789 М.
میرزا کوچک خان | وطن پرست یا وطن فروش؟
1:02:13
Movarekh Podcast پادکست مورخ
Рет қаралды 63 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 60 МЛН