Follow Me On Instagram / clamcris_ Tiktok: / clam_cris Facebook: people/CLAM-... #Clamvevo #Vevowood #Nollywood #Bongomuvi
Пікірлер: 2 200
@samiuhassan815310 күн бұрын
Punguzeni kuomba like mpeni saport mwamba anafanya kazi amazing sana CLAM VEVO
@ramadhanihamisi65810 күн бұрын
True
@sylviakoech220410 күн бұрын
Wanao omba likes ndio iwe je wanakera
@samiuhassan815310 күн бұрын
@@sylviakoech2204 sijui wanataka za nn
@telesphormatinya139410 күн бұрын
Lakin wao kuomba wapo sahii ili kuwa influence wengine pia wawe wanawahi kuangalia na kuanglia nkumsupport🎉
@user-nx6wi7sl4y10 күн бұрын
Kabisa bora umesema
@symochanji689610 күн бұрын
Kama unamkubali Clam Vevo ni mcheza filamu Bora Tanzania nipe like, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪.
@mwanahabibimsham930610 күн бұрын
Nikupe wewe like au clam Vevo?
@judithkantimbo436910 күн бұрын
@@mwanahabibimsham9306😂😂😂😂
@youngpaincompany144010 күн бұрын
toa like kka acha hasira 😂😂@@mwanahabibimsham9306
@user-ph9wb7lq7m9 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂😂
@muuhhb478710 күн бұрын
Ningependa nikushauri tu Mr snake....ni watu wengi wanafwatilia sana hii serie....kama inakupendeza uwe una toa mwendelezo cku maalumu...mfano hii week umetoa jumatano na week ijayo bc iwe jumatano ili kila mtu awe na siku maalum...ni ushauri tu ..❤
@NillanHassan10 күн бұрын
Kwel kabisa
@ADDO036-ot1sb10 күн бұрын
Yaan itakuwa vizuri zaidi🎉
@jaybacky961310 күн бұрын
Ndio anavyo fanya kila j5 anachia
@SephrozaMatuli10 күн бұрын
Sahh
@user-mq5gq6ey6c7 күн бұрын
Umeongea kitu Cha maana haswaaa🎉
@MichaelCharles-uo6rw10 күн бұрын
Unae soma comenti hiii mungu akupe maisha malefuuu
@NalingigwaElibariki8 күн бұрын
Amen
@martinsimon28066 күн бұрын
Ahsante
@MwajumaMustapha-n3p4 күн бұрын
Amin inshallah mwenyez mungu akujaalie maisha marefu pia
@HussinMwamed4 күн бұрын
Na ww pya
@AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wjКүн бұрын
Aamen
@Chudo_boy_Zombie10 күн бұрын
Wakwanz mimi nipeni like zangu niondoke nazo sitaki kuacha hata like mojaa....😂😂😂😂
@mjsteven329710 күн бұрын
Mjinga sana😂umepata dili ya hizo likes
@Suma00110 күн бұрын
Aache ushamba like haziwz kumsaidy msanii wetu unatakiw kutoa maoni juu ya filam yetu n wasanii wetu
@madrassatulihyaa-ilislaami291110 күн бұрын
Em makinikabuangalie kwanzo, hujamaliza tayar watak like
@Tetesizausajili15210 күн бұрын
We unaomba like za nn kwel huna akili ww
@Fedda25810 күн бұрын
Ata cama ukiwa wakwanza si tunausiana na nini
@husnabilali309910 күн бұрын
Clam mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio ndan yake pia akuongezee ubunifu tuendelee kuinjoy na kujifunza zaid🎉🎉🎉❤❤❤❤
@hafidhkikocho91619 күн бұрын
Sijakuzarau ila ningependa kusema kua Dogo unajua mpaka unakera mungu akujaalie upate kua m'bunifu zaid kazi nzuri kwa sasa huna mpinzan. sisi fans ndo tunaona.
@KarisaMtama-ud4gx10 күн бұрын
Wa kwanza from Mombasa naomba likes ata kama ni mbili tu
@KibweOnlineTv10 күн бұрын
Mimi leo nimekuwa wa 46, naomba likes zangu please 😅😅, ila hii snake boy ni ya motooo 🎉🎉
@Leoonarf10 күн бұрын
Aya sasa. Kakoso
@AnordTembojk10 күн бұрын
@@LeoonarfKakoso tena Sasa mkwele Leo umekua kakoso
@BasuleBasule10 күн бұрын
Hadi Wewe
@KibweOnlineTv10 күн бұрын
@@BasuleBasule 🤣😆😀😄😂 Em niache zangu
@hun_sen_1399 күн бұрын
DIRECTOR KAKOSO PUNGUZA SCENE YA KUTEMBEA UNATUMIA MDA KWENY KUTEMBE KWENYE EPISODE ZAKO UNATUCHOSHA WATAZAMAJI WAKO😢
@user-ue8lt8if7o10 күн бұрын
Asante sana clamvivo nakufata kutoka hindia uku kuwa hazifeke mbiyo movis
@ahmednoorwahab28849 күн бұрын
Waaah kila nikujaribu niwe wa kwanza nakuta watu wamenitangulia😢 kweli hii movie imebamba dunia nzima wapi likes za Kenya🇰🇪wakilisha inchi yako popote ulipo
@JumahMswaki4 күн бұрын
Nipo kenya 🇰🇪 ila mtu wa Tanzania 🇹🇿
@StiveKomba2 күн бұрын
Una. Opa. Musada. Au. Una. Cuba. Watu
@StiveKomba2 күн бұрын
Kenya. Kuna. Vida. Kazi. Kwenu
@Daniel_kimambo201310 күн бұрын
Visasi ni vibaya sana Bora uwe mwema ila huyu zinga kweli ameharibu
@kombosefu872610 күн бұрын
Snake boy ni ya 🔥🔥🔥 Sijakuja hapa kuomba like... Wanaosoma comment ndio wenzangu
@zuluRaphaelItangishaka10 күн бұрын
Big up sana director kakoso na team yote ya snake boy,love from burundi❤❤❤
@user-tx7yd4jo2m10 күн бұрын
Clam uko vizuri mungu akupe hekima usiingie kwenye makiki kama wanavofanya wasaniii wengine😊
@FOURTEENSTAR-mv1qb8 күн бұрын
Hahahahahahahahahabahahhahahahahhahaahhaha. Hapo kaota tu anatongozwa je angefanya nae hahahahahhaha
@catherineotimbo311010 күн бұрын
director unajua mpk unajua tenaa big up brooo na nyie waomba like mnaboa
@MwajumaMustapha-n3p4 күн бұрын
Sanaaaaaaaaaaaaaa mpaka wanaboa tena
@user-cw2om4cn2q10 күн бұрын
Kutoka sio michongo yangu nishaachaga mpaka mmmh sidhani ila ntajaribu 😅😅😅big up vevo
@adifantastic795410 күн бұрын
Skuiz vevo unatup vit vikal mbali n vzr dkk nying san big up bro ❤❤❤❤
@EmmanuelCharo-to4ij10 күн бұрын
Hii movie ni nzuri sana na Kuna wakenya wengi wanafwatilia snake boy tujuane mm pia ni mkenya from Mombasa kenya
@EmmanuelCharo-to4ij10 күн бұрын
❤
@saidially589210 күн бұрын
Team nyaluke tujuaneeee. "Sidhan ila nitajaribu"😂😂😂
@MayaOuthman-bd8bg10 күн бұрын
Fomu Burundi Nimekuwa wakwanza Tm vevo Allah Azidi kuwapa nguvu kazi nzur sana ❤❤❤❤❤
@Sibmencomedy10 күн бұрын
Jameni mimi sifahamu swahili ata like Moja Niko mkongimani
@dogomondijean248310 күн бұрын
Wakwanza kutoka kampala but congolese naomba like zangu
@isharaganechi661610 күн бұрын
Hii movies ni nzuri sana naipenda ni mimi wa kwanza kutoka congo naomba mnilae hiki kidogo basi muvi naikubali sana tutaendelea kuwa support🇨🇩🇨🇩
@burhanabuuburhan-eo7jn10 күн бұрын
Hata mm naipenda sana❤❤❤
@isharaganechi661610 күн бұрын
@@burhanabuuburhan-eo7jn kongomani wewe ndugu yangu tukwenda support wale ambao wanajiweza tu
@user-uh6ux5ei6l10 күн бұрын
Duh kumbe kipara kpt mshindan mwenzake kwa umbea😂😂nyaluke😂😂umetisha
@hamzaIlunga9 күн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa❤❤
@Officialevaltisq8 күн бұрын
Dah huyu mbeya wa himaya ya nyoka hajafua dafu kama kipala😂😂😂😂
@LeeFidele10 күн бұрын
Kazi safi mungu awasaidiyeni muendeleye kutupa burudani safi kbs vevo team ❤❤❤
@IbrahimAthumani-yh8jt10 күн бұрын
Ahsante kwa season nzuri na hakika tunapata mafunzo pia
@Kib-jsanley9 күн бұрын
Like apa sasa🎉🎉mimi tiari
@user-qq4zr3sk2g10 күн бұрын
Kipara ni mbea ila huyu Nyaluke 🙌😂😂😂😂😂halipoi jambo kwake🙌👏😍
@SAB-Tv510 күн бұрын
Jamani nyaluke nimecheka mimi SIZANI ILA NTAJALIBU katiwa kwenye chupa mtoeni jmn mbona gafla😂😂😂😂😂
@pharrellkevins784610 күн бұрын
😂😂
@getrudegeorge21339 күн бұрын
Gafla sio kidogo san😂😂😂😂
@stephanmpangire47414 күн бұрын
Yaani ile chupa angetumbukizwa Kipara mapema sana 😅😂
@MariaJonh-pq7jf10 күн бұрын
Mtukufu wew kiboko Wala chakula chamgonjwa mungu anakuona
@janethmmaxxy616210 күн бұрын
😂😂kwa hiyo kila himaya ina kipara wake mwenyewe tabia za umbea umbea
@michaelrimisho10 күн бұрын
Leo mmekosea mahali katika mavazi, mmoja wenu katumia kitenge cha WAWATA yaan wanawake wakatoliki Tanzania. Director naamini umepitiwa kidogo hapo🙏
@user-ui8ch8vr2j7 күн бұрын
😂😂😂
@Samwelmagita-jb1so10 күн бұрын
Uyu mmbea Atari sanaaa
@user-ds3os5qv4o10 күн бұрын
Eti kangoso nakupenda sana 😂😂 dah anautani huyu
@Kib-jsanley9 күн бұрын
Tiari mimi na we sasa like 🎉
@Edwin_automotive-spareparts10 күн бұрын
Duuuhu nimechelewa leo naombeni like ata kumi😅
@minginhoathuman336110 күн бұрын
Nyinyi mnaombaga like umnajua wanaofanya kazi wanapitia bado muwasupport wanaofanya kaz nipe like mmi namba moja kila mtu usamba uo 😔😔
@emorutnicholas189310 күн бұрын
Watching from Nairobi City, hongera Sana Clam na team yako, mnatuburudisha sana🥰
@mariethajoseph653810 күн бұрын
🎉🎉 hapa sasa tunaenda sambamba VEVO ON POINT kazi nzuri saan na Mungu awabariki❤❤
@Brightonmax111410 күн бұрын
Jamaica well presented nipeni likes zangu
@ciah718510 күн бұрын
Mwenye tabia za kipara apa ajafua dafu 😂😂😂 araka sana ashazimwa 🤣🤣🤣🤣🤣
@RoziPeter10 күн бұрын
Hongern jaman ila mnatuchelewesha sana mm binafs naipenda sana ❤❤❤🎉🎉
@hutahuta117010 күн бұрын
Mmbea waimaya yanyoka koma jamani kazi nzr sana hongeleni wote washiliki❤❤❤nawapenda sana
@Dellylubunga10 күн бұрын
Wa kwanza ku toka DRC 🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu
@GloireJeremykarhendezigloire9 күн бұрын
Mimi wakwaza kutoka afrika ya kusini 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦 nipeni hinzi like zangu hapo😊
@StiveKomba2 күн бұрын
Una. Taka. Musada. Au
@Muidumbe45010 күн бұрын
Nakukubali clam❤❤❤❤
@happinessonly110 күн бұрын
Hii filamu ni nzuri kuliko vipindi vingi vya runinga
@user-ss5xy7lb7k10 күн бұрын
Kweliii
@mohammedkidody56188 күн бұрын
Kabisa yn❤
@germainfola27510 күн бұрын
Napenda sana snake bou 🇨🇩
@deafricanrockstar527710 күн бұрын
Hicho kimwamba kimbea Cha himaya ya nyoka kimeliwa za kichwa😂😂😂😂 umbea tuu kuoga aaaah 😂😂
@malungatvchannel819010 күн бұрын
Muitikio umekuwa mdogo sabab clam haonekan mda sasa
@manadia130310 күн бұрын
Ako kwenye chupa 😂
@dullahsaleh850710 күн бұрын
Yupo ndani ya chupa😅😅😅😅
@rahmalumary-xs6qp10 күн бұрын
Mapema leooooo wa kwanzaaaa😂💃🏾
@mohamedlopa841010 күн бұрын
Kwa amabao tuliokuwa tunasubilia snake series ngonga like zakutosha tusiache ata moja ❤❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@CalivinNjau10 күн бұрын
Iike zinakusaidia nn ww kenge
@mohamedlopa841010 күн бұрын
Kama hauna d mbil uwez kuelewa
@PaulineBosibori-xr8ne10 күн бұрын
Ila mtukufu wewe..yaani wali kwa maharage hampishani😂😂 hujali kula chakula cha mgonjwa
Ahsante sana kwa kujali mb zangu maana kila nikiweka mb nachunguliaga km umeachia muendelezo wa movie yetu pendwa hongera sana vevo na team yako kwa kazi nzr
@fettyflowers80019 күн бұрын
Kwan me nimekuwa wangapi😂 basi nipate like ata ya dhiada.. big up kwa clam vevo❤
@derrickmzungu472710 күн бұрын
Huyu mtukufu anazingua sana wali maharage upuuzi mtupu
Tujitahidi kuacha hii tabia ya kuomba likes. Nadhani ni vema tuwe watulivu, tuitazame kazi , Kisha tutoe maoni, Nini kipungue na Nini kiongezeke. Sio kila mtu , mara WA kwanza, mara wa kumi , mara wa mwisho.
@DonMooSTUDIO_Express10 күн бұрын
Kuna NYALUKE na KIPARA hawa ni ndugu 😂 ukimuongeza MTUKUFU sasa 😂
@user-ql9vz7np7b10 күн бұрын
Binafsi nimefurahi na nimependa sana safari hii hamjachelewa kutoa kipande cha 24 hongereni sana
@Devo_xoxo29 күн бұрын
😂😂😂nyaruke kimemramba bora tu mmempunguza angetuboa kam kipara😂😂😂 Kazi nzur sana clam mungu azidi kukubariki zaid🙏💕💕
@tonydancer11112 күн бұрын
Ujue watu wahajabu sana sana yaan baada ya kumpa like clam vevo kwa kufanya kazi nzur eti wanaomba wao sasa tuwape like kwa kazi gan walio fanya
@fhugghi410910 күн бұрын
Zumba unamkosea sana rafiki yako kakoso 😂
@fahdihasnuu903410 күн бұрын
Hongereni nyote kuanzia mtayarishaji wa maudhui haya mpaka mpishi wa chakula cha kambini kwa kazi nzuri
@SharifuAlbughuli10 күн бұрын
Nyaluke on fire 🔥🔥🔥🔥 ,😂😂😂
@user-mf6vv1mf6x10 күн бұрын
😂😂😂eti mke wa mtu nilikuwepo kwenye harusi yako kama umeskia naww gonga like hapa
@salomejames96399 күн бұрын
😂😂humo t humo t
@IrenefrancisDonald9 күн бұрын
😂😂
@AllyBabu-kr6lg10 күн бұрын
Kuomba laik mbaya hiyoooooooo.clam vevo coming number number one🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-no8sz5nx7b10 күн бұрын
ningekuwa na uwexo wa like mara milioni basi ningefanya hivyo maana hii series ni safi sana❤❤❤❤🎉🎉
@Kib-jsanley9 күн бұрын
Chpatti na maragwe 😢😢😢ina Kuja tena like Sasa kama wewe ni mu congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@NalingigwaElibariki8 күн бұрын
Duh now clam unanchelewesha kutoa 😊 nakua wa mwisho Ku like 🎉😅
@user-bi9pl4eu2o10 күн бұрын
Kazi nzuri bro mbwela keep it up
@jumaathman523210 күн бұрын
From Kenya tayari shabiki wa vevo
@StiveKomba2 күн бұрын
Vita. Vp
@MwanamisiBakari-xh3jo10 күн бұрын
Wa mwisho ila nakubali 😂😂😂 hongera kwa kazi nzuri clam n timu yote kwa kutuletea kazi nzuri