INASIKITISHA! DADA Asimulia ALIVYOMWAGIWA MAJI ya MOTO na MUMEWE - '''Alitaka KUNIUA''

  Рет қаралды 37,059

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

INASIKITISHA! DADA Asimulia ALIVYOMWAGIWA MAJI ya MOTO na MUMEWE - '''Alitaka KUNIUA''
Mariam Msafiri ni mama wa Watoto watatu ambaye hivi karibuni alipata tatizo la Kujeruhiwa na Mume wake kwa Kumwagiwa Maji ya Moto baada ya ugomvi kutokea.
Akipiga Story na Global TV amesema kuwa kumekuwa na Mvutano mkubwa baina yake na Mumewe baada ya mume kubainisha kuwa anataka kuoa Mke mwingine huku akionesha hali ya kutomuhitaje tena yeye.
Mengi zaidi fuatilia Video hii ili kufahamu kwa undani Mkasa mzima mpaka kumwagiwa Maji ya Moto.
UNAWEZA KUWASILIANA NAYE KWA NAMBA HII 0713897235
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 370
@hjhj6230
@hjhj6230 3 жыл бұрын
Ya dunia ni mazito..pole sana dd pia wanawake tuwe na huruma wenyewe kwa wenyewe hapo lazma utafakar mwanamke mwenzio anafanyiwa hivi ww wataka kuingia kwenye ndoa na hili lijasusi yy na family yake..Allah atakulipia dd yangu hakuna choz la mwanamke likaenda buree..malipo hapahapa duniani akhera kuhesaibwa
@aishashabanishabani7753
@aishashabanishabani7753 3 жыл бұрын
Pole Sana ndugu yangu na huyo anae taka kuolewa nae ajiandae
@mashud777a4
@mashud777a4 3 жыл бұрын
Duuu mungu akusaidie dada angu ila kwa stahil hii hakuna atakaye taman ndoa
@rahmaabeid1875
@rahmaabeid1875 3 жыл бұрын
pole sana
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
HUYU DEMU MUONGO YEYE NDIO ALITAKA KUMWAGIA MWENZAKE MAJI
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
Nenda kwenye chanel ya Geah Habib
@nurumanyanga3022
@nurumanyanga3022 3 жыл бұрын
Pole sana Dada mungu atakuafu!! Ila nyie wanaume mungu anawaona!!!
@shabaniguma8696
@shabaniguma8696 3 жыл бұрын
Mtangazaji toa namba ya huyu dada kuna watu wanaweza guguswa na hali ya huyu dada wamsaidie chochote kitu InshaAllah
@aminajumma4077
@aminajumma4077 3 жыл бұрын
Kweliii
@monicamunuo5153
@monicamunuo5153 3 жыл бұрын
Ametoa namba ya baba yake 0713897235
@annamaryrichard748
@annamaryrichard748 3 жыл бұрын
Hawa watu ni wauaji, please fanya utoe namba, nimelia kiukweli.
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
Huyu dada ni muongo nenda kwenye chanel ya Geah habib habari nzima ipo
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
HUYU DADA NI MUONGO YEYE NDIO ALITAKA KUMWAGIA MWENZAKE MAJI MWENZAKE AKAKIPIGA KILE KIKOMBE YAKA MWAGIKIA MWENYEWE
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 жыл бұрын
Uyo mama mkwe analana siyo bure ikokitendo alicho fanya mtoto wake aliona nikizuri inshaallwaa mungu atawahukumu mpndw wangu apa apa duniyani
@jackmacha2328
@jackmacha2328 3 жыл бұрын
ole wako kaka uliyemfanyia ukatili huu mtoto wa watu kaa tayar kwa ajili ya fimbo ya mungu
@africandarling6925
@africandarling6925 3 жыл бұрын
Umebatika kumsikiliza mume wake na majirani zake ukibahatika kumuona wallaah lazima utamchukia Uyuu Dd
@africandarling6925
@africandarling6925 3 жыл бұрын
Mkuliya Uyuu Dd mume wake mtengeleko
@sknapoleonshoo3145
@sknapoleonshoo3145 Жыл бұрын
@@africandarling6925 Una maana gani? Tafadhari tuweke wazi!
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Pole dada Mungu atakulipia hapa hapa duniani
@dalianakerefu490
@dalianakerefu490 3 жыл бұрын
Uvumilivu wa sisi wanawake ndo unatufikisha hapa mimi niliondoka kama naenda sokon Bila ugomvi nilijipnga full mwanaume haniyumbishi kama akinihemu nitampa heshima yake akizingua tunazinguana sitaki kuonewa
@jamilajamila183
@jamilajamila183 4 ай бұрын
Wewe km mimi staki usenge mimi
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 3 ай бұрын
Iyo kwel shogaangu mi mwenyewe nilisubiri kaenda kazini nilikatiza mitaa km kawa alirudi sipo hadi sasa siku wahi kumuonyesha km nimechoka tabia zake mn kumuonyesha lazma akufanyie kitu
@umnooralriyami9552
@umnooralriyami9552 3 жыл бұрын
Subhanallah maskin pole dada Allah atakulipia hapa hapa duniani
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Wanaume, wanaume mhh. Chozi la mkeo halitakuacha salama. Mungu atakujaalia upone dada, pole sana.
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Alafu kambadilisha dini yake bado anamyanyasa baadhi ya manaume Mungu anawaona
@fatmakombo7584
@fatmakombo7584 3 жыл бұрын
Subuhana Allah wanaume muogopeni mungu
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 жыл бұрын
Wanaume no wabaya sana
@nellymkiwa2530
@nellymkiwa2530 3 жыл бұрын
Jamani Dada huyo ni muongo kabisa jamani sina undugu ila Nina uzoefu mkubwa hamumuoni hata uongeaji wake dah! Fuatilieni mtaniambia .Kweli wanaume wanatunyanyasa ila kwa huyu endeleeni kufuatilia
@rhassanimkomwa
@rhassanimkomwa 3 жыл бұрын
dada ni kweli yeye ndiyo kamuanza mwenzake kumwagia nimeona tiyari ..angalia amepewa talaka 3 kafanya nini jiulize
@fefeonlyme5394
@fefeonlyme5394 Жыл бұрын
Ni muongo kweli
@maiyahussen4298
@maiyahussen4298 3 жыл бұрын
Ndomaana diamond hampendi baba yake huwezi jua alishuhudia matukio gani anafanyiwa mama yake sasa huyo mtoto wamiaka 9 unajua anajenga nini juu ya baba yake. MUNGU atususuru wanawake jmn
@salhaissa2619
@salhaissa2619 3 жыл бұрын
Ukifkilia san ndoa kunamda nawaz cjui nisiolewe😪😪pole sn dada yataisha inshaallh ila nass wanawake 2kiolewa usijiwekee mume ndokila ki2 kwako 2ji2me kufny kaz ili cku mwanaume akizngua unawez kusimama mwenyew
@mohammedkimanga8960
@mohammedkimanga8960 3 жыл бұрын
Ni kweli Kabsa ndgu wazo zuri sna shukrni nakuhunga mkono
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Kweli
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
Iyo nikweli ila kuna mwenye unakuta anakosa jinsi yakupata mutaji
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 жыл бұрын
Subuanallwaa subuanallwaa dooo pole sana mpndw wangu ila mungu atakusimamiya utapona na uyo mwanaume uko aendako mungu atamuhukumu katika hayo maisha anayoenda kuishi inshaallwaa
@ramlamburi9743
@ramlamburi9743 3 жыл бұрын
Kama ndoa zenyewe ndo hivi, Bora Mimi nisiolewe 😏😏😏
@zbabyjmo3657
@zbabyjmo3657 3 жыл бұрын
Nakusapoti shoga wee acha niishi uhuni tu
@ziadasalim1459
@ziadasalim1459 3 жыл бұрын
Mara mia kubaki hivi hiv
@annamaryrichard748
@annamaryrichard748 3 жыл бұрын
Yaani haya mambo yanaumiza aisee
@user-bv2gt7tl2x
@user-bv2gt7tl2x 3 жыл бұрын
Miendonimezid tangia nimeachwa namika 22r,I,p ndoa had I saiz mkaka Kama yot nipo single
@neemajoseph3823
@neemajoseph3823 3 жыл бұрын
Kabisaa bolaa niwe singlee haya manyanyasoo
@aishaabdallah4255
@aishaabdallah4255 3 жыл бұрын
Akuna kumpa msaada mshenzi tu mbon yey kamunguza mwezie huyo mkulia bila kupigwa hana raha
@rhassanimkomwa
@rhassanimkomwa 3 жыл бұрын
kweli pia mimi nimemuona mumewe kamwagia majia ya moto hasemi ila yeye analalamika anataka umma uone kanonewa
@aishahamid3544
@aishahamid3544 3 жыл бұрын
Pole sana Dada Mungu yupo atalipa tu unyama huu
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
Jamani wanaume mbona munatutesa sana ivi 😭😭😭😭😭😭mujirekebishe
@pascalyanga7211
@pascalyanga7211 3 жыл бұрын
Sy ote ilanibaaz
@ahshbsbx2991
@ahshbsbx2991 3 жыл бұрын
Ila wanawake wengi wabaya usishangae huyu mpya anafanya dawa ili mwenzake afanyiwe yote haya msicha wa watu mpole jamn mung atakuponya dada angu
@hafsaali4423
@hafsaali4423 3 жыл бұрын
Jamani wanaume kuweni na huruma umeamuwa kumwacha mtu siumwache tu akiwa mzima sasa umemchoma na bado anawatoto kweli mungu wetu hashindwi na kitu huyu mwanaume mungu amweleleze hapa duniyani na akhera hata huyo mama aomnyima dawa anawatoto huyo mtoto anaye mteteya atakurudiya na wewe na ataondoka na roho yako binadam tubadilike tuwe na utu imeniuma sana
@b.a.m6243
@b.a.m6243 3 жыл бұрын
Duuuh huyu dada muongo jamani hebu muende kwa Geah ndo mtapata mkanda mzima,,, wewe ndo umemmwagia mwenzako maji na ulikua unataka wewe talaka. Duuuh wewe n muongo dada. Afu huyo mama wa watu mpole unasingizia kakutukana jamani uwiiiii
@MohamedMkota
@MohamedMkota 4 ай бұрын
Kumbe😂😂
@bongo255tv7
@bongo255tv7 3 жыл бұрын
Uyu dada mhongo nendeni mkamsikilize mme wake kwenye channel ya geah namwenyewe kaungua sana halikuwa hanataka kumuunguza pumbu zake kaungua mpaka basi wanawake tunatafutaga uruma sana
@fatumamshindo5525
@fatumamshindo5525 3 жыл бұрын
muongo uyu mama yeye ndio kamwagia mumewe maji ya. moto mumewe kauungua viya sana nimemuona mumewe anaojiwa na gea habibu
@rhassanimkomwa
@rhassanimkomwa 3 жыл бұрын
kweli dada pia mimi nimuona hata ongea yake anaangalia chini ni ishara ya uongo hiyo kamwagia vibaya mwenzake
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Polesana dadayangu Mungu akuponye Huyo mwanaume Mungu a Tampa anacho kutafuta lnshallah pole inauma😭😭
@zainabukivale5824
@zainabukivale5824 3 жыл бұрын
Nauyo anaona ndio mwanamke kuliko mwenzie atakiona nae mungu analipa apaapa duniani
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
baya zaidi kambadilisha dini na kampa jeraha la kufa nalo haifutiki mpka kiama
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 3 жыл бұрын
Jaman wa baba vp mbona mnawafanyia unyama huu wanawake zenu km umemchoka unampa talaka unaachana nae sasa wewe unataka umuuwe kabisa jamani ushetani huu hadi lini?
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 жыл бұрын
Maisha yenyewe magumu bado mtuanifanyehivi aisee bado sijafikahuko onasasa
@gracesiwale7066
@gracesiwale7066 3 жыл бұрын
Ni bora kama umemchoka bora ty umurudishe kwao maana kumbuka haukumtoa juu ya mti wanaume yaan mm wananifanya niwachukie kabisa jaman
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 жыл бұрын
@@gracesiwale7066 ndio wanaomfanya wanawake wanasagana kwa mambo haya
@gracesiwale7066
@gracesiwale7066 3 жыл бұрын
@@user-po8hz7xw9j ndio wanaume si ndio chazo wangekuwa wanawapenda wake zao kwa upendo kuliko kuwafanyia ukatili kama huo
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 жыл бұрын
@@gracesiwale7066 washenzi sana. Halafu wanajmewanaoganya hivi hata hela hawana kuoga hawajui uchafu uchafu bado washenzi
@nasrafadhili8941
@nasrafadhili8941 3 жыл бұрын
Huyo baba naomba tu jamani awekwe ndani KBC alikuwa ataka kuua jmn wanawake tujitume jmn huu ugali wakupewa unatesa watu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Kabisa aisee
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
HUYU DADA MUONGO SANA WATU MNAOSOMA COMMENT HUYU DADA YEYE NDIO KAMWAGIA MENZAKE MAJI nendeni kwenye chanel ya geah habib habari nzima ipo
@saadiaali5609
@saadiaali5609 3 жыл бұрын
Mungu halali na allah atamuonyesha matatizo hilo neno linalo semwa eti kama ni watoto atazaa wengine waume wanapenda kulizungumza hilo neno basi mungu awalani
@lovenesyngulo976
@lovenesyngulo976 3 жыл бұрын
Mama mnafki huyu Mimi namjuw alikuwa mpangaji mwenzangu mnafki huyu dada mtangazaji nenda kwamumewe utajuwa kama Hugo mama mnafki anawadanganya watanzaniya
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 3 ай бұрын
Kwani vp hakuunguzwa
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 3 жыл бұрын
Pole San dad😭😭😭awa wanaume wengne mbon iv dunia imebadika mnatuufanya km wanyama mnatuuwa yarabiij tusivumilie izi ndoa za dizaini hii
@khadijamambi4467
@khadijamambi4467 3 жыл бұрын
Subhanallah polee san dad
@hawa-luumiwrty3144
@hawa-luumiwrty3144 3 жыл бұрын
Pole Sana
@iddhkizya6116
@iddhkizya6116 3 жыл бұрын
Pole sana
@dianajoseph6673
@dianajoseph6673 3 жыл бұрын
Pole sana Dada ila kuna vitu vya kuvumilia lakini sio kipigo,
@zairunyary7023
@zairunyary7023 3 жыл бұрын
Kama uwezi kuoa wake wawili bola uwache mana mnapata dhambi na mnatudhalilisha waislam
@dottomauma5434
@dottomauma5434 3 жыл бұрын
Yaani huyo mwanamke nae hana akili kama mwenzio anafanyiwa hivi wewe atashindwa nini? Pole sana dada
@user-nr1bf7iu8z
@user-nr1bf7iu8z 3 жыл бұрын
yaAllah tusaidie wajawako.mbona sisi wanawake tunateswahivi maratunauliwa mungu tusaidie hayamaradhi yamezidi.wanaume kamamke umemchoka muachetu yanini umfanyie unyama huu mungu anawaona
@sweetaromakitchen8194
@sweetaromakitchen8194 3 жыл бұрын
Ndo huyu fisadi naar ambae kaja kuzua uongo kwa media wkt ye nd mbaya doh dada muogope mungu wallah
@sophiasanga5218
@sophiasanga5218 3 жыл бұрын
Pole dada mungu akutetee hugo baba mungu atamlaani
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Watoto wa kike na sisi tujiongeze hii kukimbilia maisha tu kuolewa sio dili, mzazi anakupeleka ufundi badala utafute kazi mnakimbilia kuolewa mwisho wake mnapitia mateso mnaanza kuvulia upuuzi
@ummuissa5883
@ummuissa5883 4 ай бұрын
Pole sana dada mungu atakupa uzima wako wabalaana hao iyo familia sio haifai hata chembe
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
Wanaume wadizainihii ndio wanao tufanya wanawake tusitake matala alafu na ww mwanamke ulie msababishia maumivu mwanamke mwenzio na ww mama mkwe hamufi mpaka allahh awalipe kinacho stahiki hasbiya llahh waneema llwakili mungu awalipe kinacho stahiki
@nasrafadhili8941
@nasrafadhili8941 3 жыл бұрын
Amemchosha Dada wa watu km nn ww baba ww nakwambia tena huyo uliyompata atakunyoosha mpk unyanyue mikono juu
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
HUYU DADA NI SHETANI YEYE NDIO MWENYE TATIZO habari ipo kwenye chanel ya Geah Habib
@mohammedkimanga8960
@mohammedkimanga8960 3 жыл бұрын
Pole sna dda lakini jarbu kujituma ili mume akikuzengua wajua washika wapi,,,,,, yaniskitisha kweli tuko pamja kutoka Kenya
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
kakangu mkenya mwenzangu kumbuka huyo jamaa nikama anawivu sana angekubali afanye kazi
@fefeonlyme5394
@fefeonlyme5394 Жыл бұрын
Yaan uyu dada Mungu atakueleleza maisha yako yote...ona sura yako ilivyombaya
@mimiwewe6617
@mimiwewe6617 3 жыл бұрын
Pole sana ndg yangu, hadi naisi kulia, jamani wanaume kuweni na huruma pia na utu...
@mussashabani2924
@mussashabani2924 3 жыл бұрын
Pole sana dada mungu akuponye,ila sasa naona wewe ndo umeyataka hayo yote umeshaona kabisa mtu hakutaki bado umezidi kukaa nae kwa nn
@user-yo9sc5zq1n
@user-yo9sc5zq1n 3 жыл бұрын
Pole Dadangu mungu atakulipi inshaallah 😭😭😭
@luckyrayyan0013
@luckyrayyan0013 2 ай бұрын
Huyo mwamba ningempata mm akifurahia shoo pole did pole sana mungu atakusaidie utapona tu
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Hiyo familia ya Mume ina matatizo kama baba mkwe kajinyonga naye alikuwa amechoshwa na tabia ya mke pamoja na watoto.
@ameyashey3174
@ameyashey3174 3 жыл бұрын
Huyo mtarajiwa na yeye yatamkuta km haya km Akili hana akikubali kuolewa na uyo mwanaume wallah😪
@agnesstandiko5312
@agnesstandiko5312 3 жыл бұрын
Pole dada
@lupetamhagama2145
@lupetamhagama2145 3 жыл бұрын
Nimekuja baada ya kusikia upande wa pili
@mwananimezipendaasantxaana1516
@mwananimezipendaasantxaana1516 3 жыл бұрын
Daaaah pole xaan dd ishallha mung atakufanyia wepes utapona na utacmama Tena 🙏🙏🙏🙏🙏
@rasjamal9854
@rasjamal9854 3 жыл бұрын
Daa very sad mke kakuzalia watoto watatu leo una mtesa hivi na kumwagia maji ta moto mzazi mwenzio kisa unataka kuowa mke mwungine? MAMA mkwe nae atakuwa mchawi sibure mpk Dini umebadilisha kisa yeye yani? Hila Allah atakulipia
@lovenesyngulo976
@lovenesyngulo976 3 жыл бұрын
Huyu dada muongo yeye ndio alio mwagiya maji yamoto mumewe tena alii taka talaka mwenyewe kwanguvu tena anatishiya kumchoma mumewe na mkasi maji kachemsha mwenyewe
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
Pole sana Mungu atakupa afya njema.ulee watoto wako
@gililwise
@gililwise 3 жыл бұрын
Siro naomba jeshi lako limsake huyo Mwanamme naye apewe kichapo cha mbwa.
@kweka14l35
@kweka14l35 3 жыл бұрын
Ameshindwa kuchapwa yule aliemchoma mkewe na magunia ya mkaa ndo atachapwa huyu?? 😭
@gililwise
@gililwise 3 жыл бұрын
@@kweka14l35 yule yupo jela anasubiri hukumu ila huyu yupo uraiani anakula bata na mke mwingine .ndo maana nimemwomba Siro amkamate acharazwe kwanza alafu afikishwe mahakamani kwa kujerui.
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 жыл бұрын
Kwel kabisa
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Mmhh bora niwe bachela miaka yote pole ndug
@felisterjames5859
@felisterjames5859 3 жыл бұрын
Huyu dada kaamuunguza mmewe yy maji yame pata maji bahat mbaya tuuu
@rhassanimkomwa
@rhassanimkomwa 3 жыл бұрын
nimeona pia mimi huyo nimuongo sana jiulize kapewa talaka zote 3 kafanya nini
@kitkat-pr4mv
@kitkat-pr4mv 3 жыл бұрын
Wanaume baadhi yao washenziiiii yamenikutaaaa hayo...pole Dada
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
Duuh pole yako
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
DEMU LENYEWE BAYAAAAA MNGELIJUA KAMA LENYEWE NDIO LILIMWAGIA MWENZAKE MAJI Nendeni kwenye Chanel ya Geah Habib
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Hakiyamungu mwanaume yoyote anatazama na kichwa Cha mtu,yaani Asha mie,mhh,tunauwana ,yeye mochuwali Mimi odini,mke na watoto watatu,unamtesa hiiiii, kaaa,mungu wangu,heeeeeee,uwiiiiiiiiii nitaamalizana nae kikubwa kumloga mpaka pumbu zinaongea,uniunguze ivoooo,sikusakimishi
@judithsobore3778
@judithsobore3778 3 жыл бұрын
Dada mvumilivu hula mbivu lakini mengine yanazidi my.sister don't risk your life toka uwende na tafuta kazi ufanye na uwAlee watoto wako mungu atakubari hata bila mwanaume mmi zijaolewa lakini hayo ndio mashauri yangu kama dadako ni Judith kutoka Kenya
@neemamwenda3451
@neemamwenda3451 3 жыл бұрын
Yan me mwanaume anioe halafu awe anamsikiliza mama ake kuliko mimi kwakweli aende akamuoe mama ake me ujinga sitakagi kbs
@karimahsalim2722
@karimahsalim2722 3 жыл бұрын
Mi kila nikiyaona haya nakumbuka mateso niliyopitia mm nami niliondoka na risasi ktk paja alhmdullilah sasa nipo kwetu nimeanza maiaha yangu upya ,nawasihi wazazi msiwaambie mabinti zenu wavymilie mwisho ni mauti
@mwinchumuhaji7460
@mwinchumuhaji7460 3 жыл бұрын
Polesana munguatakujalia
@karimahsalim2722
@karimahsalim2722 3 жыл бұрын
Asante
@jamilasaid1764
@jamilasaid1764 3 жыл бұрын
Subhanallah Pole Dada mungu atakusaidia utapona yaalabb mujalie mjawako aweze bona amiin Jamani wanawake wezangu ndoa ikishindikana achia ngazi bola nibaki single lamama maana kwahali hii nimajanga tu
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Daaaa jamani,jamani huyo ni mume au shetani.Hakika huyo ni shetani .Pole sana Dada kwa maumivu makali unayoyapitia .Tunaiomba serikali imchukulie hatua Kali huyo baba maana huyu ni muuaji kabisa.
@salehalmujaini7633
@salehalmujaini7633 3 жыл бұрын
Wacha nipambane na khari yangu pole dada
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 3 жыл бұрын
Jamani tumsaidieni huyu dada. Vipi tutamsaidia? Tupeni namba. Hivi serikali inachukua hatua gani jamani? Au wanaachwa tuu waue wengine
@aishaaisha4695
@aishaaisha4695 3 жыл бұрын
Wew unae taka kuolewa jipange mwenzio ksmwagiwa maji xx akili kichwani
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
Ndoa zasiku izi naona nishida bora nikae tu nyumbani kwanza
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
@@happypa2027 mm hata sijawah kuwaz kuolew na kwahay ninayaona bora nibak bachelor
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
@@aminatanzanya7475 😁😅utaolewa tu
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 жыл бұрын
Sitamani ataa
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 жыл бұрын
Doooo iyo siyo familiya kumbe ata baba yao mzazi kajinyonga mmmmm uyo kijana yy na mama yake familiya yao inalana siyo bure
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
DEMU LIONGO KINOMA YANI HILI LILITAKA KUMWAGIA MAJI MWENZAKE nendeni kwenye chanel ya Geah habib kuna habari nzima kuhusu huyu demu
@yusuphzaitunihawanaloloteh6471
@yusuphzaitunihawanaloloteh6471 3 жыл бұрын
Pole Sana dada uyo mbwa atapata anachokitafuta
@teedullah5708
@teedullah5708 10 ай бұрын
Duh pole daa yani hata huruma Hana nenda polisi Kwakweli tz mumetuzidi kila kitu ndo mwijaku alisema 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jamilajamila183
@jamilajamila183 4 ай бұрын
Dah nyie ndoa izi🤗🤗🤗ntaendelea tu kuwa single
@hanialsalti671
@hanialsalti671 3 жыл бұрын
Hawa wanaume jaman wanatuogopesha kuingia kwenye ndoa😭😭😭
@saadiaali5609
@saadiaali5609 3 жыл бұрын
Waume wakukata mke asifanye biashara huo basi ujuwe ni mume msumbufu na dada usiangalie biashara tuu angalia uzima wako kwanza ukipewa mtaji na huku wauguwa utafanya vipi pata huduma kwanza
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 3 жыл бұрын
Pole dd
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 3 жыл бұрын
Kila siku wanawake LIVE na mitando kibao wanawake kibao wameuwawa wamekatwa mikono amjifunzi tu ondoka kwenu kashitaki talaka ataitoa na uduma ataitoa
@fozyafozya4060
@fozyafozya4060 3 жыл бұрын
Daah pole sana 😢
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 жыл бұрын
Pole sana dada angu
@mwanahawatajiri9644
@mwanahawatajiri9644 3 жыл бұрын
Pole sana dada
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 3 жыл бұрын
Sijui niseme nini jamani hawa viumbe wana roho gani lakini mtu umesha mzalia hadi watoto hayo ndio malipo yake 😭😭😭😭aso mtu ana mungu yatamkuta kuliko hayo pole mwanamke mwenzangu Allah atakusimamia wewe na watoto
@zubedaiddy2325
@zubedaiddy2325 3 жыл бұрын
Mongo huyo dada ndie mkorofi
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 3 жыл бұрын
@@zubedaiddy2325 hata kama mkorofi haipaswi kutendeana haya
@zubedaiddy2325
@zubedaiddy2325 3 жыл бұрын
@@fatmakhanii1676 nikweli ila yeye ndiye aliye mtendea mwezie tafuta akaunti ya gea habibu hekaheka umone mume halafu utafakar kwa kina.
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 3 жыл бұрын
@@zubedaiddy2325 wallahi mtihani mungu atuongoze hizi ndoa za sasa sijui tuwaejengea nini watoto kwa maisha ya badae Allah atufanyie wepesi bora watu wakishidwana bora kuachana kwa salama
@zubedaiddy2325
@zubedaiddy2325 3 жыл бұрын
@@fatmakhanii1676 Nijambo la kumomba Allah atunusuru na haya katika ndoa zetu ili tupate watoto wema wasijifunze mitihani kama hii maana watoto wananukuu maisha ya wazazi.
@bintally4891
@bintally4891 3 жыл бұрын
Habari hii inachanganya. Kwa geah kuna habari tofauti wakutanishwe
@laliapamba4187
@laliapamba4187 3 жыл бұрын
Waandishi wa siku hizi hata kuhoji hamjui lol, Pole sana dada mwenyezi mungu atakupa taafif
@ashamasoud969
@ashamasoud969 3 жыл бұрын
Jamani Ndoa ni ustahamilivu Lakini sio wakupigwa na manyanyaso
@user-jz2su4co4d
@user-jz2su4co4d 9 ай бұрын
Pole sana lakini dada nawanawake tujifunze ukiona mwanaume amekupiga zaidi ya mara mbili ujue kinachofata kifo jamani jamana jamana
@evaasenga6351
@evaasenga6351 3 жыл бұрын
Ahahahahahaha ET ndoa uvumilivu ndo uvumilivu. Ndo hayo sasa dada yangu maana mkiambiwa mnasema mnavumlia. Ila pole
@ziadasalim1459
@ziadasalim1459 3 жыл бұрын
Umeonaee mi nawaona wengi naona majanga tu na kuzeeka mawazo
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 3 жыл бұрын
Subhanaallah mungu wangu tusitili yaarabi wanawake NA HAWA wanaume wasio NA hekima NA familia zao, 💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭
@esperancakombat7797
@esperancakombat7797 3 жыл бұрын
Dah....afu ktk hao watoto akitokea diamond wa miaka ijayo eti msamehe baba yako
@fatmaalwy4853
@fatmaalwy4853 3 жыл бұрын
Pole sana dada mwenyezi mungu atakulipia hapahapa allah hacheleweshi atakulipia na huyo mwanamme achukuliwe hatua serekali imuangalie huyu mdada
@dianankumbuka9488
@dianankumbuka9488 3 жыл бұрын
Pole sn
@neemamwenda3451
@neemamwenda3451 3 жыл бұрын
Pole sana dada me ndyo maana nilishajisemea sitabadili dini hata nimpende mtu vipi, huyo mama mkwe mungu anamuona aolewe yy na mwanae
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Wanaume wanaume wenye tabia hizo Hebu anzeni kuwapiga mama zenu Kwanza Kabla ya kumpiga mtoto wa mwanaume mwezako 😠😠😠😠😡😡😡😡
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
etii ndoo mwislam huyo mwanaume mshenzi sana na kumbadilisha dini na kumpa kovu la kudum
@jamilaezekiel6174
@jamilaezekiel6174 3 жыл бұрын
Jamani jamani jamani yani huyo kaka mungu atamuona
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Hiyo pesa ikimilikiwa na baba hapati kitu ng"o. Wanaume sio huyu bint bado hajajielewa
@gracedaniel3428
@gracedaniel3428 3 жыл бұрын
Pole Dada,
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 жыл бұрын
Jamani wanaume mwuwe na huruma
@khairatkhamis2917
@khairatkhamis2917 3 жыл бұрын
Daah machoz yananitoka pole dada Mungu atakusaidia
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
HUYU SI NDIO YULE ALIEMWAGIA MAJI MWENZAKE
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 12 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
ANAYEDAIWA Kuwa MSUKULE AZUNGUMZA - "MAMA Hua ANAFUNGA MLANGO"
38:19
Global TV Online
Рет қаралды 286 М.
Familia ya Dereva Bodaboda aliyeuawa  pamoja na mpenzi wake yaeleza haya
15:31
MREMBO WA KITANZANIA ANAEENDESHA GARI LA TAKA
5:54
Millard Ayo
Рет қаралды 85 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 780 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 12 МЛН