Hongera sana mkuu umesoma kwa ajili yakudumisha uzalendo kwenye taifa na si unyonyaji ipo haja kwetu sisi wananchi kumuomba mungu atupe viongozi kamahawa kwenye kila kona ya taifa letu tanzania moja uzalendo daima .
@albertoarcangel58595 жыл бұрын
Mungu akubariki mkuu WA mkoa, akupe maisha marefu na heri tele dunian,
@SSs-tb9yo5 жыл бұрын
Alberto Arcangel Aamin Inshaallah yaarab
@evelyinipaja12025 жыл бұрын
Amen@Alberto Arcangel.
@natyvan40715 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wa kamwene 😘😘 ubalikiwe sana
@damianoadam10415 жыл бұрын
Asante Mkuu wa mkoa@Ally Hapi unafanya kazi nzuri.Mungu akubariki.Nashauri serikali ifanye ukaguzi wa hizi taasisi za mikopo.Kwa jinsi hiyo nyaraka ilivyo kuna uwezekano mkubwa hawafuati sheria na hata ulipaji kodi una walakini.
@nyandwifidele85285 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa..
@mckipofu60215 жыл бұрын
Duuu brother hauna siasa mzee, kiongozi bora kwa sasa
@manasemgaya12705 жыл бұрын
ee MUNGU tutazame maana wewe mtetezi wetu
@mwajumajuma47694 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭mam ameniliza xan
@salmaothman1535 жыл бұрын
Ahsante mh. Hapi ww ni kiongozi wa kuigwa
@biberpriyer33011 ай бұрын
Mbon hujafika mwisho tuone nn kilitokea 😢😢Big up Mwamba hawa ndo viongoz tunaowataka katik TAIFA letu 😘😘😘
@exaverykalinga14875 жыл бұрын
Jamani mwalimu huyu anaitwa mwl mgaya kanifundisha tangu dalasa la kwanza 1986 makalala primary,yaani nimelia sn mkuu wa mkoa asante sn kwa kusaidia wanyonge.
@piusgadau63285 жыл бұрын
acha maneno wewe karudishe fadhira
@goodluckminja91015 жыл бұрын
Karudishe fadhila jamaa wacha mboyoyo,, kulia kwako kuna faida gani kwa mfano
@charlesmushi53505 жыл бұрын
OMG
@joycemashikolo90965 жыл бұрын
Usiichie kulia tu nenda katoe msaada
@mariammbughi27025 жыл бұрын
Alikuwa mlemavu hivo hivo toka zamani
@erickkangalawe27845 жыл бұрын
Hongera sana MKUU Wa mkoa wetu, umeonyesha utu Wa hali ya juu.
@samwelmwachitu93425 жыл бұрын
Hongera rc hapi,nilikuwepo kwenye mkutano huo.
@agreymsemwa80215 жыл бұрын
Samwel Mwachitu Iliishaje hii mkuu
@abu-hanifamwenda68524 жыл бұрын
Kaka unanishawishi nikukubali katika kazi yako! Ni jasiri, nakuombea mungu akujaalie uiongeze nchi In Shaa Allah.
@susananyasani65269 ай бұрын
Super Service Waziri huwo ndio mwongozo mzuri kwa Wananchi ubarikiwe
@jafarimsaghaa955 жыл бұрын
Watanzania tuna tabia ya kutesana sisi kwa sisi Mungu anawaona wale wenye roho za nge na nyoka, ni bora uishi na wanyama wote na nyoka wakali chumba kimoja kuliko haya tunayoyaona.
@klystry12344 жыл бұрын
Jafari Msaghaa yani sijui tutaacha lini kudidimizana tunajijali wenyewe tu
@weizsymo62575 жыл бұрын
JAMAN wanyonge wanaonewa sana,mm mzazi wangu wakiume kafariki 2016,alijiunga na mfuko wa NSSF mwaka 1995 mama yangu kafuatilia lkn pension yake kazungushwa sana mwezi ulopita kalipwa Tsh.million 3 tu. Mimi nina miaka 3 kazn lkn ninauhakika nimesha vuka million tano kwasasa kwenye mfuko wangu.Mi nnaona hii mifuko ingefutwa tu ama ibaki ni hiari kujiunga😕
@chrisdanda47755 жыл бұрын
Mim nimefuatilia Nssf mpaka viatu vilichakaa nikaamua kuacha tu nawachukia mpaka basi
@bibianchambo38875 жыл бұрын
Umenena
@scollorpatrick72145 жыл бұрын
Safi sana mkuu mungu akupe maisha marefu sana jaman
@wisperfect38605 жыл бұрын
Safi sana upo sawa na makonda wetu uku dar mungu awabariki nawengine wafate nyendo zenu watu tunaonewa sana kwa kuwa tu wanyonge
@musajackison59655 жыл бұрын
Du kweli million 3.5 inaludi kumi 16 life is not fair
@africasightwalktravels1875 Жыл бұрын
Hii haitawai zeeka... Asante sana mkuu wa mkoa. Yaani tunafikaje hapa
@bernardkibet5 жыл бұрын
Tanzania, give us this great man to be the president of Kenya!!
@MohamedIbrahim-bn1gz7 ай бұрын
tunamtaka Burundi
@mshindivictor16905 жыл бұрын
Kaka yangu we ni mfano wa kuigwa .......You are my Role model. One day Yes.
@tonkimaro24955 жыл бұрын
Jah bless u mkuu Wa mkoa..... Kama tupo pamoja gonga like hapo chini
@saidikaputa11955 жыл бұрын
ბ
@dicksonsheja93765 жыл бұрын
Duh mungu akupe maisha marefu mkuu wa mkoa Iringa maana umevumbua madudu ambayo watu tulionewa sana
@stahimilmassawe85405 жыл бұрын
Jaman ipitishwe sheria watoa riba waingize kwenye kes za utapeli, hata mungu kakata riba jaman mungu akulinde kakyangu happy unasaidia watu sanaa
@stevemaguly16475 жыл бұрын
Riba ya mil3 ni mil 16 dunia imeisha bigup brother Rc mungu akulinde bro
@rehemamasoud36875 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa mwenyezi mungu atakulipa kwa mema unayowafanyia wanyonge
@silaseteven87085 жыл бұрын
inauma sana ningekuwa namamlaka mimi wote wanaonea watu wangeipata nimetokwa namachozi
@othumanyahya91685 жыл бұрын
Hongera sana Happy Ally wewe ni kiongozi bora kabisa. Msaidie sana Mwl huyu kwani inatia uchungu sana. Hawa ni matapapeli siyo wazalendo.
@asiasalim46345 жыл бұрын
Nimekupenda byre happy my allah blessing you
@mbwanaomary75375 жыл бұрын
Haya mambo ndio tunayahitaji kwa viongozi watetea watu wa chini, maana wanatupenda sana wakati wa kuomba kura wakishapata watapotea, hongera Mh Raisi kwa kuruletea huyu mkuu wa mkoa maana amekua mkombozi kwa wana iringa
@shamimhassanzimzimahuyokij45215 жыл бұрын
Yani Kenya tukipata viongozi kama hawa 👏👏👏
@mdsaid89245 жыл бұрын
Asante kwa kulijua hilo
@eldambwaga15995 жыл бұрын
Hongera San mkuu wa mkoa iringa mungu ukulinde uwe na maisha maref ili uendelee kuwasaidia wanyong
@everlynekakatoi17045 жыл бұрын
napenda kazi yako mkuu,mungu akubariki sana
@aliarkam14135 жыл бұрын
Subhanaallah , kwakweli mama anatia huruma kweli ,huo mwiz was mchana kweupe .Inabid tupate mwendelezo wake.
@happinessmartin76225 жыл бұрын
Good job All
@burtonmhenga91965 жыл бұрын
MUNGU akupe maisha malefu kiongozi wangu. Kwani MUNGU anawataka wenye moyo wa kuwajali wengine zaidi.
@abuuqaasim48155 жыл бұрын
hivi wewe unaempa huyu mama milioni 3 na laki 5 halafu akurudishie milioni 16 halafu mama mwenyewe ni mlemavu wa macho duuuu ,Ally Happy mungu akuweke sana kakangu
@nelsonombeni56195 жыл бұрын
mh:Mkuu wa mkoa iringa wewe ni kichwa kweli unafaa, mungu akupe maisha marfu
@goldgod99635 жыл бұрын
Ukiitazama lazimaa utoee machozi daaa Eee Mungu asante kutuleteaa watetezi wa wanyongee
@allymahamed69425 жыл бұрын
Mheshimiwa unafanya kazi nzuri twatamani ungekuwa ndo mkuu wa mkoa wetu wa songwe!
@abdallahmchange13705 жыл бұрын
Pole mama mungu akufanyie wepesi akupe hitaji lako la moyo
@masumbukosikania20195 жыл бұрын
Grace Ligunda N.
@abeidmayanga8095 жыл бұрын
Ivi wewe ALI HAPPY unamoyo waainagan kaka I wish viongozi wote wawekama wewee
@josephinalubanguka18845 жыл бұрын
Abeid Mayanga i
@nyambelewinfrida90745 жыл бұрын
Mwendelezo Ayo unahtajika inauma sana
@bintiiddy70435 жыл бұрын
Mtihani kwakweli binadam hawana huruma hapo kwenye riba hakuna ubinadam kabsa
@lugomelugome3715 жыл бұрын
hapy...... bigapu chapa kazi iringa moja iyo.....
@esnartmagoti92925 жыл бұрын
Uko vizuri sana mh ! Mungu akubariki
@stevemaguly16475 жыл бұрын
Mungu ampeafya tele rais wetu magufuli
@friminamkenda74054 жыл бұрын
Mkuu was mkoa wwe mungu akulinde miaka kumi na mitano ijayo unatakiwa uwe rais
@zaheerqassimalarmiye61725 жыл бұрын
Duh! Yani mkopo milioni 3, Halafu riba milion 7. Hakika huu ni unyama wa hali ya juu mno
Angekuwa mkuu wa mkoa dar angetoa uwamuzi opo opo wauni wote awo watumbuliwe
@ismailibrahim13315 жыл бұрын
Alf laki tano liba milion tisa mmmm
@mossymtwana64225 жыл бұрын
Mmh Dunia hii na wanaadamu wamekosa kabisa imani na hofu ya Mungu hakuna inavyoelea hawa wastaafu wanadhulumiwa saana na watu wanaoshughulikia pesa zao za mafao wana shirikiana ba huyo magere pesa zao hawawapi ili waende kwa Magere kukopa ili siku zikipita nyingi ndio watoe hizo pesa magere achukue zoote na agawane na watu wa mafao kwa nini huyo magere a deal na watu wa pension na hao wa pension ndio wanachukua hao wastaafu kwa magere lol
@emmanuelmussa83315 жыл бұрын
Nataka kujua jamani anaefahamu kwisho wa hii kitu ni nini ? Je mama alipata haki yake? Na huyo binti wa mama baada ya kuleta hizo documents zote zilikuwa zinasomeka wamekopa kiasi gani? Na je huyo Magere alipatikana? Inatia huzuni sana kuona binadamu wamegeuka kuwa na tamaa kiasi cha kudhurumu mpka walemavu tena wasioona! Ee Mungu tusaidie na kizazi hiki tulichonacho.😢😢😢
@zuhurasebastian58835 жыл бұрын
Mkopeshaji ana makosa maana yy mwenyewe akuwa na uwakika Wa kulipwa hao wahusika ndiyo washugulikiwe haswa tena wasisikilizwe ata kidogo
@gabrielmalecela37015 жыл бұрын
Tukiacha maisha ya siasa hiii dunia itakuona ally happy# kila lakheri brother mhim kuzingatia sheria ,wananchi wanapata taaabuuu saana aiseeee...... Upinzani sio uadui, tuungane kwa pamoja kukomesha hiz harakat kandamizi.....kama watu hawatasema bas jiwe litapaza sauti,......
@erickmassawe51075 жыл бұрын
tz tungekua na viongoz 20 kama ww mh Tanzania ingekua mbali xana
@charityusia58975 жыл бұрын
Inauma kwel mwl kanifundisha somo la maarifa ya jamii anafundisha vizur mno pole mwl karinga
@Papa2thaE5 жыл бұрын
Hiyo ni mwizi. Hiyo baba mkopeshaji kamatwe na hao PSPF wachekiwe.
@emmanuelstephens18915 жыл бұрын
Yaani japo simfagilii Ali Hapi ila kwa hili.... Ikiwezekana sweka ndani especially hawa mbuzi wa mifuko ya hifadhi ya jamii.... Wanasumbua sana! Nawachukia bure!
@witnesimigodela24745 жыл бұрын
Yani mheshimiwa naona Mungu kakutuma kweli kusaidia wanyongeee, maskini huyu mama thambi sana
Napenda viongozi kawa hawa mungu akubariki wewe mkuu wa mkoa
@fatimamohammed23325 жыл бұрын
asante sana mkuu wa mkoa asante baba nalia utazan km namjua uyo mama dah shukran sana
@neemamahusho61934 жыл бұрын
mama umejieleza vizuriiii jmn msaidie
@burtonmhenga91965 жыл бұрын
Safi kiongozi wangu upo vizuri.
@asiaa69244 жыл бұрын
Vlivi mu ndelezo wauyu mwalimu VIP jaman mm sijaiyona dah nimeli😭😭😭😭
@alfredkillo60805 жыл бұрын
hv kwnn wakuu wa mikoa wote wacwe kama huyu mh Ally huyu mkuu wamkoa anafanya msaada mkubwa sana angeweza kukaa tu ofcn kwake akapgwa na kiyoyoz lkn amejiongeza kua ktk jamii yoke kunamaonevu mazto maana haya n maonevu mazto kuwah kutokea hyo n riba ya kias gan ee MUNGU naamin hulal wala hucnzii MUNGU naomba ummulike huyu aliekua anataka kumtapel huyu mama
@mrthreesix2805 жыл бұрын
Pole Sana mama story yako inanitoa machozi kweli
@amenyekibona87305 жыл бұрын
heri usaidiaye wanyonge maana unajitengenezea akiba ya utu wako,,
@samueljr91055 жыл бұрын
Huyu dada ni jeuri sana "boss wangu boss wangu nkt" TZ huyu mkuu wa mkoa awafaa kuwa president wenu
@linkkabzarhamir15035 жыл бұрын
VIONGOZI WATANZANIA WANATUMIA MAGULIFICATION OF LEADERSHIP.
@judithmaziku45255 жыл бұрын
Iv jmn kweli wanyonge tunateseka sana unakopeshamtu milion3 na laki tano unataka million 16 dunian hakuna upendo huon hata aibu moyo wako hukusuti unataka utajirikie kwa mulemavu
@truthspeaker20625 жыл бұрын
Happy to be muslim . Nn kazi ya riba Riba inamzidishia tajiri na inamkandamiza ama kumuangusha masikini ..
@lukemelyemwenga29105 жыл бұрын
yaaan kuna watu siku ya mwisho watachomwa kwa makaa ya mawe kwa kwel
@elifasinimpagaritse89255 жыл бұрын
Lukemelye Mwenga hahah
@EK-kp2np5 жыл бұрын
Kaka Hapi, Mungu atakulipa, usisite wala kuogopa na kwani fadhila zako Mungu anakuwekea akiba, utainuliwa juu zaidi ili uwafikie wengi
@kiri58073 жыл бұрын
kwa calculation gani hiyo riba ?
@giannajoji79445 жыл бұрын
Hizi pesa za riba kwa kweli ni tatizo,sisi huku kwetu unakopa 100000 kwa riba ya 50000 kwa mwezi,sasa km unakuwa huipati hiyo 100000 wanakwambia unarejesha cha juu waweza lipa hicho cha juu hata mwaka na bado manyanyaso kibao! Kwa kweli hii ishu itizamwe kwa jicho la tofauti.Mungu akubariki kiongozi.
@annaswai60724 жыл бұрын
Tatizo la ayo TV taarifa zenu hazimaliziki hamkamilishi mpo vizuri ila angalieni ktk hilo
@burbiddy3165 жыл бұрын
Daaa!!! hii Dunia hii ....Ndomana Vitabu vya dini vimekataza maswala ya riba
@jamesngundateresia26005 жыл бұрын
ILA KUNA DHAMBI NYINGINE SIJUI KAMA MUNGU ATAZISAMEHE YAANI MNAMDHURUMU HATA KIPOFU JAMANI MMMMMM
@klystry12344 жыл бұрын
James Ngunda Teresia huyo dada anajibu mpk huruma
@oscarmwambene44115 жыл бұрын
Ubalikiwe sanaa mkuuuu
@levinanickson65095 жыл бұрын
Jamani hadi nimelia,cyo kwa riba hiyo jamani,kweli nimeamini kuwa nirahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ......
Mh Hapi piga kazi endelea kufukua hayo makaburi maana hii nimeisikiliza huku mwili unasisimka kwa hasira mambo waliyomfanyia huyu Mama
@bahatimmependezamwanginda52025 жыл бұрын
Mh Ally Hapi utabaki Kuwa juu
@bahatirngulika44935 жыл бұрын
Jaman dhambi zingine hata shetan atazikataa kwel unamkopesha mlemavu mil3.5 akulipe mil16 je ni unyama gan huo!!! Mungu asante kwa kumpeleka hapi Iringa
@carolinendagile69435 жыл бұрын
Bahati R Ngulika uwiiiiiiiii inauma sanaaaaaaaaaaaaa
@ramadhanisururamadhanisuru32155 жыл бұрын
Dah!! Mkuu kazia haomafara wanao rusha hata watu walio tumikiya inchi yao kwa moyo mmoja
@ubuzimabuzimatv4 жыл бұрын
Raisi Unapenda wana inchi kabisa Magufuli ni Raisi mwema kabisa
@roanmakero23095 жыл бұрын
Magufuli hoyeeeeee kweli unajua kuchagua wafanyakazi wakafanye kazi sehemu husika
@kulwajoel24655 жыл бұрын
uyu jamaa ni kiongozi anayefata haki,afanyi kazi kwa masifa
@yohananyerere58085 жыл бұрын
Wewe kwa mtazamo wangu baada ya Dr Magufuli unafuata wewe. Kee it up my RC. Piga kazi Kaka watakuchukia ila usiwajali na kuwaogopa.
@khamisothman11545 жыл бұрын
KAZI NZURI, NIMEPENDA NAMNA YA MAHOJIANO YALIVYOKWENDA, KILA MMOJA AJIELEZE.
@lilianiq84165 жыл бұрын
Pole Sana mamaangu, mkubwa fanya kazi yako
@bamdogobetwel62304 жыл бұрын
Riba na ufalme wa Mungu
@AbdalahAlly-pw4dt10 ай бұрын
Huyundiokiongozi mungu akubari
@KP-kn2no5 жыл бұрын
We mwasibu muuzi sana
@jaihind46014 жыл бұрын
What happened next???.... who has continuation
@mwanajumaomahundumla65045 жыл бұрын
Jamani watu wana zambi kaaa
@hassankidisa80705 жыл бұрын
Mungu anawaona kaeni mkijua ilo
@ifruitx20965 жыл бұрын
Hii ni laana sana bwana mulaaniwe nyote munaehusika kwa hili mpaka inaliza hii mambo kwa nini munamfanzia namna hii mama mtu mzima anaewazaa kabisa huyu mlaaniwe inshallah mungu atawanyoosha 🤲🏾
@josephmwise31775 жыл бұрын
Jamani kisa hiki kinasisimua uta fikiri maigizo kumbe kweri.Mh musaidie huyo mama huo ni mtiani wa imani.