Mzazi hauwi mtoto Ila mtoto anauwa mzazi mungu atupe mwisho mwema.
@samoy54814 жыл бұрын
Point kabsa
@sharifamfaume93424 жыл бұрын
Sana kabisa
@christayohanayohanangepe16254 жыл бұрын
Radhia mbwana amina amina
@salamakombo32574 жыл бұрын
Kweli
@oyay28214 жыл бұрын
Amin
@johnpesambili48064 жыл бұрын
Hongera mkuu wa mkoa, mungu akubariki sana. Huo ndo uongozi
@gloriamichael36984 жыл бұрын
Uzee kweli kazi kazi Mungu tuhurumie
@berthamakortha83872 жыл бұрын
Mungu atasema kwako kijana kwa kazi nzuri sana ya kusaidia wanyonge jamani.
@fransisshirima49874 жыл бұрын
Bibi Atakuwa kaibiwa kweli mbona bibi anaongea vzr tu
@keisal31714 жыл бұрын
Eeeeeee hlf wanajifanyanwakali ati
@shukurulusasi25724 жыл бұрын
Huyo bint yake kamfukuza kweli hamuoni macho makavu kabisaa?
@shukurulusasi25724 жыл бұрын
Na huyo mjukuu kweli kamuibia amlipe Bibi hela yake
@eddywinnie75394 жыл бұрын
Tunaawatamani bibi zetu warudi kuishi hii Dunia nyinyi wenu mnawatesa jamani 😭😭😭😭
@officialifruit_x75494 жыл бұрын
Bibi yuko sahihi na hajachanganyikiwa kabisa ila wao ndio wanamuona kakorogeka ila bibi yuko very smart
@samsonmaliga39664 жыл бұрын
mama na mtoto wake lao moja.bb kaibiwa kweli mheshimiwa
@Sandra398234 жыл бұрын
Mama hawezi singizia mtoto hivi vyote, huyu Anglican ni ukweli kamfukuza mamake, lakini Mwenyezi Mungu amemuaibisha, huyu bibi hafai kufanya kazi, mnafaa mumlee vizuri hili mpate baraka.
@joycemeki31763 жыл бұрын
Kweli kabisa mwaya hawaijuwi sadmani yamama wangejua ss wengene tuna mlilia mama mungu awasamehe bure🙏🙏
@AhajHhh Жыл бұрын
Ela zake
@pauloalfayo18682 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wewe ni mtumishi wa mungu kwa kuwaokoa hio familia hii kama kweli wamechukua watakufa kweli laana nimbaya
@nailaomar25874 жыл бұрын
Mjukuu kachukuwa pesa mama alivosikia kesi itapelekwa police kasema atalipa deni subhanaallah kamuogopea mwanawe kufungwa haki ya mtu haipotei muenzi mama ako upate baraka pesa uchafu wa dunia
Kama hujawai ishi na wazee utaamini huu uongo wa huyu bibi. Dada Angelika Mungu atakusaidia. Mvumilie huyo ni mamaako, Mungu atakubarikiiii.
@phydiliahmwagodi22544 жыл бұрын
Elewa mama umri imemuzidi huwa wanarudi kama watoto na kusahau maneno. Watching from Nairobi Kenya.
@sifasanga78663 жыл бұрын
Huyu bibi akiri imeanza kurudi utotoni. Naamini Hawa hawajaiba
@uledimtumwa24064 жыл бұрын
Kiswahili cha huyu bibi kimenivutia sana. Yaani hii ndio lugha nguri.
@officialifruit_x75494 жыл бұрын
Uledi Mtumwa Kiswahili chake bibi kama cha senga
@uledimtumwa24064 жыл бұрын
@@officialifruit_x7549 kimenyooka sawa.
@lucyshula56694 жыл бұрын
Mlee mama yako ww watu wanamlilia mama hata Kama anakukosea mama yako huyo
@lucyshula56694 жыл бұрын
Eti ukamuonea huruma sio huruma ni wajib wako huo
@sudymgeni7014 жыл бұрын
Wazee bana kazi kweli.mlipe tu akana jinsi.
@rachellaizer9414 жыл бұрын
Huyo bibi ni mzee wew dada acha ubaya huyo ni Mamako muacheni Mungu atawalaani mjute muacheni mtumikieni mpaka Mungu atakapompumzisha msifanyie roho Mbaya
Mheshimiwa Ali Hapi kazi nzuri tu.Nifikapo Iringa ningependa kuhudhuria mojawapo ya mikutano maana ina raha yake
@lovenessshekiiyo85674 жыл бұрын
Bibi kaibiwa kweli maana anavyoongea anaongea kwa kujiamini na maelezo yake yamenyooka hapindishi wamemwibia bibi na wanamtesa pia anajishuhurisha kujipatia kipato bado wanamwibia mungu ana waona kwa kweli .
@MagidaFafa10 ай бұрын
Mtoto mjinga kweli kweli navo mpenda mama yangu nauzee wake adi miguu namkanda nalala karibu Yake Adi raha nikienda kumtembelea eti leo nimnyanyase labda niwe chizi mtoto mjinga uyo 😂
@sadikkhamis25474 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mh mkuu wa mkoa
@telaamtauta22274 жыл бұрын
Jamani hapo kajamtu anaekujuweni vizuri kawaviziya hampo kafunguwa kachukuwa pesazabibi ilimgombane nakuaibishana yupo mtuhapo mgombanishi poleni sana
@carolinetalam58324 жыл бұрын
Smart granny i like her courage
@utapatatabusanautanyooka26004 жыл бұрын
Mama Leo hii waweza kumlipa mamaako uwezo huo uko nao umesahau yote Kama umesahau siujikumbushe uchugu uliopata wakat wakuzaa ongea namama ako vizur asife aka kuaachia laaana
@ernestlaiza33064 жыл бұрын
Broo huyu bibi kisirani uuuu
@seciliabalama55334 жыл бұрын
Pili Omar huyu bibi ndio tatizo
@estherjoachim98454 жыл бұрын
😂😂😂😂 achen kutunyanyasia bibi zetu ..
@martindaudi80434 жыл бұрын
Mmh
@deodatusrweyongeza67474 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Bibi umenifrahisha🤣🤣🤣🚶🚶🚶
@Pedeshee014 жыл бұрын
Deodatus Rweyongeza siyo ya kufurahisha haya sasa yaani acha tu
@deodatusrweyongeza67474 жыл бұрын
@@Pedeshee01 ila Ni kweli
@Pedeshee014 жыл бұрын
Mimi nina uhakika kwenye hili suala kuna mmoja tu ni mkweli japo tusiegemee upande mmoja kusema eti bibi ni mtu mzima kwa hiyo mtu mzima akizidi kuzeeka na akili zinakuwa za utoto.wala pia tusiegemee tu kwa huyo mama na mjukuu wake.
@mlamytz4 ай бұрын
Hela anapeleka wap sasa😂
@mamiyfeiy4 жыл бұрын
Huyu bibi ana akili timamu wamemuibiaa pesa zake . Wakesha wanamnyanyasa huyu mtoto anaonesha kua mkorofi na mjukuu kapiga hela huyo anajitetea tuu hapo. Eti anamwita huyo.bibi shenzi wewe huyo ni mama yako anaadhirika na kauli zake pia ataondoka mitoto mengine mishenzi kweli
@lilsome63314 жыл бұрын
Jamani uyo bb Hana uzee wakupoteza kumbukumbu izo hela zimechukuliw kweli .
@asnathasannhasannsalumshab3274 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema na wazaz wet
@samoy54814 жыл бұрын
Huyo mjukuu inaonekana aliipiga hela ya Bibi yake. Maana anajiumauma sana
@silyadamian57084 жыл бұрын
Anaweza kuwa hakuchukua lkn anaogopa kuongea mbele ya mh si unajua kijijin
@anthonyjoseph49794 жыл бұрын
Bibi Amekomaa ameibiwa Duuuuuuu..hahahahahaha
@kadogoomushadi54094 жыл бұрын
We we mjukuu jaribu kuchunguza taratibu unaweza ukajuwa labda kaingia mtu hapo nyinyi hamjui ndio mnaingia lawamani poleni
@rahelgika38704 жыл бұрын
Makorokoro😂😂😂😂 nacheka ingawa c mazuri.
@المهلهلالحراصي4 жыл бұрын
Yani wewe kama mimi nacheka kama mazuri eti baada ya kuhuzunika mimi nacheka eti
@deshuaniton6984 жыл бұрын
W bibinimuongo uzee unamzinguwa. Mamba kaweza kufikisha apo. Nae akapange2
@akidasalim38594 жыл бұрын
Uzee nao mtihani jamani.
@GanadiJuwalaАй бұрын
Jaman bibi mwenyewe kainama na analima bado anaibiwa duh laana hiyo ombeni msamaha
@namwanjemariah14854 жыл бұрын
Wamama wa kihehee hehe mtihani
@swebemwalugala68714 жыл бұрын
Jamani nimemkumbuka bibi yangu arisema nimeokota bunda rahera mama enu amenibia
@lucymacha18534 жыл бұрын
Bibi wa watu jamani hamna hata huruma mnamwibia anajieleza vizuri rudisheni pesa
@berthamakortha83872 жыл бұрын
Uyu bibi ni mkweri mwanae kaibaa
@galaxe48354 жыл бұрын
Kwakina MPULULE huko😃😃😃😃
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@samiramadenge9534 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@ernestlaiza33064 жыл бұрын
mungu niepuahe familia kama hii duh huyu bibi ni hatar
@shebaminde76564 жыл бұрын
Jaman kweli kama n kweli wamemuibia huyu bibi Mungu ashuhulike nao
@madinamahuba Жыл бұрын
Hujawahi kukaa nawazee
@namirihamisi38994 жыл бұрын
utazipatata.wapi? ww mama umechukuwa hizo pesa unataka kurudisha badala ya kusikia polisi.
@leonardsimon21484 жыл бұрын
Hizi ndo hekaya za Iringa😂😂😂
@ladiatsnzania44334 жыл бұрын
Kukaa na wazee jaman yataka moyo jmn mimi bibi yangu alikuwa ananisusia chakula
@naamohamed99644 жыл бұрын
Yataka subra haswa
@angelmhina50724 жыл бұрын
Kwakwel akili zao zinarudi nyuma n uvumiliv tu
@joramnunu14494 жыл бұрын
😂😂😂
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Ladia Tsnzania huwa wanakuwa kama watoto lzm umvumilie.
@janekikoti21794 жыл бұрын
@@radhiambwana8787 kabsa ni kazi sana kukaa na wazee kama hawa
@priskasantony53924 жыл бұрын
Kumanina zake kijana huyo kama angekuwa mweri aaaaa sukuma ndani angesema tu washampiga bb hao mtu na mma ake ila pesa hiyo itawalani
Jamani nani kama mama natamani mama yangu aludi lakini haiwezekani
@Nuru-k2x13 күн бұрын
Wampe haki take Bibi siyo muongo bado anaakili tu na nikweli itakuw huwawanamfukuza
@dismasminja97024 жыл бұрын
Nikagutukaaa😃😃😃
@sheilahismail26984 жыл бұрын
Nimecheka Kama mazuri😅😅😅😅
@Pedeshee014 жыл бұрын
Sheilah Ismail siyo ya kucheka acha tu
@Zubaiba10 ай бұрын
Ww dada na mwanae laana itawatafuna,
@mashaelieazer61204 жыл бұрын
Mungu anaejua yaliyofichika sirini ndie ajuae yote,siku moja yatafichuka.
@kadogoomushadi54094 жыл бұрын
Jamanichangeni kidogo kidogo mumlipe muishi vizuri. Dada
@janeenock23704 жыл бұрын
Jaman wewe mama usimtendee hvo mama yako ...hyo no mungu wa pili kwako....pili wewe kaka mheshim bibi yako maana bila yeye usinge kuwa na mama na labda usinge zaliwa....jaman tuwalinde na tuwapende...siku zote mzazi hakose...mama na mwanao msijitafutie laana bureeee
@asifamwenga53104 жыл бұрын
Mzazi amekuvumilia mengi jtahdi kumvumilia Kama alivyokuvumilia
@neemamahusho61934 жыл бұрын
😀😀😀😀jamni bibi huyu pole yake
@veronicangwale71599 ай бұрын
Jamaniiii bibi kanichekesha 😝😝😝😝😝😝😝😝😝🤤🤤😜😜😜😜😜😜
@joachimjjoseph88634 жыл бұрын
Wameiba..Ukitazama mpangilio wa maneno hayo kwa kina Utagundua.
@sameeraidd21094 жыл бұрын
Bibi atakua Kuna aina ya maisha ya manyanyaso anayoishi ikiwa ni pamoja na kupuuzwa. Wazee niwakuthaminiwa Sana Kama watoto .
@sameeraidd21094 жыл бұрын
Ila anaeshindwa kueleza vizuli Ila Kuna Mambo anayapitia
@zuweinaalhabsya87734 жыл бұрын
Jamani kuishi na tubibi ni kazi kweli inataka subra jamani
@hjhj62304 жыл бұрын
Kabisaa
@sikuzanibusanya64234 жыл бұрын
Kabisa Aiseeee
@mariummchuma64534 жыл бұрын
Unaposema tubibi jua na wewe nihapohapo utakua hivohivo
@fatmamsiliwa84853 жыл бұрын
Kukaa na mamayataka subra
@namirihamisi38994 жыл бұрын
ww jifunze kuongea huyo bibi sio unamuonea huruma bali umtunze kwa sababu ameanza kumzaa mama ako halafu ukazaliwa ww na yy akakulea.
@salamakombo32574 жыл бұрын
Sawa sawa
@alikhamisog34224 жыл бұрын
Jaman tuwale hawa waze kama walivo tulea jaman
@sophiamirambo96562 жыл бұрын
Ila hapo Kuna shida uzee mbaya alisema Bibi angu Mimi mbona Bibi angu nae alikuwa anaibiwa wazee vihela vyao tunakulaga Ila hapo mbele ya kadamnasi hawawezi kusema kweli
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Kumpa nyumba akae sitatizo ASA pesa yake imeenda wp jmn mungu anawaona jmn kuzulumu wazee ni laana mbaya kuliko maelezo.
@annamwangaza6054 жыл бұрын
Mpeni mama pesa yake anajitambua Kukaa nae sio tatizo tatizo kumwibia
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Seleman Hemedi wameila pesa bibi huyu nimchapa kaz Ila wanamrudisha nyuma.
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Anna Mwangaza hii nyumba ndoinaowap kibur ndomana wanamfanyia ukali
@mimaakenirram14054 жыл бұрын
huyu mama ampendi mama ake eti huyu bibi wakati mama ake wa kumzaa anaoenesha tu awampendi wanao kama msumbufu wakati mwenyewe anafanya ya kulima mwenyewe jamani eti nitaondoka nimuachie nyumba jamani
@yonahmbengale41564 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa kuwa na busara, kesi kama hizo si za kuamua kwenye mkutano, na wewe si hakimu bali mpatanishi , sasa mbele za mkutano unaamua nini? Tumia akili sawasawa, waite faragha uwapatanishe, acha sifa za hovyo.
@futamathias84794 жыл бұрын
Jamani jamani mnamtendea hivyo mama huyo!!!! Mh waheshimu baba na mama mpate hero duniani na Sikh za kuishi ziongezwe
@zillytash6934 жыл бұрын
Bibi yuko kweli kabisa kwa mtazamo wangu
@consolatablasi62124 жыл бұрын
Wamepiga hela ya bibi
@aminafesali58174 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂bibi yuko sahihi warejeshe pesa za bibi
@consolatablasi62124 жыл бұрын
Haswaaa
@munaahmed84994 жыл бұрын
Siez kuwatetea hawa kaka na mama kutakuw kuna mtu aliingia akachukua hao wangechukua wangelipa maan hiyo ni aibu na huyo bibi anaeataj hao vile ana kaa nao
@omaradan65387 ай бұрын
MAMA, tajiri
@KhadijaJuma-j3d11 ай бұрын
Jamani mama ni mama
@rahimaaaaa86993 жыл бұрын
Wewe dada una roho.mbaya umlipe alafu uondoke umuache peke.yake. kweli mnamfukuza na mmeiba pesa zake.
@allyjumanne31444 жыл бұрын
Daaah pasua kichwa2.
@marryelliah32344 жыл бұрын
Kijana kamuibia bibi ukweli upo waz...bibi anakumbukumbu uyu...mmemuibia kweli...
@veronicamchilo85524 жыл бұрын
Ni kweli wazee kama hawa huwa ni shida ila kwa maelezo ya huyu bibi kunakitu hapo wanamfanyia
@anithagilibert68084 жыл бұрын
Jamani hizo Hera wamazichukua Mama Na mtoto wake nawasipo zirudisha laana itawasumbua sana loooo!!!!
@aishaissa25122 жыл бұрын
Bibi anajielewa kabisa
@roseurio503 Жыл бұрын
Yawezekana aliibiwa sababu maelezo ya bibi yamenyooka nawala hayajirudii rudii kumaanisha anasahau alichoulizwa na wala alichojibu rudisheni
@jenyyusuph49734 жыл бұрын
Ww huyo bibi anashi da Sema imekua mtiani kesi kama hizo zipo sana mjukuu a naiba kuku pesa. Za bibi yake alafu mama akiambiwa anakazilika anamwambia mamake kama una ibiwa ondoka hapa
@leylahley35424 жыл бұрын
Sure
@salamakombo32574 жыл бұрын
Kweli
@khadijacharles24334 жыл бұрын
Hakuna anae kubali kuiba hao wamechukua bwana
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa,Sasa siyo kukaa ofisini,kazi ni wilaya kwa wilaya,Kijiji kwa Kijiji,mtaa kwa mtaa heeee HAPA KAZI TU
@jenyyusuph49734 жыл бұрын
Ohoo ishi hapa kazi tu
@lucyshula56694 жыл бұрын
Ungeomba tu ulichukua ww mwee bibi mzee analima alaf mnachukulia
@fediliaulomi49694 жыл бұрын
Yaani wewe dada mungu anakuona
@abubakarikisuju53744 жыл бұрын
Kwani wewe mkuu wa mkoa"umeshindwa kuonesha mfano kama mh.Rais"si ungeilipa wewe tu
@lucymacha18534 жыл бұрын
Mmechukua bibi anajieleza vizuri
@cockshublakisoma36554 жыл бұрын
Kuishi na wazee kama hawa ni hekima inahitajika sana...
@salmaalimusa5474 жыл бұрын
Kweli mumy na ukiweza kuishi nae kwawema nibaraka tele
@revinajimson52324 жыл бұрын
sanaa,wanasumbua sanaa
@noxlosingida23694 жыл бұрын
Mtu akizeka anakuwa kama mtoto yaani n Bibi yangu mwenyewe tunamlea kwa mbinde sana ukimkataza kulima yeye anataka kwenda shambani maneno anayoongea hayaeleweki, mara atakusa akuulize wewe nani mara umekuja lini hapa kwangu yaani wazee wana shida jamani tuwavumilie tu ni Wazazi wetu
@Mpakauseme4 жыл бұрын
@@noxlosingida2369 kweli mtu akizeeka anakuwaga nashida
@sulaimanafrican81344 жыл бұрын
Mvumilie tu bibi
@sabrinaislam42004 жыл бұрын
Kachukuwa kweli bibi yuko sahihi
@priscadaniel74 жыл бұрын
Hatari
@annacarren98924 жыл бұрын
Huyu mwanamke hana adabu kwa mama yake
@abubakarikisuju53744 жыл бұрын
Wameiba kweli hao washenzi
@pauloalfayo18682 жыл бұрын
HawA ndio viongozi waxuri
@elizabethebambo62864 жыл бұрын
Bibi kaibiwaaa kweliiii
@wendyeliezer64194 жыл бұрын
Kweli kabisa kaibiwa
@yahyadaudi77344 жыл бұрын
Jamani hii familia ni yetu.huyu Kijana toka utoto wake anaishi na bibi yake.wanalima wote viazi.huyu bibi ni MTU mzima.Kwa jinsi alivyo mama Msafiri hawezi kumuibia mama yake jamani.amemlea mwenyewe .utu uzima huo.